Kanisa la Leo - Mr. & Mrs. Daniel Mwasumbi (Official Music Video).

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 73

  • @ProphetDavidruniga.t
    @ProphetDavidruniga.t Месяц назад +2

    Kwakweli mutumishi wa Mungu nyimbo zako zinanifundisha kila ninapo zisikiya zanipa nguvu yakumutumikiya Mungu, Mungu akubariki

  • @EmmaTweve-us2lc
    @EmmaTweve-us2lc 9 месяцев назад +2

    Nimeguswa sana nyimbo hizi mbalikiwe sana

  • @kazembeagnes8708
    @kazembeagnes8708 2 года назад +17

    Nyimbo zenu zinanikumbusha wazazi wangu walipenda sana hizi nyimbo enzi hizo mm mdogo kabisa walipenda kuweka kanda hii, mungu awapumzishe kwa amani wazazi wangu

  • @ImmanueliPatrick
    @ImmanueliPatrick Год назад +2

    Nyimbo hiz mpaka leo bado Zina nguvu ya Mungu ndan take,,sichok kusikiliza

  • @boyleelton
    @boyleelton Год назад +4

    Nakumbuka enzi za utoto wangu ulimfanya baba aghairi njia mbaya na kugeuka Mungu awatunze watumishi wa Bwn

  • @ChristopherYambayamba-w9e
    @ChristopherYambayamba-w9e Месяц назад

    Da kweli ya.kale ni dhahabu mama yangu mariamu lufingo alipenda xana nyimbo ujumbe muzri sana

  • @rogernabugorhe3103
    @rogernabugorhe3103 Год назад +2

    Napenda nyimbo hizi tangu ujana wangu. Mungu awabariki.

  • @lucien-frederickamango7407
    @lucien-frederickamango7407 Год назад +3

    Mungu awabariki mno ! Nakumbuka miaka hiyo nilipokua kwa Sunday School ! Walimuwetu walitufunza mojawapo za nyimbo za Mzee huyu ! Moja wa walimu wangu wamefahamia mbiguni sasa! Mungu awabariki nakuwazidishia ufunuo

  • @AgnessGasto-g9j
    @AgnessGasto-g9j 2 месяца назад

    Wap saiz jaman

  • @furahasadala-is1ph
    @furahasadala-is1ph Месяц назад

    Huwa mnanibariki sana tangu niwasikie mwaka 1996.
    Nakukumbuka sana kaka kitia alikuwa na hii Kanda.Jamani nimejawa na machozi ya furaha.😂

  • @AncyMerci-un2nu
    @AncyMerci-un2nu Год назад +1

    Kwa kweli Mtumishi wa MUNGU mubarikiwe sana hizi nyimbo zinanidjengaga Sana mpaka nahisi nimefika mbinguni

  • @gamamwasumbi3727
    @gamamwasumbi3727 4 месяца назад

    Usisahau usijisahau

  • @Mwinjilistimwakalasya
    @Mwinjilistimwakalasya Год назад +5

    Injili iliyoimbwa kupitia Neno na kweli.
    Mungu awabariki mno. Kanisa la leo.

  • @jiwehaitv3859
    @jiwehaitv3859 3 дня назад

    神宝血🩸保护我们🙏

  • @VitalisLuanda
    @VitalisLuanda Год назад +1

    Kweli maneno yaliomo humu haha mafundisho mazuri Sana.Barikiwa

  • @onestusmwaitula4224
    @onestusmwaitula4224 Год назад +1

    ANabarikiwa sana napenda sana Mungu awabariki

  • @adrophinamwanguse1510
    @adrophinamwanguse1510 11 месяцев назад +1

    Hizi nyimbo zinanikumbusha mama yangu mdogo Bumi mwambegele wakati wa uwai wake alizipenda sana mungu Amulaze mahali pema

  • @johnkalibonamchungaji3082
    @johnkalibonamchungaji3082 Год назад +1

    Huyu mzee amenisaidia sana nikiwa kwenye pito

  • @emmanuelhabuzegato
    @emmanuelhabuzegato Год назад +1

    Nyimbo muzuli sana ziko namafundusho kali

  • @GylaufMpundukanfwa
    @GylaufMpundukanfwa 6 месяцев назад +1

    ❤❤❤ vraiment que Dieu vous bénisse richement , je suis dans la chose🎉

  • @phebyalipoki8795
    @phebyalipoki8795 7 месяцев назад

    ❤❤❤nawapenda sana MUNGU aendelee kuwatunza

  • @AdamMponzi
    @AdamMponzi Год назад

    Nakumbuka mbali Sana kama miaka ya 1998 hiv bibi yangu alikua akizipenda Sana nyimbo za huyu mtu tulikua tukienda kumtembelea maeneo ya Sao hil twiko cku za week end lazima ukute kaweka nyimbo za huyu mtu, kwa Sasa cko nae tena tunian bibi yangu du mungu huyu mwe,,,,,😭😭😭😭😭😭

  • @CitoMukulu-zo9bn
    @CitoMukulu-zo9bn Год назад

    Mungu bwana wetu yesu Criston awa bariki kwakuwa mumeninjenga naiyo nyimbo ya kuishi ni criston

  • @AgnesLuvanda-f1i
    @AgnesLuvanda-f1i 3 дня назад

    Video

    • @AgnesLuvanda-f1i
      @AgnesLuvanda-f1i 3 дня назад

      Umenikubusha sana nilivo kuwa Bado mdogo ubarikiwe sana. Mtumiahi mungu akupe unzima sana sana Kwa wimbo mzuri

  • @GeorgeNGULWA
    @GeorgeNGULWA Год назад

    JAMANI NAWAPENDA SANA HAWA WAZEE BADO WAPO WANAIMBA

  • @IluminataMatuta
    @IluminataMatuta 4 месяца назад

    Mungu awabariki Dana mnanikusha tukuyu enzi izo

  • @modestermwaijande1176
    @modestermwaijande1176 7 месяцев назад

    Watumishi wazuri wa Mungu, watangulizi wa imani. Kazi yenu haikuwa Bure. Mimi binafsi ni matokeo ya injili yenu. Mungu awatunze.

  • @DinaKyahe
    @DinaKyahe 9 месяцев назад +1

    Nimekumbuka mbali jamani,kipindi hicho morogoro ruaha,na redio ya kakangu,tulikuwa tukisikiliza,nyimbo xinaponya hizi

  • @AgnelaJackson-qp6zj
    @AgnelaJackson-qp6zj Год назад

    Mungu awabariki watumishi, nyimbo zenu zinanibarik mno tangu Nikiwa mdogo nawapenda san

  • @atumoses
    @atumoses 11 месяцев назад

    Nakumbuka mbali

  • @luganomwakyusa7697
    @luganomwakyusa7697 9 месяцев назад

    wokovu huu ulikuwa umejitosheleza tofauti na siku hizi

  • @aganzealain6646
    @aganzealain6646 Год назад

    Lungu awape nguv
    u

  • @MartinIldephonse-oh9oh
    @MartinIldephonse-oh9oh Год назад +1

    Yesu atupe Neema. N'a awabariki.hata tupate mwisho MUZURI.

  • @MiragorethLaswai
    @MiragorethLaswai 10 месяцев назад

    Namkumbuka san marehemu mama angu

  • @bernadettemamaraha8270
    @bernadettemamaraha8270 Год назад +1

    Mubarikiwe saaana watumish kwa ujumbe wa kweli ❤

  • @BettyMsongole
    @BettyMsongole 8 месяцев назад

    Ubarikiwe

  • @linusmbwiga-zy2qk
    @linusmbwiga-zy2qk 9 месяцев назад

    huu ndoo ulikuwa vokovu sio huu wa mitume na manabii

  • @GwantwaIsaya
    @GwantwaIsaya 11 месяцев назад

    Ameen Ameen.Asanteni watu wa Mungu mbarikiwe

  • @OscarbeatusMwajombe
    @OscarbeatusMwajombe 10 месяцев назад

    Ameni

  • @YussufSelemani-nl3jz
    @YussufSelemani-nl3jz 10 месяцев назад

    Amen 🙌

  • @estermwakatundu3028
    @estermwakatundu3028 Год назад

    Hakika MUNGU mwema Sana nilikuwa nawapenda Sana mpk Leo nimekuwa nawapenda mbalikiwe Sana🙏🙏

  • @MartinIldephonse-oh9oh
    @MartinIldephonse-oh9oh Год назад

    Mungu ahurumiye watu n'a atupe Neema turudiye kilindini ili tufanye uwakilisho mwema katika nyakati hizi za jioni.tupate mtu wapi leo!

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 Год назад

    Word mission Mungu awabariki Kwa kutuletea watumishi hawa, na hasa ktk kipindi ambacho uimbaji wa injili unaenda mrama

    • @Danielmwasumbi
      @Danielmwasumbi  Год назад +1

      Ameen,
      Tunamtukuza Mungu, pia tunaomba Mungu ainue Waimbaji wengi watakao tumika kwa Roho na kweli katika uimbaji wa nyimbo

  • @amandaangie4806
    @amandaangie4806 Год назад

    Nakumbuka Miaka hiyo Hadi Leo Nawapenda sana

  • @RestidaAbeid-es9xi
    @RestidaAbeid-es9xi Год назад

    Barikiwa sana

  • @deboraernest029
    @deboraernest029 Год назад

    good work, be blessed

  • @mwalubalileandalile4960
    @mwalubalileandalile4960 2 года назад

    Mungu mkubwa

  • @richardamswetyjesus8017
    @richardamswetyjesus8017 Год назад

  • @emmanuelhabuzegato
    @emmanuelhabuzegato Год назад

    Very nice

  • @johnkimea270
    @johnkimea270 2 года назад

    Huu Wimbo umenikumbusha mbali sana ktk maisha yangu ya ujana

  • @ivonymachozi7020
    @ivonymachozi7020 Год назад

    Amen🥺

  • @oumaoduory
    @oumaoduory Год назад

    Good

    • @marykagusa8910
      @marykagusa8910 Год назад

      Jamani mbarikiwe sanaa watu wa Namanyere tunawakumbuka sana baba bethi na mama bethi jamani

  • @stanleyevanda797
    @stanleyevanda797 2 года назад

    Mbarikiwe sana kwa kuihubiri injili

  • @RamazaniSulemani-x5h
    @RamazaniSulemani-x5h Год назад

    Amen

    • @geraldmwankusye2058
      @geraldmwankusye2058 4 месяца назад

      wabalikiwe sana hawa watumishi wa Mungu kwa kua nguzo na mwngozo mzuri kwa nyimbo hizi za kiroho zenye hisia

  • @GeorgetteNzeyimana-fi6ln
    @GeorgetteNzeyimana-fi6ln Год назад

    Amen

  • @tunenebamyava6167
    @tunenebamyava6167 10 месяцев назад

    Amen