1. Kutokujali Hisia 2.UBAHILI 3. Kutokuwa Romantic 4. Kutokuwa na Kutokupata Quality Time 5. Kuendekeza Marafiki. Prof. Chris Mauki Mungu akubariki sana akupe AFYA NJEMA na MAISHA marefu
Yaaan Doctor upo sahihi kabisa mwingne anakuambia unataka kumfirisi ukimgusia Mambo ya zawadi ata kwa mtoto wake analeta ubahili Ila yeye mwenyewe anajiudumia vizuri
Asante kwa somo zuri Ila naona kuna jambo jingine kubwa sana ambalo wanawake hatupendi,nadhan umesahau,...CHEATING Doctor hii no cancer in most of the marriages
Yaaan you said it all Dr..Mungu akubariki...shidabtunajifunza sisi saana wenzetu hawana huo Muda sijui tunazijengaje hiz ndoa ..kama hawa tulonao sisi wanajiita ma engineer ni balaa
Da mimi nimeumizwa sana kihisia niwe naumwa niwe na matatizo yaani nilikuwa ndani kama naishi mwenyewe watoto wangu wakiumwa hajali da ee mungu nashukuru kwa kuniondolea mtu huyu machoni mwangu
Asante Sana doc Mauki Kwa hili darasa. Shida hizi wanazionyesha kwenye uchumba ila wakishakupata sasa na kuweka agano zote zinayeyuka. God have mercy on us
Doctor Kaa yngu ni noma Sana kulingana na hzii tabia umesema ukwel mtupuuu hehehe nahitaji prayers Biko abegg Niko kwenye ndoa 10yrs but hii masomo umesema eeeehiish kwangu kanisinya pii
Asante sana dr kwa kutuelimisha natamani mtu mmoja apate hii elimu kwa kweli na afunguke kabisa ufahamu 😁😁nimecheka hapo kwenye kufuga sungura bidii ya kutafuta majani ubarikiwe dr Mauki
Yaani Mauk tulioko kwenye ndoa tunateseka sana wanaume hawajal kbs yuko busy na marafik ndugu mtu upo naye ndan hakuna hata kusemeshana kitandan ndo kabisaa anafanya kukidh haja zake had nataman kuchepuka nipate mtu wa kucheka naye
Moyo ushakufa ganzi kwake ata zile juhudi zote zimekufa kazi zangu zimenishinda nimemchokaaaaaaaaa nafanya Tu kwaaajili ya wangu ukifikria sahii na mtoto wa miezi mitano nachoka Bora akikuwakuwa kidogo natamani hata kufanya tukio yaaan MTU haoni maana yako mungu anisaidie niyashinde maana nipo Kwa vita kubwa
Yani hayo ni ya kwangu Natamani nitafute tu kaka wa kizungu nitayapata mapenzi ya kweli Wa bongo hawana upendo wengi waongo na macho juu sana uswahili mwingi wana kera sana
umenigusa mpenz wangu no bahiri Sana Niko nae mwaka na nusu hajawahi kinipa zawadi Wala pesa ya matumizi ni Mimi tu ndo nimsaidie shida zake nahisi nmemchoka kabisa
Kama unayofundisha unayafanya kwa mkeo basi mwanamke mwenzetu anainjoi life kwa kweli
Wengine hata wakisikiliza haya wala hawajirekebishi ni kama kupigia mbuzi gita,, asante dr
1. Kutokujali Hisia
2.UBAHILI
3. Kutokuwa Romantic
4. Kutokuwa na Kutokupata Quality Time
5. Kuendekeza Marafiki.
Prof. Chris Mauki Mungu akubariki sana akupe AFYA NJEMA na MAISHA marefu
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Kwangu kabisa huku😢
Kwa somo hili nahitaji kukuona ofisini kwako nitakupataje?
Mungu akutunze Sana Cris unaelimisha sana Kuna jambo umeniponya barikiwa sana
Ukweli mtupu
Yaaan Doctor upo sahihi kabisa mwingne anakuambia unataka kumfirisi ukimgusia Mambo ya zawadi ata kwa mtoto wake analeta ubahili Ila yeye mwenyewe anajiudumia vizuri
Asante sana kwa ushauri wako nimefurahi sana
Hakika mungu atusaidie sana wanawake tunayoyapitia ni magumu sana kwenye ndoa zetu 😢😢😢😢😢😢😢
Kweli kbs
Mungu akubaliki San napend mafundisho yako❤❤❤
wambie ukweli wajifunze🙏 you engineering mmmh,,, shukrani
Mimi mme wangu ukimpigia anasema ngojea kidogo niko na wenzangu wapa tutaongea badaye yani unaendelea kunijenga sana asante
Tuko kimoja aki
Hapo kwenye marafiki aisee nakerekaga sana
Shukran Kwel Nzuri Wallah zina tugusa snaa Wallah
Safi sana yaan natamani wangesikiliza wanaume wote hii kitu tunge enjoy sana❤
Asante kwa somo zuri
Ila naona kuna jambo jingine kubwa sana ambalo wanawake hatupendi,nadhan umesahau,...CHEATING
Doctor hii no cancer in most of the marriages
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Mungu akubali mtumishi natamani naye angesikia
Ahsante sana Daktari. Yaani nimejifunza na kuburudika pia pale katika jambo la UBAHILI na "Mimi ni engineer' Be blessed brethren!!
Iyo nikweli kama mcumba wangu kabisa
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Yaaan you said it all Dr..Mungu akubariki...shidabtunajifunza sisi saana wenzetu hawana huo Muda sijui tunazijengaje hiz ndoa ..kama hawa tulonao sisi wanajiita ma engineer ni balaa
Dr umeniuwa kwenye romantic 🤣🤣🤣🙏 kweli utambiwa unata Kila mtu ajue kama nakupenda au
Niliambiwa hivyo juzi
😂😂😂😂😂tupo wengi, utasikia sitaki watu wajue
Mimi akiwa live TikTok nikiongea tu ana mute😹😹😹😹😹😹wasinisikie🤠🤠🤠🤠 et private khaa
Ahsante doctor mwalimu i have benefit
Dokta wew kam wew ukiwa unavitekelez vyote hivyo na bado hakup ushirikian unafanyaj dokt
Ahsante Dr umewaelimisha wanaume wasojua nn maana ya mpenz
Da mimi nimeumizwa sana kihisia niwe naumwa niwe na matatizo yaani nilikuwa ndani kama naishi mwenyewe watoto wangu wakiumwa hajali da ee mungu nashukuru kwa kuniondolea mtu huyu machoni mwangu
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Naomb kuuliza jmn et kwamfano ukiwa unamuwaza mt af akatokea yaan mar kwa mar nikimuwanz huwa anatokea inamaan gn @@ChrisMauki1
Nikweli kabisa, Mungu akubariki baba.
Ahsant sana dokta kwa somo lako zuri
Asanteee Sana 🙏🙏
Asante Dr cris hakika najifunzaga vitu vingi sana kupitia masomo yako
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Daaah hili somo limenigusa sana ahsante sana Doctor Masomo yako yamekuwa yakinifunza sana Mungu azidi kukutunza kwaajili yetu🙏
Asante Sana doc Mauki Kwa hili darasa. Shida hizi wanazionyesha kwenye uchumba ila wakishakupata sasa na kuweka agano zote zinayeyuka. God have mercy on us
Asante sana dr masomo yako ni mazuri sana unazid kutuemisha Mungu akubariki sana
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Som nzuriii Sanaa ubarikiwee
Waooo.be bless sikuwa najua haya
Aisee imenigusa sana, asante Dr
Kweli Dr wengine tumevunja ndoa tayal kwa mambo hayo hayo yaanii kila ktu ni vilevile
Nimeipenda Sana Kama yananihusu vile
Dr mungu akubariki sana
Kwakeli umenifunza nashukuru
Doctor Kaa yngu ni noma Sana kulingana na hzii tabia umesema ukwel mtupuuu hehehe nahitaji prayers Biko abegg Niko kwenye ndoa 10yrs but hii masomo umesema eeeehiish kwangu kanisinya pii
Asante sana hili somo limekua langu kbsa ndio ilio nitoa hisia kbsa za mapenzi naishi tu kma mzuzee ❤
Kabisa, kabisa....
Dah! Nimekusoma Dr, Umefunguka Vya Kutosha
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Yaani Dr. Umepita kule kule. Aksante sana
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Barikiwa Dr Chris
Congratulations Mwalimu we need this more to our men wamelose kabsa
Nimeipenda hiyo
Jamani hapo kwenye marafiki 🙌🙌 walisanabisha ndoa yangu ikaharibika 😢
I wish ningeolewa na wewe mungu akubariki sana
😀😀😀😀😀😀
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
May gog bless you
Mungu tusaidie
Habari zitufikie tunaoishi ktk mahusiano/ndoa
Masha Allah ubarikiwe Dr mauki
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Barikiwa mtumishi wa munguu!!
Barikiwa sana Dct.
😢inaumiza kweli aisee
Ahsante sana somo zuri mnoo wanaume wengi wanafeli sana hapa aise
Yani umenigusa sana sana, duh 😢
Am happy for this today
Asante sana dr kwa kutuelimisha natamani mtu mmoja apate hii elimu kwa kweli na afunguke kabisa ufahamu 😁😁nimecheka hapo kwenye kufuga sungura bidii ya kutafuta majani ubarikiwe dr Mauki
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Yani haya mambo kweli umenilenga sana Yani mim umenipatia kabic
Bora uwaambie ukweli Dr
Umenena Dr.
Itoshe kusema ,asante kwa ujumbe.daah!
Ndabuganiye !
Umeongea vitu ambavyo nakutana navyo kwenye mahusiano yangu niliyonayo inafikia hatua nmeshakata tamaa nae kabisa
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Asante Dr Mauki
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Mr. Mauki umenifanya nitfurahi sana. Nakufatilia sana Mimi na mke wangu. Naomba namba Yako. Baba Nourish hapa
Hakika hi n sindano ya ndoa God bless you more and more
Ubarikiwe sana
Hayo yalishaisha zamani, wanaume maranyingi wanawaza utafutaji
Nashukuru sana dr kwa kunifungua akili
Ni kweli dr
Masomo ni mazuri sana I real appreciate Dr big up may God bless you
Kweli kabisa
Sawa kabisa nime kufagilia sana
Umeongea point sana, yote ni kweli
Asante Sana Dr.chris
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Thanks alot
Thanks
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Mhm hii ni naituma direct kwa mumewangu kama tutaborsha ndoa yetu inshaallah ubarikiwe sana baba yaani umepita mule mule😂😂😂
Mauki you are right
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Mungu akubariki sana kwa masomo mazuri.
Hapo kwenye ubahili wanaboa sana
Yaani Mauk tulioko kwenye ndoa tunateseka sana wanaume hawajal kbs yuko busy na marafik ndugu mtu upo naye ndan hakuna hata kusemeshana kitandan ndo kabisaa anafanya kukidh haja zake had nataman kuchepuka nipate mtu wa kucheka naye
Am in a relationship but no happiness
Loverly advice boss
romantic imenifurahisha jmn😂😂😂et m engeneer
😅
Doct hayo mafunzo unayotoa yamebase sana kwa upande wa watu wenye pesa
Moyo ushakufa ganzi kwake ata zile juhudi zote zimekufa kazi zangu zimenishinda nimemchokaaaaaaaaa nafanya Tu kwaaajili ya wangu ukifikria sahii na mtoto wa miezi mitano nachoka Bora akikuwakuwa kidogo natamani hata kufanya tukio yaaan MTU haoni maana yako mungu anisaidie niyashinde maana nipo Kwa vita kubwa
Thanks bro
Asante
Sisi wenye tupo kwenye mapenzi ya umbali tunaumia sana hatuelewani 🥺
Yani hayo ni ya kwangu
Natamani nitafute tu kaka wa kizungu nitayapata mapenzi ya kweli
Wa bongo hawana upendo wengi waongo na macho juu sana uswahili mwingi wana kera sana
Kaka Mungu akubariki sana tuishi nawatu hatujijui
Safi
Anavo compare cement na matofali sasa utazan anakiwanja sehemu😂😂😂❤
nimekuelewa sn mwl nimejifunza vitu vingi.
Nimeyapitia hayo saaana mpka nikafikia wakati nikaanza kumsaliti alivyojua nikamwambia sababu ni wewe kakasirik hata haniongeleshi😢
Everything Matofali,, Ungeoa Matofali,,, Nibusu Basi Aah Kausha Mi Engener,😂😂😂😂
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
umenigusa mpenz wangu no bahiri Sana Niko nae mwaka na nusu hajawahi kinipa zawadi Wala pesa ya matumizi ni Mimi tu ndo nimsaidie shida zake nahisi nmemchoka kabisa
Hao Kuna sehem wanatoa..
Unajalijee hisia za mpenzii wako
Wanaume wengi hawajali hisia za wake zao na ndio maana migogoro inazidi kila kukicha, anacho jali yeye kunywa na kulisha basi, Hovyo namchukia
Nimependa somo hili ❤
Dah!!!!! Umetisha Bro👍,, Barikiwa
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Mm ninatatizo gumu nazito sijui utansaidiaje yakiwemo hayohayo, Anna kutoka Kenya
Kabisa 10:01 10:03
Ukweli ningewahi elim hii ningekua ng,ambo
Yaan Hilo la kila kitu matofali aisee umenikumbusha mbali😁😁😁😁mtu anajua kusema umependeza tyu hajui nani anagharamia