I hoped Magufuli could live to bury us, Jakaya Kikwete's touching eulogy

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 38

  • @chrisnjoroge5232
    @chrisnjoroge5232 3 года назад +8

    Jakaya kikwete congrats! That was an impeccable speech!I loved it ,it had the finese of a scholastic genius ! A send-off befitting a friend! Africa was touched by his sudden demise ,he showed selfless dedication to course , and we will forever appreciate him! Fare thee well JPM

    • @mauriciootis9746
      @mauriciootis9746 3 года назад

      i know Im asking randomly but does someone know a trick to get back into an Instagram account?
      I was dumb lost my account password. I would love any assistance you can offer me!

    • @alonsorayan2195
      @alonsorayan2195 3 года назад

      @Mauricio Otis Instablaster :)

    • @mauriciootis9746
      @mauriciootis9746 3 года назад

      @Alonso Rayan Thanks so much for your reply. I got to the site thru google and im in the hacking process atm.
      Takes quite some time so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.

    • @mauriciootis9746
      @mauriciootis9746 3 года назад +1

      @Alonso Rayan It did the trick and I actually got access to my account again. Im so happy:D
      Thanks so much you really help me out!

    • @alonsorayan2195
      @alonsorayan2195 3 года назад

      @Mauricio Otis no problem :D

  • @markntete8670
    @markntete8670 3 года назад +4

    Excellent speech by jk.

  • @wilychars3010
    @wilychars3010 3 года назад +5

    Best speech

  • @ngoxemanuel6909
    @ngoxemanuel6909 3 года назад +8

    Jk ni kiongozi wangu boro wa kipindi chote the man of all people wanyonge, masikini, matajiri bila dini wala ukabila mungu akupe maisha marefu tuendelee kujivunia kuwa na kiongozi wa aina yako.

    • @HASASON
      @HASASON 3 года назад +3

      Hakuna kipindi kulikua na ubaguzi mkubwa wa kidini kama kipindi chake, makanisa yalichomwa, wakristo waliuawa, migogoro ya nani achinje na maandamano ya kila siku wa Islam kuhamasisha vurugu, Utakua ulikuwa bado hujapata akili

    • @justinchacha1334
      @justinchacha1334 3 года назад

      @@HASASON 😂😂😂subiri akifa mtamkumbuka kinoma

    • @hassanisadiki824
      @hassanisadiki824 3 года назад

      @@HASASON acha upumbavu wewe Kwa akili ya kawaida unalilia kuchinja unadhani nyama zingepata soko na ikiwa Asilimia kubwa Tanzania waislamu ni wengi

    • @HASASON
      @HASASON 3 года назад

      @@hassanisadiki824 waliokuwa wakililia kuchinja ni wa Islam na hiyo takwimu wa Islam wengi kakupa nani?

    • @hassanisadiki824
      @hassanisadiki824 3 года назад

      @@HASASON kuhusu kuchinja hiyo ilikuwa inajulikana km waislm walikuwa ndio wanaochinja lkn baadae wakristo wakaingia kati wakasema haiwezekn waislam wachinje na Wakristo wasichinje nakumbuk palikuwa na mvutano mkubwa lakini Kikwete aliwaweka chini waka yamaliza na kuhusu kujua waislam wengi Faatilia Sensa zilizopita ndio utaamini ninacho kisema

  • @mekikileo5702
    @mekikileo5702 3 года назад +1

    Kwa kweli Raisi Magufuli kila mtu anamsemea vizuri sana kutoka moyoni duniani kote kwq sababu kuna watu ambao wakifa wao taifa litashangilia sana kwa sababu hakuna kitu wakichofanyia nchi ya Tanzania. Mungu ambariki sana raisi Magufuli ni shujaa wetu. Dr. MAGUFULI ALIPENDA WATOTO WOTE WA TANZANIA na siyo mtoto mmoja tu juu ya watoto milioni nyingi. Kitu kimoja kuhusu raisi kikwete hapendi unafiki kabisa na kwamba anaonekan anapenda kujisemea ukweli na inaonesha yanatoka rohoni

  • @bonifaceoroko8295
    @bonifaceoroko8295 3 года назад +2

    Asante kwa hotuba nzuri na sifa kwa rais marehemu magufuli

  • @dianamkita6571
    @dianamkita6571 3 года назад +2

    Pole sana Mh..JK,,,hata Mimi sitasahau tar.17/3/21...Saa tano na nusu usiku...JPM umetuacha gafla mno...Mungu ndo anajua..

  • @freddokuckelmann8502
    @freddokuckelmann8502 3 года назад +5

    We love you, Jakaya Kikwete

  • @CollinsAmabia
    @CollinsAmabia 9 месяцев назад

    Hotuba yenye uzito wa kirafiki kweli,,poleni sana.

  • @muhuradedan
    @muhuradedan 2 года назад

    Wow Jakaya is 70?? Very good genes

  • @salehengakonda1068
    @salehengakonda1068 3 года назад +5

    "Tuepuke kuimba na kucheza ngoma ya adui"

  • @innocentkulola4122
    @innocentkulola4122 3 года назад +1

    This man....mmmmmh!!!! ...hapana

  • @carentemu9141
    @carentemu9141 3 года назад +1

    Sawa

  • @denniskoech8115
    @denniskoech8115 3 года назад +3

    RIP magufuli

    • @AccurateAfrica
      @AccurateAfrica 3 года назад +1

      @Gene Corda Damn! I tried to hack your account but it didn't work.

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 Год назад

    Really....!?

  • @mekikileo5702
    @mekikileo5702 3 года назад

    Kweli hatutasahau tarehe 17 mwezi wa 3. yaani wauwaji wa raisi wetu walijiona wameshinda kumbe ndiyo kwanza wamezaliwa magufuli wengi. Pole sana kwa kushtushwa na taarifa hii. Tusaidie kuwatafuta wahusika waliotukosea watanzania kwa kwa sababu ya ubinafsi wao.

  • @davidmunyuikaburu291
    @davidmunyuikaburu291 2 года назад

    HAZEEKI

  • @michaelkamendu2453
    @michaelkamendu2453 2 года назад

    Mheshimiwa shikamo

  • @mivunjoc.miyego1427
    @mivunjoc.miyego1427 3 года назад

    huo ni unafiki mkubwa

  • @angewinou780
    @angewinou780 3 года назад +3

    Si elewi chochote

    • @hassanmakame
      @hassanmakame 3 года назад +1

      anaongea kichina hapo....hata mimi sielewi chochote

    • @aslamchannelonline3541
      @aslamchannelonline3541 3 года назад +1

      vipi na umejibu na kiswahili.penda unacho kiskia mengine wachana nayo

  • @mekikileo5702
    @mekikileo5702 3 года назад

    Kitu kingine wewe raisi kikwete unaipenda sana tanzania na haupendi wawekezaji wanaoinyonya nchi yetu na kile kitabu ulichokabidhi kilikuwa kin amajina mazuri sana ya watu amabao walipaswa waitumikie nchi kwa ufasaha . Ulionekana hukuwa kiongozi mbaya kwa sababu kweli hakutukanae hakuchagulii tusi. Tanzania nzima inajua saikoloji ya watu ilivyo...inaonekana kabisa ulikuwa unampenda sana. hata unavyoongea hapo inaonekan akabisa una huzuni nyingi sna na ule utani wako leo hauna kabisa. Yaani kabla ya tarehe 9 uamuzi wa watu wabaya walitudhumu. TumsingizieMungu au binadamu?