Amina mtumishi barikiwa sana tuko pamoja nitazingatia mafundisho yako. Na mwenyezi mungu anifungulie milango ya mafanikio ktk familia yangu na kazi zangu za mikono Azibariki Amen.
Baba mtumishi pole kwa Yale unayopitia. Drtafadhali Mimi ndio madeni yanataka kuniuwa kabisa hata sili chochote ninapoyafikiria . Baba mchungaji naomba usaidizi wako nifanye Nini Baba? Mimi nimetoka Tanzania nimeolewa hapa Kenya. Lakini kwa kweli maisha yangu ni mabaya sana Baba mtumishi. Naomba usaidizi wako tafadhali.Dr.
Mtumishi Naomba umuombee kijana wangu analewa hata kazini haendi yeye na Pombe na sigala hata mke kamkimbia na tattoo watatu Naomba niwakiwa hatuna wazazi wala mume yeye ndo wakinizika lakini hata habari hana Nisaidie mtumishi
Asante Mchungaji🙋🏽♀️🇰🇪naamini kupitia mafundisho yako,maisha yangu itabadirika🙋🏽♀️🇰🇪naheshimu mafuta na nguvu Mungu amekupa barikiwa sana Baba yangu 🙋🏽♀️🇰🇪niombee kabisa nimeangamizwa na maadui miaka 6nisaidie
Mchungaji weee tusaidie achana na wao ambao wamekosa la kuongea midomo ni mali yao waache washirik8na ni wao tu usijali we tuombee tu tufundishe on how to go about our life may God bless your wealth health and averything you have In Shaa Allah
amina baba ubarikiwe nakufatilia nikiwa Tanzania dar kariakoo napitia changamoto sana ninaamini kupitia somo hii mimi nibilionia kuanzia sasa hivi mimi ni mfanya biashala mkubwa sana apa duniani nitamiliki biashala yangu mwenyewe kubwa sana kariakoo kwa jina la yesu kiristo amina
Man of God how are you watu hawakujui ata najuta sana kupotesa miaka mingi na ma prophet kama ningekunjua samani ningekuwa mbele sana lakini wakati wa Mungu ni mzuri Mungu akubaliki sana
Kuwa na Prophet hujapoteza muda sio kweli hata kidogo!! Neno la Mungu linasema mwaminini Mungu mtathibitika waamini manabii wake mtafanikia usiwapuuze hata kidogo
Asante baba kwa huduma hizi nzuri .lakini watu wanao Latisha tamaa hawakosekani .tuhudumie vile Mungu anavyo kuongoza.hao walioshindwa huduma huduma achana nao. Ninaomba namba yako baba niko matatizo binafsi.
Mtumishi wamungu unasema kuusu incident ya kigeni...mtu anacanganya cumvi n'a michanga ya hapo kwenye iyo inchi ..sasa unaoga wala unafanyaje?ili ufanikiwe katika iyo inchi
Mtumishi usija hana mwana wamungu ali tukanwa.ziba masikiyo.wacha wenye wana fayidika tufayidike.hizo ni kelele za chuta hazimunyimu ngombe kunywa maji
Kweli mtu afungue channel yake.muache uwivu Kwa watumishi wa mungu. Hii channel imenidaidia sana.hizi vitu mtumishi anafundisha.ni vitu ambanzo mungu aliumba c mtumishi.
Wallahi nilikuwa nafatalia watu kadha wa Nigeria 🇳🇬, nikaanza kutumia ilinisaidia sana, mtoto wa dadangu alikuwa kama kicha akiishi msituni, nilipomwambia atumie chumvi ya mawe, alitulia hadi sasa alipona,
Usiwahi tamani mtumishi wa mungu aongee na hasira juu yako, huyu pastor anaongea kwa uchungu sana , mpigie simu umuombe msamaha kabla hajaomba kwa machozi you will suffer alot, pastor msamehe tu kwa niaba yetu ss wenye matatizo

shalom mtumishi Mimi naomb maombezi ya mume wangu anauwa kisukar
Mtumishi Naomba umuombee kijana wangu analewa hata kazini haendi yeye na Pombe na sigala hata mke kamkimbia na tattoo watatu Naomba niwakiwa hatuna wazazi wala mume yeye ndo wakinizika lakini hata habari hana Nisaidie mtumishi
Mungu akubariki mchungaji wangu kwa kutokuwa mchoyo na jumbe zako Naomba utajiri wako utugawie kwa mafundisho yako Asante God bless you 🙏🙏🙏🙏 Amen
Toa Baba mungu aendelee kukubariki Huo ni wivu tu hawataki na wengine wapate BARAKA..Tunaomba hizo baraka Baba Amen 🙏🙏 barikiwa na Mungu Baba
Amina Mtu wa mungu wewe Songa mbele Bwana yupo pamoja nawe.
Ameeen baba ubarikiwe saaana nimejifunza kitu na Mungu anisaidie
Asante MTUMISHI balikiwa kwa msaada wa mafundisho yako.
I'm really blessed with your teachings doctor, I totally agree with you sea salt is very good to use in our life be blessed
Amina mtumishi wa Mungu nimekuelewa ni somo zuri sana. nitafanya nipo Tanzania. Ubarikiwe kwa upendo wako. Amina.
Achana na watu wanaokuwa na mawazo potovu,watuwache tunaofaidika na huduma zako, don't give up pastor keep it up
Asante mtumishi ubarikiwesana
Asante sana Docta barikiwa Na Mungu kabisa unanitowa ndani ya ujinga asante
Asante sana Doctor. Kwakweli mafundisho Yako ni ya KWELI KABISA.
Asante Mchungaji🙋🏽♀️🇰🇪naamini kupitia mafundisho yako,maisha yangu itabadirika🙋🏽♀️🇰🇪naheshimu mafuta na nguvu Mungu amekupa barikiwa sana Baba yangu 🙋🏽♀️🇰🇪niombee kabisa nimeangamizwa na maadui miaka 6nisaidie
Mchungaji weee tusaidie achana na wao ambao wamekosa la kuongea midomo ni mali yao waache washirik8na ni wao tu usijali we tuombee tu tufundishe on how to go about our life may God bless your wealth health and averything you have In Shaa Allah
amina baba ubarikiwe nakufatilia nikiwa Tanzania dar kariakoo napitia changamoto sana ninaamini kupitia somo hii mimi nibilionia kuanzia sasa hivi mimi ni mfanya biashala mkubwa sana apa duniani nitamiliki biashala yangu mwenyewe kubwa sana kariakoo kwa jina la yesu kiristo amina
Mtumishi pole kwa yote unayopitia, Mungu akutie nguvu uwe na uvumilivu kwa sisi binandamu tuna mapungufu sana sana. Amen
Aminaaa nipo Tanzania Barikiwa mtumishi
Amina mtumishi Mungu azidi kukuinua tuzidi kupona nanitazidi kukufatilia ili nipone
Mungu akubariki sana Dr pastor.Musamehe hajui ayatendayo ,Mimi nimeshukuru sana nimesaidika na bado naendelea shalom
AMEN
@@dr.wilsontayoswahilichanne6081Mtumishi bwana yesu asifiwe naomba number ta cm
😊Asifiwe Pastor!Naomba nijulishwe kuhusu Nazi!
Ndugu kwangu nashukuru na Mungu akubariki kwa kipaji ulio pewa
Mafunzo yako ni mema Mungu aendelee kukubariki
Nimepanda mafundisho yako dr mimi nimezaidika kufitia chuvi ya mawe tena naamini sana
Asante Mchungaji Mungu kubariki kwenye Mada hizi.
Amina,baba,Mungu akubariki zaidi
Barikiwa mch napenda unachofundisha.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Man of God how are you watu hawakujui ata najuta sana kupotesa miaka mingi na ma prophet kama ningekunjua samani ningekuwa mbele sana lakini wakati wa Mungu ni mzuri Mungu akubaliki sana
Kuwa na Prophet hujapoteza muda sio kweli hata kidogo!! Neno la Mungu linasema mwaminini Mungu mtathibitika waamini manabii wake mtafanikia usiwapuuze hata kidogo
Mtumishi fanya kazi achana na watu waliokatatama naomba utupe malita sisi tuokuwa na shida hizo ni Kelele chula asante
baba mwache atajibiwa na mungu usikate tamaa endelea na mafunzo sisi tuko pamoja na mungu akubaliki
Ahsante sana kwa elimu nzuri
Baba mtumishi samahan naomba kuuliza mchanga nikichanganya na hii chunvi ndoniombe niogee au nitumiaje namchanga
BABA usichoke kutoa hii huduma Yako inatufaa sis watoto wako hakika mungu anajibu ukiamini.hao wanaopinga wana imani potevu.mungu wasamehe 🙏🙏🙏
Ahsante sana,mimi nimeku elewa sana,huwezi kukubalika kwa wote,hata kwenye uongozi ndivyo ilivyo,wewe tupe tunao kusikiliza.
Asante baba Sisi tumekusikia mashauri Yako baba
Aminaa mtumishi wa MUNGU
Asante sana kwa Lesson nzuri
Amen mtumishi wa Mungu ❤
Amen amen mtumishi wamungu amen 🙏
Amen, Amen. Asante Apostle.
Thank you for watching
Asante Kwa kunipa shauri hii
Mtumishi mm kilasiku naoga chuvi yamawe lengolangu kuu nipatekazi mtumishi mmnapitiakwenyemapito.mangum sana nifanyeje baba ngu nakuomba unisaidie
Chumvi ya mawe inafanya kazi vizuri sana huenda unakosea jinsi ya kuoga na manuizi ni lazima
Asante sana kwa mafundisho,
Huyo anae omba dawa daw ni kumwamini yesu tuu amini maa hata dawa ni imani. Sio mchexo.acha kudhihaki mtumishi wa mungu.utapigwa na mungu.
Mi naitaji magundisho pastor🙏🏼
KARIBU SANA, ENDELEA KUFUATILIA HAPA.
Baba usijali endelea tu mimi nakusikiliza
Tafazali usivunjike moyo pasteure ujuwe hawakunea Yesu mêma je sisi
Mtumishi mimi nimetapeliwa,unaweza kunisaidia
Mtumishi habari yako ,naomba namba yako please,thanks in advance
Na miye nitaitumiya kwa kutosha mikoshi na ma deni
Aksanti sana mutumishi wa bwana hubarikiwe kabisa kwa hufunuliyo
Asante baba acana naawo watu muwemunatusaidia Sisi tunajuwa umuhimu wetu barikiwa Baba yetu❤❤❤
Asante, barikiwa sana
Pambana mungu atakujaliya
Mtumishi, mimi nimeibiwa ng'ombe mwezi wa tatu 2024, Je unaweza kumrudisha na kama Alisha liwa, Je mhusika anaweza kuja kujisalisha kwangu?
Amen nimekuelewa
Shukrani nauliza chuvi ya mawe Kenya inapatikana wapi?
Nenda kwenye masokoni utapata
.mtumishi Mimi Niko dar es salaam naomba namba Yako ya simu .Nina pitia magumu
Asante mchungaji
Wewe nimkombozi Mutumishi🙏🙏🙏
Wanaotukana waaache watukane huo ni mtazamo wao baba achana nao. Mungu akusimamie na kukutia nguvu. na usikate tamaa kutupa mafundisho baba.
Asante sana, barikiwa
Shalom ,nakufwata miya kwamiya mutumishi wa MUNGU ,maarifa inatakiwa saana ,nijulishe gisi yakurudisha mwizi
Nafurahia sana kupatana na hii chanel yako
Naomba no pastor
Asante baba kwa huduma hizi nzuri .lakini watu wanao Latisha tamaa hawakosekani .tuhudumie vile Mungu anavyo kuongoza.hao walioshindwa huduma huduma achana nao. Ninaomba namba yako baba niko matatizo binafsi.
254790970454
Kweli kabisa kaka yangu mwenyezi MUNGU aendeleye kuku saidiya ile ku towa ni siri Yama fa nyikiyo.
Ubarikiwe dady
AMEN
Naomba uniombeee
Baba,adjana,nawapobafu,,asatetunatafutaelimu
Baba mungu akurinde
Amen
Ubarikiwe
Ukicanganya cumvi n'a michanga hiyo...unayikoga wala unafanyaje?
Jamani mbona sipati namba yake naipataje ?
254790970454
Mtumish mm Huwa ninaumwa ucku tu nikilala nackia kama vichomi kwenye mbavu je nifanye nn?
Nenda hospital
We endelea Na kazi yako, binadamu Ni walewale tu ambao walikataa Yesu chrito Na wakamsulubisha Sasa wewe? Achana nao endelea Na mafundisho tusaidike🙏
Asante dada
Uendelee kubarikiwa mchungaji🙏🏼
AMINA.
Asante baba
Tunabalikiwa baba
Mtumishi wamungu naomba muelekezo wanazi kurudisha kilicho ibiwa miminakufa ta sana
Asante sana
Mtumishi wamungu unasema kuusu incident ya kigeni...mtu anacanganya cumvi n'a michanga ya hapo kwenye iyo inchi ..sasa unaoga wala unafanyaje?ili ufanikiwe katika iyo inchi
Mtumishi enderea kutufundisha achana na wasiojielewa
❤❤❤❤❤❤❤
BABA wasemehe hawajui watendalo
Mimi naishi na mama mwarabu lakini usiku wa manne anakucha kwangu Kwa ndodo kutaka kunirembu na Mimi ni mwana mke
Hiyo ni kweli
Baba nifanye vipi nahitaji pesa na sioni watoto wawili wangojwa wanihitaji operations madeni nimejaza Kila Kona nisaidie nitafata plz
Nitumie no yako
I have watched your lessons everyday
Thank you and keep watching watching for more teachings
Habari za asbh samahani Mimi Kuna mtu akinizurumu hela akakimbia nisaidie arudshe
Maomba namba zako mtumishi
Mtumishi usija hana mwana wamungu ali tukanwa.ziba masikiyo.wacha wenye wana fayidika tufayidike.hizo ni kelele za chuta hazimunyimu ngombe kunywa maji
Pore ndugu sazingine hawo niware wabaya
Amen🙏🏿🙏🏿
Kweli mtu afungue channel yake.muache uwivu Kwa watumishi wa mungu. Hii channel imenidaidia sana.hizi vitu mtumishi anafundisha.ni vitu ambanzo mungu aliumba c mtumishi.
baba naomba nisaidie maisha yangu yapo pagumu
+254790970454
DOCTA musame uyo hujuwi kitu
Waah haya mahuburi inalenga maisha yangu kama ya huyo mama kabisa alikuwa na roho ya kukata tamaa
Barikiwa, zidi kutazama mafundisho zaidi
Wallahi nilikuwa nafatalia watu kadha wa Nigeria 🇳🇬, nikaanza kutumia ilinisaidia sana, mtoto wa dadangu alikuwa kama kicha akiishi msituni, nilipomwambia atumie chumvi ya mawe, alitulia hadi sasa alipona,
Hawajui watendalo wasamehe
Kweri kabisa
Usiwahi tamani mtumishi wa mungu aongee na hasira juu yako, huyu pastor anaongea kwa uchungu sana , mpigie simu umuombe msamaha kabla hajaomba kwa machozi you will suffer alot, pastor msamehe tu kwa niaba yetu ss wenye matatizo
Acha wewe kuishi kwa hofu .ungu ndie mkukuu hawa ni mataperi tuuu wakutisha nakuweka hofu kwa mioyo yawatu