A great song. Can't escape the angelic voice of Annastacia Muema. Keep the God given talent skyrocketing. God bless Ray, Lawrence, the Choir and Rajo Productions. Always praying for you guys.🙏
Kazi nzuri sana bro, hongera sana bro Ray, hongera sana Rajo Production. Kazi nzuri kiasi waweza hisi upo mbinguni, unawasikia malaika wakiimba😋😋😋. Mungu +atubariki sote.
This is just amazing...looking at the faces have met before doing the best moves with such a soul touching smiles;for sure this is the right timing of the song.
Please support: www.patreon.com/user?u=77044884
aiseee nyie jamaaa mnajuaa Sana.Mungu awabariki Hadi mshangae
u have our support 💯🙏🙏
Anastacia muema, Ray ufunguo and you Mr kameja nawapenda sana 🥰🥰 mungu azidi kuwajalia nguvu na afya njema mzidi kueneza injili.
Good music!🥰
Hongera kwa waimbaji wote waliofanikisha hii video!👏👏
Longlive Rajo productions!!!🤗
Amen Anastacia, Hongera pia kwa sauti nzuri...
Tunaeza pata aje nyimbo zako tiktok my dear ,nazopenda sana av been looking for them but sijaipata moja
A sua voz é super doce! Não parei de escutar esta música. A partir do Brasil.
Congrats Tano,ray very astonishing
@@dimitriaugustotchantchalam6168 thankyou so much🙏
Barikiwa sana rajo production one love
Lovely voice barikiwa sana
Safi mkuu....
Hongera mkubwa,,
Doing great job.
❤🇷🇼
Hallelujah mbalikiwe mnajitoa Sana'a katika kazi ya mung atazid kuwalinda na sio hapo tu mtazidi kumtukuza mung
Nimefulahiya nyimbo zenu. Ni tamu sana.
Jamani kawimbo katamu Hadi raha jamani mbarikiwe kwa kutuinjilisha
Uzidi kubarikiwa Enerica
Nakupenda sana kwaya hii nabarikiwa nanyimbozenu.
Hongereni kwa kazi nzury
Asante sana
Another 💥💥💥aki tutembelee nasi pia st. Patrick's utawala
Asante sana Megimeg... Tutakuja ukitualika.
Hongereni kwa kumuimbia Mungu natamani siku 1 nami nionekane nikimsifu Mungu
You did a good job Imana mushobora vyose ugukomeze Kandi Ubuntu bwayo buyishitse kure peee
Hongereni sana hakika amezaliwa, mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri😘
Ujumbe na, uimbaji safi sana hakika mmeugusa moyo wangu. Barikiwa sana🙏🙏🤔
Tamu na maridadi sana.. baraka tele kwenu
Asante sana Francis
Kumbe kuna Wimbo mtamu huku wa Noeli na mko Kimya....😃
Aleluya Aleluya Amezaliwa Mwokozi Mkombozi wa Dunia.
Hahahhaaa. Arnold ubarikiwe sana
Anold, umenifanya nicheke
Nimebarikiwa kwa wimbo mzuri wa Noeli
Naomba mawasiliano yako Ray ufunguo kuna kwaya inahitaji iwasiliane na ww ili uwatungie wimbo warekodi..🙏🙏
👏🥀 Hongereniii sana kwa wimbo mzuriii 🥀 Mungu azidi kuwabariki daima 🥀👏
This choir have outdone themselves. Amazing piece...
TYK,wimbo mzuri unabariki,hongereni kwa sauti nzuri,,lkn mavazi jamani kwa Dada zangu hapo ni mafupi mno
It's always the Alto for me. Proud to be part of this beautiful FAMILY.
May God Bless you
I love this song hongera wanakwaya pamoja na rajo production 🙏
Weuweeeheee Shangwreeeeee Wimbo mtamu sana.Ray ufunguo kazi nzuri hii
Asante sana Winfrida...Ubarikiwe sana
It's the alto for me 😍😍😍
Hongereni nyote mlishiriki 🔥🔥
Asante sana Trizah.. The Alto...
@@rajopro karibu. Nimenogewa sana.
Swafi kabisa
A great song. Can't escape the angelic voice of Annastacia Muema. Keep the God given talent skyrocketing. God bless Ray, Lawrence, the Choir and Rajo Productions. Always praying for you guys.🙏
Be Blessed
Mwenyezi Mungu aendelee kukuza kipaji chenu cha uimbaji. Mbarikiwe sana.
Barikiwe wimbo mzr hakika amezaliwa
Wimbo zuri Sana wana kwaya wenzangu
Doo!! Kweli nikipaji kazi nzuri sana sichoki kusikiliza saut zenu
Kaka mungu akubariki Santa na mm natamani Sana kuwa muimbaji ❤❤❤❤
Sincirely speaking, your songs are much encouraging, I will never loose hope,nice songs,naomba mutunge zingine mingi.
Wimbo mwema. Mwalimu mogendi nakuona
Raha sana kuwa mkatoliki
Mbarikiwe katika utume uliotukuka
Hongereni Muema na wenzako,kazi nzuri.Ningependa lakini...
Tatizo mnatubaniaga nota sana nota rajo
Kazi kwao wenye vigugumizi
Hongera rajo production ,,,,
Usiku Wa manane kazaliwa mwana Wa Maria Noeli , Noeli aleluya shangwe kweli kweli Kwa Yesu ni Raha waimbaji mko vizuri sauti nzuri.
Hongereni sana kazi yenu naikubali sana na pia Nina ndoto za kufika katika studio huko mliko
Kwa kazi hizi mzuri mnazozifanya mungu atawalipeni
I'm glad to be here again
Safi sana nawakubali sana ukifatilia RUclips Chanel yenu utagundua mm ni mfatiliaji wa kazi zenu
Hakika mnaimba kama Mbingu ipo pembezoni yetu .nimefurahi Hadi chozi na furaha nikahisi .barikiweni mno kwa ubunifu huu
Amezaliwa kweli kweli Tumshangilie kwa sauti nzuri kama hizi
Asant sana ley.mungu baba awabariki
That's my parish..wow,aour lady of Guadalupe parish Adams😊
Asanteni Sana kwa wimbo mzuri uliosheheni ujumbe wakuzaliwa kwake Masihi wetu Yesu Kristo.
Shukrani sana Davis
Kazi nzuri sana hongereni wanakwaya..Ray ufunguo kazi nzuri sana..Mungu akuzidishie..
Hongereni kwa utume wapendwa
Asante kwa kazi njema y kuriubiri neno kupitia nyimbo
Hongerani kwa wimbo mnzuri
kazi nzuri sana hongera wanakwaya
Eeiish Baraka za Noeli
Barikiwa sana Cecilia
Waaaa.hii imeweza.mbarikiwe sana mnapo mwimbia mungu
Asante sana kweri wimbo muzuri
Kazi Safi wapendwa👏👏❤️
Merry Christmas!
Ubarikiwe sana Mercy
@@rajopro thank you!
May good God bless rajo production together with our lady of Guadalupe be blessed guys kwa kazi nzuri ya uinjilishaji
Amen. Be Blessed
Wimbo Bora kabisa kwa wakati sahihi sanaàaa.....hongereni sana kwa wimbo Bora kabisaaa
Ubarikiwe sana
Congrats ni kazi nzuri
Asante sana Jackline
aaaaaaaaaweeeeeeeeeeeeee😍😍😍😍😍😍😍 kigongo kikaliiiiii na bado cha motoooo🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶,Noeli njema kwa woteeeeeeee.
Asante sana Faustina
bass naskia perfect,
though mimi ni Tenor,
but bass imeweza
Asante sana George.. Bass tunawakilisha
Yeah mmbariwe sana ipo sawa.
Barikiwa Rajo
Ray Ufunguo nakuamini na moyo wangu wote,ebana pongesi kwako
Asante sana Ndayihaya
Nice song congratulations.
Safi sana. Hongera mtunzi, hongereni waimbaji. Mbarikiwe sana!!
wimbo wangu pendwa wa noeli
Ray kazi nzuri
Asante sana Jack. Ubarikiwe sana
Ray Ufunguo hapo tu kwa your dancing style ❤️🤣🤣🤣, I love this❤️🤩
Hahahahahaaa, Asante Philis, Ni kuenjoy tu.....
Congratulation kameja and anastanzia muema
Mungu awabariki, awapatie akili na hekima ili mtangaze Enjili kwa wimbo
Asante sana Fosques
Utunzi bora kabisa, uimbaji bora, production bora,...yaani, wimbo bora! Hongereni!
Asante sana Murimi. Ubarikiwe sana
My choir back in those days. Congratulations team led by Tr. Robert. You inspire me always mwalimu
🎉🎉hakika nabarikiwa na wimbo huu.❤ Hakika amezaliwa
Nimekosa Cha kusema kwani niviwango vya juuu Sana baba Ray unasauti na unacheza vizuri
Shukrani sana. Heri ya Xmass
Kazi Safi wakuu..merry Christmas
Great kenyan & Tanzanian combination!!
Yes yes. Ubarikiwe sana
Kazi nzuri sana nakukubali sana kakaangu kwa kazi nzuri shabiki yako sana,nimebarikiwa
Asante sana Revania. Mungu azidi kukubariki
Christmas imefika tena... Listening to these sweet voices is a blessing
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️Rajo Production hujawah kosea😘😘😘
Asante sana Mumy Hendry
Wow .....senior tech👏👏👏👏
Kazi nzuri sana bro, hongera sana bro Ray, hongera sana Rajo Production. Kazi nzuri kiasi waweza hisi upo mbinguni, unawasikia malaika wakiimba😋😋😋. Mungu +atubariki sote.
Shukrani sana Raphael. Ubarikiwe sana kaka
Hongera sana wana rajo production kwa juhudi zenu, Mungu awazidishie baraka
Ubarikiwe sana Wambua
Man of the match #Rajoproduction
Kanaflow tena vizuri saana
Thank you Ayub
Hongereni saaana rajo,mmeutendea haki huu wimbo
Asante sana Magreth
Kazi safi👌👌
Asante sana Irene. Ubarikiwe
Mbarikiwe sana Rajo production ❤️♥️ mnanibariki sana
Good music, energy, smiling faces everything on point...💥💥💥
I really love this ❤️❤️❤️, kazi njema sana 🤗
Hongereni watumishi wa Mungu.. Kazi nzurii mnoo.. Nawatakia sherehe njema ya Noel.. Mbarikiwe na Bwana
Amina sana. Barikiwe sana
I'm here after i saw short clip from a friends status kibet thank you for the link this is just pure awesomeness.
Ooh. Thank you Mercie. Be Blessed
Hongera .. Nina furaha sana kuwa umeitikia wito wa kuimba na waimbaji kutoka nche zingine.... Kazi mzuri sana...
This is just amazing...looking at the faces have met before doing the best moves with such a soul touching smiles;for sure this is the right timing of the song.
Thank you John. Ubarikiwe sana
One good one
Aluso i see you
Thank you Elizabeth
Hongera sana nyimbo zenu nzuri
Asante sana Eliminata
Kaka umetishaaaaa kitu bado cha moto
Barikiwa sana Carlos
Wow such a lovely song..with beautiful voices🥰🥰🙏🙏
Be blessed Samantha
Noeli amezaliwa kweli kweli, beautiful song
Barikiwa sana
Great music. Rajo iko juu 👏👏👏
Thank you Dingii... May God Bless you.
Umetisha mkuu, safi sana
Merry Christmass mkuu