Annoint Amani = KAOGE ( official music video)
HTML-код
- Опубликовано: 26 май 2023
- #kaoge#annointbistar#
Kaoge ni wimbo wa matengenezo ya watu wote kwa Mungu,mtu akitaka kuingia Mbinguni au kuwa karibu na Mungu,ni lazima kujitakasa ili kujiweka Safi kwaajili ya Mungu,
ukiwa mtu wa toba mda wote siku ya unyakuo utakuwa Moja ya watakao nyakuliwa,
au ikitokea umekufa kabra ya unyakuo,
uwe na uhakika utaingia mbinguni🙏
👇
Annoint Amani
Song,Kaoge
Album, We need you
(Language Swahili )
Video,Directed by Meddy
Studio A.E.A Tones pro meddy
👇
Annoint Amani
Tiktok,Annoint Amani tz
Instagram,Annoint Amani tz
whatsapp & call
+255767240181=+255755099942
Dar es salaam Tanzania) Видеоклипы
Lazima tuoge yesu ni mtakatifu sanaaaa❤
Watu waoge nice song indeed
Barikiwa sana mtumishi
Ubarikiwe sana
Umebarikiwa na nyimbonzuri
I like the way lady in pink lesso doing it
Hiyo imeenda kaka
Nyimbo zako zinanibariki
That lady can act uweh
Amen, nagupenda walahi
❤wow hii nyimbo nzuri Anoint endelea Ivo Ivo mungu aibariki kazi Yako🙏🙏
Hii wimbo nimeipenda saaaaaaana I love you mtumishi wa Mungu
Ujumbe mwena kambisaa keep it up my brother
❤❤Mungu akupe nguvu naiyo kibari ata mimi natamani sana kuimba. Nyimbo zako nzuri sana
Aki Amani nakupenda sana ata Mungu anajua ninavio kupenda Aki napenda sana nyimbo zako zote
Wimbo mzuri huu ndugu,Mola akubariki zaidi from Kenya
Loo! Wimbo Mzuri sana mtumishi Mbinguni hawaingii wachafu. MUNGU azidi kukuinua
Tundeni tukaoge jamani,,mbinguni kuzuri hakuna uchafu Wala mawaa yeyote
Sasa hapo kaka waweza mungu akuinue sana
Amen amen and amen 🙏🙏🙏
Hapao sawa kaka. Inabidintu usafi binguni. Aksante shana kaka Anoint
Kaoge hiki ni kibao Cha miaka na Miaka. Mungu akuzidishie neema na kibali mtumishi.
Amen mtumishi nimebarikiwa sana hiyo wimbo ni kali 🤣🤣🤣🤣👉👉👉👉🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
More love from 254❤️❤️ my best male artist
Pongezi my bro l like your songs
Amen 🙏 kaoge ❤️❤️🙏🙏
Sawaaa
Hii Kali sana
Uuuuwi nilikua wapi mmi kumbe mwajuma ndalandefu ako apa😂😂😂😂❤❤❤❤
❤❤❤ nkaoge cyo 😂😂😂😂
Kweli ndugu lakini kwa mwarabu
Lazima ni oge kila siku, chakula nayo na maziwa naiba😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴
Kaoge👏👏 kali sana Hadi imekubalika Hadi na walevi huku kenya wameamua kuoga
Good work
Amen 🙏🙏🙏 be bless bro
❤❤❤ ubarikiwe brothe
Very good nice song
woow.pure entertainment and awesome message
Mimi nakuwa namshauli aoge hivo vipombe na vinyumba vido hataki kunisikiliza
Kaoge kaoge
Kaoge
Sugua uchafu ukome kabisa
Shetani unanuka shombo kabisa
weweeee kaogeeee asante sana mtumishi wa Mungu
Kaogeeee❤❤❤. Powerful!
Tuende tukaoge sote🌧️🧽🚿let us all bath so that we can go to heaven ok
❤it
Amen ni lazima tuoge tuwe safi ili kumuona Mungu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen
Amen 🙏🙏
Amen 🙏
So amazing🎉🎉.be blessed
Namimi ni oge😢
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏ameen mungu akubaliki kaka kazizuli
Tuoge djamani ❤❤❤
Irene
Sio kawa breeze watu waoge 😂😂😂😂
Ubarikiwe mtumishi mtumishi wa MUNGU kwa kazi hii
Amen 🙏🙏🙏 nice song.
Wow kaoge uingie mbinguni asante kaka kwa ujumbe huu
What a song. i love your songs brother Amani. More grace and much love from Kenya
Amazing,,,the true ,,,may God bless you sana
Niko hapa tuende tuoge kabla tuende mbinguni🇪🇺🇪🇺🇪🇺🇪🇺🇪🇺🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪naomba tuimbe na wewe hiyo ndo ndoto yangu
❤
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
barikiwa kaka.nyimbo zako nzuri zina mafunzo!Anayekushonea nguo hongera
❤❤❤
❤❤❤❤❤ amen 🙏
wacha mungu ashidi kukushidishia kibali na nehema siku zote God needs clean heart be blessed ❤
Annoit amani from tz am from kenya napenda nyimbo zako mungu abariki kazi yako
❤
❤Hakika ❤mbinguni hakuingia kitu chafu
Sin yangu dady sawa nimekuelewa sana ningecheza
𝒏𝒊𝒄𝒆 𝒔𝒐𝒏𝒈
Be blessed🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akuzidishie mtumishiwamu
Mama mwanzani wa zahanati ya kijiji hongera sana kumbe pia kwa kuimba uko 😂😂😂😂😂😂❤ u from Kenya
Nice one, it's blessing 🙏🏼💯💯♨️♨️
Video iko sawa sana
Kuoga mpango mzima 😂😂😂
❤❤❤❤🎉
😘❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊😅😅😅😅😅
Kweli umenifanya nianze kukufuatilia tena mana kwanza ulinikela mnyoo wako kichwani lakini namtukuza Mungu umekiondoa sasa mungu akuinue viwango vya juu
So blessing
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 love from here
Great song and great message,
I really touched by this song.
I wish you many years. From Australia 🇦🇺
Barikiwa sana na bwana
Naupenda sana huu wimbo
Barikiwa Sana mtumishi
Take a bathe🤝
Be blessed
Kazi nzuri dady
It's koo ni langu siyo hodi langu waaa😂😂😂😂😂😂😂thanks for the English translation
Ameeeen❤❤❤❤
Wanine❤
WIMBO MUKUBWA ƙwakweli❤🎉
Amen 🙏🙏🙏🙏
🙏🙏💃💃💃💃🕺🕺🕺🕺
Nice
Nikweli.lakini.pia.nyinyi..msiwe.kama.kaburi.lisilo.pakwa.rangi.inje.maridadi.nandani.umbwa.mwitu
Amen
Amen❤