OMOSHI ONE HOUR AMEPATIKANA LEO, JACARANDA
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- WARNING OF LAST DAYS, ni channel ya kujulisha watu ukweli na kitabu cha mwenyezi mungu,nakutagaza ujumbe wa malaika wa tatu(ufunuo 14:6-5)_lego letu nikutetea Neno la MUNGU yaani bibilia , ili tuweke wazi Imani ya kweli,pia kuwajulisha kabila zote na jamaa na dunia zima ujumbe wa malaika wa tatu yaani ujumbe wa mwisho
Na kweli watu hawasomi maandiko vizuri team dacha MUNGU MWENYE UWEZO WOTE azidi kuwainuna sababu wengi wako makanisani nawanapotelea umo na ndio wamezama kabisa na awajui watatoka vipi. ni huruma sana maombi yanahitajika kwa wingi maana wengi ni mateka ..MUNGU ATUURUMIE SANA
Ndacha amefanya ninatoka Kwa Bornagain 👋👋
1st Corinthians 16.2 talks about Sunday.
2 colossians 16_17 don't judge.
Acts 20:7
1st Corinthians 16:2. Day doesn't matter
Mhh yaani wewe ndio unao Ndacha anasoma vyema maandiko?? hilo ndio tatizo lenu
Mungu awabariki Sana watumishi wake .
Amen
Hakika Jacaranda kuna njaa ya neno la Mungu.
Kazi safi mwalimu wetu Mungu WA mbinguni akubariki
Yaani mungu wa ndacha yaani yesu anakuja kuoa maajabu ya ukristo na wakristo.
Ushindwe kwa jina la Yesu na hayo majini yenu yaliyosilimu
Mwalimu Mungu akubariki.tunakuombea huweze kupenya kila mahali upande mbegu ya neno la Mungu
Ujena kwetu tunduma mwalim nakubali❤
Ndacha ni kweli mungu alipumzika swali lake je mungu alichoka? Jibu Isaiah 40:28...mungu hachoki Wala hazimii safi kazi safi ndacha
Huyo ni Mungu feki. Bibilia inasema mwenyezi mungu ha lali, wala hazinziyi. The world will collapse if God gets a break to chill just like his creations.
Barikiweni walimu wetu kwa kutetea ujumbe
Amen. Ubarikiwe sana Ndacha
Hawezi barikiwa juu ya hiyi hapa Yemia 50:6 soma ndiyo nikupe sababu hawezi barikiwa juu umesema
Vizuri sana Mwalimu Ndacha
Thanks to God in my previous comment nilitaka Omosho apatikane sasa namtaka nuru okanga
KAZI zuri
As much as Omosh amesilim I think the approach Mwalimu ametumia kumuhubiria si nzuri viiile.inahitaji hekima sana kujadili na mtu kama huyu na kumshawishi aache uislamu na kuufuata ukiristo
He is among the audience. Most probably he is following keenly
Mungu hatafuti wenye elimu brother wajidangnya sana
Wewe hauna uwezo wa kubadili mtu ila Mungu, kazi ya wahubiri ni kufikisha ujumbe wenye uamuzi ni wale wamefikiwa na ujumbe kuamua....
wewe fanya hiyo kazi. Mtafute na utumie hekima yako
@@johnragwel6931 kama huna kitu yakusema si unyamaze TU..
The best kukuru kakara uliza ujibiwe Ndacha . This one is fine or amongst my best.
Hapo Jacaranda rudia every month at least 2 timez uniokolee my boyz.
Meanwhile I will support you financially when you will go back to Kisii bro.
I followed all mkiwa Congo and now am waiting upatize daktari Sule this next June
Omoosh allah akuhifadhi
Amen
Hawa watu wa jacaranda kweli ni siasa inawapeleka huko bt hawajui lolote
Wapi yesu alifundisha salamu hiyo Bwana yesu asifiwe
This is true gospel Jesus is coming soon
Uislamu ndio dini ya haki ndacha utapta tabu sna
Atapata sana hao ni wanafriki wanamuabudu Mwanamke alifiya Michigan Amerika hata yesu hakufikaga uko ila wamevaa ngozi ya yesu
Uislamu una haki gani ikiwa Muhammad alikuja uso kwa kipofu alipokuja ili amfundishe akakataa?
Makafiri watakua kuni wa moto wa jahanam
Wewe enda uabudu hio sanamu yenu ya makkah polepole
Nimekuona kijana wetu Paul upo nimekukubari usitoke kuachana na Ndacha tusipokuona kwa Ndacha haupo hatusikilizi
Sasa iyo ni ushabiki juu hata Paul akikudanganya utakubali tu juu u ampenda
The true baptism it is in the name of Jesus Christ
Watu wanabishana sana kwa habari yadini,eti dini yakwelinini?dini yakweli nikuwaona wajane na yatima.
Duuuhh jamaa ni mbishi balaa.
AKIKA NDACHA ANAFAA KUSHIKWA MKONO HADI NA SERIKALI MAANA ILE ELIMU MUNGU AMEMPA YAFAA IFIKIE KILA MTU KABISA
Bwana ukweli Ndacha amefanaya Nika hama kutoka Kwa Pentacostol church
God bless this man 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Akuna elimu hapo nikugeuza maandiko
Kwenye umetoka penye umeenda ni some
Ati anafaa nini hizo maongo anasema hapo wee some bible mwenyewe usisomewe
Iyo Ufunuo wa Yohana soma iyo 14:12 uone Kama kunapahali imeandikwa kanisa la yesu
Omosh anafikiri happ ni jubilee
Huyo mwizi kifo chake kilokuwa kabla kufa kwa yesu nikama walie kufa zamani
Kwelimze huyu niwa bichekesho mze uishi kwili
Nauliza, mitume gani alibaza kufuatana Na matayo 28:19? Japo kuwa n'a roho mtakatifu
Jogooo n adhana nn y kwnza swali kweli
Mwenye link ya group la warning of last day anitumie
Drop naba
Wale wanatembea wakitangaza uong wako wp ,wapewe elimu ya bure
Wewe dhehebu yako ni gani,ama ni ubishi
All these is in the name of getting rich.hawa wote ni wapumbavu na wamepungukiwa na maarifa.
Ndacha ww ni kiboko
Wee ndacha muongo bible usiongeze wala kumpunza utapata mapigo iyo yohana hakuna pahali imeandikwa kanisa la yesu
Ufunuo wa Yohana 14:12 Hapo ndipo penye subira ya watakatifu hao washikao amri za Mungu na Imani ya Yesu
Hapo hakuna jina kanisa wee Muongo acha Imani za Hellen G white ndiyo unaleteya watu hapa
Huyu pastor ni mjinga. Bibilia inasema ku describe Kanzu Kama mvazi mtakatifu. I have never won it myself as it is not a must to wear it. Just say the truth though.
Mungu akusamehe
Ni Shetani Muhammad aliyemsilimisha ndo anaongea ndani yako
@@everlynewanyama give us evidence. Hiyo ni maoni yako. You can’t be lying to people all the time . We are in the digital world where everyone can investigate and distinguish the truth from the lies. Toa kwa bibilia nzima Ukristo ni dini? Or Bibilia ni kitabu cha mungu, nabii gani ka pewa, mwaka gani ka pewa, nchi gani ka pewa.
Si huyu afuate shetani basi
Omoshi asikudanye hyu kafiri
Wewe unawaendea watu ambao kabla hajasilimu mlikua naye lakini baada ya kusilimu ndo unangangana kumtafuta ,haki wewe ndacha ni kafiri mwenyewe
Wewe si Mkristo.
Kama kuna mtu mjinga kwa wakristo ni ndacha kwa sababu ukristo si dini na anaunga mkono tena kummbafu wewe
Wewe umechoka sana, uislam hautoshi kukupeleka mbinguni
Wewe ndo hupo sahihi
Unauliza unamtusi mtumish wewe
Upumbavu mtupu ,Omosh kasoma lini Quran hata uwekenaye muhadhara na kujadiri vitabu ? Hii inaonyesha Ndacha kashindwa sana sasa anatafuta asiyejua ili ashinde .
Ata waislam pia hufanya vivyo hivyo, stick to your lane.
Wewe umeshinda sule
NDACHE YOU ARE LYING ON BAPATISM
ako jacaranda peleka mwili hapo upate elimu ya bure
@@whatmakesthisthingsimpossi7487 hahahahaahahaha! There people who have no this life and the life to come. You must repent first or go to hell.
Uyo ndacha anatafuta wale ambao hawana elimu akuje kwa watu Kama Mimi nimfunze bibilia
Si ukuje JACARANDA GROUND
Wacha kudanganya watu wewe mpuzi
Wewe ndiyo mpuzi
@@BernardChesoli-rj3nw wewe hujielewi Pole sana
Anajadili kutumia maandiko sasa mbona unamtusi basi wwe pia tufundishe na Andiko
Omosh alifuata kanzu na pilau
Anyone who can tell good and bad , someone will feel the benefit and beauty of Islam in the first few hours of taking the shahada and Omosh just like the millions that convert to Islam globally feel that way . No one can force someone to faith first and foremost. Uislamu is straight forward, hakuna kona kona Kama kwenu where you get confused with God and Jesus and the role of each . Na hakuna pilau bure ndugu. Uislamu ni kuabudu na kufanya kazi sana. Hakuna ku pomzika unless you are RAO, Ruto ama Kenyatta family knowing vile wa Kenya wana njaa.
Wew n Kama akili hauna pilau hupikwa msikitini kweli
ww ndacha msenge, wasema ww ni mkristo andiko gn ktk biblia inosema ukristo ni dini?? Jibu hilo usidanganye watu pumbavu zako
Na wewe nitajie muisilamu 1alifanikiwa kupata pepo
Usije kuwa wewe ndo msenge lakn Dini yenu inawaruhusu kutukana watu
@@msemakweli243 ht kuuliza kwenye hujui kupata pepo au kuingia peponi?
@@msemakweli243 na ww ndo walewale nyote mashoga
@@msemakweli243 usikasirike kiongoz wenu wa ukristo papa karuhusu ushoga 😂😂😂
Hata Hellen G white Aliyeanzisha Sabato Ni Freemason Mkumbwa nandiye nyinyi mnamuabu iyo si niushetani
Mi ushanga nawasabato mnaabudu shetani alafu mnataka watu waje Kwa sda ndiyo mnatumiya Uislamu vibaya hayo maneno unayatowa Kwa Hadith yatowe Kwa Quran ndiyo muongozo wa waislamu wacheni uchetani
Sabato siyo ya Ellen White,,its belongs to Elohim.muumbaji wa mbingu na dunia.
@@tumainjulius2311 wewe hakuna kitu unaleteya juu ya sda mulize ndacha ama nenda google usome history ya kiongoz wa sda nani uone Kama utabata jina Elohim
Nenda google such muanzilishi wa sda dunia nzima uone Kama imeandikwa Elohim
@@tumainjulius2311ukipata neno Elohim takupa ingine nakama wee ni msabato utahama
Jogooo n adhana nn y kwnza swali kweli