Unasema ukweli sheikhe mwaipopo m.mungu akulinde,maneno aliyo sema gwajima ni uchochezi kama angesema kiislamu hivi ss angekuwa gerezani.tena angeambiwa gaidi.lazma gwajima achunguzwe sana
Mwapopo we chizi kweli, hata hujui kama umetengwa na waislam unaropoka tu, eti unasema kwanin Gwajima unatembe na magari mazuri wakati Yesu alikua hana, sasa huo ni upungufu wa akili, sasa wewe mtume wako hajasoma kwann wewee umesoma? Acha ujinga wewe ume mshindwa Sule utamuweeeza Gwajima poyoyo weeewe.
Kweli mm namfatilia sana na nimegundua hilo. Utasikia siogopi mtu siogopi kitu nina Mungu lkn chanjo ya corona imemfedhehesha anaiogopa kuliko Mungu. Mana Mungu anamuasi kwa kuwafundisha watu ushirikina/kumkufuru hali yakua anajua kumpa (mtto na mke).
Mwizi wew usipotubu utajuta umepoteza watu wengi Kam sio mwanasiasa unatafuta nini unachuki ya kidini potelea mbali umvumilie wewe Kama Nani na unaweza kufanya nini askofu ngwajima usimchokoze unaona wivu na usimuingize Bwana Yesu kwenye ujinga wako
ni kweli kabisa ngwajima anachuki zake binafsi.muislamu atakae msapoti ngwajima huyo sio muislam ni kafiri.huo ndio ukweli.ngwajima anachuki sana na uislamu
Kaeleweka vzur tu mwaipopo ila sis hatuping uadui wa gwajima dhidi ya uislam lkin na kwa kipengele hichi mwaipopo hajaongea la maana kwani hakuna asie jua ubaya wa chanjo hizi
ngwajima sio mzima.anaogopa kukosa wafuasi kwani hali yake ni mbaya sasa.lazima apiganie ulaji wake.unasema kweli sheikh wangu.tunakupenda sana kwa ajili ya ALLAH SW.Ngwajima chizi tunashamzoea
Yy ndio kajivua nguo mwenyewe alipofanya machafu camera ikatembea watu wameshuhudia. Hana jipya. Udini na chuki kuwachukia waisilamu lkn hatuwezi kivyovyote.
Wakristo hawa wa Tanzania kwa muda mrefu wamekua watu wa kuwapenda sana wazungu na walikua wanawaona wazungu ni wamaana sana mara ooh utasikia hawa wafadhili wetu wanatupa misaada na mzungu uyo ndio amewaletea hilo li dini la yesu leo tena mzungu amekua mbaya anataka kuwaua waafrica ni mambo ya ajabu sana.
@@godwinkileo7702 😂😂😂😂 Kwani Uhuru Kenyatta, Yower Museven, Joe Baden Nk ni Waislamu au ni Makafiri/wakristo Wenzio? Jonson jonson💉 je? Jpm mwenyewe corona imemuondoa kwa kukaidi kwake Waziri Wa Afya Doroth Gwajima aliyethibitisha chanjo je ni wa dini gani?
Wewe haukuwa mchungaji wakweli ila ulikuwa unatumia mafuta yaupako ambaya hata sasa unayatumia kuwauzia waislam we endelea kupotosha watu mshaharawako unakuja
Wewe ndio unaoleta udini..... Mbona mnakuwa Waoga sana mnapoona Muislam anatoa hoja yake katika jamii wakati tunaona maaskofu KARIBU WOTE wako kwenye siasa? Acheni uoga huo. Na sisi itabidi masheikh wetu waanze kugombea ubunge kama nyinyi maana tunaona wachingaji wengi tu ni Wabunge na wakeingia sana kwenye siasa. Bahati yenu Serikali Ina miliki. Bakwata ambayo ni chombo kinacho wakandamiza Sauti ya Waislam. Lakini Waislam wameshaanza kujua hiyo na Sasa wanaanza kukimbia... Tutaingia kwenye siasa kama mlivyoishaingia nyie. ACHA DOUBLE STANDARD.
Mm na naona shekhe wetu hayo ss waislam haifai kuyaongelea mtaanza ugomvi kwasababu yote hayo kayamaliza mufti Jana kayaweka hadharani msiyapeleke kwenye uisilamu jamani
Mwaipopo tambua ngwajima ni mbunge na ni msomi kuliko ww hujui chochote kaa kimya sa kama unabisha beba familia yako kaichanje kwendraaaa, unatafta kiki kwa watu maalufu
Hao ni Waislam jina na wengi wao hawana tofauti na Makuffar. Uislam sio tu Kwa sababu Wazazi wanaitwa Waislam Bali you earned it. Waislam in millions wanataka hiyo vaccine Kwa ajili ya kwenda kuhiji Makkah na business trips Kwa wale wafanya biashara. COVID 19 vaccine ni a world order. It may be not important Kwa akina Gwajima Bali Kwa wengine ni necessary! Makelele meeeeengi tunayo wakati hatuwezi hata kutengeneza sindano. We are contributing nothing in global affairs pamoja maendeleo yako chini ya miguu yetu. Just kulalamika and doing nothing. Sisi tunaongoza Kwa misikiti, makanisa na witchcrafts tu..... Hawa African Wasomi lazima na baadhi ya Mapadta wajiangalia na kujisikia haibu na kulalamika kwao. They need to do something instead of bitching every day. They do nothing.
@@hamidudongo1879 unaweza ukakubali kupokea chapa ya mnyama kisa eti unataka kwenda kuhiji! jamani someni quran na bibilia vzr mambo yaliyo tabiriwa yametimia msixhukulie mazoea tumia akili za kuzaliwa.
Mwaipopo Wacha kututia aibu waislam hata sisi waislam tunajua uadui wa gwajima dhidi ya waislam lakini hapo hajatetea waislam wala wakristo kazungumzia madhara ya chanjo ambayo hata sis tunaipinga.
muubiri usi sahau kuwa viongozi wa serekali zetu za kiafrica wana thamini mada raka kuliko kuliko wata waliwa ujikaze uwe una tumia maneno ya busara unapo shauria wenzako
@@fadhilikawambwa5159 Asalam aleikum ndugu yangu,Allah amejaliya uuma huu kitabo na akaiweka sawa haya hii ya kuwa hakuileta hii Koran ila kwa watu wenye kufikiriya ili tupate kuongoka.kidogo Cheikh mwaipopo kwa hili anajidhalilisha vile ameliingilia Jambo bila elimu na maneno ya ufundi kwa huu mchakato mzima wa covid19,kitu amefanya amekuja juu na jazba zidi ya Dr gwajima kwakuzua chuki.maada hapa ni gwajima na canjo,mwaipopo kasema hana elm na ma swala covid na canjo,automatically ni kama mgambo kumnyamazisha amir jeshi general mzima.platform ya gwajima ni kwa Tanzania yote kwa ujumla,lakini Cheikh wetu niaka ka channel kwa you tube ndo basi unafikiri Sheikh atamunyazisha gwajima?sisi wote tupate faida kwa kukumbushana hadith maarufu sana ya mtume s.a.w akimueleza Abu hureira nakumwambiya katika zamu yake kwa kulinda hazina ya waisilam,yakuwa system below na mwizi na ikawa hivyo alivyo ambiwa,siku ya pili yake akaulizwa na mtume,akasema vile kulienda ,na mtume s.a.w hata Leo atarudi kukuibiya,na ikawa hivyo,na kulivyokucha Abu hureira akaulizwa tena na jawabu tu ile ya siku ya kwanza,mtume akamuambiya kuwa mwizi wake atarudi tena,na ikawa hivyoabu hureira akawa ngumu siku akaambiya mwizi wake ya kuwa atamfikisha kwa mtume,ila akamuacha kwa kumpa siri na ukubwa wa hayat kursiyu,habari ikamfiya mtume,na mtume s.a.w akasema alivyo kuamkiya ni kweli na yule alikuwa shetani mwenyewe.sote hapa tupate faida na hatari zidi ya canjo na elm ya covid 19 vile gwajima amejaribu kutufikishiya .ku canjwa ni hiyari ila inaeza kuwa ni lazima,uko tayari?
Ndiovyounavyojua uislam ni dini yamajini tatizo unasubili kusomewa maandiko unaposema dini yakislam ni ya majini ivi unajua yesu au issa. Alikua mwislam
Sheikh wacha kukulupuka sio kila jambo lazima ulitolee neno weye baki kwenye aqida za dinn tu haya mambo ya Uvico achana nayo kabisa waachie wajuzi waliobobea km kina gwajima watiririke, unasema serikali iko na wataalam waliobobea wataalamu wepi ss waliopewaga papai na fenesi wakaja na majibu ya kwamba vinakorona
Hapa umechemka kumbuka huyo ni pastor na ni mbunge kwa hyo ww unatafuta kick lakini chanjo sio salama kwa watu huo ndio ukweli kama marekani kwenyewe wanaikataaa ww nani? Hata ukisema msikitini utajisemea mwenyewe msimamo tushaupata kutoka kwa mashekhe kuwa chanjo ni haramu. Hyo ni alama ya shetani
Mmesha zoea kuona viongozi wooooote wa Kikristo wamejiingiza kwenye siasa miaka yote hiyo na masheikh kukaa kimya? Bahati yenu Bakwata inamikikiwa na Serikali. Acheni uwoga wa Kikafili huo. Nani amempa haqqi Gwajima kuongea siasa na kumnyima Sheikh Mwaipopo? ACHA uwoga huo na double standard.
,we mwanga tu mpaa usiku mwizi wa vitabu vya watu unaongea ka mtu kumbe kima ww umekimbia ukristo umeenda kuwaibia waislam wa watu jibu tuhuma ya kukopi kitabu cha watu mjinga ww sura ngumuuuuuu ka gaid
Wee jamaa ni ndezi kweli unajipendekeza tu jibu hoja za gwajima kuhusu chanjo acha kusema kwajima hapendi uislam. Sas serikal ukiwa ni zulma aisiikosoe?
Gwajima ambaye ndio mtume wako ana hizo Clips za matusi akitomba kondoo zake. Kila mtu anajua. Weee Kafiri uliye Laaniwa na Mungu hauumizi watu vichwa Ni Nani amempa haqqi Gwajima kuongea siasa na kumnyima Sheikh Mwaipopo kufanya hayo hayo??
Mwaipopo usiwe na haraka ya kujibu kila hoja au maoni jifunze kufikiria Kwanza.hubiri dini wewe sio mwanasiasa dk.Gwajima ni mtumishi na mwanasiasa,hueleweki umelewa mitandao na kulopokalopoka.akili ufanye kazi
Nyi Mikafiri mna taabu sana. Nani amempa haqqi ya Gwajima & viongozi wa Kikristo kusema lolote la kisiasa na jamii wakati amemzuia Sheikh Mwaipopo kufanya hayo hayo?? Viongozi wametawala kwenye siasa ya Kitanzania pamoja masheikh wamekalishwa chini. Tutaanza na sisi masheikh wetu waingie kwenye siasa pia kwani nyinyi wenzetu mnafanya hivyo for years... ACHA uwoga huo na double standard.
Yaaaaap. Na Dr. Sulle ameacha kwani bila ya Sheikh Mwaipopo angeendelea. Nani amempa haqqi Gwajima kuongea siasa na kumnyima Sheikh Mwaipopo kufanya hayo hayo??
,we mwanga tu mpaa usiku mwizi wa vitabu vya watu unaongea ka mtu kumbe kima ww umekimbia ukristo umeenda kuwaibia waislam wa watu jibu tuhuma ya kukopi kitabu cha watu mjinga ww sura ngumuuuuuu ka gaid
Unasema ukweli sheikhe mwaipopo m.mungu akulinde,maneno aliyo sema gwajima ni uchochezi kama angesema kiislamu hivi ss angekuwa gerezani.tena angeambiwa gaidi.lazma gwajima achunguzwe sana
ni kweli kabisa.ngwajima anachuki sana na uislamu.chuki yake ni mama tu kwa kuwa ni muislamu.hana lolote bwege huyo
Nakuelewa sana mtumishi wa Mungu.
Mwaipopo njaa inakusumbua Kama unaungana na mm gonga like
Mwapopo we chizi kweli, hata hujui kama umetengwa na waislam unaropoka tu, eti unasema kwanin Gwajima unatembe na magari mazuri wakati Yesu alikua hana, sasa huo ni upungufu wa akili, sasa wewe mtume wako hajasoma kwann wewee umesoma? Acha ujinga wewe ume mshindwa Sule utamuweeeza Gwajima poyoyo weeewe.
@@godwinkileo7702 hakuna Msomi zaidi ya Mtume Muhammad SwalahAllaahu Alayhi Wa Salaam na hatokei hadi kiyama
Yesu alisoma Shule gani?
@@godwinkileo7702 hatujamtenga kabisa, Tupo pamoja na mwaipopo. Pitia comment utaona.
Mwacheni mwaipopo atapike nyongo katika watu wanachuki na uislam ni gwajima.
Kweli mm namfatilia sana na nimegundua hilo. Utasikia siogopi mtu siogopi kitu nina Mungu lkn chanjo ya corona imemfedhehesha anaiogopa kuliko Mungu. Mana Mungu anamuasi kwa kuwafundisha watu ushirikina/kumkufuru hali yakua anajua kumpa (mtto na mke).
Mwizi wew usipotubu utajuta umepoteza watu wengi Kam sio mwanasiasa unatafuta nini unachuki ya kidini potelea mbali umvumilie wewe Kama Nani na unaweza kufanya nini askofu ngwajima usimchokoze unaona wivu na usimuingize Bwana Yesu kwenye ujinga wako
ni kweli kabisa ngwajima anachuki zake binafsi.muislamu atakae msapoti ngwajima huyo sio muislam ni kafiri.huo ndio ukweli.ngwajima anachuki sana na uislamu
@@alhamdulillah5796 kweli kabisa
@@prochesernest5439 mwizi kakuibia mkeo.mwizi huyo ngwajima wako anawaibia masikini wawatu.
Acha kujipendekeza Mwaipopo siasa huiwezi
Mhh tatizo kujipendekeza kutatupeleka kubaya
wewe je unajipendekeaza kwa ngajima
Sheikh wangu mimi uwa nakukubali sana lakini kwa hili la chanjo aupo sahihi
Chanjo kwakweli sio nzuri
Shida wew huja muelewa shekh mwaipopo
Kaeleweka vzur tu mwaipopo ila sis hatuping uadui wa gwajima dhidi ya uislam lkin na kwa kipengele hichi mwaipopo hajaongea la maana kwani hakuna asie jua ubaya wa chanjo hizi
ngwajima sio mzima.anaogopa kukosa wafuasi kwani hali yake ni mbaya sasa.lazima apiganie ulaji wake.unasema kweli sheikh wangu.tunakupenda sana kwa ajili ya ALLAH SW.Ngwajima chizi tunashamzoea
Gwajima nikweli aliusema vibaya UISLAM hilo nijuu yake. Lakini kwenye suala la corona yupo sahihi kabisa shekh wangu
we ni dr unafiki.usahihi wake uko wapi
Shukran, haya kachanjwe ili uende hija
Wasiotaka kuchanjwa kama mm wekaliki tujuane
IWE HIARI AMA LAZIMA LKN SIAMINI CHANJO YOYOTE MPAKASASA.
@@abdulbogoyo1243 ujitambui hapo ulipo ushachanjwa chanjo zaidi ya tano.na chale juu
Wewe vipi achana na gwajima ukimshambulia gwajima atakuvua nguo wewe pambana na maisha yako
Yy ndio kajivua nguo mwenyewe alipofanya machafu camera ikatembea watu wameshuhudia. Hana jipya. Udini na chuki kuwachukia waisilamu lkn hatuwezi kivyovyote.
Pesaaa pesaaaa pesaaaa
Kweli shekhe
Wakristo hawa wa Tanzania kwa muda mrefu wamekua watu wa kuwapenda sana wazungu na walikua wanawaona wazungu ni wamaana sana mara ooh utasikia hawa wafadhili wetu wanatupa misaada na mzungu uyo ndio amewaletea hilo li dini la yesu leo tena mzungu amekua mbaya anataka kuwaua waafrica ni mambo ya ajabu sana.
Kwahiyo Samia mkristo au, maana Magufuli ali kataa chanjo Samia kaikubali sasa nani anawapenda wazungu.
@@godwinkileo7702 😂😂😂😂
Kwani Uhuru Kenyatta, Yower Museven, Joe Baden Nk ni Waislamu au ni Makafiri/wakristo Wenzio?
Jonson jonson💉 je?
Jpm mwenyewe corona imemuondoa kwa kukaidi kwake Waziri Wa Afya Doroth Gwajima aliyethibitisha chanjo je ni wa dini gani?
Ni kweli shekh onge ukweli
Wallah sina hata cha kusema nimebaki kucheka
Ni mnafiki basi hans maana ni heri afe
Wewe haukuwa mchungaji wakweli ila ulikuwa unatumia mafuta yaupako ambaya hata sasa unayatumia kuwauzia waislam
we endelea kupotosha watu mshaharawako unakuja
chizi wewe
@@fadhilikawambwa5159
matusiyako hayawezi kunifanya nihache kusema ukweli kwa maana nyinyi mmefunikwa wimbi la giza
@@mossesjovenari9457 chizi tusi.ni sifa hiyo
Swsw .hao hawataki kuongozwa na Mzanzibari .saiv maneno yamekuwa mengi kila mmoja anajifanya msemaji
Mm Niko Mozambique,lakini adi Apo majini ya Muhammad yanaanza kukusumbuwa,,chuki iyo ndani ya moyo wako,askof gwajima mwacha usinguse,utahumia
Acha udini kwenye siasa
Wewe ndio unaoleta udini..... Mbona mnakuwa Waoga sana mnapoona Muislam anatoa hoja yake katika jamii wakati tunaona maaskofu KARIBU WOTE wako kwenye siasa? Acheni uoga huo.
Na sisi itabidi masheikh wetu waanze kugombea ubunge kama nyinyi maana tunaona wachingaji wengi tu ni Wabunge na wakeingia sana kwenye siasa. Bahati yenu Serikali Ina miliki. Bakwata ambayo ni chombo kinacho wakandamiza Sauti ya Waislam. Lakini Waislam wameshaanza kujua hiyo na Sasa wanaanza kukimbia... Tutaingia kwenye siasa kama mlivyoishaingia nyie.
ACHA DOUBLE STANDARD.
Alafu acha wivu na kumdhalilisha mwenzako katika imani
Halafu we mjingasana kumbe
Gwajima ni mchawi na anatembea na watoto wadogo
Daaa tumefik uku eti yesu alikuwa maskin angeoa mwanamke angemlaza wap uilsam ni tatzo
Nini msimamo wako kwenye chanjo shekhe sijaelewa
Mm na naona shekhe wetu hayo ss waislam haifai kuyaongelea mtaanza ugomvi kwasababu yote hayo kayamaliza mufti Jana kayaweka hadharani msiyapeleke kwenye uisilamu jamani
Mwaipopo wewe umebobea kwenye dini usiharibu hadhi yako kwa kuingia kwenye siasa tunakuomba ubaki kwenye uuhubiri tu achana na siasa
Hebu Wacha upumbavu wewe. Yaani, unashindwa kumuelewa kabisaaaaaa au ndio una chuki naye au umekuwa kishoka?? Au unamuogopa Gwajima...
Mbona hujibu kwa point, toa hoja za msingi tukuelewe, hizo Ni pumba za chuki
Kaongea pumba tupu.. Tena kaanza na chuki.. Hana point kabisa.
Nimekufatilia hadi hapa niseme shekhe una mambo ya kukurupuka
Mwaipopo tambua ngwajima ni mbunge na ni msomi kuliko ww hujui chochote kaa kimya sa kama unabisha beba familia yako kaichanje kwendraaaa, unatafta kiki kwa watu maalufu
Apo ujaongea kitu ndugu.
Wacha GWAJIMA Alitetee taifalake nawewe kama mwislam nenda msikitini uwaubirie watu ili wakubali chanjo .
Halafu mbona husomagi coment zawatu ?
huoni hata waislam wenzako walivyokupinga?
nahisi shetani yuko ndaniyako
Hao ni Waislam jina na wengi wao hawana tofauti na Makuffar. Uislam sio tu Kwa sababu Wazazi wanaitwa Waislam Bali you earned it.
Waislam in millions wanataka hiyo vaccine Kwa ajili ya kwenda kuhiji Makkah na business trips Kwa wale wafanya biashara. COVID 19 vaccine ni a world order. It may be not important Kwa akina Gwajima Bali Kwa wengine ni necessary!
Makelele meeeeengi tunayo wakati hatuwezi hata kutengeneza sindano.
We are contributing nothing in global affairs pamoja maendeleo yako chini ya miguu yetu.
Just kulalamika and doing nothing.
Sisi tunaongoza Kwa misikiti, makanisa na witchcrafts tu.....
Hawa African Wasomi lazima na baadhi ya Mapadta wajiangalia na kujisikia haibu na kulalamika kwao. They need to do something instead of bitching every day. They do nothing.
@@hamidudongo1879
unaweza ukakubali kupokea chapa ya mnyama kisa eti unataka kwenda kuhiji!
jamani someni quran na bibilia vzr
mambo yaliyo tabiriwa yametimia msixhukulie mazoea tumia akili za kuzaliwa.
@@hamidudongo1879 " Achana na gwajima wewe
Mwaipopo Wacha kututia aibu waislam hata sisi waislam tunajua uadui wa gwajima dhidi ya waislam lakini hapo hajatetea waislam wala wakristo kazungumzia madhara ya chanjo ambayo hata sis tunaipinga.
usitutie ujinga wewe.jisemee mwenyewe na huyo chizi wako.hakuna muislamu anaemkubali huyo chizi.atakuwa kafiri tu
@@fadhilikawambwa5159 kwani ni nani aliemkubali
Wewe una chuki binafsi kwanza ulianza kumshambulia dr sure leo umekuja kwa gwajima toka zako hapa
muubiri usi sahau kuwa viongozi wa serekali zetu za kiafrica wana thamini mada raka kuliko kuliko wata waliwa
ujikaze uwe una tumia maneno ya busara unapo shauria wenzako
Halafu ww mwaipopo hujui mambo ya kiroho ya mungu au imani ya kweli
Roho 😂😂 niki kupa andiko ndani ya Biblia ukiwa na roho ww mwanda wazimu 🤣🤣
Umesema kweli sheikh mwaipopo uko swa kabisa ...huyo gwajima juzi juzi tu alifufuwa mtu...
Ushakuwa unazingua sasa achana na mambo ya wanasisa siasa mchezo mchafu
MWAIPOPO wewe unazungumza haya maswala kama nani? una cheo gani nchini? mbona unakuwa na kimbelembele
utakuja kuishia pabaya ndugu
wewe unamuuliza kama nani?
@@fadhilikawambwa5159 naww unamtete kama nan
Naapa kwa jina la yesu ww mwaipopo utaumbuka sana siku zinazokuja....maana gwajima yupo kiroho zaidi
Wevipi lazima uteteye mjungajiwako
Wewe shafii mnafiki tu
Wew ni kafiri huna k2 mbwa wew shekh mwaipopo yupo sawa na gwajima ni kichaa
Hapa binafsi nimefurahi mno kumchapa huyu mnafiqi mwenye chuki na waislam
umeona eeh et kuna waislamu mazombi wanamsapoti huyu kafiri mwenye chuki na waislamu
@@fadhilikawambwa5159 Asalam aleikum ndugu yangu,Allah amejaliya uuma huu kitabo na akaiweka sawa haya hii ya kuwa hakuileta hii Koran ila kwa watu wenye kufikiriya ili tupate kuongoka.kidogo Cheikh mwaipopo kwa hili anajidhalilisha vile ameliingilia Jambo bila elimu na maneno ya ufundi kwa huu mchakato mzima wa covid19,kitu amefanya amekuja juu na jazba zidi ya Dr gwajima kwakuzua chuki.maada hapa ni gwajima na canjo,mwaipopo kasema hana elm na ma swala covid na canjo,automatically ni kama mgambo kumnyamazisha amir jeshi general mzima.platform ya gwajima ni kwa Tanzania yote kwa ujumla,lakini Cheikh wetu niaka ka channel kwa you tube ndo basi unafikiri Sheikh atamunyazisha gwajima?sisi wote tupate faida kwa kukumbushana hadith maarufu sana ya mtume s.a.w akimueleza Abu hureira nakumwambiya katika zamu yake kwa kulinda hazina ya waisilam,yakuwa system below na mwizi na ikawa hivyo alivyo ambiwa,siku ya pili yake akaulizwa na mtume,akasema vile kulienda ,na mtume s.a.w hata Leo atarudi kukuibiya,na ikawa hivyo,na kulivyokucha Abu hureira akaulizwa tena na jawabu tu ile ya siku ya kwanza,mtume akamuambiya kuwa mwizi wake atarudi tena,na ikawa hivyoabu hureira akawa ngumu siku akaambiya mwizi wake ya kuwa atamfikisha kwa mtume,ila akamuacha kwa kumpa siri na ukubwa wa hayat kursiyu,habari ikamfiya mtume,na mtume s.a.w akasema alivyo kuamkiya ni kweli na yule alikuwa shetani mwenyewe.sote hapa tupate faida na hatari zidi ya canjo na elm ya covid 19 vile gwajima amejaribu kutufikishiya .ku canjwa ni hiyari ila inaeza kuwa ni lazima,uko tayari?
Hakika umepotea kiroho ww mwaipopo na kama nadanganya fanya utafiti zaidi
UGEFANYA LA MAAN SAANA KUMFATA GWAJIMA KULIKO KUJA KWENYE MEDIA NYIE NDO MNATEGENEZA CHUKI
Wewe utakuwa Mkristo unaetumia jina la Kiislam au ni Muislam Jina.
Kafiri atabaki kua kafiri hata iweje ila kwa hapa mwaipopo kachemka wala hatuna mapenz na gwajima ila hatukusapot mwaipopo ktk hili
Usibishe ww mwaipopo uislamu ni dini ya majini na wanadamu maana wapo majini waislamu
Ww nae acha uchizi dini yenu ndo ya majin
Ndiovyounavyojua uislam ni dini yamajini tatizo unasubili kusomewa maandiko unaposema dini yakislam ni ya majini ivi unajua yesu au issa. Alikua mwislam
Kwahyo shida yako nn
Kumbe wewe kafir,andika jina la kikafir
Kwani majini makafiri/wakiristo hakuna? Na ndo wakorofi kupita kiasi wakikuvaa.
We ndo ufahi kusema jambo kwenye. Jamii uyo uaskofu kapewa na watu wanaowaongoza sasa we sjuhi ushekhe wako umepewa na nan?nyamaza tu kijana mwaipopo
Sheikh wacha kukulupuka sio kila jambo lazima ulitolee neno weye baki kwenye aqida za dinn tu haya mambo ya Uvico achana nayo kabisa waachie wajuzi waliobobea km kina gwajima watiririke, unasema serikali iko na wataalam waliobobea wataalamu wepi ss waliopewaga papai na fenesi wakaja na majibu ya kwamba vinakorona
Wew huelewi kitu mm akupa pole sana na shida huna imani kabisa
@@twalhamnyira5318 Huyo sio Muislam. Ni Mkristo anaetumia jina la Kiislam. Au ni wale Waislam ambao hakuna tofauti na Makafiri isipokuwa ni jina tu.
Ww mwaipopo hauna akili ovyo tu mwache aseme ukweli we nenda kachanje
Mwaipopo acha kupotosha watu we unaendesha gari je Muhammad kaendesha gari?wacha donge we mwaipopo mwache kanarikiwa Hugo gwajima
ACHA WIVU WEWE MWAIPOPO....KAMA UNATAKA UTAJIRI AU UMAARUFU MSAHAU MUNGU IPENDE DUNIA...MAANA KIROHO NAKUONA UNAHALI MBAYA,YAANI MAHUBIRI YAKO YAKO KIMWILI ZAIDI
Makafiri hamna akili bemye wajungajiwenu wanaambiaga mnaitikia bila kufikiri wabumbafu sana
Kwa hili mwaipopo umefeli acha elim yako ni ndogo kwa hili....na gwajima yupo sahihi 100% ukizingatia yeye ni mbunge je ww
Gwajma ndy amefeli ila mwaipopo yupo sahihi
Gwajima ni mnafiki sana sio wale wapumbavu ndio HF awaelewi
Wewe utakuwa ni Mkristo unaetumia jina la Kiislam. ..
Hapa umechemka kumbuka huyo ni pastor na ni mbunge kwa hyo ww unatafuta kick lakini chanjo sio salama kwa watu huo ndio ukweli kama marekani kwenyewe wanaikataaa ww nani? Hata ukisema msikitini utajisemea mwenyewe msimamo tushaupata kutoka kwa mashekhe kuwa chanjo ni haramu. Hyo ni alama ya shetani
Mficha maradhi.....,,.......
Wacha kujipendekeza na serikali wewe huna hoja wewe chuki zako za dini peleka kwengine
😂😂😂john vp ime kuchoma Au naona yana kutoka tu vp kama ume wekwa ...😆😆😆🤣🤣
Mmesha zoea kuona viongozi wooooote wa Kikristo wamejiingiza kwenye siasa miaka yote hiyo na masheikh kukaa kimya? Bahati yenu Bakwata inamikikiwa na Serikali.
Acheni uwoga wa Kikafili huo. Nani amempa haqqi Gwajima kuongea siasa na kumnyima Sheikh Mwaipopo? ACHA uwoga huo na double standard.
,we mwanga tu mpaa usiku mwizi wa vitabu vya watu unaongea ka mtu kumbe kima ww umekimbia ukristo umeenda kuwaibia waislam wa watu jibu tuhuma ya kukopi kitabu cha watu mjinga ww sura ngumuuuuuu ka gaid
Mwambie huyo kafiri mkubwa.Nahao viongozi wa ccm ss wanajifanya wanajuwa kusema. Mbona alipokuwepo Magufuli mlikuwa hamsemi
Shekh usipende kusubiri mtu ateleze ndo upate pakusemea kwanini usimfuate in box kama una hekima jifunze kukaa kimya kama huna la kusema.
Bwana Mwaipopo hayo aliyo sema Gwajima ni mambo ya kiroho, na ametowa onyo tu sasa wewe YESU kutokuowa na hili swala la Corona vinakutania wapi?
Wee jamaa ni ndezi kweli unajipendekeza tu jibu hoja za gwajima kuhusu chanjo acha kusema kwajima hapendi uislam. Sas serikal ukiwa ni zulma aisiikosoe?
We tapeli kaa kimya bwege tu tuna clips zako za matusi tunazo clips zako
Mtumie izo video zake zama tusi ili tuku amini
Wew kafiri wew huwezi tupa shida mbwa wew mwaipopo yupo sawa sema wew ni kichaa
Tena bweha kabix ww.
Gwajima ambaye ndio mtume wako ana hizo Clips za matusi akitomba kondoo zake. Kila mtu anajua.
Weee Kafiri uliye Laaniwa na Mungu hauumizi watu vichwa
Ni Nani amempa haqqi Gwajima kuongea siasa na kumnyima Sheikh Mwaipopo kufanya hayo hayo??
Wew hayo hayakuhusu gwajima yuko sahihi mm km mwislam namungamkono chanjo hii cixalama kwa mwanadam hatakidogo
Mwaipopo usiwe na haraka ya kujibu kila hoja au maoni jifunze kufikiria Kwanza.hubiri dini wewe sio mwanasiasa dk.Gwajima ni mtumishi na mwanasiasa,hueleweki umelewa mitandao na kulopokalopoka.akili ufanye kazi
Nani amempa Haki Gwajima kuwa kiongozi wa kiroho na kufanya siasa wakati Sheikh Mwaipopo yeye asizungumzue siasa??
We tapeli kaa kimya hubir dini mambo ya chanjo hauna elimu nayo, hubir dini acha unafiki
Tapeli ni baba yako na mama yako kafiri wew
Nyi Mikafiri mna taabu sana. Nani amempa haqqi ya Gwajima & viongozi wa Kikristo kusema lolote la kisiasa na jamii wakati amemzuia Sheikh Mwaipopo kufanya hayo hayo?? Viongozi wametawala kwenye siasa ya Kitanzania pamoja masheikh wamekalishwa chini.
Tutaanza na sisi masheikh wetu waingie kwenye siasa pia kwani nyinyi wenzetu mnafanya hivyo for years...
ACHA uwoga huo na double standard.
Na dk sule mmeyamaliza???? Unapenda ugomvi na misifa.acha uchochezi
Yaaaaap. Na Dr. Sulle ameacha kwani bila ya Sheikh Mwaipopo angeendelea.
Nani amempa haqqi Gwajima kuongea siasa na kumnyima Sheikh Mwaipopo kufanya hayo hayo??