Asante Upendo Tv kwa kunikutanisha na mwasumbi tena nilimsikia nikiwa nafuta kamasi na leo hii tena nimemsikia nikiwa mama nyimbo zako ni za kipekee ubarikiwe babu kweli umeongea kuwa ukitumika kwa wito kuna faida
Hawa waimbaji waliimba zamani Na upako wa Mungu Sababu walijikatalia dhambi na wakajitoa kwa maombi. Tofauti na waimbaji wa sasa ambao wamelemewa Na dhambi za zinaa na kutafuta uchawi ili nyimbo zao zivutiye watu wawashabikiye lakini hamna wokovu ndani ya nyimbo zile.
amen, ꨄ︎ pretty said i have cried with ts pretty song i have screamed with ts pretty song i have yelled with ts pretty song. i have stomach problems ts eats me. ts cuts me. ts swallows me i am young but still growing i pray ts song helps a broken and lost soul like me ‚that's really hurting a lot whoever reads ts please pray for me in your pretty prayers , ꨄ︎ i pray to heal inside.
Great power and control are all there!.You have a lovely tone to your voice and had great control throughout.All two of you have great vocals, with good control and projection. Lots of potential with superb power.this is what will take us to heaven people.
I can fill the presence of God when i hear that song, Thank you God for The days that you gave your servant to serve you through gospel songs, Let today's gospel singers learn from this man of God. You blessed me, and you are still blessing me once i hear your song.
Mungu atupe kibali Cha kuingia mbinguni.hakika napenda nyimbo hiz zinanibarik saaana
Kuna kitu chatofauti injili,uimbaji unapogusa moja moja kusudi la Yesu Kristo kufa msalabani.Roho wa Mungu hutia nguvu maneno hayo
Ni baraka kubwa ndani ya Kristo Yesu na kusikia nyimbo zilizopakwa mafuta namna hii.
Asante Upendo Tv kwa kunikutanisha na mwasumbi tena nilimsikia nikiwa nafuta kamasi na leo hii tena nimemsikia nikiwa mama nyimbo zako ni za kipekee ubarikiwe babu kweli umeongea kuwa ukitumika kwa wito kuna faida
Waimbaj wasasa ni vema wajifunze kwenu,nyimbo zinaishi miaka mingi bla kuchuuja,walio waMungu tu ndio watanielewa.😍😍
Ameen,
Utukufu kwa Mungu
@@Danielmwasumbi Amina Ubarikiwe sana
Hakika
haswaa
Kweli kabisa
Amen naamuwa kumfat christon yesus kupitia nyimbo hizi naokoka natubuzambi zanguzote na murudi mungu sasa leo AMEN
Amen Amen 🙏 mubarikiwe sana
Pastor nyimbo zako zimenibariki saana kabisa,Mungu akubariki saana
Ooooh alléluia kwa kweli ni Furaha tukimwamini bwana Yesu 🙏
Imana lbanzigamire lmana lzompe nisazire nkiyikorera nkuko bavyeyi
Nimefurahi sana kuwasikia tena ,niliwasikia nikiwa mdogo sana.Nyimbo zenu nzuri sana.
Hizi ndizo nyimbo, za leo zimekuwa kelele mutupu bila uzima wa Mungu ndani.
Upako uliokp kwenye hizi nyimbo no Mungu Tu anajua ,unaweza jikuta unalia peke ako ,
Toka DRCongo nawatakiya baraka za mwenyezi Mungu, ni raha kuendelea kumutumikiya Mungu mpaka miaka ya ukongwe
Ukimwamini MUNGU mungu utaku na furaha mda wite
Babu shikamoo, nawapenda sana .msalmie bibi
Wazazi mungu awabariki saaana ningetamani namimi nizeeke kama nyinyi
This song is full of message from God who is in Heaven.🙏
Hawa waimbaji waliimba zamani Na upako wa Mungu Sababu walijikatalia dhambi na wakajitoa kwa maombi. Tofauti na waimbaji wa sasa ambao wamelemewa Na dhambi za zinaa na kutafuta uchawi ili nyimbo zao zivutiye watu wawashabikiye lakini hamna wokovu ndani ya nyimbo zile.
Baba umenitoa machozi
Nilikuwa nasikiliza kuanzia asubuhi hadi jioni nina miaka kumi na tano enzi hizo saa hii ni bibi. YESU NAKUPENDA HUKUNIACHA
Ameen,
Utukufu kwa Mungu
sijui uwa uko wap
MUNGU awatie.nguvu na mwisho mwema Tanzania na Duniani Kwa ujumla👋🙏🙏🙏
Amen Yesu abahe umugisha
Nishinde duniya
Amenii nyimbo inaujumbe mzuri sana ❤
Mubarikiwe sana
Mungu anisaidiye sana
Aminaaa kubwa
Nataman kumuona Bwana
Mubarikiwe sana watumishi wa Mungu
Mimi wa kwanza ku comment, mubarikiwe sana
Mungu ni mwema sana
Wimbo alioupenda sana marehemu mama yangu mbarikiwe watumishi
Amen
amen, ꨄ︎ pretty said i have cried with ts pretty song i have screamed with ts pretty song i have yelled with ts pretty song. i have stomach problems ts eats me. ts cuts me. ts swallows me i am young but still growing i pray ts song helps a broken and lost soul like me ‚that's really hurting a lot whoever reads ts please pray for me in your pretty prayers , ꨄ︎ i pray to heal inside.
Great power and control are all there!.You have a lovely tone to your voice and had great control throughout.All two of you have great vocals, with good control and projection. Lots of potential with superb power.this is what will take us to heaven people.
Very nice songs
Nyimbo nzuri sauti nzuri
I can fill the presence of God when i hear that song, Thank you God for The days that you gave your servant to serve you through gospel songs, Let today's gospel singers learn from this man of God. You blessed me, and you are still blessing me once i hear your song.
Ameen,
Praise to God
Mungu awape mwisho mzuri nawapenda
Ameen
Amina mina ❤❤❤❤❤❤.
Ooooh hallelujah
Amina, loooh!kweli Amina ,Amina injili halisi naupenda huu mtindo wa kale
Ameen,
Utukufu kwa Mungu
Mungu awabariki sana.
Amen
Amina kabisa
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kila tukisikiliza tunamuona Mungu
Nafurahi kwa hiyo nyimbo ya mafunzo
Ameen
Asanteni wazee wetu wakuigwa
A very meaningful song ,l sult
Nyimbo tu unaokoka
Mungu awabariki sana nawapenda sana 🥰🥰
Mtumishi tunabarikiwa sana na Nyimbo zako.
Amen Amen
Waawww nice song and voice oooo
Amen
Amin
Haleluyaaa
nice song,,watching from East Africa Tanzania
Nikisikiliza miziki kama hii naona kama tayari sasa nimefika mbinguni, ina utukufu Wa ajabu. Love you dady and mamy Bet
Nimeipenda huduma hii
Ameen
Oo, mbarikiwe watumishi was Mungu. Kazi yenu ni njema mnoooo
M'barikiwe wapendwa katika kristo, kwamahubiri yenye upako
Ameen
Amen barikiwa sana kwaujumbe mzuri
Aki Nabarikiwa sana na nyimbo zako Mutumishi wa Mungu. Mungu akubariki sana babaangu
Hongereni kwakweli nawapenda
Mungu aendelee kuwatunza maana nyimbo zenu zinaponya wengi
❤❤❤❤❤🤲Amen
Hallelujah. What a blessed couple singing for the Lord.
Mungu awabariki kwa kazi kubwa ya kupaza injili ya Kristo
Amen
Mmenikumbusha mbali wakati nipo mbeya 1992
Mungu awabariki ,mkaimbe Mbinguni!
Amen
Amen ❤🙏
Amen 😢🙏🕊
Mbeya kanisa liko wapi
Amen
Ameeen