Mungu baba muumba wangu,nakuomba unisikie kwa maombi yangu,kusudio langu nikufungua kwa minyororo,changa moto inae nikumba katika maisha yangu,tokea mwaka juzi hadi leo hii.Wayajua baba,uniokowe,.leo nitakua mbele ya baraza kuu,na maulizo ya mitego ya kuniangusha itakua nyingi baba,roho wako waushindi,asema ndani mwangu,ili niokolewe,na nipate ushindi muumba wangu nakuomba.munamo jina la Kristu mwana wako Amen
Mungu anisaidie kukuwa kiimani nipe macho ya lohoni niinuwe nipe watu sahiii mungu wewe ndiwe kimbilio langu malizia Kila kilicho nishinda kufanya katika maisha yangu Amen 🤲🧎🧎🙏🙏
Ewe mwenyezi mungu nakusihi na kukuomba simama na familia yangu nawakabizi watoto wangu mikononi mwako mimi si lolote mbele yako najikabizi kwako mungu wangu
Eeee mwenyezi mungu wewe ndio uliniumba ukanijua kabla sijazaliwa na mapito ninayo yapitia nwewe unajua mungu ninakiitwa shuka unisaidie kwa maisha yangu nkutumikie wewe nkujue zaidi matendo yangu yafanane na wewe maana wewe ndiwe tegemeo langu
Nimekuwa nikiishi kwa jicho la Mungu hakuna mwanadamu anaekuwa tayari kufanya chochote kwangu si dada si kaka si baba si rafiki si boss nampenda Mungu wa innocent Mashauri anafunua uharisia wa sisi ambao bila Mungu hatutoboi
Ee Mungu uniombee nipo wakati mgumu mgumu hata njia zote naona zimefungwa campuni yetu imeyumba kabisa madeni yamejaaa kila kona kila kitu ni giza ee utuokoe hatuna pa kushika Asante eeemungu
Ee Mungu uniombee nipo wakati mgumu mgumu hata njia zote naona zimefungwa campuni yetu imeyumba kabisa madeni yamejaaa kila kona kila kitu ni giza ee utuokoe hatuna pa kushika Asante eeemungu
Ee Mungu nisaidie nguvu na kunisaidia huu mwaka uwe wa mabadiliko kwa kila kitu 🙏🙏
Ee Mungu wangu naomba mwaka huu uwe mwaka wa ma badiliko katika maisha
Amen
Mungu baba muumba wangu,nakuomba unisikie kwa maombi yangu,kusudio langu nikufungua kwa minyororo,changa moto inae nikumba katika maisha yangu,tokea mwaka juzi hadi leo hii.Wayajua baba,uniokowe,.leo nitakua mbele ya baraza kuu,na maulizo ya mitego ya kuniangusha itakua nyingi baba,roho wako waushindi,asema ndani mwangu,ili niokolewe,na nipate ushindi muumba wangu nakuomba.munamo jina la Kristu mwana wako Amen
Amen nahitaji nguvu zako Mungu 😊
Ee MUNGU wewe ndo msaada wangu na familia yangu ußituqçe Baba
Mungu nakuitaji ingilia kati family nyangu ni wewe tu nakutengemea, usiniaje mungu wangu
Ameeen mtumishi tegemezi Langu ni Kwa bwana Mungu wangu 😢🙏
Ee mungu wangu zahidi yako sinategemeho lingine niwewe ndiyo unayejuwa siri ya moyo wangu
Unaye jua ninayopitia ni Wewe Mungu wangu naomba unisaidie 🙏🙏
Mungu anisaidie kukuwa kiimani nipe macho ya lohoni niinuwe nipe watu sahiii mungu wewe ndiwe kimbilio langu malizia Kila kilicho nishinda kufanya katika maisha yangu Amen 🤲🧎🧎🙏🙏
Ewe mwenyezi mungu nakusihi na kukuomba simama na familia yangu nawakabizi watoto wangu mikononi mwako mimi si lolote mbele yako najikabizi kwako mungu wangu
Eeee Mungu wangu nainua macho yangu kwako peke yako. Naomba urinzinkwa ajili ya uzao wa tumbo langu wakati huu.
Ee Mungu bilawewe cwezi nahitaji msaada wako
Eeee mwenyez Mungu naomba unisaidie napita kweny magumu sana
Asante sana Muchungaji, Mungu tuh njo waku nisaidiya mimi Sina mwengine namtegemeya😢
ami sina msaada mwengine zaidi ya mungu mungu anisaidie nami mwaka uyu naitaji mungu aingilie kati kwajili ya iyi shida nimo ndani
Eeee mwenyezi mungu wewe ndio uliniumba ukanijua kabla sijazaliwa na mapito ninayo yapitia nwewe unajua mungu ninakiitwa shuka unisaidie kwa maisha yangu nkutumikie wewe nkujue zaidi matendo yangu yafanane na wewe maana wewe ndiwe tegemeo langu
Tegemeo langu ni wewe tu ju ya wanangu na kaz za mikono yangu na uchumi wangu
mungu nisaindiye kweli mambo ninayoyapitiya kwaleo mungu nisaidiye baba nipone haya magojwa papa nikumbuke
Ninatumaini mungu atatenda
🙏mungu nakusihi unisaidie pekee yangu siwezi
Sina.tengemezi nyingine zaidi ya Mungu
Mungu nisaidie nipate ada za watoto nitapataje wewe unajua nipganie vita ya malango ya nyumba ya baba yangu iliyoniinukia.vita familia
wewe ni Mungu mutetezi wawanyonge simama na mimi maana nakutegemeya wewe peke 🙏🙏
Mungu wangu Naomba unisaidie
Amen bwana azipiwe pastor
Amen mungu azindi kukutumia mtumishi
AMINA.
Ee Bwana naomba uniokoe katika roho mbaya inayoniandama.
AMINA.
Ee Mungu ingilia kati ya hizi situation mimi sina palani b kabisa ee mungu chukua hayo madeni yote
Ee Mwenyezi Mungu Muamba Mbingu na nchi asante Baba kwa neema zako na ulinzi wako ninaye kutegemea sina mwingine ni wewe Bwana wa Majeshi asante
Mungu tunaomba uwepo wako. Uwe kwetu
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu tegemeo letu na Masada wetu kwa Mungu Asante Bwana Yesu 🙏🙏🙏
Eeeh bwana ingiriya kati mambo yangu 🙏🙏
Ameen ameen
Nimekuwa nikiishi kwa jicho la Mungu hakuna mwanadamu anaekuwa tayari kufanya chochote kwangu si dada si kaka si baba si rafiki si boss nampenda Mungu wa innocent Mashauri anafunua uharisia wa sisi ambao bila Mungu hatutoboi
Ee Mungu uniombee nipo wakati mgumu mgumu hata njia zote naona zimefungwa campuni yetu imeyumba kabisa madeni yamejaaa kila kona kila kitu ni giza ee utuokoe hatuna pa kushika Asante eeemungu
Ee Mungu Utuombee maana tupo chini
Mtumishi Sina mtu wa kunisaidia nimeshaumizwa nawatu namtegemea mungu
Amina
Kwako Mungu njo kuna vyote kuna kila kitu
Ameen
Amen amen amen
Ee MUBGU WANGU NISAIDIE AFYA YANGU
MUNG ww unajua yotee ninayopitiaa😭😭😭
Huwa sina shaka na Neno la Mungu,nimemuhakikisha,Nimemuona,Mimi sikustahili hata kuandika hii comment lkn Neema ya Mungu imenibeba
Ee Mungu mwenyewe uwe msaada kwenye ndowa yangu n'a kwenye byashara yangu
Amen❤❤❤
Amen 🙏
mimi ndowa inasha magojwa yananitesa nakimbiliya.kwako nisaindiye baba
MUNGU univushe miezi yote hii ya mwaka 2025 tuwe salama Baba
Eeh Mungu unipe nguvu za kupata utajiri ili nikutumikiye katika hali ya utajiri.
Tegemeyo letu ni kweko
Ohhh God hakuna zaid yako sasa
eemungu nisaidie
Kimbilio letu ni Mungu tu
Emeeen
Mungu
Wewe tu tegemeo
Mtumishi Mimi Sina plan B namtegemea Mungu to🙏
Amen 🙏 mungu akubariki san mtumishi
Amen
Ni NAGUTEGEMEA MUNGU WANGU UNIVUSHE
Ubarikiwe Mtumishi
Nami sina plane B namutegemea mungu tu
MUNGU wa madhabahu ya Siri za Biblia naomba univushe Umebaki wewe tu!😢
MUNGU NISHINDIE KWA NINAYOPITIA KIMBILIO NA TEGEMEO LANGU NI WEWE TU MUNGU
Ee Mungu uniombee nipo wakati mgumu mgumu hata njia zote naona zimefungwa campuni yetu imeyumba kabisa madeni yamejaaa kila kona kila kitu ni giza ee utuokoe hatuna pa kushika Asante eeemungu
Ameen ameen
Amen. 🙏🙏
Amen amen
Amen
Amen