Upakp huu unazidi KILA siku ,Mungu awakumbuke baba na mama kazi hii ni ushuhuda mzito ,hizi nyimbo nasikiliza kwa siku hata mara kumi ,nawapenda sanaaa
Dah,Mungu awabariki na akumbuke utumishi wenu kwa kweli.Niliwaona nikiwa mdogo sana pale Bujesi Tukuyu KKK,mpaka sasa sijabahatika kuwaona ila kupitia mtandao huu nawaona🎉❤💯👏
J'aime cette chanson depuis la Rdc 🇨🇩 from Drc I love this song.
hizo ndio nyimbo za injili leo hii waimbaji wengi ni wasanii hakuna ujumbe unaohubiriwa ni dance tu,nabarikiwa saana na nyimbo za maonyo
what i can say is:GOD BLESS YOU SO MUCH.singing for the lord
Ameni sana mtumishi wa Mungu aliye juu nilazima Yesu ahubiriwe na shetani apigwe kwa jina la YESUKRISTO
Hakika tumaini la wokovu ni Yesu
Mungu anisaidie
Amina 🙌🏽😢🙌🏽
Yaani 😢😢😢😢mm nitakwenda kujibu kwa Mungu ee Bwana Yesu nihurumie mm mtenda dhambi nisafishe kwa damu yako👏👏👏
Amua Leo Kuokoka,Mpokee Yesu moyoni mwako Naye atakusamehe kabisa na kukufanya kiumbe kipya
@@Danielmwasumbi baba huduma yenu iko wpi
Asante Mungu kwa ajili ya hawa watumishi wako.Nimekua nawasikia.
Upakp huu unazidi KILA siku ,Mungu awakumbuke baba na mama kazi hii ni ushuhuda mzito ,hizi nyimbo nasikiliza kwa siku hata mara kumi ,nawapenda sanaaa
Ameen,
Utukufu kwa Mungu
Halléluia Halléluia Mungu hawabariki sana watumishi Wa BWANA Yesu kristo ❤🙌🕊
Mungu ndie mwokozi wetu ni dhahiri kabisa jina lake liwe ndie tiba ya miyoyo yetu
Hizi ni nyimbo zenye uwepo wa mungu
Hizi ni za wokovu sio nyimbo za Sasa kucheza kumezi kulikudi kuliko ujumbe
Utukufu kwa Yesu
Mbarikiwe
Tuwapate wapi waimbaji wenye ufunuo Kama Hawa kwenye nyakati hizi ? Mungu tusaidie
Daaaaah mungu awabariki sana vijana waimbj wa nyimbo za injili wajifunze kutoka kwn nyimbo zinaujumbe yaaaan
Mungu Wa mbinguni awatunze
Ameen
nimeberikiwa sana
Watukujeni msikuye neno la mungu kupitiya wimbo uuuuu
Miaka 35 iliopita, niliimba wimbo huuu kwa Sunday School …Mungu awabariki sana
Ujumbe nzito Sana kwa wakristo barikiweni Sana ba mch na mama mch simameni Sana ktk Imani zenu iwe mfano
Ameen
Aameen aamen jameni mmekua katika roho hio nyimbo imenitoa machozi kwa kweli Mungu awainue Kila iitwapo leo
Oh Neema ya Mungu izidi sana katika maisha yako
Halleluya halleluya halleluya
Yesu.atusaidie
Amen
Amen hallelujah
Kwa kweli mnanikosha mpaka sana mmeendana kwa mengi nyie ni watumishi wa kipekee Mungu awafikishe mbali zaidi
So deeply feeling
Jamani nakumbuka mbali sana.mwasumbi mungu akubari sana pia pole kwa changamoto ulizopitia
Waaaaaaa nimependa barikiweni
Ameen
Mmenikumbusha mbali sana watu wa Mungu.Mama alikuwa anasikiliza sana nilipokuwa mdogo.Mungu awabariki
Barikiwa sana babaangu Nabarikiwa sana na nyimbo zenu.
Ameen
Mungu akubarikini watumishi nyimbo nzuri
Ameen
Unanigusa sana pastor, hongera sana
❤❤❤❤❤
Please this is serious message take it well
Amen
Mungu awabari sana .Ninyi ni mfano wa kuigwa
Jaman kanisa lao liko wp
Mbeya
Duuuu jamn hawana taw dar
Bonjour cher Frère 😢😢
Ubarikiwe Pasteur
Amen
Kweli mmeimba kwa kumaanisha Mungu awabariki
Amen
Mungu baba awabariki sana watumishi wa Mungu
Ameen
Dah,Mungu awabariki na akumbuke utumishi wenu kwa kweli.Niliwaona nikiwa mdogo sana pale Bujesi Tukuyu KKK,mpaka sasa sijabahatika kuwaona ila kupitia mtandao huu nawaona🎉❤💯👏
MUNGU akubariki nakukulinda mzee wetu nyimbo zako sio tu ni nyimbo Bali ni mahubiri
Ameen,
Utukufu kwa Mungu
Que notre Seigneur Jésus-Christ de Nazareth vous comble sa grâce, kazi njema watumishi wa Bwana wetu Yesu Kristo
Ameen,
Utukufu kwa Mungu
Ameen mungu awatunzee
Sankopa MUNGU akutunze Bibi yangu ❤️❤️
Tunaomba album zote za kale mziweke jamani
Ameen
Nawapenda sana,nymbo znanipa kumuhofu Mungu na kumtafuta sana.
Ameen
🙏🙏🙏🙏
I have nothing to say but God protect bless you all. Nivema kumaliza uzee katika Kristo🙏🙏🙏🙏.
Amen
Good songs
Amen watumishi wa Mungu
Ameen
Namfeel MUNGU wa KWELI ndani yangu YESU UTUKUZWE MILELE
Ameen
YESU AWATUNZE WAZAZ WETU
Naomba mtuwwkee album ya Dunia hii ni kama bahari
Nalitaman sana hili kanisa lao hawa imani yao ni ya kimungu kweli hata uimbaj wao ni wa viwango
Naomba no zao za sm
Siku hizi wapo wapi jmn??
Kwel baba
Amen wazee wangu. Mungu awalinde sana
Mungu awabariki sana nyimbo zenu zinanikumbusha miaka ya 1988 kipindi tunakua kule Nonde dah!
Hahahaaa kaka kipindi hicho ulikuwa na umri gani?
@@jamssaligro6134 miaka 8 ndugu
Ooooh Lord Jesus..bless you mama and papa!!!
Ameen
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Amen amen amen!!
Amina
Kwanini uimbi tena mzee wangu?tumekumic sana
Hii video tumemrecord miezi ya Juzi Juzi tu hapa
So lovable .God bless them
Amen
Naomba namba yake
0757000077
@@Danielmwasumbi MAISHA YA IMANI BWANA WANGU
Nabarikiwa na huyu mtumishi naomba
Namba yake
Asante
@@Danielmwasumbi Ahsante
Hivi hawa watumishi wako wapi??
Wapo Mbeya mtu wa Mungu
@@Danielmwasumbinaweza pata iyi nyimbo watumishi wa Mungu
Ninaitaji number y’a uyu baba mwenye iko nayo anitumiye please
Nitafute kwa +255757000077 Ili nikuunganishe Naye