Mkuyu Ulikauka - Mch. Daniel Mwasumbi (Official Music Video).
HTML-код
- Опубликовано: 24 янв 2025
- Watch and hear the message (MKUYU ULIKAUKA),Gospel song by Daniel Mwasumbi.
UNAWEZA KUSIKILIZA NYIMBO ZA EV. DANIEL MWASUMBI KUPITIA LINK HIZI :
Boomplay
www.boomplay.c...
Spotify
open.spotify.c...
Amazo Music
music.amazon.c...
#DanielMwasumbi#MkuyuUlikauka#
Kunanyimbo bado naitafu siipati, ile ya zambi nimbaya zambinimbaya sanaa naipendaga sana
Ooooooh Jésus 🙏🙏nikisikiya hizi wimbo jwa Kweli nadjisikiya kufika mbinguni zina upako sana natamani niolewe na mme mcha Mungu tuwe tunaimba hivi eeeeeeeh Yesu nadjisikiya kuingiya mbinguni na miguu
Nani hapa 2024
Mungu awape miaka mingi ya kuishi, nabarikiwa sana na nyimbo za hawa watumishi wa Mungu, nimependa sana.
Ulikuwa ukimbeba mama ukimuweka madhabahuni ulikuwa utukufu mkubwa mungu awabariki sana eee.yesu fufua kazi yako mokozi
Oooo dodoma kwa mchungaji mhina mtumishi kulola akihubili watumishi hawa waliwasha moto mungu awabariki sana
Hallelujah 🙏 AMEN 🙏
Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki kwa nyimbo zenu nzuri
Ameeen
Mmenikumbusha mbali upako mwingi
Nakumbuka miaka hio nilikua mdogo tuliskiza sana nyimbo hizi waimbaji walikua wachache mbarikiwe sana.
Ameen,
Utukufu kwa Mungu
Barikiwa saaaana mtumishi Kwa ujumbe mzuri Sana 🙏
Nikweli mumenijenga mubalikiwe
Good song ooh my god barikiwa kwa ujumbe mzr
Amen
Niwapendasana watumishi wamungu
Child hood memory stay blessed mwasumbi
Mungu awa bariki sana wazee wangu nime barikiwa sana nanyi
Whaou vraiment ❤❤
Amen Amen 🙏Sharti tuoneshe matunda yamtrndo yetu 😊
Mkuyu ulikauka
Naomba namba pasta mwasumbi jaman
Nitafute kwa 0757000077 Ili nikuunganishe Naye
Mbarikiwe WATUMISHI ws Jehovah kazi yenu sio bure
Ameen
Nikweli imanibilamatendonibule
Asante kwa neno nzuri lina bariki
MUNGU AZIDI KUWATUNZA
Ameen
Mbarikiwe sana Kwa kazi njema watumishi wa Mungu
Barikiwa San mtumishi
Mikutano ya mzee k
Amen
Barikiwa
Aisee nakumbuka mbali Sana Hawa watu walijua kuwika na kuvuma Injili kupitia nyimbo Tena isiyogoshiwa.Mungu awabariki sana mzidi kubarikiwa
Amina sana
Ameeeen
Mungu akubariki mtumishi
Ameen,Ubarikiwe pia
Utukufu kwa Yesu wetu
Good work
Neno la mungu libarikiwe. Pastor mwisumbii, mwimbaji Wa siku nyingi.
Mungu akubariki sana mtumishi.
@@Danielmwasumbi Anakusalimia Mch John Matola wa Mtwara-Newala
@@eagtmakimbiliochato Oh Mungu ambariki sana
@@Danielmwasumbi Mchungaji weka na mahubiri
@@eagtmakimbiliochato Wiki hii nitaanza kuweka kidogo kidogo
Napenda sana nyimbo zao kiukweli nasikilizaga Toka nikiwa mdogo Toka mwaka 2000 nikiwa la kwanza Hadi Leo 2023❤ more love
Oh Mungu akubariki sana na azidi kukutunza
@@Danielmwasumbi asanteni sana mungu awabariki pia nawapenda
Mungu awabariki sana nakumbuka dodoma nawapenda sana injili ilikuwa moto sana
I hope mama na baba Mwasumbi wanasikiliza nyimbo zao pia. Hii ni Habari Njema hasa, tunaihitaji muda huu. Asanteni kwa ukweli huu
Amen
So blessed by this song
Naomba Namba zenu please 🙏
+255757000077
@@Danielmwasumbi
Danieli mwasumbi
🙏🙏
Old is gold
💯♥️👏