ONDOA nguvu MBAYA Ndani ya Nyumba kwa GLASS MOJA tu yenye MAJI ya

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025
  • #negativeenergy #chumviyamawe #nguvuzauniverse Nguvu mbaya au nguvu hasi ndani ya nyumba zinaweza kuondolewa kirahisi kwa kutumia glass yenye maji ya chumvi, limao, mshumaa na vinegar. Tazama video hii mpaka mwisho uweze kujua ni kwa namna gani unaweza kutumia vitu hivyo kuondoa nguvu mbaya ndani mwako.
    Chumvi ya mawe
    Mshumaa
    Glass ya maji
    This is original content created by the owner of this channel ‪@NGUVUZAUNIVERSE‬

Комментарии • 200

  • @MussaSendama-l5l
    @MussaSendama-l5l 10 месяцев назад +9

    upo vizuri sana katika ushauri wako mama swari sasa iyo nguvu ya ulimwengu nimtandao gani au nikitugani samahani kama nitakuwa nimekukwaza naomba kunua

  • @IrakozeNadine-h5y
    @IrakozeNadine-h5y 7 дней назад

    Asante sana naomba namna ya kuondoa vitu Mwilini yaani unaskia vitu vinatembea naomba Msaada

  • @janethshayo9063
    @janethshayo9063 7 месяцев назад +1

    Ahsante Sana aunt kw mafundisho yako ya nguvu za universe,Mimi nimeona matokeo makubwaa kupitia maji na chumvi,barikiwa Sana kw jina la Yesu

  • @rehemamasanja8875
    @rehemamasanja8875 11 месяцев назад

    Asante sana dada kwa mafundisho mazuri. Niko tayari kuamini nguvu za universe, amen

  • @JesusIradukunda-vu5fg
    @JesusIradukunda-vu5fg Год назад +1

    Asante sana.namimi nintahakikisha nintahakikisha namjua mbaya wangu,maishs yangu yanabadilika.kwanguvu za univas

  • @ShakilaAlly-c4d
    @ShakilaAlly-c4d Год назад +1

    Ahsante kwa somo zuri

  • @PatricKinyili-vy1kj
    @PatricKinyili-vy1kj 8 месяцев назад

    Asante sana Mimi ni mgeni kwa wiki mbili sasa,nimeanza kushudia vizuri nguvu za universe zina uwezo kabisa,mungu akupe nguvu za kutuelimisha,asante

  • @ZubedaKilenza
    @ZubedaKilenza 6 месяцев назад +2

    Yani nimeona.matokeo❤

  • @ShegoAbudallah
    @ShegoAbudallah Месяц назад

    Asante Dana na omba kujua nyota yangu

  • @jamesmagwiza8388
    @jamesmagwiza8388 9 месяцев назад

    Uko vizuri sana mpendwa nimekuellewa, unadar

  • @mallemaOg
    @mallemaOg Год назад +1

    Dada ahsante mnoooo kwa maajabu tu ninayoyaona kabla hata cjaanza kufanikiwa kwangu inatosha kusema ahsante dada nitafata hatua zote mpaka nifanikiwe na kwenye pesa

  • @AbaAbaa-t6h
    @AbaAbaa-t6h 11 месяцев назад

    Asante nikotayari kwanini nguvu za yunevercity😊

  • @RufinaMbunda
    @RufinaMbunda Год назад +2

    Asante kwa maelezo yakoje naweza kuweka limao nagrasi ya maji kwa siku moja

  • @jacklinemutayoba2132
    @jacklinemutayoba2132 Год назад +1

    Asante sana

  • @melkiadakadende444
    @melkiadakadende444 7 месяцев назад +1

    Asante mama Mungu akubariki

  • @HumphreyKarua
    @HumphreyKarua Год назад +1

    Hi dada nina tatizo hilo nitatumia tiba hii asante sana h

  • @RizikiTesha
    @RizikiTesha Год назад +2

    Sawa dada ngoja nijaribu

  • @SaimonMatika
    @SaimonMatika 7 месяцев назад

    Tajiri mwenye baraka na mafanikio makubwa ni mimi 🙏🙏

  • @YohanaDominic-r1o
    @YohanaDominic-r1o Год назад +1

    Asante dada tupe ya kushinda tunaobeti sasa

    • @marymushi5938
      @marymushi5938 11 месяцев назад

      Kbsa team 20 unakuta 2 zinachana au moja

  • @JosephMatagaro-v6t
    @JosephMatagaro-v6t Год назад +1

    Nipo karibu kupokea muujiza

  • @khadijasudy9859
    @khadijasudy9859 Год назад +1

    Asatee kwa somoo

  • @pascalbeda7415
    @pascalbeda7415 Год назад +1

    Ahsante kwa mambo mazuri

  • @eliciamkama7315
    @eliciamkama7315 Год назад +1

    Asaante

  • @VailethVedastus
    @VailethVedastus 4 месяца назад

    Asante dada yakibaki maji meupe nayaoga

  • @HassanNyandwi-dk7tv
    @HassanNyandwi-dk7tv Год назад +1

    Asante dada ninashukuru kupata mafunzo mazuri

  • @SebaBesson
    @SebaBesson 4 месяца назад

    Asante saaana kweri kutuj7lisha ilo

  • @IbrahimKidaa
    @IbrahimKidaa Год назад +1

    asante

  • @MapendoMoshi-fs6km
    @MapendoMoshi-fs6km Год назад +1

    Uko vzr dada

  • @TawosiTawosi
    @TawosiTawosi 6 месяцев назад

    Ahsante sana

  • @biheheamani6217
    @biheheamani6217 9 месяцев назад

    Napokeya muhujiza wakuondoa nguvu mbaya ndani mwangu

  • @rtrw708
    @rtrw708 Год назад +1

    Assant saana dada yangu

  • @IreneMakelezu
    @IreneMakelezu Месяц назад

    Naweza kutumia jina la yesu

  • @gakinjaveronica-cl3lx
    @gakinjaveronica-cl3lx Год назад +1

    Asante dada

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 11 месяцев назад

    Shukran sana

  • @MARIAMYANGOLE-lu6xj
    @MARIAMYANGOLE-lu6xj 29 дней назад

    Nipo tiar kupokea muujiza wangu

  • @annielike3848
    @annielike3848 Год назад +1

    Thanks so much

  • @mashaurifoundation
    @mashaurifoundation 8 месяцев назад +1

    Napokea Nguvu Mpya Kutoka Kwa Universe

  • @DanteAhmad
    @DanteAhmad Год назад +3

    Dada mm ndani kwng kuna ndege wamejenga viota vya nyas je ni ishara nzuri au niwatimue

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  Год назад +1

      Ishara nzuri sana,usiwatoe

    • @ImaniAlly-n6i
      @ImaniAlly-n6i 3 месяца назад

      @@NGUVUZAUNIVERSE utanuwia maneno gani wakati wa kuoga hizo dawa?

  • @ShabanTamla
    @ShabanTamla Год назад +2

    Nimekubari nitafanya

  • @RoselineNangila-n8p
    @RoselineNangila-n8p 11 месяцев назад

    Nashukuru sana lakini ikiwa huna choo cha kuflash unafanje

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 Год назад +1

    Ahsante dada

  • @BarakajumaJumamadirisha
    @BarakajumaJumamadirisha Год назад +2

    dada mambo

  • @AshaAdam-o6y
    @AshaAdam-o6y Год назад +1

    Asate dd

  • @RamadhanishabaniMseswa-qy9xj
    @RamadhanishabaniMseswa-qy9xj Год назад +1

    Dadá kwanza nikushukuru Kwa somo lako mungu Akupe zaidi ya unacho kitoa asante pili swali nifanyeje ili kudhibiti ninacho kipata kiweze tulia

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  Год назад

      Karibu Sana,, hakikisha nyota yako ipo vzr kila kitu kitakaa sawa

    • @RamadhanishabaniMseswa-qy9xj
      @RamadhanishabaniMseswa-qy9xj Год назад

      @@NGUVUZAUNIVERSE madam samahani ili kujua kama Nyota iko sawa nifanyeje pia nimetamani kujua zaidi ni vitu gani au Chakula gani tunapaswa kutumia ili kukaa sawa tusisumbuliwe na matokeo mabaya kwenye maombi

  • @subiramustapha6125
    @subiramustapha6125 8 месяцев назад

    Napokea muujiza wakuondoa nguvu mbaya katika maisha yangu yote

  • @WemaeliWarema
    @WemaeliWarema 8 месяцев назад

    Napokea nguvu moya kotoka kwa universe

  • @Gracekato-i8l
    @Gracekato-i8l 10 месяцев назад +3

    Napokeamuujiza WA kuondoa nguvu mbaya ndani mwangu

  • @mathewrashid-i2n
    @mathewrashid-i2n 5 месяцев назад +4

    INAWEKWA VYUMBA VYUMBA VYOTE AU KIMOJA TU?

  • @Jammie626
    @Jammie626 5 месяцев назад

    Amina

  • @AnnaShonga
    @AnnaShonga 10 месяцев назад

    Nataman sana niisome elimu hii nitaipataje?

  • @veronicaaugust1793
    @veronicaaugust1793 5 месяцев назад

    AMINA

  • @EtaparElizabeth
    @EtaparElizabeth 6 месяцев назад +2

    Asante dada number yako

  • @TinaAchieng-t4t
    @TinaAchieng-t4t 5 месяцев назад

    Amin

  • @HamduMaulid
    @HamduMaulid Год назад +1

    Nitumie ujumbe wa Kinga yenye2e

  • @RebecaCharles-r8y
    @RebecaCharles-r8y 2 месяца назад

    Dada naomba uniunganishe kwenye guru p lako

  • @JunesAtilio-sr9fl
    @JunesAtilio-sr9fl Год назад

    Asante sana dada

  • @RizikiGalibwa
    @RizikiGalibwa 4 месяца назад

    🎉dada nitumiye numero zako mafudisho haya ni mazuri saana

  • @SalmaMo-hu6df
    @SalmaMo-hu6df 3 месяца назад

    Asante dada swali lang ni huku niliko sina mushumaa ninyanyeje

    • @AngelRimoy
      @AngelRimoy 3 месяца назад

      Nyanya ivyoivyo mahi😂

    • @Teaching356
      @Teaching356 3 месяца назад

      ​@@AngelRimoynifanyeje!? Au😁

  • @marianamichael5406
    @marianamichael5406 Год назад +1

    Samahan hiyo karafuu na mdalasini sio lazima iwe ya unga hata magome yanafaa

  • @Teaching356
    @Teaching356 3 месяца назад

    Na ya kawaida inafanya kazi, kuna siku nilikuwa naumwa vibaya nilichukua maji kidogo nikachukua na chumvi nikawa najipaka kama mafuta mwili mzima haikuchukua hata robo saa nilikuwa nsharudisha afya yangu🙏🏻kikubwa imani Tu.

  • @sarahathuman3034
    @sarahathuman3034 3 месяца назад

    Ni lazima mshumaa

  • @MagesaChacha-n4o
    @MagesaChacha-n4o 7 месяцев назад +3

    Dada mimi ni muumini mzuri sana wa nguvu za ulimwengu na zimeniletea matokeo chanya kifedha,sasa nauliza kila nilalapo huwa huwa nastuka usiku wa manane kwa ajili ya kenda haja na wakati huo huo huangalia saa yangu katika simu kuna muda nakuta 2:02 au3:03 au4:04 na siku zote nikiona hivyo huwa silali tena hutafakali na kuanza kumwomba mungu mpaka alfajir je nimakosa?

  • @ibrahimkumrwa5768
    @ibrahimkumrwa5768 11 месяцев назад

    natamani kujuakuondoa nguvu mbaya ndan mwangu

  • @willerapha1799
    @willerapha1799 2 месяца назад

    Ni lazima iwe chini au naweza kuweka hata juu ya friji au kabati?

  • @Juster-d4g
    @Juster-d4g Год назад

    Nikotayali kujiunga nanguvu za yunivas

  • @dalilahothman-z3x
    @dalilahothman-z3x 10 месяцев назад +2

    Chumvi hii haitakiei kukaa wazi kwani inavuta vituhasi sasa maduka i utakuta iko wazi .Je tunapoinunua ktk hali hiyo inakuwaje? Itafaa?

  • @Warda-o7e
    @Warda-o7e 6 месяцев назад +2

    Yani apo umenisema mm kabisa

  • @MilliaPaschal
    @MilliaPaschal Год назад +1

    Naomba urudie pale kwenye mdalasini

  • @MahutaAyeba
    @MahutaAyeba 4 месяца назад

    Jambo je!ku flash Ndio uni?

  • @monicamonica1511
    @monicamonica1511 Год назад

    Kama je nikiweka sebule i??

  • @munheart1561
    @munheart1561 Год назад +1

    Mimi

  • @antonlwila8143
    @antonlwila8143 Год назад +1

    Mimi napenda kujua inapatikana wapi nionane na wewe live.

  • @ntezimanalambert8233
    @ntezimanalambert8233 10 месяцев назад +2

    Dada naomba Unieleze Namna Ya Kutumia Olive Oil

  • @maasnyinyigwa9330
    @maasnyinyigwa9330 Год назад +2

    Ninaweza ogea chumv na mdarasi pamoja kwaajili ya pesa

  • @AnaJames-r2z
    @AnaJames-r2z Месяц назад

    Mtoto wangu anapenda shule lkn ni mgum kuelewa nifanyaje

  • @LeodgardMmassy
    @LeodgardMmassy 4 месяца назад

    Ok habar za Leo? Je unaweza kutumia glad ya maji pamoja na kuwasha mshumaa kwa pamoja kuondoa hizo nguvu mbaya ? Yan kutumia vyote kwa pamoja?

  • @GeorgetteNzeyimana
    @GeorgetteNzeyimana Год назад +1

    Nimekosa mteja wakuuza nyumba wakitizama wanapenda hata pesa tunakubaliana ila wakiondo tu awarudi tena nifanyeje ???

  • @HafiidhBaraba
    @HafiidhBaraba Год назад +1

    Kama unaixhi kwenye nyumba za udongo

  • @Jeopar_dize
    @Jeopar_dize 8 месяцев назад

    Je, baada ya kufanya Hilo zoezi hazita nizuru yaani kuleta madhara

  • @AnithaRiwa
    @AnithaRiwa Год назад +2

    Nitumie number yako Kama hauna hela kabisa utaweza

  • @frankmussa2138
    @frankmussa2138 2 месяца назад

    Kwann hutaki kutupa namba zako?

  • @DoreenMichael-t2p
    @DoreenMichael-t2p 5 месяцев назад

    Pia unaoga kwa muda gani?

  • @anniajames6678
    @anniajames6678 7 месяцев назад

    Napokea muujiza wa kuondoa nguvu mbaya ndani mwangu

  • @nazarypound
    @nazarypound Год назад +1

    Au ni lazima utumie njia ya kwanza ya glass

  • @DoreenMichael-t2p
    @DoreenMichael-t2p 5 месяцев назад

    Kuoga hiyo ni maji ya aina gani yaani ya moto au ya baridi?

  • @marianamichael5406
    @marianamichael5406 Год назад +2

    Na unaoga wakati gan au mda wowote tu

  • @AllyLuambano
    @AllyLuambano Год назад +1

    Hiyo venegi inapatikana dukani au wapi

  • @PriscaKimario-s2i
    @PriscaKimario-s2i 6 месяцев назад

    Naomba namba yako mm ninashida ninaitaji uni saidie

  • @marianamichael5406
    @marianamichael5406 Год назад +2

    Ma ukitaka kuogea chumvi na hiyo mdarasin pamoja na karafuu unaweza kuogea hata choon au bafuni

  • @SecretariatZanzibar
    @SecretariatZanzibar Год назад +1

    Haya maji ya chumvi, limau na mshumaq unaweka siku moja au siku tofauti?

  • @ZeddyZeddy-o7v
    @ZeddyZeddy-o7v Год назад +1

    Mdalasini na karafuu za unga za faa?

  • @nurdinibrahimu7312
    @nurdinibrahimu7312 Год назад +1

    He ukimwaga maji unamwaga pamoja na hiyo chumvi au

  • @AnithaRiwa
    @AnithaRiwa Год назад +1

    Na Kama unaishi n watuu

  • @dingadinga6674
    @dingadinga6674 Год назад +2

    Hvi vitu mdarasin na chunvi haukosi pesa

  • @SaidRashidi-q9e
    @SaidRashidi-q9e Год назад +1

    utupemae lekezo ya kuondosha nguvumbaya ndani namwilini

  • @kalulumango-ql5sg
    @kalulumango-ql5sg Год назад +1

    Jambo dada na weza Pata namba ya kwako ya upeke ?nataka maogezi

  • @InostmagoyoMagoyo
    @InostmagoyoMagoyo Год назад

    Nimelima shamba la mpunga lilikuwa vizuri lakin nahsi limeharbiw kichaw mpunga unaharbika tu nifanyaje

  • @felisterjoshuamollel3930
    @felisterjoshuamollel3930 Год назад +1

    Dada mimi nlieka maji ya chumv kwa cku saba lkn hayajachafuka

  • @JOHNSANGA-jw2bq
    @JOHNSANGA-jw2bq Год назад +1

    Unapo washa mshumaa taa inatkiwa kuzma au

  • @EVERLINEMoraa-zo2vi
    @EVERLINEMoraa-zo2vi 4 месяца назад

    Nina watito wangu walikua waerefu but wamefika hawapiti vuzuri masimo yao nifanyeje dada