NGUVU YA MSAMAHA
HTML-код
- Опубликовано: 9 янв 2025
- #msamaha#forgive#wokovu#biblia
Naam, tukiujua wakati, kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia; kwa maana sasa wokovu wetu uko karibu nasi kuliko tulipoanza kuamini
"Warumi 13:11"
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/siri...
Instagram Account
/ siri_za_biblia
Kwa kweli mafunzo yako yamenibariki sana ,,,,,,Barikiwa sana Mtumishi🙌🙏🙏🙏🇰🇪
Ameeen
Mungu akutie nguvu 💪 zaidi na zaidi mtumishi
Amen amen 🙏🙏
Amen
Amina 💖
Ubarikiwe sana mtumishi kwa neno zuri 🙏🏼🙏🏼🙏🏼❤️❤️❤️
Mtumish mungu azidi kukupa nguvu na afya njema mungu akubariki
Kweli kabisa
Jamani nahitaji maombi 😴😭 mi nahisi kuna nguvu ndani yangu inanizuwia kusamehe .sijui ni kwasababu niliumizwa sana mpaka moyo ukawa kama jiwe sijui jamani mnisaidie kuomba 😭nilisingiziwa uchawi jamani kusema ukweli kwenyw maisha yangu au hata familia nzima na ukoo sijawahi kusikia kwamba kuna mtu anaroga .sisi ni watu wa maombi .cha kushangaza kuna jirani kanizushia eti mimi mchawi mala nimewanyoa nywele 😭 mpaka majirani wakaaza nitenga hawataki hata niguse watoto wao .wakakata mawasiliano .mimi nililia mpaka moyo ukajeruhiwa . Huyu alie nisingizia nikajikuta namchukia na familia yake yote .kabisa sitaki kukuona hata mumsikia ..yaani nilipatwa na stress .depression kwa sababu ya hayo maneno 😭😭😴😴 sijui nita msamehe kivipi nipeni ushauri jamani 🤦♀️
My love pole sana ila just take it easy najua n muda sasa tangu huyo mtu akuudhi.
Lakn naamin ukiyashika maagzo ya MUNGU na ukafata kile anachokisema na ukaomba faraja yake inayodumu na upendo wake wa kweli usiondoke kwako utaanza kujisikia amani na kumuachilia alokuumiza taratbu taratbu mwsho utaweza kumsamehe jumla.
Mungu akusaidie.
AMINA
Amen
Amen