God, through this prayer something new is going to happen in my life.🙏🏿🙏🏿... watching from Saudi Arabia,tukumbuke mungu wangu Kwa yote tunayopitia , this country not easy at all 😢🙏🏿🙏🏿🙏🏿
EeeeMungu wangu naonba unilinde Mimi nawanangu maaduwi wasifanikiwe kwaubaya wote wako wanaandaa juu yangu piya uwondowe magonjwa yote ndani yangu unipe uzima amen 🙏
Mungu wangu naomba uwalinde watoto wangu mahali waliko pamoja na ndugu zangu na mamangu. Uwafunke kwa damu yako na mm pia naomba neema yako na kibali chako nikiwa huku inje ya nchi unilinde na unipe afaya nguvu, usiniache bwana
Eeh baba uliye juu mbinguni Naomba yaguse maisha Yangu,gusa familia yangu,gusa watoto wangu, gusa wazazi wangu,kila kilichopotea kwangu naomba nirejeshee, lipangue kila lililopangwa na maadui zangu kwa ajili ya kuniangamiza.waponye wagonjwa waliopo ma hospitalin,bariki wenzangu waliopo safarini wafike salama.fungua milango yangu yote ya mafanikio kupitia jina la yesu kilisto
ee mungu wa mbinguni nahitaji unitumie kwa kadri upendavyo kama madhabahu yako,navunja kila hila maagano nliyofanya na shetan nahitaji mungu nipatie marafiki sahihi kila kilichochangu na kimeibiwa naenda kukirudisha katika jina la yesu na vitu vya watu ninavyomilik navirudisha katika jina la yesu damu ya yesu iliyomwagika msalaban ikaokoe Maisha yangu na kutatua changamoto zangu zote ninaomba nikiamini katika kristo yesu amina.
Namwomba Mungu aniondolee vifungo vyote nilivyo fungwa, magonjwa, mafarakano na ndugu yangu, biashara zangu zilizifungwa zifunguliwe. Mtoto wangu wa kiume aache kunywa pombe . Yesu naomba unisaidie.
Eeeeh Baba yaguse maisha yangu,gusa familia yangu,gusa watoto wangu,gusa wazazi wangu,fungua kila njia yangu ya mafanikio iliyofungwa,niinue km ulivyowainua mitume yako Baba...Yaguse maisha yangu eeeh Mungu wangu
Kwenye maombi ya usiku huu mahitaji yangu namkabizi mume wangu na watoto mbele za mungu pia katika maombi haya liziki na uchumi umekuwa mgumu sana mungu nifungulie milango ya liziki nipe afya njema nijifungue salama Amina
Nafugua vifungo laana za ukoo wangu wote laana za mabibi namababu katika jina la yesu mungu akafaye jia katika mapito yangu.Naamini katika jina la yesu.
Naomba UNIVUSHE kutoka magumu ninayoyapitia,nibadilishie historia ya maisha yangu,wanangu hawasongi mbela kimasomo, usituache an hewani mfalme wa amani,nguvu yako idhihirike sasa tatizo la kichwa changu ulimalize sasa.Mwanfu Sali aache pombe kuanzia sasa.Jovan umfinyange tena na mwenza wangu umtoe ktk magumu ana yoo opitia, nitoe ktk magumu BABA MUNGU unikwamue na kunihuisha upya ,wate de i wangu uwafungie wasinidhuru tena.
Bwana Yesu asufiwe ,naomba Mungu anijalie kiwango changu Cha Imani kikue,Mimi na nyumba yangu yumtumikie Bwana, to unaomba Toba,tunaomba kufunguliwa familia yangu na mama yangu na mdogo wangu tupone,mwanangu atoke kwenye mapooza na Mume wangu kipenzi aache pombe ,naomba binti yangu apate kazi nami Mungu afungue milango yangu na wote wanaoitwa kwa majina yetu wafunguliwe
Mungu naomba Huyu mama aweze kusimamia yeye garama ya iyo passport yangu walipoteza.sasa wanitaka kunidukumu mm na garama ni zao mungu mguse moyo wake .aweze kulipa
Eee Mungu Nahitaji Ulinzi wako katika Maisha yangu Kazi yangu niliyopata iwe ya kudumu nibariki katika mahusiano yangu yawe ya Amani na furaha na pia mbariki mme wangu Tuishi Katika Hofu ya Mungu na Tuzidi kukujua wewe Tunakataa kila madhabahu za kichawi Zinazotufatilia maisha yetu Utufunike na Damu Yako Milele Nakataa roho ya wasiwasi Na Kutojiamin Ubariki pia familia yangu Tuishi kwa kukujua wewe na kukutegemea wewe MUNGU Navunja kila roho za mauti Zinazotufatilia juu yetu Tulinde Eeh Baba Uliniponitoa ni mbali Baba Heshima na Utukufu ni vyako AMEN
Naomba mungu anilinde mimi na watotowangu atufunike Kwa damu yake, naomba mungu anifungulie milango yaridhiki zangu popote zilipofungwa ziachiliwe na mabaya yote yanayopangwa na maadui zangu yasinipate kamwe Kwa jina la Yesu kristo Alie hai 🙏
Mungu najua unanisikia naomba nipate pesa nilipe and a yamwanangu aenderee na masomo.Nakwamini mungu. Uwezi kuniacha.Nivushe mungu wangu katika haya ninayopitia .Nitendee Eemungu wangu.
Mungu anikumbuke Mimi na familia yangu na uzao wangu tuzid kukua kiimani tuzid kupata nguvu ya maombi zaidi,Mungu azid kunikumbuka ktk maisha yangu,mungu akutane na maisha yangu
Baba wakumbuke familia yangu wakumbuke watoto wangu walio mashuleni baba mguse mtoto hiyu walkie nirudishia kutoka shule haoni waka hasikii mimi mwenyewe sija lala nimebanwa na pumu baba niponue naomba mume mwema🙏🙏🙏🙏
Naomba kila adui anaesimaa kwa ajili ya kuzuia mafanikio yangu apigwe kupitia jina la YESU KRISTO na simama ktk zaburi ya 109.na zaburi ya 35 nimeteswa sana nimepitia mengi sana Mungu anijalie wema wake.pia awakumbuke dada zangu Wawili. Mungu akumbuke sadaka niliyoitoa katika madhabahu hii ya dada angu Rachel Mungu amujibu upesi amina
Mwenyezi Mungu atupaye riziki ya kila siku Mungu naomba kusikia sauti yako kila saa.Mungu nimwanminifu utamponya Damaris kwa jina lako kesho atakuja kanisani na utankumbuka kwa matayarisho yote Amani tupiganie
Nisaidie yesu niwapende watu wote.nisiwe nachuki baba yangu.nakuamini Mungu wangu Kwa Jina la yesu.ata walionikosea na naninaowawazia mabaya.nitakase yesu
Nafunga roho ya umaskini nateketeza kwa damu ya yesu... naomba mungu ubadilishe historia ya maisha yetu nyumbani nimechoka umaskini🙏🙏 nakupenda mungu najuwa utatenda🙏🙏
Badilisha historia ya maisha yangu nisaidie kutoka kwenye tamaa ya uzinzi na Roho ya madeni na nyumba zangu nizimalize kuzijenga.na huduma yangu karama ya uponyaji na uinjirishaji.nisaidie Yesu hata Kama sistahili ilatu kwaneematu itokayo kwako.
Yesu wangu naomba univushe katika magumu yaliyoko mbele yangu tizama nimekuwa mtu wa madeni Mungu naomba unisaidie sina mtu mwingine wa kumueleza shida zangu isipokuwa ni wewe Bwana usiniache nikaanguka nishike mkono yesu wangu, nimekuwa mtumwa wa madeni Mungu wangu niokoe, tizama maadui wamekuwa wengi wanataka kuniangamiza Mungu naomba unipigie bwana peke yangu siwezi, maisha yangu yamekwama najalibu kwa uwezo wangu lakini nimeshindwa Mungu usiniache moyo wangu unavuka damu Mungu naomba unisaidie
Shalom Wana wa Mungu Mungu Naomba MUNGU anipatie Imani maradufu aniamshe usiku kila siku nisali nipate nguvu ya roho mtakatifu ajae ndani yangu 🙏 Anisaidie Mimi na watoto wangu familia yangu haiko sawa Ndoa yangu inamisuko suko Uchumi mbaya Madeni mengi sana MUNGU wangu nisaidie na univushe salama Amen🙏
Eeeh Mungu Baba Mwenyezi naomba afya njema mimi na familia yangu tuuone mwKa mwingine kwa kishindo na watu wajue wewe uko pamoja nasi siku zoote na Dunia nzima Ameen❤
Mwenyezi Mungu naomba unisaidie niweze kutoka humu dipportation niende nikawataftie wazazi wangu na watoto wangu.Msaidie pia na askari anae endesha kesi yangu awe na afya njema na nguvu kesi yangu ifike tamati katika jina la yesu Amina.
Ee Mungu ,naomba kuniombea Mtumishi wa mungu nipate hela kulipa madeni na niweze kwenda kumwona mamaangu ni mgonjwa kweli maisha yamebana sana ila ni mkono wa Mungu ndiye atakaye tuokoa amen 🙏🏿
BAba katika jina la Yesu Kristo naomba univushe katika kipindi hiki kigumu ninachokipitia.Uchumi wangu ulioibiwa,afya ya familia iliyoibiwa,vibali vyetu vilivyoibiwa .Mungu naomba ukaturejeshee.Amen
Bwana YESU asifiwe Niko kigamboni nami nashiriki maombi ya usiku huu nikiomba Rehema na toba MUNGU akanipe hitaji la moyo wangu natafuta kibali cha kazi kwa muda mrefu nami napokea kazi usiku waleo Amen 🙏
Ee Mungu naomba uniinue katika viwango vya juu Katika malango yangu Yote. Mungu kutana namaisha yangu . Gusa Kila hitaji langu Afya, uhai, Akili za watoto , uchumi, uduma, yangu Ee Mungu usinipite
Bwana Mungu asifiwe, naomba MUNGU anilinde pamoja na familia yangu nzima myaka idjayo nakutupatiya mwisho muzuri kuliko mwanzi Amen amen amen 🎉🎉🎉❤❤❤😊😊😊
Eeh Baba wa mbinguni unapopita kuwadhulu wengine naomba usinipite babangu.Asante kwasababu unaweza kunifinyanga teena naomba unisamehe nisamehe dhambi zangu baba nivushe na hili ninalolipitia yesu
Eeee mungu mwenye rehema na fazili za milele naomba unihepushe na roho za mafwatilizi katika maish yangu naomba unihepushe na roho za mahangaiko katika maisha yangu yote pia niongoze kwakila atua na mahamuzi yangu nakila nihendapo uniondole roho za fedhea na aibu👏👏👏👏🙌
Naomba maombi kwaajili ya familia yangu mume wangu watiao mungu awafunike pia kwaajili ya baba mkwe wangu ondoa roho ya mafarakano kati yetu na yeye ee mungu wangu naomba maombi kwaajili ya wazaz wangu wakwe zangu na pia afute laana za mababu na mabibi katika jina la yesu mungu sikia maombi haya
Ee mungu wangu naomba unisaidie na familia yangu nisikose ufalume wambinguni ju ya mapito ninayo pitia magumu aba duniani, nateseka naugonjwa ambao ieleweki, pia nanyanyaswa haki yangu,nakutalauliwa, naomba baba unikumbuke wakati kama hu mugumu, shidha yaumasikini, naomba unisamehe mahali nimekosa, pia kwa kila jambo ninalofanya unifunglie milango, asante yesu, naomba nifunguliwe ndoto nikiota nikumbuke nionyeshe yote ninaota,mungu wangu nisaidie
Nawaombea wanangu na familia yangu Yote. Mungu atufungulie baraka zake, afungue vifungo vyote vilivyofungwa na ibilisi na kutuacha huru katika jina la Yesu Kristo 🙏🏿
MUNGU naomba hekima na maarif katika kuitenda kazi yako ya utumishi niifanye kwa ajiri ya utukufu wako na iwe na matokea kwa wengine waweze kuipokea. Yabariki na maishA yangu ya ujana nipAte baraka na niwe baraka kwa wengine pia. Na ulinzi wako uwe juu yang na familia ndugu na jamaa kw ujumlaa. Asanteh YESU
Bwana Yesu atukuzwe, naomba Mungu atengeneze ndoa yangu, simamia watoto wangu kwenye malezi mema. Ponya magonjwa kwenye familia. Simamia biashara zangu na kazi yangu.
Eee mwenyezi mungu naomba unilinde Mimi nafamilia yangu naiweka nchi ya Tanzania mikononi mwako Jehova tuepishe na maradhi baba tufunike kwa damu Yako kristo nakemea mapepo,uchawi,uganga,ushirikina katika jina la yesu kristo Alie hai naiweka kazi yangu mikononi mwako ameeeni🙏
Eeeee Mungu wangu unapo gusa wengine naomba na mimi unikumbuke naomba uniguse katika maisha yangu yote nauni funguliwe milango ya baraka 🙏🙌 Eeee Mungu wangu sina msaada mwingine zaidi yako Eee Mungu wangu
God, through this prayer something new is going to happen in my life.🙏🏿🙏🏿... watching from Saudi Arabia,tukumbuke mungu wangu Kwa yote tunayopitia , this country not easy at all 😢🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Nguvu za Giza zinazopambana nami ziharibiweee kwa damu ya YESU. 🔥🔥🔥🔥🔥
Nguvu za Giza zinazopambana nawatoto wangu ziharibiwe kwa damu ya yesu
ameeeeeeee ameeeeeeee
👏🙌🙏🙏🙏🙏 ameeeeeeee ameeeeeeee
EeeeMungu wangu naonba unilinde Mimi nawanangu maaduwi wasifanikiwe kwaubaya wote wako wanaandaa juu yangu piya uwondowe magonjwa yote ndani yangu unipe uzima amen 🙏
Mungu naomba mume mwema nimecoka kuka peke yangu😢
Naomba kuombea watoto namume na wazazi wangu.
Naomba mume mwema
Mm NATAKA nifunguliwe kiuchumi, niongee mkataba mengine KIRAHISI sana na niongezwe mshahara
Mungu ajibu haja ya moyo wako!!!!!!!
Mungu muweza yote, atulinde katika maisha ya ulimwengu wa Vita, tupate mwisho muzuri!!!!!!!
Mungu wangu naomba uwalinde watoto wangu mahali waliko pamoja na ndugu zangu na mamangu. Uwafunke kwa damu yako na mm pia naomba neema yako na kibali chako nikiwa huku inje ya nchi unilinde na unipe afaya nguvu, usiniache bwana
Aaaamen
Amen
Mungu naomba nitetee nipate mtoto
Eee Mungu walinde watoto wetu kazini
nakuomba Eee Mungu
Naomba uponyaji kwa mtoto wangu Devis mutabuzi ambaye amelazwa mlonganzila
Eeh baba uliye juu mbinguni
Naomba yaguse maisha Yangu,gusa familia yangu,gusa watoto wangu, gusa wazazi wangu,kila kilichopotea kwangu naomba nirejeshee, lipangue kila lililopangwa na maadui zangu kwa ajili ya kuniangamiza.waponye wagonjwa waliopo ma hospitalin,bariki wenzangu waliopo safarini wafike salama.fungua milango yangu yote ya mafanikio kupitia jina la yesu kilisto
mungu aikoe familia yangu kiuchumi,kiafya na kiimani
ee mungu wa mbinguni nahitaji unitumie kwa kadri upendavyo kama madhabahu yako,navunja kila hila maagano nliyofanya na shetan
nahitaji mungu nipatie marafiki sahihi
kila kilichochangu na kimeibiwa naenda kukirudisha katika jina la yesu
na vitu vya watu ninavyomilik navirudisha katika jina la yesu
damu ya yesu iliyomwagika msalaban ikaokoe Maisha yangu na kutatua changamoto zangu zote
ninaomba nikiamini katika kristo yesu amina.
Ee Mungu naomba unijarie afya njema mimi na family yangu 🙏🙏naomba unijalie mume mwema atokae kwenye mikono yako Ee
Mwenyenzi Mumgu🙏🙏
Eee mungu naomba unijaliee mme mwema katika maisha yangu , pia unijaliee kifungua njia za mafanikio yangu Amina
Amen
Mary Njau. Kutoka Moshi Mjini. Nashukuru sana
@MarryNgowi Amen 🙏 🙌
Mungu naomba unikumbuke katika kilajambo katika jina la Yesu amen
Namwomba Mungu aniondolee vifungo vyote nilivyo fungwa, magonjwa, mafarakano na ndugu yangu, biashara zangu zilizifungwa zifunguliwe. Mtoto wangu wa kiume aache kunywa pombe . Yesu naomba unisaidie.
Ee mungu naomba ulinzi na ukombozi juu ya familia yangu na watoto wangu.Amen
Eee Mwenyezi Mungu uponye afya zetu, utujalie bwana wokovu unaoleta matunda, ponya miili yetu, ndoto zakutisha Amen
Mungu Nisaidie kwa hbr ya watoto wangu ulevi wizi unmaskini Mungu kwa Damu ya Yesu itukomboe
Naitwa Glory niko Mtwara naomba mniombee nipone marathon yote na uchumi wangu urudi
Nipate afya ya mwili na niinuke kiuchumi Amen
Mungu naomba ulite familia yamgu ,naupaliki kasi yamikono yangu ,na kila maitaji yote iko mbele yangu,
Eeeeh Baba yaguse maisha yangu,gusa familia yangu,gusa watoto wangu,gusa wazazi wangu,fungua kila njia yangu ya mafanikio iliyofungwa,niinue km ulivyowainua mitume yako Baba...Yaguse maisha yangu eeeh Mungu wangu
Naombea. Watoto wangu. Baraka
Naombea MAISHA yangu na uzao wangu kiujumla milango ifunguke ya baraka na ushindi uwe juu yang
Mary tanga
Ninguse baba na watoto wangu
Hitaji langu kwako MUNGU wangu naomba uinua IMANI yangu yangu nikuone wewe peke Yako BWANA nisione vitu Wala watu Amen.
Naombanifanikiwe kwavyashara nakwendakubianza mina
Amen Amen
Mungu tazama magumu ninayoiria
Jina la bwana lipewe sifa
Naomba usiku huu usinipite bwana naomba kupata na mume wangu maana pekeangu siwezi naomba mungu mume wangu aludi
Kwenye maombi ya usiku huu mahitaji yangu namkabizi mume wangu na watoto mbele za mungu pia katika maombi haya liziki na uchumi umekuwa mgumu sana mungu nifungulie milango ya liziki nipe afya njema nijifungue salama Amina
Nafugua vifungo laana za ukoo wangu wote laana za mabibi namababu katika jina la yesu mungu akafaye jia katika mapito yangu.Naamini katika jina la yesu.
Namm mungu naomba niepushe na laaan za ukoo
Naomba njia za KAZI zifunguliwe..in Jesus name Amen
Naamin hiyo kwa Jina la yesu
Mungu naomba nifungulie Milango ya Baraka ktk maisha yangu
nipo garf
Napokea uponyaji mimi na familia yangu kwa jina la yesu kristo 4
Naomba UNIVUSHE kutoka magumu ninayoyapitia,nibadilishie historia ya maisha yangu,wanangu hawasongi mbela kimasomo, usituache an hewani mfalme wa amani,nguvu yako idhihirike sasa tatizo la kichwa changu ulimalize sasa.Mwanfu Sali aache pombe kuanzia sasa.Jovan umfinyange tena na mwenza wangu umtoe ktk magumu ana yoo opitia, nitoe ktk magumu BABA MUNGU unikwamue na kunihuisha upya ,wate de i wangu uwafungie wasinidhuru tena.
Amen Amen Amen
Ok
@@AngeMucouniombeye ni pate kufunguliwa na vifugo mbali mbali vifungo vaceliba umaskini kuangaika na ma mbo mengine yote aksante sana
Mungu nami naomba uguse faili langu baba yapata miaka 10
Nakusikia
Eeh Mungu naomba unifungue katika maisha yangu, nifungulie ktk Elimu, uzao ,nyota, vipaj ,deals na uchumi
Bwana Yesu asufiwe ,naomba Mungu anijalie kiwango changu Cha Imani kikue,Mimi na nyumba yangu yumtumikie Bwana, to unaomba Toba,tunaomba kufunguliwa familia yangu na mama yangu na mdogo wangu tupone,mwanangu atoke kwenye mapooza na Mume wangu kipenzi aache pombe ,naomba binti yangu apate kazi nami Mungu afungue milango yangu na wote wanaoitwa kwa majina yetu wafunguliwe
Nakusikiliza kutoka katesh manyara
Ee mungu naomba usiku huu usipite bila kunigusa katika hitaji langu , naomba wale wote walionidhulumu pesa zangu wanirejeshee bwana,
Mungu naomba Huyu mama aweze kusimamia yeye garama ya iyo passport yangu walipoteza.sasa wanitaka kunidukumu mm na garama ni zao mungu mguse moyo wake .aweze kulipa
Amen 🙏🙏 ubarikiwe mtumishi wa mungu I
Warehemu, na kuwahurumia wenye kulemewa na dhambi,wapate kutubu na kukulejea Mungu wangu.
Mungu naomba nguvu zote za kichawi juu yangu na familia yangu zishindwe katika jina la Yesu. Damu ya Yesu itulinde
Mungu naomba nikiaza kuomba maneno inapotea nanyamaza nisaidie amen
Eee Mungu Nahitaji Ulinzi wako katika Maisha yangu Kazi yangu niliyopata iwe ya kudumu nibariki katika mahusiano yangu yawe ya Amani na furaha na pia mbariki mme wangu Tuishi Katika Hofu ya Mungu na Tuzidi kukujua wewe Tunakataa kila madhabahu za kichawi Zinazotufatilia maisha yetu Utufunike na Damu Yako Milele Nakataa roho ya wasiwasi Na Kutojiamin Ubariki pia familia yangu Tuishi kwa kukujua wewe na kukutegemea wewe MUNGU Navunja kila roho za mauti Zinazotufatilia juu yetu Tulinde Eeh Baba Uliniponitoa ni mbali Baba Heshima na Utukufu ni vyako AMEN
Nasikiliza nikiwa oman
Eee Mungu unikumbuke Mimi kwenye maisha YANGU,wakumbuke watotio wangu kwenye ajira
Nataka mumewangu wangu apende na kuiamini madhabahu ya MUNGU ❤
Nipo chinangali nahitsji ulizi wako
Natala watoto wangu wamwamini mungu siku zamaisha Yao yote
Yesu naomba nifungulie milango ya baraka nifungue kila vifungo vyote nikumbuke ee bwana yesu amina🙏🙏🙏
Amen 🙏🏿
Ubalikiwe mtumishi wa mungu
Tukopamoja Niko Mozambique ni Daniel
Naomba mungu anilinde mimi na watotowangu atufunike Kwa damu yake, naomba mungu anifungulie milango yaridhiki zangu popote zilipofungwa ziachiliwe na mabaya yote yanayopangwa na maadui zangu yasinipate kamwe Kwa jina la Yesu kristo Alie hai 🙏
Tupo pamoja mtumishi wa Mungu,
Naomba maombezi juu ya mdogo wangu Jescka Mlay afunguliye 🙏🏻😭😭
Ee YESU aniondolee roho za kufuatiliwa kwenye ulimwengu wa roho, kuna roho tangu muda naziona MUNGU aniondolee.
Mungu najua unanisikia naomba nipate pesa nilipe and a yamwanangu aenderee na masomo.Nakwamini mungu. Uwezi kuniacha.Nivushe mungu wangu katika haya ninayopitia .Nitendee Eemungu wangu.
Naomba biashara zangu zifunguliwe mafanikio yakipesa nakiroho
Baba katikaa jinaa yesu naombaa nibomue nyumba yangu nijenge nyumba ya kisasa.
Nipatee pesa Kujengaa nyumbaa
Jehova naomba ulinzi wako sehem yangu ya kazi hasa wafanyakazi wenzangu niepushe na mipango mibaya ya muovu shetani
Mungu naomba uponyaji wako
Naomba ompi langu mungu simama namini Kwa yale mumewangu amenifanyia mabaya mungu asimame na mimi 😢🙏🙏
Nipo mtwara nakusikia vizuri
Naomba Mungu anitendee siku ya Leo napitia magumu mengi naomba Mungu anirenemu
@@ShadrackWalter-zt6qsMungu akutete utarud na ushuhuda
Mungu anikumbuke Mimi na familia yangu na uzao wangu tuzid kukua kiimani tuzid kupata nguvu ya maombi zaidi,Mungu azid kunikumbuka ktk maisha yangu,mungu akutane na maisha yangu
Naomba Mungu ashuke ashuhulike na hii familia tunapita pagumu sana na Mume wangu Kwa sababu ya Mama yake
Milango lfunguke Mungu aniondee Kwa ngufu ya kiza.ndoa lfunguliwe Maisha yangu lrudi kawaida
@jwm Mungu kumbuka familia yangu,Naomba watetee watoto wangu katika ndoa ajira elimu ,uponyaji ,usinipite Mwokozi Wangu.
Ninkupata nikiwa DRC mwenyezi mungu akubariki kwa maombi ya usiku
Mungu niondolee na rohoza made ni kwa jina layesu
Amen
Yesu naomba amani ya moyo wangu ,usiniache baba niguse na mm leo
Naomba mungu anipe maisha mengine niweze kumtumikia mungu ipasavyo
Nipo Zanzibar yesu naomba unipe amani ya moyo na hitaji la moyo wangu.ameen
Mungu anipngeze pia mm na family yangu na kuniwezesha katika majaribu ninayo pitia kwa kazi yangu
Naomba kila kilichopotea kirudishwe katika JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO Ameen
Naomba deus kwa mafanikio yeko kwaji layesu
Mungu anayeongea asikie kila maombi ya watu wake, Yeye ni Mungu anaweza na anajua mahitaji yetu uwe na nguvu sana
Sifa mbingi nipo
Dodoma
AMEEN
Mungu nisaidie madui yangu wasinipate biashara yangu naomba ulinzi wako watoto wapate ulinzi wako Baba nifunike kwa damu ya Bwana Yesu Amen
Naomba niombewe watoto wangu na familia yangu kwa ujumla,kufungua milango iliyo fungwa ifunguliwe,kila jambo jema lifunguliwe
Naomba Mungu anifanyie wepesi ni mitihani trh 29 hadi 31. Pia naomba uzima na afya bora mimi na Mume wangu na Uzao wangu na watoto wangu
Naomba kila linalopangwa na maadui lisifanikiwe yote wanayopanga yawarudie wao wenyewe katika JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO Ameen!!
Naomba uponyaji wako yesu Kwa Binti yang
Nipo katesh manyara mungu akulinde mungu akutanglie
Mungu wangu nipe mume naalie sahihi na wewe unakuja mapito yangu🙏🙏🙏
Baba wakumbuke familia yangu wakumbuke watoto wangu walio mashuleni baba mguse mtoto hiyu walkie nirudishia kutoka shule haoni waka hasikii mimi mwenyewe sija lala nimebanwa na pumu baba niponue naomba mume mwema🙏🙏🙏🙏
x
Naomba kila adui anaesimaa kwa ajili ya kuzuia mafanikio yangu apigwe kupitia jina la YESU KRISTO na simama ktk zaburi ya 109.na zaburi ya 35 nimeteswa sana nimepitia mengi sana Mungu anijalie wema wake.pia awakumbuke dada zangu Wawili. Mungu akumbuke sadaka niliyoitoa katika madhabahu hii ya dada angu Rachel Mungu amujibu upesi amina
Mungu naomba utazame watoto wangu na uchumi wa familia yangu. Naomba afya na Amani Mungu nitendee Kwa kadri ya rehema zako
Naomba mungu azidi kunikumbuka
Mwenyezi Mungu atupaye riziki ya kila siku Mungu naomba kusikia sauti yako kila saa.Mungu nimwanminifu utamponya Damaris kwa jina lako kesho atakuja kanisani na utankumbuka kwa matayarisho yote Amani tupiganie
Madeni yalikua na watu nakuachia wewe Mungu utanipigania madeni yangu Ndugu moja tu nachukua hatua kukuachia wewe
Ben yangu na kupenda
Eee mwenyez mungu asante kwa kila jema juu yangu. Naomba rehema na moyo wa uvmlivu pia nipe haja ya moyo wangu na kunipa roho ya maombi zaid
naomba mungu amlinde mtoto wangu alietumboni azaliwe salama na mwenye kibali Cha kuishi
MUNGU awe pamoja nawe ktk jina la yesu kristo alie hai kulinde wewe pamoja na mtoto maana ni zawadi kutoka kwake...
@@josephatchachaeliakim3934 namshukuru Mungu nimejifungua salama jina la BWANA lihimidiwe
Mungu niongezee nguv ya maombi piababa naileta familia yangu uiponye na magonjwa, mikosi, laana, vifungo na umasikini uliokisilikwenye familia
Nisaidie yesu niwapende watu wote.nisiwe nachuki baba yangu.nakuamini Mungu wangu Kwa Jina la yesu.ata walionikosea na naninaowawazia mabaya.nitakase yesu
yesu tenda kweye familia yangu tuponye majgnjwa yote na utuondolee umaskini katika familia yani ubarikiwe kwa maobi yako yesu akukumbuke Amen
Yesu tenda kwenye family yangu. Ushindi wa changamoto zilizopo nipate ushindi kuelekea kuingia kwenye uchumi wangu ukasimame
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 AMINA naamini mungu umejibu maombi yangu
Amina mungu naamini umetenda yote Kwa jina lako takatifu
Nina muombeya shangaziyangu aokoke shanisi
Ee Mwenyezi Mungu naomba unijaze Roho Mtakatifu wako niweze kuombea
Nafunga roho ya umaskini nateketeza kwa damu ya yesu... naomba mungu ubadilishe historia ya maisha yetu nyumbani nimechoka umaskini🙏🙏 nakupenda mungu najuwa utatenda🙏🙏
God is able my dear
Badilisha historia ya maisha yangu nisaidie kutoka kwenye tamaa ya uzinzi na Roho ya madeni na nyumba zangu nizimalize kuzijenga.na huduma yangu karama ya uponyaji na uinjirishaji.nisaidie Yesu hata Kama sistahili ilatu kwaneematu itokayo kwako.
Asante kwa neema yako yote umenitedea na kushukuru Mungu kwa uhai umenipa pokea sifa wewe ni Mungu mkuu unasitahili...
Namwombea mama Jothamu asafiri salama kesho na afike salama nyumbani .roho ya kukataliwa naifuta kwa damu ya Yesu
@@FausterLawrence
Ñipo mbagala
I'm from Australia 🇦🇺 and I am happy to join this channel.
Naomba niamishwe nipelekwe kuishi nje yajimbo na sehemu yajoto
Naomba virijinia Deogratias afanikiwe kupata kazi nzuri namshahara mzuri 30:57
Naomba familia yangu ya mzee Deogratiasi ifanikiwa kuwanakipato na maendeleo
Naomba kakazamgu alistides na godiflei na stivini wafufuke na kujitambua
Naomba shamba la mipain lipate wateja na pesa nzuri YESU sikia maombi yangu
Yesu wangu naomba univushe katika magumu yaliyoko mbele yangu tizama nimekuwa mtu wa madeni Mungu naomba unisaidie sina mtu mwingine wa kumueleza shida zangu isipokuwa ni wewe Bwana usiniache nikaanguka nishike mkono yesu wangu, nimekuwa mtumwa wa madeni Mungu wangu niokoe, tizama maadui wamekuwa wengi wanataka kuniangamiza Mungu naomba unipigie bwana peke yangu siwezi, maisha yangu yamekwama najalibu kwa uwezo wangu lakini nimeshindwa Mungu usiniache moyo wangu unavuka damu Mungu naomba unisaidie
Nipone maradhi sugu
Ninaomba Mungu aniponye magonjwa yangu yote yanayo nisumbua na kunikosesha amani pia Mungu aifungue familia yangu wa mjue Mungu wa kweli
Naomba mungu amponye bibi angu maradhi yanayomsumbua na akawe mzima kwanzia sasa
Naomba mungu uwajalie watoto wangu afya njema nauwajalie katka Masomo yao wakawe vichwa wasiwe mikia
@@EDINAIDDY ninaomba mungu anipe utajiri,ufugaji Kuku mkubwa wenye faida.
@@EDINAIDDY Bwana niponye sukari,Pressure,vidonda vya tumbo.Niunganishe na watu sahihi.
Asante sana Mungu nimeona utukufu wako nimeona unatembea kwangu nisaidie musaidie mtumishi wako ambaye ananiweka karibu na wewe Amen
Amen Amen 👏👏
Nipo lindi mingoyo
Nataka MUNGU AIKUMBUKE FAMILIA YANGU
Mungu akanipe ufahamu wa rohoni
Wafungue watoto wangu wafanikiwe maishani mwao
Namleta binti yangu Sharifa Madhabahuni anashida ya tumbo
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏
Naitwa Elizabeth nipo morogoro naomba mniombee Mungu anirejeshee tena
Kibali nimekuwa nakataliwa popote ninapofanya kazi
Asante Yesu naomba nilete haja zangu Mungu wangu wewe ulieyote katika yote unisaidie imarisha nguvu za Kirkhope changu nikuone wewe kaka yote mema
Shalom Wana wa Mungu Mungu
Naomba MUNGU anipatie Imani maradufu aniamshe usiku kila siku nisali nipate nguvu ya roho mtakatifu ajae ndani yangu 🙏
Anisaidie Mimi na watoto wangu familia yangu haiko sawa
Ndoa yangu inamisuko suko
Uchumi mbaya
Madeni mengi sana
MUNGU wangu nisaidie na univushe salama Amen🙏
Mungu nakuomba nigungulie milango ya balaka nipe muonekano mpya naomba mungu wangu unipe mume mwema na familia bola Naami utatenda amen 🙏🙏🙏🙏
Eeeh Mungu Baba Mwenyezi naomba afya njema mimi na familia yangu tuuone mwKa mwingine kwa kishindo na watu wajue wewe uko pamoja nasi siku zoote na Dunia nzima Ameen❤
Asante bwana YESU ninaomba ukumbuke juu ya familia yangu pamoja na mume wangu
Mwenyezi Mungu naomba unisaidie niweze kutoka humu dipportation niende nikawataftie wazazi wangu na watoto wangu.Msaidie pia na askari anae endesha kesi yangu awe na afya njema na nguvu kesi yangu ifike tamati katika jina la yesu Amina.
Naomba Mungu wangu unapogusa wengine na mm Mungu uniguse ee!! Yesu nmechoka sana nishike kwa mkono wako Mungu
Ee Mungu ,naomba kuniombea Mtumishi wa mungu nipate hela kulipa madeni na niweze kwenda kumwona mamaangu ni mgonjwa kweli maisha yamebana sana ila ni mkono wa Mungu ndiye atakaye tuokoa amen 🙏🏿
Usiku huu wa saa tisa, eee mungu wangu nakuomba uniponye vigo yangu. Na mtoto wangu James, mponye hiyo kifafa mungu wangu🙏🏿.
Naomba Yesu Kristu aniinue na kukua kiroho na kuwa na misuri ya Imani
Ee mungu ulieziumba mbingu na nchi unisamehe Mimi na familia yangu waponye na wagonjwa wote Amina
Nipo morogoro naitwa upendo
BAba katika jina la Yesu Kristo naomba univushe katika kipindi hiki kigumu ninachokipitia.Uchumi wangu ulioibiwa,afya ya familia iliyoibiwa,vibali vyetu vilivyoibiwa .Mungu naomba ukaturejeshee.Amen
Bwana YESU asifiwe Niko kigamboni nami nashiriki maombi ya usiku huu nikiomba Rehema na toba MUNGU akanipe hitaji la moyo wangu natafuta kibali cha kazi kwa muda mrefu nami napokea kazi usiku waleo Amen 🙏
Asante baba kwamaombi uku kwetu Nisaa moja ya usiku nipo marecani asante
Ee Mungu naomba uniinue katika viwango vya juu
Katika malango yangu
Yote.
Mungu kutana namaisha yangu .
Gusa Kila hitaji langu
Afya, uhai, Akili za watoto , uchumi, uduma, yangu
Ee Mungu usinipite
Amujambo mutumishi wa mungu Asante nikopa maleka napenda kufatuli maobi itadi yangu nikuwe muobadi mukubwa nakufanya kazi yangu mungu
Bwana Mungu asifiwe, naomba MUNGU anilinde pamoja na familia yangu nzima myaka idjayo nakutupatiya mwisho muzuri kuliko mwanzi Amen amen amen 🎉🎉🎉❤❤❤😊😊😊
Bwana mungu kwa damu ya mwanao iliyomwagika msalaban kwa ajili yangu. Naomba hitaji yangu rohoni mwangu. Fungua maisha yangu sasa. Ondoa viapo vyangu
Ee mungu mwenye huruma na upendo unayeweza kusamehe naomba uniponye mwili wangu nijisikie vzr pamoja na kichwa
Eee Yesu wangu naombani nione uso wako katika maisha yangu...unitoe katika mateso yote
Ee mungu itaji langu kukomboa uzao wangu wawe watoto wa Baraka tere kuwaepusha na mathira ya Dunia.. Kuombea familiya yangu
Yesu naomba uniondole mgonjwa kwa mdogo wangu naomba wangu ukamponye mdogo wangu usiku huu nimiaka kumi sasa unasumbuliwa
Naomba mungu ufunguu njia za maisha yanguu nifikie ninlolihitajii ,,,kila analopanga adui juu yang rimurudie 🙏🙏🙏🙏amen
Ee Mungu ninakuomba umponye mjukuu wangu aweze kuwa mzima yesu nakutegemea sana kwenye maisha yangu maana watesi wamekuwa wengi mno.
Eeh Baba wa mbinguni unapopita kuwadhulu wengine naomba usinipite babangu.Asante kwasababu unaweza kunifinyanga teena naomba unisamehe nisamehe dhambi zangu baba nivushe na hili ninalolipitia yesu
Eeee mungu mwenye rehema na fazili za milele naomba unihepushe na roho za mafwatilizi katika maish yangu naomba unihepushe na roho za mahangaiko katika maisha yangu yote pia niongoze kwakila atua na mahamuzi yangu nakila nihendapo uniondole roho za fedhea na aibu👏👏👏👏🙌
MUNGU uni saidiye wodowa umasikini Dani ya jama yangu na uzidishe myaka yangu ya kuishi baba yangu ❤❤❤
Naomba maombi kwaajili ya familia yangu mume wangu watiao mungu awafunike pia kwaajili ya baba mkwe wangu ondoa roho ya mafarakano kati yetu na yeye ee mungu wangu naomba maombi kwaajili ya wazaz wangu wakwe zangu na pia afute laana za mababu na mabibi katika jina la yesu mungu sikia maombi haya
Baba nakuomba usiku wa leo unifunturiye baba sema namie baba amen
Ee mungu wangu naomba unisaidie na familia yangu nisikose ufalume wambinguni ju ya mapito ninayo pitia magumu aba duniani, nateseka naugonjwa ambao ieleweki, pia nanyanyaswa haki yangu,nakutalauliwa, naomba baba unikumbuke wakati kama hu mugumu, shidha yaumasikini, naomba unisamehe mahali nimekosa, pia kwa kila jambo ninalofanya unifunglie milango, asante yesu, naomba nifunguliwe ndoto nikiota nikumbuke nionyeshe yote ninaota,mungu wangu nisaidie
Naomba neema na kibali kwenye maisha yangu bila neema ya mungu mm siwezi kupambana vita kwenye ulimwengu wa roho
Mungu wangu inua Imani yangu ikuwe zaidi.naomba Familia yangu yote imjue Mungu.gusa maisha yangu pokea Maombi yetu
Naomba eeh Mungu uwe pamoj na mimi siku zone za maisha yangu Amina❤
Mungu naomba wote wanaokesha na mume wangu wakilewa wakapigwe ktk jina la yesu
Nakuomba Mungu nisahidie kunilejeshea vitu vyote ambayo adui ameniibia Bwana Mungu wangu naamini utanirejesha kupitia jina lako na amini ameni🙏
Mungu naomba nikumbuke katika uzao mwezi huu shuhuda yangu itangazwe na jina langu libadilike na kuwa mama na mume wangu kuwa baba. Amina
Ee Mungu kweli madeni yamenizidi sana eeemungu unisaidie amen 🙏🏿
Amen Bwana mwema kwa mambo makubwa na mazuri anazidi kunitendea ❤❤❤❤❤
Yesu endelea kutuza Imani yangu kwako ktk maisha yangu A GM
Nawaombea wanangu na familia yangu Yote. Mungu atufungulie baraka zake, afungue vifungo vyote vilivyofungwa na ibilisi na kutuacha huru katika jina la Yesu Kristo 🙏🏿
MUNGU naomba hekima na maarif katika kuitenda kazi yako ya utumishi niifanye kwa ajiri ya utukufu wako na iwe na matokea kwa wengine waweze kuipokea. Yabariki na maishA yangu ya ujana nipAte baraka na niwe baraka kwa wengine pia. Na ulinzi wako uwe juu yang na familia ndugu na jamaa kw ujumlaa. Asanteh YESU
Bwana Yesu atukuzwe, naomba Mungu atengeneze ndoa yangu, simamia watoto wangu kwenye malezi mema. Ponya magonjwa kwenye familia. Simamia biashara zangu na kazi yangu.
Eee mwenyezi mungu naomba unilinde Mimi nafamilia yangu
naiweka nchi ya Tanzania mikononi mwako Jehova
tuepishe na maradhi baba tufunike kwa damu Yako kristo
nakemea mapepo,uchawi,uganga,ushirikina katika jina la yesu kristo Alie hai naiweka kazi yangu mikononi mwako ameeeni🙏
daniel kutoka kongo
Napokea kwa unyenyekevu Mkubwa nikisema Imekuwa kwa Jina la Yesu Amen
Naomba Mungu anifungue kutoka kwenye magonjwa yanayonifuatilia kutoka kwenye ukoo wa baba yangu na kutoka kwenye ukoo wa mama yangu
Bwana Yesu asifiwe, Baba naomba uniombee ulinzi kaka KAZI na niwe na moyo WA unyenyekevu, utii, uvumilivu nakupata vizur sanyajuu Moshi Kilimanjaro
Eeeee Mungu wangu unapo gusa wengine naomba na mimi unikumbuke naomba uniguse katika maisha yangu yote nauni funguliwe milango ya baraka 🙏🙌 Eeee Mungu wangu sina msaada mwingine zaidi yako Eee Mungu wangu
Nakuabudu eee Mungu wngu wew ni Yote kwangu Njia zako hazichunguziki Mungu wngu ,matendo yako yanatisha kama nini Yesu wngu🙏🙏🙏🤲
Mungu naomba neema yako kwa maisha yangu eh mungu ni red'je sheye maisha yangu ya maombi🙏🙏🧎
Ee mungu naomba usiniache usiku huu, niponye na kunipa ulinzi na familia yangu