DR SULLE APATA KIBOKO YAKE NI MUONGO ATAJA JINI LINALOMUENDESHA LENYE UTAJIRI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 май 2024

Комментарии • 803

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Месяц назад +11

    Ukimsikiliza Uyu Ostazi Maneno Yake Yamejaa Elimu Kubwa Sana Sijajua Kwa Watu Mnaomsema Mnawaza Nini Kichwani Maneno Yake Ziko Pointi Nyingi2 Moja Anasema Mtu Ukipata Pesa Kupitia Jini Ujue Wewe Unamuamini Jini Kuliko Mungu Na Yapo Maneno Mazuli2 Tuache Kusema Uchawi Uchawi Mimi Nachukia Sana Mashee Wale Kazi Yao Maubili Yao Wanawake Na Ngono Wanawake Na Ngono Mpaka Unawaza Inamana Kitabu Kinazungumza Ngono2

    • @abdulrauphaiy3032
      @abdulrauphaiy3032 Месяц назад

      Naam.

    • @user-je7no7lq7d
      @user-je7no7lq7d Месяц назад

      exactly

    • @fredducaunt
      @fredducaunt Месяц назад

      Hakuna cha elimu Wala nn
      Ushirikina tu
      Mwogopeni Mungu
      Achana na mapichapicha Jini ndo ushenzi gani acheni dini za uongo

  • @user-bc2wd1sq3k
    @user-bc2wd1sq3k Месяц назад +8

    Kesho Miele ya Allah kutatanda
    😢😢😢😢😢😢 na jasho, Ya rab nisamehe mimi na unionize ktk kheri na uongoze ulimwengu mzima.

    • @ramadhaninchimbi8807
      @ramadhaninchimbi8807 Месяц назад

      Huyu jamaa ni mshirikina...Tanbih kwa waowafuata hawa jamaa kwaajili ya tiba,,wajue wanawaendea washirikina wanaojificha ktk kivuli cha dini

  • @user-rt5vq5vc3k
    @user-rt5vq5vc3k Месяц назад +11

    Subuhanallah Allah tujalie mwisho mwema

  • @AbdulMikidadi-sl9gx
    @AbdulMikidadi-sl9gx Месяц назад +12

    Kuita jinn ni katika ushirikina ushahidi aya ya 6 suratul jinn na hadith ya mtume (s.a.w) alipomfunga sheytwan akakumbuka maneno ya nabii suleiman ('alayhi salaam) aliposema Allah (s.w) asimpe kiumbe yeyote uwezo aliopewa yeye wa kuamrisha majinn
    Hakuna wa kati na kati ktk kuleta rizk, Allah (s.w) haitaji pete kukuletea rizk wala jinn muogope mola wako rejea ktk manhaj sahihi ya ahlul athar wa sunna wa jama'a kutoka kwa ufahamu wa wema waliopita

    • @RamadhaniMsukuma
      @RamadhaniMsukuma Месяц назад +1

      We😂 nawe hata haujui tofauti ya shwaitan na jini

    • @AbdulMikidadi-sl9gx
      @AbdulMikidadi-sl9gx Месяц назад +1

      @@RamadhaniMsukuma tafauti yake nini?

    • @user-kn8pw7vk4e
      @user-kn8pw7vk4e Месяц назад +1

      Hadithi tu izo ...sifa za shetani hakuna wa kumfunga zaidi ya MWENYEZI MUNGU, funguka akili

    • @user-yv3qi1yf3j
      @user-yv3qi1yf3j Месяц назад

      Swadakta

  • @user-pe1qv1sn5p
    @user-pe1qv1sn5p Месяц назад +5

    dunia hii inamambo mengi sana mwenyezi mungu atunusuru mana kila mtu analake kwasababu moyo wa mtu ni msitu Allah atuongoze ktk kheri zake atuepushe na tamaa za maisha haya kumekua na mambo mengi mnoo yaarabi tunusuru yaarabi

  • @nundabe
    @nundabe Месяц назад +6

    Mimi na YESU wangu fresh, pengine panatisha…

    • @softymoha5484
      @softymoha5484 Месяц назад

      yeu hakuwa mkiristo.
      wala wakiristo hamufwati yesu
      wala mafundisho yake
      wala lolote alilolifanya yesu hamna mnalilifanya.
      kwa taarifa yako.
      yesu hakuwahi ingia kanisani,
      wala wakati wake hakukuwa na kabisaa
      sasa wewe unamffwata yesu yupi?

    • @AlfredZacharia-of3je
      @AlfredZacharia-of3je Месяц назад

      YESU ni kristo, na sisi niwakristo soma wagaratia 3:29. Na tunafuata mafundisho yake, kwanza tunaamini kuwa alikufa na kufufuka, tunabatizwa kama alivyowaamulu wanafunzi wake, matayo 28:19

    • @fredducaunt
      @fredducaunt Месяц назад

      ​@@softymoha5484toka pepo

  • @rashidbusanya5843
    @rashidbusanya5843 Месяц назад +2

    Allah kuongelea shiriki Kwa mara nyingi zaidi Tena Kwa uzito kunamaana sio Bure

  • @abelwillium4286
    @abelwillium4286 27 дней назад +1

    Kaka nimekuelewa vizuri Sana Ira mtangazaji hajakuelewa

  • @Ostica..Omie..junior
    @Ostica..Omie..junior Месяц назад +9

    Wewe mtangazaji..ni mgombanishi sana..DR sule ajasema kuwa aiwezekani kumwita jinni..amesema kuwa inawezekana rakini inaitajika uwe na elimu ya kutosha ya kuongea na majini...ninekusawisha vizuri mtangazaji..ukiwa na elimu ya kutosha ya kuongea na majini..utakuwa nao uwezo wakuwaita

    • @abdallahmkali3251
      @abdallahmkali3251 Месяц назад

      Mtangazaji amejikanyaga

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 Месяц назад

      Alafu anataka kujua kila kitu mtu ashasema ni siri yake lakini yy analazima ajue khaa

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa Месяц назад

      Unamwita jini Kwaajili ya nini,nyie watu acheni uchawi, Muhammad hakuwa mtume wa Mungu na ndiyo maana hakuna mahali kwenye koran panaonyesha Mungu alisema naye kama alivyosema na wakina Musa, Yesu, Samuel au Daniel,mud ni muongo na ndiyo maana hata mafundisho yake yanachanganya sana

    • @hatibubalozi592
      @hatibubalozi592 Месяц назад

      wewe mwehu huna akili​@@FridayMwassa

    • @maciaali3698
      @maciaali3698 Месяц назад

      Mwamini Allah,hakuna mafundisho ya Pete katika Quran tukufu watanzania wacheni ushirikina

  • @allyally5124
    @allyally5124 Месяц назад +2

    Masheikh wa bongo njaa zinawasumbua sana.. Allah atawahuku.

  • @yusuphibrahim-yq9mv
    @yusuphibrahim-yq9mv Месяц назад +9

    Allahu akuongoze ktk hqq ndugu yangu

  • @JamesMoses-jd1yq
    @JamesMoses-jd1yq 10 дней назад

    Yaani huyu mwamba Muhammad ana nguvu nyingii za giza hadi kawafanya wafrika wakafata ujinga wake duh mungu tusaidie

  • @joshuaandrew386
    @joshuaandrew386 Месяц назад +14

    Namshukuru MUNGU kuwa mkristo Hakika nipo mahali salama na pa uhakika ni njia isiyo na shaka yoyote.

    • @Anuarmustafa4128
      @Anuarmustafa4128 Месяц назад +2

      Bado hunawa salama yesu anaenda kukukataeni mbele ya mungu

    • @AbdalahMtambuka-rh1dp
      @AbdalahMtambuka-rh1dp Месяц назад +1

      uoukilsto niushilikina kukubali yesumungu niushilikina kumpinga mtume Mohammad s.a.w. ukafili kukubali yesu kajakukomboa zambizawatu niushilikina nyinyi wakilsto amunaelimu yadin .atamwamposa nimshilikina

    • @AbdalahMtambuka-rh1dp
      @AbdalahMtambuka-rh1dp Месяц назад

      achakuogopa pumbavuwe uklsto niushilikina kaamini yesu nimungu kumpinga mungu kusema kunamungu baba namungu mwana niushilikina kuamin msalaba nakuutii niushilikina waklstowote niwashilikina kakuna mklsto anabisha nimpeandiko ndani yakitabuchake biblia awa wakilsto niwasomi ila awaisomi dini wanaelimu yakutafuta ajilatu kwaio wewe usiogope kusema ukweli abuwewe mklsto soma kwanza issaya 10..56

    • @user-ve3wu5jn1l
      @user-ve3wu5jn1l Месяц назад

      Hahahahaha . Allah akuongoe ujue njian sajihi

    • @OG_The_King
      @OG_The_King Месяц назад +2

      Amina, Hakika Yesu ni Bwana

  • @mohammedrutta4989
    @mohammedrutta4989 21 день назад

    Inna shshriki ladhulmun a'dhwiim.Hii ndo dhambi kubwa kuliko dhambi yoyote kuweni makini na hayo mnayoeneza na muandae majibu mazuri kwa Allah s.w

  • @user-yv3qi1yf3j
    @user-yv3qi1yf3j Месяц назад +1

    Wote washirikiina muislamu safi anamjua mungu pekee.

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 22 дня назад

      Abdullah ni neno la kiarabu, pia ni jina Abdullah maana yake ( KUMTEGEMEA MWENYEZI MUNGU ) sasa wengine Wanategemea majini kinyume na Mwenyezi Mungu. Hili ni balaa.

  • @abubakarahyan9515
    @abubakarahyan9515 Месяц назад +10

    Yye hyu anajita bin laden aah hwa wote matapeli wallah mungu shahid hta mm kanitapeli anatafuta umaarufu hana lolote Na ushahid ninao juu ya u tapeli wke asimponde mwenziwe, asitoe aibu ya mwenziwe wakt zak anazoo

  • @amyassyassin7909
    @amyassyassin7909 Месяц назад +7

    Wote waongo hawa, si ktk mafunzo ya Quran wala mafunzo ya Mtume salallahu alayhi wasalla. Majini wema wanaomtii Allaah hawaingii ktk vichwa vya watu wala hawashirikiani na wanaadamu.

  • @sulekhan7119
    @sulekhan7119 Месяц назад +6

    Hakuna jini wakuleta pesa fanyeni kazi acheni kudanganya umati Muhammad

  • @mohammedmasudi-dz6hb
    @mohammedmasudi-dz6hb Месяц назад +5

    SUBHAANA ALLAH
    SUBHAANA ALLAH YAARABBY TUONGOZE NAHAWA NDUGU ZETU KTK HAKI ZAIDI

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Месяц назад

      Tunapata Maneno jinsi waislamu Wanavyoita Majini na Jinsi wanavyotajirika kupitia Majini

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 Месяц назад +4

    Acheni uongo, kwa Mwenyezi Mungu hakuna siku mbaya, siku zote ni nzuri.
    Vinginevyo ni shirki.
    Na sio mnaita majini mnaita uchawi.

    • @LumolaSteven
      @LumolaSteven Месяц назад

      Una ushahidi gani kusema siku zote ni nzuri? Siku ya ijumaa ni siku bora kuliko zote imetukuzwa na tumepewa umati Muhammad.

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 Месяц назад +2

      @@LumolaSteven Siku zote ni nzuri, na Al jumaa ni nzuri zaidi
      Na ndiyo maana inawakutanisha waja pamoja..

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 23 дня назад

      Kweli, ubora uliomo ndani sala ya al jumaa ni bora kuliko uhai wako. Ila watu hawajuwi.
      Njooni kwangu niwafafaulie sala ya al jumaa na siku yenyewe. Nipo Toangoma( al musabih ) na maswali yenu yoye najibu Mimi mfano kama waliopita. Allah ameniruzuku elimu toshelezi.

  • @saadislam718
    @saadislam718 5 дней назад +1

    Namba ya simu dkt sulle tafadhali

  • @JumaHamisi-qh3lo
    @JumaHamisi-qh3lo Месяц назад +2

    Acheni kuusema uislamu kwa vibaya kwasababu ya haya maneno qur-ani na sunaa za mtume Muhammad swalla llahu alayhiwasallam hazjafundidha upuuzi 17:54 hio

  • @shamimnelly.8042
    @shamimnelly.8042 Месяц назад +6

    Huyu ana ukweli fulani mimi najua na naelewa chenye anakiiongelelea

  • @vijanawapendakherfoundatio5069
    @vijanawapendakherfoundatio5069 Месяц назад +4

    Watu wengi wamebabaishwa na lugha mkamuona huyu shekh apana ni shirki tu

  • @omarmzaham7248
    @omarmzaham7248 Месяц назад +2

    !!Hii ni SHIRKI!! kwa muislamu yeyote anae soma labda hana uhakika hapa, tiba ya ruqya na shifaa yeyote inatoka kwenye Quran kwa idhini yake Allah(s.w.t) na RasullAllah(s.a.w) ame tu ongoza kwenye Sunnah zake zote na dini ime kamilika usi danganywe kwenye Bidaa,ingekua kweli haya mambo sijui nyusi za samaki sijui nini ..kutoka kwenye sahaba wa kizazi cha pili auTābiʿū al-Tābin ingekua hizi sunna zote ziko wazi kwa waumini...chunga imani yako na amali zako jitenge na kufur!...

  • @jovinmancomedytz
    @jovinmancomedytz Месяц назад +1

    Mungu akujalie kaka mi nimekuelewa sana sule anatuongopea sana etikunamajini wazuri nimekuelewasana kaka

  • @shamimnelly.8042
    @shamimnelly.8042 Месяц назад +20

    Huyu jamaa Ameongea vitu vya ndani saana tatizo watu kuambiwa ukweli ndio hawapendi

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Месяц назад +4

    JAMAAA KASOMA HAYO MANENO SIO YA KUOTESHWA😊,,,NA NDIOMANA TUNAMSIKILIZA,,,OPTION NI 2 TU,,,KUBALI AU PUUZA,,,USIANZE KU CRITISAIZ WATU NA HUNA UNACHOKIJUA TULIA ELIMIKA.

  • @albertpike6208
    @albertpike6208 Месяц назад +5

    12:55 kitu chochote ukivaa kwa malengo ya kinga huo ni ushirikina hata ukiandika aya za quran alafu ukazitundika ukutani ama mlangoni alafu ukaamini ni kinga yako huo ni ushirikina

    • @jumaa052
      @jumaa052 Месяц назад +1

      Je upo Sawa kabisa usitoe hukumu Hali ya kua hujui hukumu ya jambo

    • @thabitimkufi7388
      @thabitimkufi7388 Месяц назад +1

      Yaani hawa waganga dahh dini inaharibiwa jamanii

    • @user-pl8pn7qb9e
      @user-pl8pn7qb9e Месяц назад +1

      Hawa waganga wa kienyeji ndo wanao tuharibia dini ,ushirikina umewajaa

  • @sadikiissa7756
    @sadikiissa7756 Месяц назад +5

    Waislam tujizatiti ktk kusoma Tawhiid na kujifunza tiba ya Ruqya ya kisheria kwa jinsi Mtume S. A. W alivyofunza.

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 Месяц назад +1

      Bado ni uchawi na majini watakuja tu uislam na majini ni kitu kimoja

    • @jpmanotaofficial639
      @jpmanotaofficial639 Месяц назад

      Mtume wako kajifunza kwa nani na yeye

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 Месяц назад

      @@jpmanotaofficial639 mtume gani?? Sijawahi kuwa na mtume mchawi

    • @mohamedmwatuwano5526
      @mohamedmwatuwano5526 Месяц назад

      Huyu jamaa anajichanganya. ALLAH ndio kila kitu, haya mengine ni utunzI na uzushi tu wa siku nyingi. Huyu jamaa ni kibaraka wa maandishi asiyo yaelewa vizuri. Muulize nani kaandika hivyo vitabu. Mwambie aende akasaidie wapalestina wasidhulumiwe na waisrael. Kama kweli elmu hiyo yawasaidia waarabu wangesumbuliwa na muamerika. Huo wote ni ulaghai. Kama kweli hio elmu yao na mapete yao yafanya kazi nawaruhusu waitumie kunidhuru mimi, wayatume kwangu majini mabaya sana wafanyie unyama watakavyo wao. Hawa watu wana elmu potoshi. ALLAHU AKBAR!

    • @fredducaunt
      @fredducaunt Месяц назад

      ​@@jesusislord9190😂😂 washenzi hawa wananafasi yao peponi kuongopea watu na kupotosha watu sio bure

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 Месяц назад +1

    Sule anachakujifunza hapa, ule wa sule ni ushirikiana wa wazi na kakufuru mpaka sasa

  • @hakizimanaselemani1995
    @hakizimanaselemani1995 Месяц назад +2

    Mimi na fwatiya sana vipindi vyako : Ila naku hakikishia wote wana tumia ilimu ya Siri ambayo ki sheria yaki islam ni shirki aina ubish ndanimo , Allah pekee ndo mwenye kutowa utajiri na ku kadiria kila kitu , Allah ndo mlinzi , na akuna ushirika wowot saw bin’Adam n majin wot weny kumia ilumu y nyota wot nyuma yao kuna nguvu y jini hutumika nao yot ni ushirikina , haijalish alo sem ame vaa kanzu na kilemba au ni mwarabu au ni nani Ila dini yetu iko waz waz , ndoman mtume saw ame tumia miak mingi kuifundish tauhid, turizik n maish alo tukadiria … Allah uko shahid nime fikish

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 Месяц назад +2

    HIZI ZOTE NI ELIMU ZA SHIRIKI MSIMFUATE WAISLAM.
    WAMUACHE ALLAH HAWA MASHEIKH NI WA GANGA KAMA WANGA WENGINE

    • @alianboori9734
      @alianboori9734 Месяц назад

      Elmu zipo ila kuwa na mipaka yake

    • @thabitimkufi7388
      @thabitimkufi7388 Месяц назад

      Sahihi

    • @SaeedMughayyar-jv8et
      @SaeedMughayyar-jv8et Месяц назад

      Kusoma hizi elimu sio shida madhali Allah ametuteremshia, ispo kua ni mbaya sana kiupande Fulani kama ukizojua Kuna asilimia kubwa sana ya kumuasi Allah. Binadam tumeumbiwa na tamaa

  • @ala1608
    @ala1608 Месяц назад

    Muthani kweli kweli mie nampenda sana sheikh Nurdin kishik havai pete kbsa 😢😢🤔🤔🤔

  • @kasichimoses6869
    @kasichimoses6869 Месяц назад

    Wewe unasema kweli na hutaki unafiki, endelea kuweka wazi wengi wajue, mwenyezi Mungu atakukipa mema, achana na muongo dr Sule

  • @user-lr6ri8bx2f
    @user-lr6ri8bx2f Месяц назад +1

    Innalillah Wainailayhi rajiun

  • @halimamohamed4842
    @halimamohamed4842 Месяц назад

    Subhnallah Allah tujalie mwisho mwema😢😢

  • @OG_The_King
    @OG_The_King Месяц назад +2

    Karibuni huku Kwa Yesu hatuitaji jini ni imani yako. 🎉 Nipo mahala sahihi Yesu anaokoa Karibuni wote muokoke

    • @caswaralbadry8481
      @caswaralbadry8481 Месяц назад

      Hivyo kusema hivyo tu tyr una majini elf washakupotosha

  • @CKMO
    @CKMO Месяц назад +1

    Hii imekuwa Bishara ya uganga sasa wallahi j😢Jamani watangazaji acheni kutafuta waganga kwenye mitandao watu wote wenye tamaa fupi muwataingiza ktk ushirikina hii dunia imekuwa ya ushirikina tuu loooh mungu atuhifadhi

  • @omarbinjaa2801
    @omarbinjaa2801 Месяц назад +2

    Wengi hawa ni wachawi na washirikina watu wa Elimu za majini na nyota n pete

  • @DeoMalungu
    @DeoMalungu Месяц назад +9

    Asante Mungu mimi kwakuwa mkristo

    • @abdoumadiousseni4835
      @abdoumadiousseni4835 Месяц назад

      Kkkk

    • @joshuaandrew386
      @joshuaandrew386 Месяц назад +4

      Hakika ukristo Raha na ukweli usio na unafiki YESU NDIYE NJIA PEKEE KWELI NA UZIMA.Aasante na namshukuru MUNGU kuwa mkristo.

    • @bakarithegeoinformatician7406
      @bakarithegeoinformatician7406 Месяц назад +2

      Kwahio hapo kuna muislam unavyoona? Hao washirikina wote kuvaa kanzu haimaanishi kuwa wewe ni muislam.
      Kwahio hii kesi ya mchungaji kubaka inamaana kuwa wakristo wote wamebaka au wanabaka? Ni tabia ya mtu tu

    • @jaaffarabuu6750
      @jaaffarabuu6750 Месяц назад

      Ww huna din nahuyo pia sio muisilam ndugu soma kumjua mungu wahak

    • @AlfredZacharia-of3je
      @AlfredZacharia-of3je Месяц назад

      Huo ndio uislam maana majini walisilim wakawa waislam

  • @kaundemtanga
    @kaundemtanga Месяц назад +2

    Uyu kijana nilimjua mwaka 2021 anaitwaa sir Bin laden Nilimpata Kwa Bingo alinisahidia Sanaa kunitibia matatizo yangu uyu anajua haswaa Tiba SEMA umri wako ni mdogo

    • @gideonjohn8912
      @gideonjohn8912 Месяц назад

      Habari ndugu naomba namba zake ninamgonjwa labda anaweza nisaidia

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 Месяц назад

      ​@@gideonjohn8912
      Kachukua kwenye channel yake inaitwa firdausi

    • @hamisiiddi7340
      @hamisiiddi7340 Месяц назад

      Tunaomba namba

    • @GoodDeeds-Jesus
      @GoodDeeds-Jesus Месяц назад

      Naomba kuwasiliana na wewe tafadhali nikwambie Habari za uponyaji kupitia Yesu Kristo kama hutojali ​@@gideonjohn8912

  • @user-qw3fj1zw6p
    @user-qw3fj1zw6p 23 дня назад

    Mungu nijaariye mimi naummawako woote

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 Месяц назад +3

    SubhanaAllah mtihani Allah atuepushe na shirki

  • @Zaharaamiri
    @Zaharaamiri Месяц назад

    Subhanallah
    Allah Akbar
    Nyie ni washirikina wakubwa sana
    Na mtaingia motoni milele
    Mnatuaibisha ss waisilam

  • @user-ih7nl5nv3c
    @user-ih7nl5nv3c Месяц назад +1

    Tuwasomeshe watoto wetu ttauhidi wasije kua waganga

  • @user-dv8lm4ko5i
    @user-dv8lm4ko5i 23 дня назад

    Huyo jamaa wala sio sheikh anatafuta kumchafua Doctor Sule Mshamba tuuu

  • @BJMKANGALA1
    @BJMKANGALA1 Месяц назад +5

    1.Mhoji na mhojiwa ni washirikina. 2.Hakuna kanisa la Kristo linaloshirikiana na majini.

    • @user-ly2tv5og1n
      @user-ly2tv5og1n Месяц назад +1

      Soma vizuri kuhusu kuundwa kwa Freemason utapata ukweli.

    • @triuneapologeticsevangelis5912
      @triuneapologeticsevangelis5912 Месяц назад

      😂😂😂hata maswala Yako kwa Quran na waislamu lakini kwa unafiki wanajifanya yanafanika makanisanai... Ignorance 😂😂😂

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 Месяц назад +1

    Elimu ya nyota ni miongoni mwa elimu ya shiriki.

  • @aziziatumanially424
    @aziziatumanially424 Месяц назад

    Asante mtu uliyenihubilia injili ya Yesu

    • @muhammadmbaraka4515
      @muhammadmbaraka4515 Месяц назад +1

      ALLAAH akuongoze

    • @noors7030
      @noors7030 24 дня назад

      Ukae ukijua wate ni washirikina wanamshirikisha Allah na majin Muslim humuomba Alla pekoe mmoja tu

  • @azizabuyonde8368
    @azizabuyonde8368 Месяц назад +1

    Yaaani jini anajuwa dini la kislamu, kanisani hatupandishi jini, sisi tuna Roho mtakatifu

  • @OmarMohamed-bs2hf
    @OmarMohamed-bs2hf 7 дней назад

    Mm siofundi ila mm hizi mambo mnayo ongelea ni mjarabu sana sule anajuwa nn anacho kiongelea

  • @kahenatz3594
    @kahenatz3594 Месяц назад +6

    Majina uliyo yataja ya majini ndio majina ya maraika waasi kwa mujibu wa kitabu cha henoko

    • @mohamediliyei5879
      @mohamediliyei5879 Месяц назад

      Watu wengi wasiokuwa na elimu hutumia mihemko kufikisha yao unajua elimu hizi zipo nyingi Watu wamezama kwenye elimu mbali mbali ndio maana wazungu baada ya kuona wenye vyao akili zao ni kukopy na kupest bila kufuatilia mambo wenzetu wazungu wanavichukua na kuvitumia na kufanikiwa maeneo mengi sana lakini kwa hawa Watu waliojaliwa kubishana na kutukana mitandaoni ukiwachunguza kwa undani hawana elimu wasoma tabbatiada zao tu wameanza kujifunga viremba tu hata vyanzo na maana yake hawajui tusome elimu jamani tuzame kwenye vitabu msome msikalie matusi tu mnajichoresha tu

    • @HafidhKhamis-ph8qg
      @HafidhKhamis-ph8qg Месяц назад

      Hakuna malaika alieasi acha kufru wewe

  • @hamzarangi7989
    @hamzarangi7989 Месяц назад +1

    Mtangazaji umemsingizia dr sule huyo shehe yupo right ila umemsingizia dr sule hawezi kusema jini haitwi

  • @user-ei9rh7vh7e
    @user-ei9rh7vh7e Месяц назад

    Tumcheni Allah tungu zanguni kwenye uwislam elimu zote zipo tunaamin lakn so kila elimu inafaa kuifanyia kazi ,hapo hatuna masheikh wote wamrudie Allah kabla kufa

  • @moseskusamba431
    @moseskusamba431 Месяц назад +2

    Jamani hii ndini au uchawi!

  • @MathayoAugustino
    @MathayoAugustino Месяц назад

    Mnamtania Mungu

  • @maciaali3698
    @maciaali3698 Месяц назад

    Hawa watanzani wote washirikina mtapata laana kutoka kwa Allah

  • @moudy4realibrahim601
    @moudy4realibrahim601 Месяц назад +1

    Naomba umuulize sheikh hukmu ya kumdhurumu mtu haki yake inakuaj kwa mwenyezi mungu

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv Месяц назад

      🤔🤔

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Месяц назад

      Wenae shehe yukowapihapo. Hukumuyake mototu ukitakakusalimika umlipe

  • @rashidabasi7940
    @rashidabasi7940 Месяц назад

    Sheikh naona karuka alipogusiwa sio makanisa yote.. Eti inawezekana Sio Tanzania.😂😂

  • @mohammedjabir6128
    @mohammedjabir6128 Месяц назад

    Kajitahidi shekhe kueleza lakini hapo katika pete kachemsha, Allah amuhidi!

  • @fredducaunt
    @fredducaunt Месяц назад

    Ukristu ndo dini ya kweli
    Duh nkajua mnaakili kumbe manyumbu tu
    Majini toka lini akawa integral part na Dini
    Upuuzi huu

  • @allykigatta7564
    @allykigatta7564 Месяц назад +47

    ....HAWA WOTE NO WAGANGA WA JADI KUMAAMAYE ZAO....HAKUNA SHEHE HAPO WALA USTAADHI...HAO WAPO KWA AJILI YA KUUKASHIFU UISLAM TU BASI.....SHEHE NA MAPETE NI WAPI NA WAPI....KUANZIA DR SULLE NA HUYO MBWA UNAYEMHOJI HAPO WOTE NI WAGANGA WA JADI KIMAAMAYE ZAO...

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 Месяц назад +12

      Sasa matusi ya nini, au kuitana aina ya wanyama? Umekosea sana sana, umefika mahala pabaya mno kumtukana mtu asiehusika ni sawa ? Omba msamaha hata kimoyomoyo si jambo la kheri kumtukana mama au kuitana majina ya wanyama

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 Месяц назад +1


      UPEW ULINZ WAKUTOSH

    • @yusufkishiwa-wr3jn
      @yusufkishiwa-wr3jn Месяц назад +3

      Mtume Muhammad Aliwauluza ma swahaba mufilusi Ni mtu wa Aina gani? Ma swahaba wakajubu Ni mtu aliyefirisika Kisha Muhammad akasema mmekosa Mufilisi Ni yule mtu anayewatukana wazazi wake wawili mfano unapomtukania mwengine wazazi wake hapo Ni sawa na kuwatukana wazazi wako

    • @faridahalwaily85
      @faridahalwaily85 Месяц назад +4

      Anaeeee Linda ni mwenyezimngu tuuu hakuna zaidyyyyy yakeeeee.

    • @aishathabit3732
      @aishathabit3732 Месяц назад

      Swadakta

  • @EliaMwangobe
    @EliaMwangobe Месяц назад +1

    Ko hilo neno la kiarabu la kuitia majini linasemwaga kansani ???? Acha uongo mwamba umeyatimba

  • @mops8905
    @mops8905 Месяц назад +4

    Mbwa kwel wewe mungu atakulahan kwa utapel wako

  • @user-jh1vr1vt2k
    @user-jh1vr1vt2k Месяц назад +1

    Tatizo duniya hii mtu akiongea ukweli anaonekana nimpotoshi yeye hajasena hivoo lakin

  • @AishouSamantha
    @AishouSamantha Месяц назад

    Mmmmmh dunia iyi inamengi kwl allh tup mwisho mwem yarab

  • @issaosman7397
    @issaosman7397 13 дней назад

    Dini ya kislamu inaweza tatua shida zote hapa duniani

  • @Muzmuayubu
    @Muzmuayubu Месяц назад

    Hii dunia imeisha ss mungu tunusuru😭🙏 mina

  • @hashimudizele35
    @hashimudizele35 Месяц назад

    inakuwaje shekh ..... hahahah ndugu mwanadishi zingatia mazingira ya salamu

  • @abuudachi3986
    @abuudachi3986 Месяц назад

    Huyo sheikh mwenyewe anang'ata maneno hajaweka wazi anavaa hiyo Pete kwa malengo gani anatakiwa afunguke kama anavyo funguka mwenzie Sule

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz Месяц назад

    Mshirikina sana ww tubu kwa Allah la si hivo Allah atakutia.motoni

  • @mahersuleiman5767
    @mahersuleiman5767 Месяц назад

    Innalillah wainna ilayhi rahiun , hasbiyallah waniimal wakeel

  • @musapfute6608
    @musapfute6608 Месяц назад

    Tukisema wabarakatu wafuga majini mnabisha

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 Месяц назад

    Waislaaamu munatia aibu Sana. Acheni majini wandugu yatawazulia balaaaaaa

  • @sadathashimu223
    @sadathashimu223 Месяц назад +1

    Huu ni ushirikina mtupu namuomba ALLAH mtukufu atuongoze sote maana Hawa ndo wachafuzi wa uislam kwa elim zao za kitaoeli za kutafutia ugali

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze7311 Месяц назад +1

    Kumbe washirikina mnajificha ndani ya dini ya Allah Na Allah atawaumbua

    • @josephdogani3419
      @josephdogani3419 Месяц назад

      Si kwamba wanatumia dini k si kwamba wanatumia dini kufanya ushirikina bali koloani nzima no uchawi tosha ksbiss

    • @bassambashirou4604
      @bassambashirou4604 Месяц назад

      Wapi Quran imefundisha hayo unayoyasema ??
      Acha ubabaifu wewe yaani makafiri ufahamu ni tatizo yaani unashindwa kujua kama Hawa ni washirikina ???
      Mashonde yanskusumbua 😂😂😂

  • @ochuMay05
    @ochuMay05 Месяц назад +3

    Washirikina ni wengi sana siku hizi na wanajificha kupitia dini... Mwenyeezi Mungu atawahukumu wote wanaomshirikisha katika kufanya Shirki.. Maana yeye hakutufundisha kuyatenda hayo..

    • @nelson-cd7fr
      @nelson-cd7fr Месяц назад +1

      Allah atuepushe na hayo

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 Месяц назад

      Naam, wanamshikisha Mola ambaye ndiye muenzi wetu, kwa tamaa za kidunia.waiogope siku hiyo watakapo ambiwa haya waiteni hao majini wenu wakusaidieni. Innalillahi wainaillahi rajoun.

  • @FadhilKassim-qj8tc
    @FadhilKassim-qj8tc Месяц назад

    Huyo na Dr sule wamoja

  • @kidykodyyusufukod-ud6vg
    @kidykodyyusufukod-ud6vg Месяц назад +2

    maisha ya uislamu yanatufundisha kuishi ktk misingi na taratibu, sio kila alichokiumba mungu ukitumie kwa faida zako, mungu kaumba kwa kusudio lake,, pia tumieni elimu zenu vzr msitumie ktk shirki hilo sio kusudio la elimu ya kiislamu mnatuharibia uislamu ni mzr sn sn

    • @obedymwilenga7490
      @obedymwilenga7490 Месяц назад +1

      😂😂😂nilikuwaga nasikia kuwa uislamu imetawaliwa sana na majini nilikwa nasikia hivyo kumbe kweli

    • @AbdulRahmanAliy-sr7gw
      @AbdulRahmanAliy-sr7gw Месяц назад

      ​@@obedymwilenga7490
      Kuna uislam na uislam sahihi
      Na ndio maana waislam wengi tu wataingizwa motoni

  • @user-qw3fj1zw6p
    @user-qw3fj1zw6p 23 дня назад

    Munguninuxuru nauyu hoxtdhi yukoxahihi

  • @OmarMohamed-bs2hf
    @OmarMohamed-bs2hf 7 дней назад

    Bina adamu ndio muwasiwa jini kwani mnawapa majini ahadi zeni hamtimizi

  • @SAIDNYUNGU
    @SAIDNYUNGU 21 день назад

    Huyu na dr sule wote wasafiri wamoja gari moja isipokua mmoja manamba mmoja konda

  • @OmarMohamed-bs2hf
    @OmarMohamed-bs2hf 7 дней назад

    Nanyie angalieni na watu mnaokuja kuwahiji uchawi ni sayansi hivi kunashekhe gani Tanzania hii anaemshinda Dakta sule kwa sayansi jini kuitwa mpaka akaja kunajazi na jini ambae anaitwa mpaka kukufika tayari ashaweka mawasiliano na wewe na hili dka sule asha lizungumza

  • @abdulfatahumarsaideazamo2654
    @abdulfatahumarsaideazamo2654 Месяц назад

    Hapa Hakuna tcha ushekhe wala wislam safi. Huyu hana dhihirisha kuwa ni mshirikina na hana ijua shirk tena vizuri sana

  • @kaundemtanga
    @kaundemtanga Месяц назад +2

    Uyu kijana anaitwa sir Bin laden nilimjua mwaka 2020 kwa Bingo alinisahidia sanaa matatizo yangu anajua tiba kweli ila ana umri mdogo

  • @saidjuma4547
    @saidjuma4547 Месяц назад

    watu wote hawezi kuwa sawa ktk Dunia hii wako wakiristo wako waislam Kwa undani wako washirikina wapo wapotovu wapo Wazinifu wapo wizi wapo waumini wakweli ktk uislam ila yule Alie sahihi ni yule muumin wakweli wadini ya kislam ambae hayuko tayari kumshirikisha mungu Kwa chochote

  • @hassanmohammed6229
    @hassanmohammed6229 Месяц назад

    Aww msiwasikilize hawa wahuni shauri zenu.elimu ni bahari 🙏🙏

    • @zuberhamza7852
      @zuberhamza7852 Месяц назад +1

      Bakabla hujacoment kwanza umewaskiliza alafu ndio umecoment
      Sasa unatwambiaje tusiwaskilize??
      Kwanza Kuna kuskiliza na kukubali

  • @sophiabaraka760
    @sophiabaraka760 Месяц назад

    Kumuita jini mpaka kufata masharti hii ndio shirki yenyewe,
    Usimwamini Mungu akusaidie unamtegemea jini.

  • @rashidabasi7940
    @rashidabasi7940 Месяц назад

    Watu wengi wanaingia kwenye ushirikina kuamin ktk majin ni watu twariqa, wanakumbwa sana na mtihan huu.

  • @KarimuYusuph
    @KarimuYusuph Месяц назад +1

    toa jibu unavaa pete kwa maana gani mbona sule akiongea unampinga kubali nawew upo humo acha kumchafua mwenzako

  • @user-kn8pw7vk4e
    @user-kn8pw7vk4e Месяц назад

    Daaah...!! kazi ipo ktk izi Dinni...

  • @mansoorsuleiman1645
    @mansoorsuleiman1645 Месяц назад

    Acha uongo ndugu yangu kumbuka kuna kesho unaongea uongo tu na hata hufikirii hio elimu wenyew ya majini hujui acha kupotesha

  • @user-hf3sf7rh5m
    @user-hf3sf7rh5m Месяц назад

    Huyu kijana yuko vizuri kabisa ! Kumbe kwa wa islamu piya kuna wanao fafanua mambo kwa ukweli ?

  • @amidanibimenya9692
    @amidanibimenya9692 Месяц назад

    Yani wewe unajaribu ili ujuwe mungu akulinde .yani wa somi poleni .sis wamungu mungu atazidi kutulinda

    • @qariuzzamaantanzania7074
      @qariuzzamaantanzania7074 Месяц назад

      Tuna mashehe wengiiiii wa mitandaoni. Mojawapo ya dalili za qiyama Ukiona wasiokuwa na darsa la watu mbele yao, kw maana angalau wanafunzi watatu tu, akifundisha Qur'an fiqihi tauwid nk. Yupo mitandaoni tu ama mihadhara ambayo mwisho wake ziuzwe dawa na michango kw ajili ya matumbo yao.....

  • @user-hw1fp6mb4s
    @user-hw1fp6mb4s Месяц назад

    Saf sana ndg yangu

  • @hassansheha1092
    @hassansheha1092 Месяц назад

    Mdogo wake Dr sule wako wengi sana

  • @OmarMohamed-zf8dp
    @OmarMohamed-zf8dp Месяц назад

    Mm nimmoja wa watuambao nimekutana na mambo mengisana ya kidunia ambayo sijaomba wala kutafuta ispokuwa ulimwengu ndio ulinifanya iweivo baadakuwa napigwa vita na wanadamu tena wandani ya familia sasa majini nilokuwa natupiwa kwaajili ya kuzulumiwa sasa mungu hajawa tayari kuwa mm mjawake kufa sasa majini waliamuwa kubadilika ndio wakaja kwangu naniukweli wamehitaji mm nifanye kazi ya utibabu na utafanya vip utibabu bila kukutana na hawaviumbe lazima uwaite tena anakuja na mnaongea na kiukweli hata wachawi iliuchawi wao utumike jini na quani na miti ifanyekazi tofauti na mti na quani mti unaroho iriji toka umeubwa ila quani mpaka uisadifu hayomambo nimakubwa sana

  • @Onchieku-cp8wd
    @Onchieku-cp8wd Месяц назад

    Uislamu ni uchawi tu kwa huyu mhojiwa....

  • @sallyandmozachannelchannel37
    @sallyandmozachannelchannel37 Месяц назад

    Audhubillahi mina sheitwani Rrajiim