Asanteni sana tena sana kwa nyimbo zenu/yenu ambao ni nzuri sana kuangalia na kusikiliza kabisa. Mungu Baba mwokozi wetu hawabariki ninyi wote na kuendelea kuimba. Hasa hasa mwaka huu elfu mbili isirini na mmoja. Sasa tuendelee mbele.
Among the best Tanzania Choirs.Tuendelee kumuimbia Mungu kwa nguvu na sauti zetu Mungu awabariki sana wana wa mlipuko wa sifa na kazi nzuri @RAJO PRODUCTIONS.
Mmeimba vizuri Sana kwa hisia na wimbo kweli unaonekana kutoka mioyoni mwenu nawapenda Sana na Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki kwa kazi yenu nzuri tuimbe sote na kuitangaza Imani yetu na tuone ufahari wa sisi kuwa wakatoriki I miss you my country Tanzania
Lala kitoto cha mbingu ongereni sana watumishi wa Bwana kwa maneno ayo yenye kipindi chetu cha krismas Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
dieudonne baguma Mimi pia ni mkongomani sud kivu nilikuwa mwimbaji bukavu muda wa myaka mingi sana kwa iyo napenda kuimba saaana mimi Kwa sasa niko America lakini nachunga muda kidogo tu nianze kuimba kwenye parokya yangu ya Sainta Merry. Mungu akubariki na kubarikiya kwaya hiyi ✌️.
Kwaya za Romani katoriki ni utukufu tosha hakika ii nyimbo kwangu ndio nyimbo bora ya kila Krismasi ya uhai wangu🙏🙏
Asanteni sana tena sana kwa nyimbo zenu/yenu ambao ni nzuri sana kuangalia na kusikiliza kabisa. Mungu Baba mwokozi wetu hawabariki ninyi wote na kuendelea kuimba. Hasa hasa mwaka huu elfu mbili isirini na mmoja. Sasa tuendelee mbele.
Mmebarikiwa sana,, sauti safi,,
Ameeen sinziaaaa kitoto cha mbinguni lalaaa mwana wa Mungu
Jamani naipenda hii nyimbo sana katika maisha nilipitia jamani nifaraja kwangu hii nyimbo❤❤
This was our December set piece at katangi parish,,the song was 👍🥰,,, Tanzania choirs are awesome 🥰I love their songs,,,
Mko vizuri san wanakwaya mmeimba vizr
Navutia na huu wimbo because it is very prettfully song and joyous
I proud to be a Catholic blessing
Among the best Tanzania Choirs.Tuendelee kumuimbia Mungu kwa nguvu na sauti zetu Mungu awabariki sana wana wa mlipuko wa sifa na kazi nzuri @RAJO PRODUCTIONS.
Tumsifu yesu Kristi nimebarikiwa saana na ujumbe wa nyimbo nzuri saana siku ya ngu hakika nasherekea nikiwa na amani mbarikiwa saana
Hongereni kwa kazi hii,,, naomba mmweke na nyimbo ngine za albamu hii ya KITOTO CHA MBINGU.
Mmeimba vizuri Sana kwa hisia na wimbo kweli unaonekana kutoka mioyoni mwenu nawapenda Sana na Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki kwa kazi yenu nzuri tuimbe sote na kuitangaza Imani yetu na tuone ufahari wa sisi kuwa wakatoriki I miss you my country Tanzania
Ila huu wimbo unaishi ndani yangu
Hongera Sana kwa wimbo huu juu umenifanya nijisikie kitoto kimezaliwa moyoni mwangu
Hongereni sana wakatoliki kwa kumshangilia mwokozi wetu
Mko sawa kwa injili
Ahsante mtunzi wa wimbo huu mzuri, ahsanteni pia wanakwaya mmeutendea haki huu wimbo
Krismasi yangu imeanzia hapa❤❤2024
Wimbo haujawahi nikinai Mungu awabariki, natan siku moja nije nishirik nanyi kuimba, from jimbo kuu njombe nawapenda sana
So nice nimeipenda na ninaioeenda mung awabarki San Kwa kuwa na saut za kumsif
Congratulations, May u continue evangelising the gospel through yo beautiful voices,from 🇺🇬
Anaye imba vizuri anasali Mara mbili hakikamnasali marambili mbarikiwe sana.
Hongera Sana mmbarikiwe
Lala kitoto cha mbingu ongereni sana watumishi wa Bwana kwa maneno ayo yenye kipindi chetu cha krismas Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Nyimbo safi kabisa hadi raha najivunia kua mkatoriki halali
ipo vzr saana hiii nyimbo naikubali saana
Aki i personal am very glad to watch this videos thank you am very happy thank may the grace of God bless people of Tanzania Amen.
Kitoto cha mbingu Yesu Kristu uwe nasi. Asante choir Kwa huu wimbo..mtamu kweli
Mnanibariki sana kwa nyimbo zenu. Mungu azidi kuwatia nguvu na akili zaidi, mzidi kuinjilisha kwa nyimbo.
Safi sana Baraka kwenu na wote wanaosikiliza wimbo huu.
Hakika mungu awape uzima na neema ili uinjilishaji usonge mbele daima
Jamani Hii Kwaya Imeimba Vizuri Sana. Mubarikiwe Sana.Mbeya Mmebarikiwa Kwa Vipaji,Muendelee hivyo hivyo kumuimbia Mungu.
Namwona na madam wangu hapo ckujua kumbe anapenda kuimba very nice I like it
Its time again
Favorite song kwa kila kipindi cha Noel
ruclips.net/channel/UCOL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg
Wimbo mzuri sana!!!! unabariki!!!! mungu awabariki
Every Christmas must listen this song
Nabalikiwa sana na wimbo huu
ruclips.net/channel/UCOL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg
Hongereni kwa kutangaza ufalme wa mungu wimbo mzuri sana
Kila Mara napenda kuusikiliza wimbo huu mtamu nakuutaza pia. Grory to god.
ruclips.net/channel/UCOL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg
Lalakitoto chambingu sinzia kitoto chambingu tumepata neema kupitia kwako tumekombolewa tukapata wokovu asanteni kwanyimbo iyi yenye kujenga amina
My mum introduced me to this song and i must admit im addicted 💕its such a beautiful piece glory to God 🙌🙌🙌
Amina Sana mbarikiwe nabarikiwa Sana na nyimbo za kikatoriki.
Hii kwaya ya kimataifa naikubali sana
Nawapata kwa Uzuri kabisa nikiwa Bukavu hapa...
ruclips.net/channel/UCOL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg
Mi ni ugonjwa wangu
Un très bon chant pour méditer Noël.felicitation a la chorale
Hakika naupenda sana huu wimbo nilikuwa napenda kumuimbia mwanangu hatimae akalala moja kwa moja😭
Poleee sanaa dear
Heko kwa huo wimbo mtamu kweli.
ruclips.net/channel/UCOL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg
Mungu awapiganie sana na heri ya mwaka Mpya pia
lala mwana wamungu malaika wa mbingu watakuja kukusujudia hongeleni kwa kuinjilisha kwa njia ya uimbaji
🎉🎉 am feeling blessed to my world of God
Nabarikiwa sana na nyimbo hizi
Sinzia sinzia kitoto malaika wa mbingu watakutunzia ,wimbo mzr
Sweet voices like angels in heaven, hongereni
25 Dec 2019 hakika mfalme wa ulimwengu kazaliwa Mungu pamoja nasi lala kitoto Cha mbingu
Feliz navidad mi amigos me teamo Catholics songs
Mko vizuri wanakwaya wenzangu mungu awatangurie
Wimbo mzuri Sana mungu awabariki Sana na hongeleni sana
Sichoki kuusikiliza na kuutazama
Mbeya nyumbani raha
sauti kama malaika mbarikiwe sana. lalakitoto cha mbinguni
kuimba ni kusifu mara mbili hongeren sana kwa uimbaji bora
Mungu ni mwema azidi kutulinda na kututunza. Amina!
kilawakati nimwema mkuu
Huu wimbo hunibariki sana.Mungu awazidishie neema zake.nawapenda kwa sana
wimbo mtamu sana na hususani sauti ya nne
Mmeutendea haki San huu wimbo huwa sichoki kuuangalia
hongereni mungu awa tie nguvuu
Mko vizuri najivunia kuwa mkatoliki
Nmebarikiwa sana na wimbo huu hongeren saaaanaa kuimba n kusali mara mbili nawapenda sanaaa
ruclips.net/channel/UCOL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg
Yesu ni mwema
Wimbo tamu sana
This song made my Christmas eve
Ni wimbo pekee chaguo langu killa ifikapo Noeli..
ruclips.net/channel/UCOL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg
Nakubali Sana nyimbo zenu
Najisikia AAMANI sana kuwa ROMAN CATHOLIC,,,,,,,, AMANI SANA KWETU RC
Nimebariiwa Sana na wimbo huu hakika wanajohn Paul 2mnatikisa dunia
jamani katoriki tupo vizuri wimbo huu ni utukufu mkuu ,nafurahi saana mmeimba vizuri saana.Endeleeni hivyo.Amina.
Mgreth Kanyonga nawapenda sana mwalimu mbogoye tumekumis vjana wako WA salasala
Mungu awabariki sana mpo vizuri sana
Fidelis tarimo pole njoo kigoma kajaa tele anashusha tu Mawe mpaka raha
Harmonize
Hongeleni sana wanakwaya na mngu azidi kuwabariki
Hongeren Sana jaman mmeimba vzr Sana ...... love you Yuda Thadei mbeya
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
ruclips.net/channel/UCOL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg
nafurahi saaana na wimbo huu. Mimi ngelipenda kupata NOTI yake. Mimi ni mkongomani, mwalimu wa nyimbo
dieudonne baguma Mimi pia ni mkongomani sud kivu nilikuwa mwimbaji bukavu muda wa myaka mingi sana kwa iyo napenda kuimba saaana mimi Kwa sasa niko America lakini nachunga muda kidogo tu nianze kuimba kwenye parokya yangu ya Sainta Merry. Mungu akubariki na kubarikiya kwaya hiyi ✌️.
ruclips.net/channel/UCOL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg
Unaupata swahilimusicnotes
Zipo kaka
@@catholic-n9bTreeirywoueyueeriywuuioiyuuyyiwirytueoyerrieetyuuyryryywet
Nafulahi sana kusikia wimbo mzuli Mungu awabaliki
Waooo lala mwaya yesu wangu
hongeren saana wapendwa ktk kristo kuitangaza injili
Mungu asifiwe milele
Kwakwel nyimbo ni nzur xan nimezipenda
Tumsifu Yesu Kristo.....,utukufu wake Mungu
Mbalikiw San
This song is so wonderfully, whenever i feel like listening to choir this song is one of my favorite.
what a beautiful song for baby Jesus. Being blessed from kenya
wimbo mzuri sana unabariki
Nabarikiwa kila cku kwa utume wenu mzuri
Najivunia kuwa mkatoliki.....hongereni wanakwaya wimbo mzuriiiii
ruclips.net/channel/UCOL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg
Lovely soong
Wimbo wenye tafakari nzuri nawaombea BARAKA za mungu ziwe juu yenu
Nyimbo nzuri sanaa
Hongereni Sana wanakwaya
Jamani nmependa uimbaji wenu ckuwa na hela tu ningenunua CD yenu kanisani Leo mungu azidi kuwabariki
kwakweli hongereni kwa utume wenu mzuri mungu azidi kuwabark.
Kazi nzuri sana
asanteni sana....wapendwa one day nikifika mbeya ntawatembelea nimebarikiwa sana tu
nimevitiwa na uimbaji na sauti nzuri.