Abdukiba feat Alikiba - Kidela (Official Music Video)
HTML-код
- Опубликовано: 31 янв 2025
- Music Video by Abdukiba featuring Alikiba performing KIDELA (Official Release) The Music Video was shot in Dar es salaam,Tanzania Directed by Adam Juma.
Download & Stream on Digital Platfoms!
Audiomack: audiomack.com/...
Connect Abdukiba on:
/ officialabdukibaa
/ officialabdukibaaa
audiomack.com/...
/ abdukiba_tz
Connect with Alikiba on:
/ officialalikiba
/ officialalikiba
/ officialalikiba
audiomack.com/...
+For More Information Booking Abdukiba:
Contact: emailabdukiba@gmail.com
WhatsApp:+255 719 682 342
#Abdukiba #Alikiba #Kidela
© 2019 Kings Music Records Label. All Rights Reserved.
gonga like kwa tuliorud kuskiliza 2025
Nani ambae angali anaskia mpaka 2024
Mm bro
Mimi hapa
Nipo
mm hp
mm naupenda san
Nyimbo zazamani njokali ili ilikuwaka Kali mimi ata ikuwe mu mwaka wa2045 nitakuwa nahi sikiza tu
Any one in 2025 Love from Zanzibar
Muogope Mungu we kidela,2024 bado tupo live
Mwaka ni 2024, Brooklyn Marekani. Ngoni kama hızı hunirudisha nyumbani japokuwa Nipo mbali
2025....who is here wit me. Hi song ni lit❤🎉
Ali kiba Abdu kiba iludisheni bongo fl,tena hii miziki ya leo amapiano upuuzi tu nyie mtabaki kuwa hom besty🔥🔥🔥🔥🔥❤❤
Nyimbo tamu haziiishi hamu kaka wewe piga ngoma tu
Nimeisikiliza sana kidela Leo tue, June 7, 2024 ...
Still here in 2025....hii Dunia si mbaya binadamu ndo wabaya❤
Kutulipa yako mema uliofanya kwetu sinema😂 wangapi wako 2025❤❤
Nyimbo ya Dunia itaishi milele “KIDELA “🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶
Tupo hpa 2025🎉
Saw this on a friend's status nikakuja kutype jeuri ya nini just to listen to the whole vibe and King K's voice❤❤❤❤❤❤❤kwa wengine diamond ndiye simba lakini kwangu Alikiba ndiye mfalme 🎉🎉🎉much love from Kenya ❤❤
Ni mara ya kwanza kuiangalia Leo 2025
I was here January 2025 ...FOR those be alive 2050 ..show love
Duuuh long bro abdukiba
wow naipenda sana hii kazi nipeni likes hapa dada wa kiba
Thanks dadaaa
🙏
🙏
Ila wanazngua bwan watoe mpy
Kazi nzuriiii
Tunaoangalia leo tujuane
2025 bado ni hit song like tuwe pamoja
Bdo nskliza #KIDELA 2024 KING OF MELODY 🎉❤
kidela nooooooma saaaaaaaaana zamani kulikua nyimbo zuri❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤2025
@KIBA SQUARE 🎉❤2024 nskliza KIDELA❤
Muogope Mungu Kidela, 2025 bado tupo live
Kweli kaka hii duniya siyo mbay kaka kiba❤❤❤❤❤
Dunia nimapito I love this song 2023 still together we love you Tanzania from Zambia gabistols that's me
Alikba kwa kaz hii iltakiwa ujengewe sanamu pale dodoma makao makuu ya nchi
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏tunaomuogopa mungu weka like hapa....
Leteni bongo ilivyokuwa enzi hii jamani. Ngoma freshi sana.
Abdulkiba kama uko hai tuma salamu fans wako bado tunakupenda
Dunia mapitoo😮💨😮💨
Kiba² 2024🎉🎉🎉
Kiba wangu jaman❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Muogope Mungu (Kidela)
Dunia n Mapito (Kidela)
Mbele kuchungu (Kidela)
Wee chunga Sanaaaaa
Hii Dunia si mbaya
Binadamu wabaya
Hii Dunia si mbaya
Walimwengu wabaya
❤
Hii nyimbo naipenda ❤❤❤❤
Hii dunia si mbaya, walimwengu wabaya 2024 nchini Kenya
Had came to wtch the full clip from a friends status... great song indeed Alikiba
wimbo bora sana utakumbukwa sana huuu wimbo
kidela bonge la wimbo
It's the reality,,,,all we fear God 🙏🙏 tenda wema nenda zako usingojee maripo
2023 this song still hits ❤❤
Ubabe wa nn hatawe pia umezaliwa🔥🔥🔥
Kings music records kama kawaida mambo yake Safi 💯💯💯
Na hii sikiluza mpenz wangu daaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤️❤️💕💕😍😍😍😍😘😘😘😘😘😘🙏🙏🙏
Nakubali mzee baba 🙌
Kidela 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 mziki unaoishi miaka yote 💪👏🔥
Namkubali sana huyu jamaaa💯💯💯💯💯💯💯💯💯🇹🇿
@@mindirajabu9039 sana yani
Song Kama hizi ndizinadumu kazi mzuri Abdul x Ali from 🇲🇿,11.12.24....00:45hr
Songi hatar tenda wema ewende zako Ngoma kariiiiii wapi like twende pamojaaaaa
Kama una amini *Abdu Kiba* anaiweka Active account yake kwa ajiri ya ngoma mpya Gonga like tusubiri wote 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🇹🇿+🇰🇪
Duniani ni mapito😢😢😢😢tenda wema nenda zako❤
Hit song itaishi❤milele 2024 ❤❤❤
Kings Music Records 💯💯🌍🌏🌎
Ukija mtwara kufany show natak mech n ww fifa 21
Kibekibe umefanya vyema kukumbushia the last hitsong Kidela maana maboya wengi saana wanajisahau
Mungu njo shefu
Abdukiba haisikilikane tena ikoje
Kali sana haiishi hamu hata kama ya kitambo 💯💯💯💯💯
Jeuri ya nini sote tuko chini ya jua😢
Mwijaku shenztype.....
Still banga 2024❤
Founder tz Tanzania to the world 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 founder nambar moja
Yani alikiba kam alijua dunia inakoelekea maan tenda wema nenda zako kwa sasa hakun malipo zaid ya ubay ubwel😢
Nyimbo nzr sana. Ila video mbovu
Hii dunia si mbaya, binadamu ndo wabaya
Haswaa ume nena kwer
De telles chansons me rend foux
❤️🥰🥰❤️❤️🥰 kbs I love your voice and I love the song
For life my brother king 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦💖💖💖💖💖
Kiba kama kibaaah😙jamani toeni nyimbo mpya yapamojaàaa tena nawapenda mnoooooo
❤️❤️❤️
Nairudia mara 20 ndio nikolee ni kina nani tuskiza 2023 ❤❤❤❤penda hii ngoma
Ndiyo Duniya mapito 💖💖💪
Nimekumbuka mbali Sana, kweli Dunia siyo mbaya
Mwogope mungu mbele chungu
Bonge ya ngoma hii kidela
Gonga like hapa wa kwanza kuangalia 2023 #kidela
Yani sasa tunahoooo sasa xuuu
Bien vraiment
Yaani hii ngoma ni mpya everyday banger🔥🔥🔥🔥🔥
Penda Sana huu wimbo❤️❤️
❤❤❤
kaimba 👊👍
Tenda wema nenda zako 🥃🥃🍾
Wasani wanafanya vizuri Tanzania nialikiba na abduli kiba
Naikubar sna hi ngoma
Kidela like it good song✌🙌🙏
nyimbo zina ujumbe mkubwa sana hizi kadili unavoishi utakutana na naya haya ila mengi nikupuuza tu kama bado unatazama ngonga like❤❤
Moja kati ya ngoma ninayo ipenda toka enzi izo hadi mwaka 2080
Uwiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Cool sana kaka Abdul kwaku tukumbusha nyuma kidogo nyimbo nzuri ina ishi
Daaaah sisi binadamu ni waajabua sana nyimbo nzuri kama hii Haina hata view M1 utakuta nyimbo zaajabu sana huko zinazaidi ya view M2 haijalishi wew ni timu Gani tuwape mauwa Yao
Kidela ni 🔥
My favorite song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪one love
Nampenda sana alikiba daaaj
Wangapi walikuwepoo
Chunga Sana
Tunao, Hatunao Tena
Muuogope Mungu. {kidela}.
Duniani mapitooo. {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee chungaaa sana
Muuogope Mungu. {kidela}.
Duniani mapitooo. {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee chunga sana
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Teenda wema uwendeezakooo usingoje malipoo
Hii dunia sio yako woooo woooo. {kidela}
Kuishiii nawe miakaa yoote sisi kama ndugu zaaako
Ukaiaibishaaaa nafsi yakoo woooo wooo {Kidelaa}
Binadam aonekani mwema paka wema wayasemeee mema
Kutulipa yakoo mema uliosema kwetu si mema
Kutusemaa kila koona unayookwenda sisi si wema.
Kuishii nawe miakaa yootee tulichovuna nawe ulivuna
Hii Dunia si mbayaa (kidela)
Walimwengu ndio wabaya (kidela)
Hii Dunia si mbaya (kidela)
Binadam Wabaya
Muuogope mungu. (kidela)
Dunian mapitooo. (kidela)
Mbele kuchunguu (kidela)
We chungaaa sana
Muuogope mungu (kidela)
Duniaa mapitooo (kidela)
Mbele kuchunguu. (kidela)
Weee chungaaa sana
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Jeuuriii Ya nini Soteee tuko chini ya jua
Ubabe wa nini ata wepia umezaliwa
Ungejizaaa mwenyewe. Apo sure
Kijana chunga sana
Kamaaa we Mnyama me Mnyama pia
Zaaa wako Umpangiee sheriaa
Binadam Aonekan mwema Mpaka wema Wayasemee mema
Kutulipa yako Memaa uliofanyaa kwetu Si memaaa
Kuiishi Nawee Miakaa yootee Tulichovuna Nawee ulivuna
Hii Dunia Si mbayaa. {Kidelaa}
Binadamu wabayaaa {kidelaaa}
Hii Duniaa si mbayaa {kidelaa}
Walimwenguu wabaya
Muuogope mungu {kidela}
Dunian mapitooo {kidela}
Mbele kuchunguu {kidela}
Weee chungaaa sana
Muuogope Mungu. {kidela}
Duniaa mapitooo {kidela}
Mbele kuchungu {kidela}
Weee chungaaa sana
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Wangapi walikuwepoo
Atunaooo Atunaoooo tena
Duniaa mapitoo mapitooo woo woo woo.
Dunia yakoo ya moyoniii. Hey
Bebey eh mapitooo woo woo.
Dunia ya mollah aye
Hii. Duniaa si mbayaa {kidelaa}
Walimwenguuu. {Kidelaa}
Hii. Duniaa si mbayaa {kidelaa}
Walimwengu wabaya
Hii Dunia yawenyewe mwenyewe
Si ya Mtu fulan labda fulani.
Duniaa duniaa mapitoo.
Duniaa si mbayaa walimwenguu wabayaa.
Inauma sana kumizwaaa mtimaa.
Inaniuma sana
Kujuaa binadamu waleooo wanavyoishi
Inaumaa sana kubainii utuu.
Chungaa sana single long single noumoo.
{Kidela} Au Sio
Yeah!
What a colaboooo from two blood brothers
Hii kali ya kila siku
Tunaongalia hii nyimbo 2023 gonga like
Noma san jamani 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kings love ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ nice
Dunia si mbaya. Wanadamu wabaya❤
KIDELA wa nyimbo hii ni DIAMOND PLATNUM😁😁, gonga like kama tumeleewana.
No siyo diamond ni TID ukisikiliza verse ya kiba kama we mnyama mimi mnyama pia
What is the meaning of kidela
Brother ulitisha sana
Muje muachie ngoma nyungine wazee. Ali na abdu. Sometym huwa mna-match sana