UKIMUONA MTU WA HAYA 6 JUA NDO MCHAWI WAKO ILA HUJAJUA BADO. MKOMESHE HIVI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии •

  • @FololoJean
    @FololoJean 13 дней назад +1

    Ubari we mutumishi wa mungu

  • @EverlyneKerubo-ei7jm
    @EverlyneKerubo-ei7jm 2 часа назад

    True mm niko na mwenyewe tunafanya na yy kazi nikokozana boss ni furaha yake na hananiwekee xana maneno kwa boss

  • @johnmeshack8284
    @johnmeshack8284 2 месяца назад +1

    Barikiwa baba mimi ni fundi kushona nguo lakini kuna mtu hata sio mteja wangu lakini ananichafua tu mtaani hata nishone nguo nzuri vp wengi watasema nimeshona vizuri lakini yeye mmm anasema hiyo nguo mbaya

  • @fayjeff3651
    @fayjeff3651 2 месяца назад +1

    Amen, may God bless you too

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 20 дней назад

    Nahitaji maombi,mpangaji wangu amenizulumu kodi yangu,ananitishia kunipiga.nisaidie nn nifanye

  • @bettykachira5710
    @bettykachira5710 2 месяца назад

    Ameen ni ukweli kabisaa paster ysmenikuta hayo mwenyezi mungu akubariki saana

  • @JaneLando-f8e
    @JaneLando-f8e 2 месяца назад +1

    Amen Amen power of God

  • @mariaikombe7839
    @mariaikombe7839 2 месяца назад +1

    Amina mtumishi kama ulikuwepo

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 2 месяца назад +5

    Yote Uliyoyanena Nayapitia Ktk Nyumba Za Kupanga Jamani, Watu Wabaya Sana Tuombeane"

  • @ruthmshereja3976
    @ruthmshereja3976 3 месяца назад

    Amen,amen, nimebarikiwa na fundisho hili

  • @LovenessMusa-e8y
    @LovenessMusa-e8y Месяц назад

    amina

  • @christinemoranga7598
    @christinemoranga7598 3 месяца назад

    Amen and Amen more blessings 🙏🏻 🙌 👏 ❤️

  • @susanmwangi5021
    @susanmwangi5021 3 месяца назад

    Amen thnks bro

  • @ConstantineSitta
    @ConstantineSitta 2 месяца назад

    Amina nikweli kbs

  • @sekelagatusekelege9325
    @sekelagatusekelege9325 3 месяца назад +1

    Amina mtumishi

  • @NasraMrisho-z4o
    @NasraMrisho-z4o 2 месяца назад

    Amen niombeeee

  • @KalangulaKalan
    @KalangulaKalan 8 дней назад

    Mtume mtu mbaya hata ukiwa nae mbali lazima atakufatilia mpaka lengo lake litimie

  • @Lovenessbeib
    @Lovenessbeib 2 месяца назад +2

    Amen,,hyo n kwel mtumishi barikiwa sana,,pia nsaidie maombi mambo yangu yamekwama sioni kusonga mbele 😢

  • @PendoThomas-jz6cp
    @PendoThomas-jz6cp 2 месяца назад

    Amen 🙏

  • @CarolyneLiona
    @CarolyneLiona 3 месяца назад

    Amina

  • @ChristineOmar-y7f
    @ChristineOmar-y7f 3 месяца назад

    Amen

  • @NaomNyaboe-jn3Gs
    @NaomNyaboe-jn3Gs 3 месяца назад

    Amen Amen amen

  • @RodaMaganga-ye6ye
    @RodaMaganga-ye6ye 3 месяца назад +3

    Niombee mtumishi nmeishiwa nguvu za kuomba

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  3 месяца назад

      Njoo kanisani utapata nguvuu ya kuombaa

    • @Tanza24
      @Tanza24 2 месяца назад +2

      Shalom
      1.ongeza muda wa ibada nenda kanisani ibada zote za katikati ya wiki
      2.ongeza kusoma neno na mwombe Roho mtakatifu akuongezee nguv ya maombi hata Kwa dakika moja tu
      3.punguza kuongea ongea ovyo, Kwan huwa kunakata sana nguvu ya Maombi
      4Ukiona bado Hali inaendelea mwone mchungaji wako akusaidie

    • @Life10061
      @Life10061 2 месяца назад +1

      ​@@shiningstarheavenlyembassymtumishi kwenye swala la doto huwa muda mwingine ni shetani anataka kukugombanisha na majilani hivyo unaweza kuona jilani kwenye ndoto ni mchawi kumbe mchawi alivaa sura ya jilani yako

  • @dorcasEmanuel-m7l
    @dorcasEmanuel-m7l 2 месяца назад +1

    Mtumishi naota ndoto alafu nikshtuka nasahau kila kitu nisaidie

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  2 месяца назад +1

      @@dorcasEmanuel-m7l omba rehema, funga, na kusamehe na Anza kuomba kuanzia saa 6- saa9 usiku na omba ujazo wa roho mtakatifu

  • @Mamamuu-v1s
    @Mamamuu-v1s 2 месяца назад

    Mtumishi shalom nifanyeninj Kwa mtu ninaemdai na hataki kunilipapesa zangu

    • @susynjambi
      @susynjambi 2 месяца назад

      Mwachie Mungu atakulipa maradufu kwa njia ingine

  • @jackobmwanyita1730
    @jackobmwanyita1730 2 месяца назад

    Nikishuka korogwe naelekea wapi

  • @TumainChristopher
    @TumainChristopher 3 месяца назад

    Amina mtumishi

  • @joseKende
    @joseKende 2 месяца назад

    Amen🙏🙏

  • @FloraMoshy
    @FloraMoshy 2 месяца назад

    Amina

  • @Joycekilungu
    @Joycekilungu 2 месяца назад

    Amen

  • @GarimaAndrew
    @GarimaAndrew 2 месяца назад

    Amen amen

  • @euniceeregwa5002
    @euniceeregwa5002 2 месяца назад +1

    Amen 🙏