Hi Kanda mi ndio niliaribu ,baba hakujua mpaka leo. Ila Nimekuja kumsalimia mzee wangu nyumbani tunakumbuka utoto wetu Mimi na dada,mdogo wetu haelewi kitu
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu. Niliwaona mara moja nikiwa mwanafunzi Mbeya miaka ya 1990 kwenye mkutano wa Reinhard Bonke mkihudumu pale. Never forget
Nyie ndugu zangu nilikuwa mdogo Sana Kwa bhonke 😭😭😭Ila alipokeaga uponyaji shangazi yangu nyie injiri ya miaka Ile ilikua hot Sana upako ule saiz haupo
Nimefurahii kusikiliza wimbo huu jaman wakat mm n mtoto sana mzee alikuwa anakuja na kanda ya Mwasumbi na mm nilivokuwa naendelea kukua nikuwa nasikiliza sana
Barikiwa sana jamani nahitaji nyimbo za Mtumishi D.Mwasumbi kutoka album ya tatu 1.siku za ajabu 2.vijana 3.utabaki gizani 4.Nashuka bhule kukaja 5.nakadhalika Pia ni album nzuri sana
Though I don't understand this language but am always blessed by this song. This world is not my home, am just passing through seeking a city whose builder and maker is God
2024 gonga like hapa ngusyuka fijo isya inkisu kila ngusyuka abhajubha na bhatata 😭😭
Hi Kanda mi ndio niliaribu ,baba hakujua mpaka leo.
Ila Nimekuja kumsalimia mzee wangu nyumbani tunakumbuka utoto wetu Mimi na dada,mdogo wetu haelewi kitu
Ndagha kyala atutulye
Kumwamini Yesu ni faida❤
Mama kale kangoma na gitaa mweeeh
Ipo siku tutamuona bwana yesu machozi yatakoma mungu awabariki sana
Amen
2024 still hitting
Miaka ya 1990 nikiwa mdogo sana, kila nikiimba hizi nyimbo niliimba kwa machozi sana , ule upako niliokuwa nausikia siwezi simulia
Barikiwa sana
Mbarikiwe sana sana watumishi wa Mungu mmetukumbusha mbali.
Naloli bhandu wa KYALA,tukabhankisu ikii...
Kyala abhasajeghe.
Mtumishi na mwimbaji wangu Bora wa Enzi za ujana wangu Kazi mzuri mtumishi
Ameen,
Utukufu kwa Mungu
Nakumbuka niko darasa la tatu 1987.malika igembe tky
Si wa duniani, tunasafiri tu, tunajiwekea akiba kwa kristo, Malaika ungoja mlangoni pake, ndivyo tusemavyo si wa duniani
Nakumbuka miaka hiyo ulikua unakuja Kyela kwa mchungaji Kasunga kweli ya kale ni dhahabu. Ubarikiwe mtumishi
Hii nyimbo nawakumbuka Marehemu Baba na Mama yangu!!walikua wakiupenda sana
Pole sana 😢 dear
wimbo huu aliupenda sana marehemu baba yangu sana sana ....R.I.P BABA!!
Good song may good God bless you
Utata nu jubha bhatalikepo inkilundilo kya bhelu
Huu wimbo nimeanza kuusikia nna 2yrs kama sikosei,Mungu awabariki sn watumishi wake
Ameen
YESU nkamu gwangu nga gwankisyu iki abhatata angubhaghagha
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu. Niliwaona mara moja nikiwa mwanafunzi Mbeya miaka ya 1990 kwenye mkutano wa Reinhard Bonke mkihudumu pale. Never forget
Ameen,
Mungu akubariki sana.
Nyie ndugu zangu nilikuwa mdogo Sana Kwa bhonke 😭😭😭Ila alipokeaga uponyaji shangazi yangu nyie injiri ya miaka Ile ilikua hot Sana upako ule saiz haupo
Nikimsikiliza Mwasumbi namkumbuka sana baba yangu(R.I.P great man)
Pole,Mungu ni mwema na azidi kukutunza
@@Danielmwasumbi Mke wa mwasumbi c yupo samahan mana comment moja sijaielewa
Maana yake tafadhali
Mungu akukumbuke mtumishi wa
Nimefurahii kusikiliza wimbo huu jaman wakat mm n mtoto sana mzee alikuwa anakuja na kanda ya Mwasumbi na mm nilivokuwa naendelea kukua nikuwa nasikiliza sana
Jaman mbarikiwee
Jesu yesu ugwe ISA nkamungwangu
Oh! my Lord. Nimekumbuka nyumbani jamani hadi machozi dah. Ubarikiwe sana mtumishi🙏
Ameen
Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe
Ameen,Ubarikiwe sana
Ni.muda sasa toka niwaona dodoma natamani tena kuwaona kabla yesu hajarudi naomba mnifahamishe mlipo nije mimi Niko daa
Kwa kweli nimebalikiwa sana mungu awape maisha malefi
Nimekumbuka zamani sana!
Hizi ndio zilikuwa nyimbo siku hizi sarakasi tupu na shetani kaingiza vyake humo jamani mbarikiwe WATUMISHI wa MUNGU
Ameen
Barikiwa
Barikiwa sanaaaaa mchungaji Mwasumbi
😢namkumbuka Baba yangu... Rest in peace dad
Ndaga kyala gwetu
Nabarikiwa sana na kazi zenu, mungu aendelee kuwatunza
Ameen,Mungu akubariki sana
Mbarikiwe sana watumishi wa BWANA.
Mbarikiwe sana huu wimbo wanikumbusha mbaliii
Ulwimbo lununu fijo ongera sana mtumishi wa mugu ujumbe umetukuta mpaka sasa hauchuji
Ameen
Nimeguswa sana😊
Barikiwa Sana baba uu wimbo hakika roho mtakatifu aliimba pamoja nawe
Ameen,
Utukufu kwa Mungu
Jaman Hawa watu aiseee ninawapenda Sana Sana. Waliiimba vizuri sana
Mungu akubariki sana.
Mwezi ujao tutakuwa tunarecord nyimbo nyingine na zitapatikana hapa hapa
Kumbe hizi nyimbo ziko huku RUclips. Mungu awatunze Mr n Mrs Daniel Mwasumbi
Ameen,
Na nyingine zitarecodiwa hivi karibuni
Daaaah... kama namuona marehemu babu yangu.. Nimekumbuka mbali mno, miaka mingi...Be blessed Mr &Mrs Mwasumbi
Ameen
Ndagha fijo
Wimbo mzuri hongera paster
Barikiwa sana
jamani nahitaji nyimbo za Mtumishi D.Mwasumbi kutoka album ya tatu
1.siku za ajabu
2.vijana
3.utabaki gizani
4.Nashuka bhule kukaja
5.nakadhalika
Pia ni album nzuri sana
Mungu akubariki sana,
Tutaendelea kuongeza nyimbo zake mbalimbali hapa,Kadri tunavyo endelea kuwarecord
amina
Mchunga ndagha fijo @@Danielmwasumbi
Though I don't understand this language but am always blessed by this song. This world is not my home, am just passing through seeking a city whose builder and maker is God
Ameen,
Praise to God
Spot on.. Precise transalation of the song... It's Nyakysusa language spoken in Tanzania, City of Mbeya.
mbarikiwe
Mungu azidi kuwatunza.
Ameen
Tupeni lyrics jamani naupenda sana wimbo huu lugha ni shida
Nga ghwa nkisu iki
Ameen
Nga gwa Nkisu iki
Nawapenda mungu awatunze jamani
ingawa siielewi hii lugha mama lakini huu mwimbo huwa unaniweka karibu na Mungu kwa maombi kwa machozi,barikiwa mtumishi
Nabarikiwa sana na huu wimbo,Mungu awabariki Watumishi wa Mungu
Ameen
Mungu akubariki sana baba
Ameen
My father named me Gwandumi
Wow!!!,
How wonderful
Someone translate the song in English please
😭😭😭😭😭😭
😂
0
Nabarikiwa sana na uimbaji wenu wataishi wa MUNGU
Ameen