JACARANDA GROUND DAY 3 UKWELI UNAEDELEA KUHUBIRIWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • WARNING OF LAST DAYS, ni channel ya kujulisha watu ukweli na kitabu cha mwenyezi mungu,nakutagaza ujumbe wa malaika wa tatu(ufunuo 14:6-5)_lego letu nikutetea Neno la MUNGU yaani bibilia , ili tuweke wazi Imani ya kweli,pia kuwajulisha kabila zote na jamaa na dunia zima ujumbe wa malaika wa tatu yaani ujumbe wa mwisho

Комментарии • 30

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 8 месяцев назад +5

    Watumishi wanafanya KAZI kubwa Sana

  • @phanicekemunto-t2h
    @phanicekemunto-t2h 6 месяцев назад

    Kazi mzuri mtumishi injili iende mbele kuwafikia waliopotea🙏

  • @McdonaldOnderi-y9m
    @McdonaldOnderi-y9m 2 месяца назад

    God bless everybody

  • @glorialaizer9450
    @glorialaizer9450 8 месяцев назад +3

    Mtumishi najufunza sana kutoka kwako unapatikanaje?

  • @SeuriLukumay-f3e
    @SeuriLukumay-f3e 3 месяца назад +1

    Tuko pamoja mutumishi

  • @romankasangu4626
    @romankasangu4626 8 месяцев назад

    Ilikuwa maombi yangu kama hawa wangwana wanakuwanga jacaranda wangemshabikia yesu badala ya wanasiasa mwanasiasa hana mbingu

  • @joelkaremeee9678
    @joelkaremeee9678 8 месяцев назад

    Ningependa kukutana na huyu mtumishi

  • @OLUNGAJOSHMAH
    @OLUNGAJOSHMAH 8 месяцев назад

    JACARANDA WANAKIU YA NENO LA WAKATI KABISAA

  • @Mitama49
    @Mitama49 8 месяцев назад +2

    Onyango punguza vituko zakoo sio sawaa..be talkative bro

    • @stephen-S7
      @stephen-S7 8 месяцев назад +1

      Kweli inaeza fanya wengine kuchukua kama ni jokes

    • @QweAsd-ry7tb
      @QweAsd-ry7tb 8 месяцев назад

      Kumbe wengi mumeona hino.masala ya mwenyezi hayahitaji mzaha.

    • @biblianguzolaulimwengu
      @biblianguzolaulimwengu 8 месяцев назад +3

      I am humbly and kindly asking brother Onyango to preach without making childish jokes and reactions. Kindly be serious like Ndacha .Your childish jokes will make people not to take you serious. I ask you again if you can't stop those jokes, don't preach, let Ndacha preach alone. You're diluting the who process. Am not happy about those funny jokes, and I'm a teacher of the word of God. Regards,Paul Muya Mkulima,Tala,Kangundo,Machakos.

    • @PTLPMTV
      @PTLPMTV 8 месяцев назад +1

      If you don't like,just don't watch my part. Simple. Just exercise your freedom of conscience

    • @japhetndoro6533
      @japhetndoro6533 8 месяцев назад

      Badala usikize mahubiri tayr ww ukonajazba

  • @AlexMungathia
    @AlexMungathia 8 месяцев назад +1

    @sheyosquad vituko gani onyango ako anavyo

    • @Mitama49
      @Mitama49 8 месяцев назад +2

      The way anatumia body gestures its too much..awe na maneno mengi kuliko vitendo, kwamfano anavyo adress watu wa jumapili wasiojua maandiko kuna vile anafanya kana kwamba hawana akili inakua kama anawatusi, kurukaruka mara sijui kufanyeje..mimi naona mda huo atoe maandiko ya kutosha na aongee sana kama Ndacha

    • @OLUNGAJOSHMAH
      @OLUNGAJOSHMAH 8 месяцев назад

      Wasio na Masikio wanaona hio Signs wakielewa wewe peana Support pali paana hitajika.