Unakua sahihi kabisa, Mch. David Mmbaga, ni kweli ku challenge idadi hii ya 50-50% between women and men katika DRC: kwanza, hakuna statistics iliyofanyika katika inchi wakati maneo mengi yanakaliwa na vita tangu 1997, hakuna amani; pili, Serkali haiwezi controle eneo wote, kinachoweza tumika ni statistics wa uwaziri wa afyia
Amen bwana asifiwe namshukuru mungu Niko salama mungu akulinde na akubariki pastor
Mungu akulinde bb na akupe mahisha marefu ili uzidi kutufundisha maneno ya Mungu
Mungu akupe neema unanibariki sana.
Mungu asifiwe mtumishi ubarikiwe sana
Mungu akuzidishie umetubariki sana pastor
Thanks Pastor for sharing this powerful message God bless you. I'm watching from South Sudan.
Bwana yesu asifiwe sana
Mungu akuzidishie hekma na ufunuo kuwaelimisha watu
Waliofanya research ya inchi yetu Congo Dr walikosea sana
Mungu akunilindiye
Pastor barikiwa sana maana masomo yako yanibariki sana
asante kwa somo zuri limenibariki
Mungu akubariki,aendelee kukutumia.
🙏🙏
❤❤❤
Unakua sahihi kabisa, Mch. David Mmbaga, ni kweli ku challenge idadi hii ya 50-50% between women and men katika DRC: kwanza, hakuna statistics iliyofanyika katika inchi wakati maneo mengi yanakaliwa na vita tangu 1997, hakuna amani; pili, Serkali haiwezi controle eneo wote, kinachoweza tumika ni statistics wa uwaziri wa afyia
Ubarikiwe sana mchungaji.
NAONA KUNAKUWA CHANNEL INGINE YA RUclips IITWAYO MAHUBIRI TV2, JE NI YAKO PIA AU????
NAYO INA WATU ZAIDI YA ELFU MOJA.
Tuanzishe mchungaji maan hali ni ngumu watu wako busy kuinua mtt wa kike tu
😂😂 ni uzi wa mfuko au kiloba au gunia