Nina miaka 46 sasa niliusikia wimbo huu kwa mara ya kwanzaa nikiwa na miaka 10 .hapo hapo nikaanza kuwa na ofu ya Mungu ...na kuanza kumtumikia Mungu. Nimebarikiwa sana kupitia wimbo huu
Hatimaye Nimepata huu Mwimbo ,Nilikuwa mdogo baba alikuwa na Kanda zake ,ila ziliharibika,Mzee atafurahi sana kusikia Tena.Naomba namba za Mtumishi Za Halopesa au M pesa
Godbless you my brother in Christ❤️🙏
Nina miaka 46 sasa niliusikia wimbo huu kwa mara ya kwanzaa nikiwa na miaka 10 .hapo hapo nikaanza kuwa na ofu ya Mungu ...na kuanza kumtumikia Mungu. Nimebarikiwa sana kupitia wimbo huu
Mtumishi wa bwana Ananikumbusha mbali Miaka hiyo mbeya mjini.Nyimbo bado zinangusa mihoyo ya watu.
Nyimbo hizi nikama Malaika ambao wanamuabudu Yesu Kristo. Ndugu zangu wakristo Mubarikiwe kupita kiasi
Kitambo sanà ...makambako akiuimba wimbo huu kwenye mkutano miaka ya 90
Natamani siku moja kuingia mji ule mtakatifu.Huu ni wimbo wa rohoni ndani saaana.Eee Yesu nipe neema ya kujua siri zako.
Mungu wetu asifiwe sana Baba Mchungaji pia Na Mama yetu mubarikiwe saaana kwa huduma hii ngumu munaendesha .
Dah Siamini 😢😢Hisia nazopata Najua mwenyewe
Hizo nyimbo hakutunga yeye nimungu zinaupako sana
Mutusaidie na album yote please. Nyimbo kama "Sitaweza peke yangu kutembeya..."
Amena
Izi nyimbo gisi nilizitafutaga 😭😭😭😭😭. Njio tumekola nazo 🇨🇩
Hatimaye Nimepata huu Mwimbo ,Nilikuwa mdogo baba alikuwa na Kanda zake ,ila ziliharibika,Mzee atafurahi sana kusikia Tena.Naomba namba za Mtumishi Za Halopesa au M pesa
Ananikumbusha mbali ,mbali mno.
..
Amen, Nabarikiwa kabisa.
Mungu awabariki sana kwa nyimbo zenu zenye kugusa mioyo ya watu wengi
ananikumbusha mbali
Amen amen amen amen amen
Nyimbo zinakumbusha mbali sana na zinatafakarisha, zina mguso wa kipekee
Ameen
Aisee mko vzr sana
Muchungaji unani kumbusha mwito wangu na Mungu amibariki sana
Ameen,
Mungu akutie nguvu
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🛐❤️❤️❤️❤️❤️
Nice song
Amen🎉
Mwasumbe
Nyimbo za kimbingu
Ameen
Old is gold. Nimekumbuka mengi sana. Mungu awatunze sana watumishi wa Mungu
Emen
❤
0:24 0:25
Dolly and Porter
Amen❤🙏
AMEN
❤