NIPENI MASAA 48 NITAAMUA NINI CHAKUFANYA - MBOWE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 80

  • @MarryMwamwezi
    @MarryMwamwezi 3 часа назад +2

    Mboww una pesa. Una maisha yako mazuri shida nini. Kwa hiyo wewe ni wakuzeekda kwenye uongozi. Acha kaka. Achia waingie wengine😊

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 18 часов назад +9

    Mbowe ndugu yangu kimbia kabisa.Usijiingize kwenye mashindano na chizi.Heshima yako na hekima pia uzalendo wako ni mhimu.Usishindane na huyo.msaliti Leo keshatuma ujumbe dunia nzima ubalozini kuwaeleza mipango yake yote .Na uongo wote.Hatari. Rudi CCM.usione aibu🎉🎉❤

  • @IsmailOmarDahir
    @IsmailOmarDahir 14 часов назад +6

    Kamanda pasua anga pipoo tuchangmke kazi imeanza

  • @FrankMombo
    @FrankMombo 18 часов назад +11

    Zingatia kauli hii "NIKIONA CHAMA CHANGU KINAENDELEA KWENDA KUZAMISHWA "😂🏃

    • @Sostere98
      @Sostere98 18 часов назад +1

      Mtu akisema nchi yangu anamaanisha nn?

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario 17 часов назад +3

      Tuache ushamba na roho mbaya kusema chama changu sio shida mbona?

    • @JosephMilinga-nl4zh
      @JosephMilinga-nl4zh 14 часов назад

      ​@@ManswetKimarioSituka toka usingizini,kwa kauli iyo mzee hataki kuachia kiti

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario 12 часов назад

      @JosephMilinga-nl4zh ataachia tu kiti mi mwenyewe nataka mabadiliko yaanzie kwao yaani ndani ya chadema Lisu anatosha!

    • @FrankMombo
      @FrankMombo 12 часов назад

      @@ManswetKimario punguza makasiriko ndugu, upo gizan Bado nenda na alama za nyakati.... tatizo ukabila nako 🤓🏃

  • @lifeonearth94
    @lifeonearth94 4 часа назад +1

    Mbowe kala sana hella za watu, kwanza anavyoona yeye hicho chama ni chake na sio cha wananchi

  • @robertmigabe8721
    @robertmigabe8721 14 часов назад +5

    Achia ngaz acha tamaa uongozi wa mabavu ulishaa pitwaa na wakati acha watu wajenge chama miaka yote uko kwenye uongoz hujafanya mabadiliko yoyte yale

    • @MarryMwamwezi
      @MarryMwamwezi 3 часа назад

      Mbowe pumzika kaka pumzika Mzee wangu. Pumzika

  • @lifeonearth94
    @lifeonearth94 4 часа назад +1

    Mbowe kala sana hella za Chama, atueleze kwanza hella zote anazopata Chadema zinaenda wapi

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 14 часов назад +2

    Kapumzike ndio heshima na busara,na ndio upendo yangu kwako

  • @PriscaNnko-x4i
    @PriscaNnko-x4i 7 часов назад +2

    Kwa hki mkichokifanya iwe kiki ama syo,umeonyesha uoga,na udhaifu,ety mpk ushawishiwe kuchukua fomu?????😮😮😮😮

    • @ismailjuma6185
      @ismailjuma6185 Час назад

      Watanzania tuwe makini kusikiliza hoja mwenyekiti anasema anaangalia mwenendo wa kampeni kama chama kinaendelea kuzamishwa ataiingia mzigoni means chama kimesha anza kuzama daaaah 😂😂😂 na kwakauli zake inatosha tuu kusema lazima atachukua form.

  • @JAPHETJOSEPH-b6e
    @JAPHETJOSEPH-b6e 13 часов назад +2

    Mbowe pumzika,,,,itakuwa heshima kwako .

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
    @yahyamajidyahyahilalal-har8762 6 часов назад +1

    Mwenyekiti wa saccos 😂😂

  • @Wastara001
    @Wastara001 5 часов назад +1

    Kimekuwa "chama changu" badala ya chama chetu

  • @JohannesMtung
    @JohannesMtung 3 часа назад

    Mboewe oyeeee

  • @majidimussa8678
    @majidimussa8678 14 часов назад +4

    Machawa wamekalishwa

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 13 часов назад +1

    Kama unajiamini kwa lisu chukua fom. Kama ulimpokea sasa kaota mapembe anataka akuongoze wewe unasema wewe fara? Chadema pamechangamka

  • @MohamediAlly-t4q
    @MohamediAlly-t4q 18 часов назад +5

    Nikiona chama changu kinaenda kuzamishwa naingia mzigoni , Achia kwa heshima bwa utaaibika

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario 17 часов назад +2

      Jamani kwani akisema chama changu kuna shida? Tusiwe hivyo hata ww unaweza sema dini yangu

    • @JosephMilinga-nl4zh
      @JosephMilinga-nl4zh 14 часов назад

      ​@@ManswetKimarioNawe tumia akili kuchakata tahalifa unayoisikia,usiwe mzito kuelewa jambo

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario 13 часов назад

      @@JosephMilinga-nl4zh sawa, ni swala la muda tu

  • @BabuallyAbdul
    @BabuallyAbdul 17 часов назад +2

    Wengi wanamkosoa Mbowe kusema "Chama changu" hii ni kauri ya kawaida sana sio ya kumsema mtu.kauli hii angeisema mwanachama wa kawaida wala isingekua story! Yote kwa Yote Pameanza kuchangamka

  • @Abasi-ej9qw
    @Abasi-ej9qw 17 часов назад +5

    Mboe tafadhali tupishe

  • @mayanmlingwa4250
    @mayanmlingwa4250 13 часов назад +2

    Tapeli wa kisiasa

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Час назад

    Chama changu kinazamishwa😅

  • @majidimussa8678
    @majidimussa8678 14 часов назад +2

    Jifunze kwa zito miaka yote hy

  • @jamilamuhammedtanzanian8129
    @jamilamuhammedtanzanian8129 17 часов назад +2

    😂😂😂😂 etichama chako😊

  • @Petermunema-p1m
    @Petermunema-p1m 2 часа назад

    Umeongea kweli chama ni chakwako maana ni cha wachaga

  • @MarryMwamwezi
    @MarryMwamwezi 3 часа назад

    Kaandaa wanachama .eti wamemfuata. Mbowe akili nyingi mmno😊

  • @NoelChambo
    @NoelChambo 33 минуты назад

    Chadema inapasuka rasmi

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 18 часов назад +1

    Haaa mbowe pumzika mbowe jamani mbowe pumuzika kwa amani Chama ya mbowe oyeee watoto wa mbowe ndio maana mimi vyama vyote nchii hii njaa tupu jamani hatuna vyama vya upinzani ni njaa tu

  • @magesachilimila1104
    @magesachilimila1104 15 часов назад +1

    "Nikiona chama changu kinaelekea kuzamishwa, kamanda naingia kazini." Pigia mstati "chama changu"!

    • @JosephMilinga-nl4zh
      @JosephMilinga-nl4zh 14 часов назад

      Wewe sasa ndiye uliye mwelewa kamanda,kifupi mbowe ataki kuachia nafasi

  • @NelsonElias-i9z
    @NelsonElias-i9z 18 часов назад

    Jamann mbowe uxijali wote mko pamoja

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 17 часов назад

    Nyie mmeshafeli toka hapa nilikua nawaamini

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 Час назад

    Mhe Mbowe pumzika tu Muachie Lissu aongoze

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 13 часов назад

    Tunaambiwa cdm ni sacos, sio buree kuna manufaa unapata, nakumbbuk uligombea urahis hukuwa na watu

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 13 часов назад

    Acha vitisho ,chukua fomu mgombee Ili mpate mgombea aliyechavuliwa ,c ndio demokrasia acha vitisho

  • @idawakisambivi7747
    @idawakisambivi7747 16 часов назад

    Mwamba anaonyesha anahasira sana, Lissu kamtibua nyongo.😂😂

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 13 часов назад

    Ukiacha kuvhukua fom umemwogopa lisu babake

  • @mabulamsabula3125
    @mabulamsabula3125 2 часа назад

    leave others to lead.

  • @akaumbo9433
    @akaumbo9433 6 часов назад

    Tundu Lissu amewashika pabaya

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 16 часов назад

    Kumbe chama ni mbowe 😂

  • @musamshema7838
    @musamshema7838 14 часов назад

    Sasa chama nichangu kisha unambie niondoke kwenye nafasi ya mwenyekiti
    Sikia hiyo kauli neno CHAMACHANGU

  • @GloryTheodory-e6w
    @GloryTheodory-e6w 15 часов назад

    Cham chako kweli unapotea mbowe

  • @evelina9621
    @evelina9621 18 часов назад +1

    Mmnakupenda.majenga.chama.ww.na.lisu.kupokezana.jambo.jemahawa.watuwasichonganishe.

  • @pagarekhan7311
    @pagarekhan7311 18 часов назад +1

    Pameanza kuchangamka sasa

  • @VailethFute-i1t
    @VailethFute-i1t 16 часов назад

    Mbowe muhuni tuu anataka kutumia kiki kwamba wananchi wamemlazimisha lkni misingi ya demokrasia haizingatii mapenzi ya mashabiki kashafanya makubwa Sasa ni muda wa kuruhusu akili mpya kujenga Kuta za chama

  • @BonyMayunga
    @BonyMayunga 18 часов назад +1

    Mzeee acha umugabe huwa unajinadi kuwa chadema ni chama cha watu wote kwanini usisitafu umuachie lisu aendeleze mapambano

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 18 часов назад

    😂😂😂😂😂watu wapo kazin sasa

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 16 часов назад

    Naomba mbowe wewe ni mtu wa ekima busara naomba Tena ngatuka ubaki kuwa na kura ya turufu na mzee wa chama na wakusanye wazee na bodi ya uzamini wa chama ili ukijenge mwachie lissu na lissu punguza maneno kwa mwenyekiti tambua uyo ni kaka Yako kisiasa na ni msaada wako ata ukiwa mwenyekiti usiwape maadui zenu la kusema na kuwasimanga

  • @kiluiWanguvu
    @kiluiWanguvu 14 часов назад

    Mtu mlafi kama huyu nimuongo sana kwani anazuga uenyekiti ndio amelenga aache pesa subutu mpaka afie ktk kiti cha uenyekiti

    • @Happynesi-d4k
      @Happynesi-d4k 13 часов назад

      Unafikiri Ana njaa kama ww unateseka ee

  • @Muhammedually
    @Muhammedually 18 часов назад +1

    Kumbe chama chako hee

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 13 часов назад

    Mbowe fanya vitu vyako

  • @memoryngambi7570
    @memoryngambi7570 17 часов назад

    Kwanini mgombane wao kwa wao?Nabii Lolinga alishasema kuhusu mpasuko wa vyama ,yameshaanza kutimia.

    • @davidmpiluka5224
      @davidmpiluka5224 3 часа назад

      Kiongozi safi kabisa hawezi kuwasikiliza sana chawa wake ili kufanya uamuzi.
      Anatakiwa kujitathmini yeye mwenyewe na kuchukua uamuzi mzuri zaidi kulingana na mazingira ya wakati ule.

  • @vedanismtv1892
    @vedanismtv1892 17 часов назад

    MWAMBA KABISA.... MITANO TENA

  • @bongo39
    @bongo39 17 часов назад +1

    Kunja ngumi mkuu ngumi haikunjiki

  • @NebatiMgute
    @NebatiMgute 12 часов назад

    Huna jipya Toka uko

  • @NjauMaster
    @NjauMaster 16 часов назад

    Hukuja kutafutia watu kula ngangana mkuu

  • @bminawandu
    @bminawandu 18 часов назад +2

    Pumzka na wwe unakua kama Mugabe sasa

    • @T_Darius
      @T_Darius 17 часов назад

      😅😅😅

  • @bongo39
    @bongo39 17 часов назад

    😂😂😂