Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Mimi naitaji Mariamu naishi musumbiji nimufanya biashara mudogo uwa tuna fichwa Siri za china lakini kupitia aya matangazo munikosha moyo naitaji namba za sm ya apo tanzania
Sio kweli bwana...Mdogo wake tu Salaah kazaliwa kabla ya hapo ndo GSM awe wa 86...Ana mtoto mkubwa ambaye anaonekana yuko kwenye late 20s halafu ye awe wa 86....@@Santzmedia
Bug up sana GSM mungu akulinde na maadui,uwe na afya njema,pia kwa yanga sisemi
Naomba kujua tofauti ya hery said na gsm
Rojestiki
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
walokole awakoseakanI
Hamna kitu bongo movie
umekosea Umri wake
Tuambie! Kwenye Comment hp?
Achaga uwongo silent ocean haimilikiwi na GSM
Inamilikiwa na Nani Kwasasa?🤐
Siku ya yanga day kunamtu alituambia kuwa GSM ni mdogo kuliko moo .. Sisi tulikataa leo ndio nathibitisha
😂
Turner Summit
Ndio nashangaa GSM awe na miaka 38 uwongo kumkisia basi Ana miaka 47 musitudanganye iwe mm amenipita kwa miaka miwili duh
ni sahihi hata wikipedia wanaonesha hivyo labda kama alitoa info siyo sawa
Cyo mwenyekit wa yanga
Ninani?
Jamani kila mukuta coment zangu uta kuta na omba namba za compini ya usafishaji yani silent ocean
Ukiwa unamaana gani?
Mimi naitaji Mariamu naishi musumbiji nimufanya biashara mudogo uwa tuna fichwa Siri za china lakini kupitia aya matangazo munikosha moyo naitaji namba za sm ya apo tanzania
Wewe Jamaa mwongo sana. Yani GSM kazaliwa 1986?
Unataka kusema amezaliwa mwaka gani?
Hata Mimi nimeshangaa huo mwaka, Ina maana ni mdogo kuliko mo, au mwandishi hujui
Mtu anaonekana kabisa Mzee afu 86 jamaa mwongo sana
Hapo kwenye mwaka Nina mashaka😂
😂😂 Tena ni muongoooo nno
Acha kuwadanganya
Sawa wapee ukweli wewe 😅
Kazaliw 86?
Mbona unashangaa?!
@@Santzmedia sio kweli
Sio kweli bwana...Mdogo wake tu Salaah kazaliwa kabla ya hapo ndo GSM awe wa 86...Ana mtoto mkubwa ambaye anaonekana yuko kwenye late 20s halafu ye awe wa 86....@@Santzmedia
Uyu mtangazaji Bogus kabsa
Hana Shida gan?
@@Santzmedia kuna vitu vingi aviko sawa kwenye i story ya GSM
Acha uongo wewe
Njoo na ukweli tufahamu ndugu!?