KIKWETE ASIMULIA SWALI ALILOULIZWA NA MJUKUU WAKE "KWANINI MAGUFULI KACHUKUA KAZI YAKO?"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Rais Mstaafu wa Tanzania, Dr. Jakaya Kikwete amewasihi Wastaafu nchini kujishughulisha na shughuli mbalimbali na kufanya mazoezi badala ya kutumia muda mwingi kulala tu ili kuepusha miili na ubongo kutochoka haraka.
    Dr. Kikwete ametoa rai hiyo wakati wa shughuli za kuwaaga Askari Wastaafu Wilayani Chalinze ambapo Rais huyo Mstaafu alikuwa Mgeni rasmi.

Комментарии • 536

  • @andersonchongoma1723
    @andersonchongoma1723 Год назад +1

    Ahsante ,umekiri kuwa muda wako mwingi umemtumia nyumbani kwako msoga ,kweli ni jambo kubwa Mh Jakaya Kikwete ni mwenyeji na mkazi wa msoga ...huu ni ushahidi ...anakaa na wajukuuu ....hongera saaana ...

  • @Khadija-qr4cr
    @Khadija-qr4cr 3 года назад +4

    Mashaallah tunakukumbuka rais mstaafu mungu akupe maisha marefu

  • @mbwanarajab4756
    @mbwanarajab4756 3 года назад +13

    Safi Sana , mstaaf Kikwete , Mungu akujaalie na akupe roho ya Imani na huruma kwa watu.

  • @kindulijumanne7632
    @kindulijumanne7632 3 года назад +4

    Mzee nimeipenda hiyo ya kumsaau dem wako big up couz hauna makuu sisi tunapenda

  • @salamashabani7922
    @salamashabani7922 3 года назад +7

    MZEE MSTAARABU KABISA MWENYE NYOTA YA NGAO YA TAIFA HASA!!! MWENYE UMOJA AMANI UPENDO NA MSHIKAMANO BADO TUNAKUPENDA SANA KIPENZI CHA WENGI MUNGU AKUPE AFYA NJEMA NA UMRI MREFU WENYE MANUFAA INSHAALLAH🙏

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 3 года назад +4

    Mashallah nakupenda sana akhuyi kikwete wewe ni mtu mwenye hekma mashallah 🥰🥰🥰🥰🇴🇲

  • @omariddi8073
    @omariddi8073 3 года назад +10

    Safi sana mzee wa ari mpya kasi mpya maisha bora kwa kila mtanzania

  • @onlygame5110
    @onlygame5110 3 года назад +4

    Mzee hongera kwako ulifanya mazuri mengi naamini kila mwananchi kwakipindi chako aliishi maisha fulani mazuri.mimi binafsi natamani siku moja nipate nafasi walau ya kushika mkono ✋ wako nipate baraka zako Mkwere japo niko Kenya.nitamuomba Mungu anifanikishe #weye wimfalme mkulu

  • @yonagerard5834
    @yonagerard5834 2 года назад +1

    Big up Jk nakuelewaga mnooo

  • @raphaeltesha8248
    @raphaeltesha8248 3 года назад +16

    Hongera baba kwa mawaidha mazuri. Bado tunakumic sana . You are such a gentle and blessed mentor for our generation

  • @juliussilvestar8988
    @juliussilvestar8988 3 года назад +6

    Watanzania tujenge tabia ya kuwapenda viongozi wetu.Mpuuzi ana comment eti hana legacy viongozi wote wa Tanzania wana legacy.Hiyo amani tuliopata tuu inatosha kuwa shukuru wapo wenzetu leo wanatamani waishi hivi.Tembea kwa wenzetu muone tuache ujinga lets appreciate what our leaders do.

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 3 года назад

      Siungi mkono kama kuna alietoa lugha isiyo rasmi ispokuwa kama amani tulishakuwa nayo je hatupaswi kuendelea kiuchumi? Tunaishia kusema amani tu inatosha wakati kama nchi inaamani inatakiwa ipige hatua kiuchumi kwa kasi maana amani ndio njia salama kuelekea kwenye uchumi sasa toka mwaka 61 inchi imepata uhuru na wengune hatukuwepo mpaka sasa tunazeeka hatuoni mabadiliko yanayoenda na kasi ya kitu kinachoitwa inch yenyr amani na usalama lakin uchumi 0 uchumi wa china na Tanzania miaka yanyuma ilikuwa sawa leo huwezi tu ukalinganisha hata kusema tuliwah kukingana unaweza ukaonekana chizi namna walivyotuacha. Hv ardhi yetu unaweza kulinganisha hata na dubai tu!! Lakin kwavile walijiona wao ni masikini wanamafuta tu na hawana vivutio wala ardhi nzuri yenye rotuba wakajipanga ili kuifanya nchi yao iwe ya vivutio moja jengo refu kuliko yote duniani, mahoteli ya kifahari chini ya bahari majumba ndani ya bahari na sasa wanatengeneza mlima mrefu, mlima wa kutengeneza wakati sisi tunayo bureee ya asili lkn haina faida kiuchumi, hata kilimanjaro mountain bado sana mapato yanayoingia pala huwezi kulinganisha na mapato yanayoingia misri kwenye piramid zao tuna vivutio bora na vingi duniani lkn haitusaidii kiuchumi tuna gas lkn haina msaada kwetu tuna madini ghali duniani na hayapatikani sehemu yoyote duniani zaidi ya Tanzania lkn bado masikin tu, huku kuwatetea viongozi wanakuja nao wanahalalisha tu kuwatanzania wao wanataka amani tu basi, amani tunayo tayari sasa tunataka uchumi.

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 3 года назад +4

    Asante sana Mhe.Rais Mstaafu kwa mawaidha mazuri uliyo wapatia hawo askari wastaafu.

  • @lispafulgence9983
    @lispafulgence9983 3 года назад +15

    Leo barakoa zipo wapi🤣🤣🤣🤣

  • @laghtnesphilipo489
    @laghtnesphilipo489 3 года назад +4

    Mungu akupe maisha marefu Rais wangu nimpendae jk,

  • @salimmgwame9504
    @salimmgwame9504 3 года назад +6

    Muheshmiwa mtahafu Kikwete anaongea vizuri Sana na anafurahisha, Kati yawatu wanaokupenda muheshmiwa namimi Nino.

    • @manasengobei9968
      @manasengobei9968 3 года назад

      Huyu mzee Ni mnzuri kwenye kuongea lakini vitendo hamna kabisa kwenye utawala wake kuna rushwa za ajabu na za kutisha ziliibuka lakini hakuchukua jukumu, kazi yake ilikuwa ni kutabasamu tu.

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 3 года назад

      @@manasengobei9968 kwani rushwa imeisha lini

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 3 месяца назад

    Kweli kabisa Mzee Kikwete❤❤👆👆

  • @sumisumi8181
    @sumisumi8181 3 года назад +8

    😁😁😁😁 uyu Mzee yuko funny mno

  • @eveassey5162
    @eveassey5162 3 года назад +3

    Ukifanya kazi nzuri, watakupenda tu na moyo wako utakushuhudia tuu una pendwa, okay karibu

  • @salmamrembo4360
    @salmamrembo4360 3 года назад

    Mstaafu raisi wetu kipenzi mtani wangu mie nakupenda sana nakuombea dua

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 3 года назад

    Wewe umekaa Zanzibar lakini bado hujui kiswahili hakuna neno badala katika kiswahili bali kuna neno linaloitwa baada...ni neno linalotoka katika lugha ya kiarabu...💯👌thanks

  • @saidlwambo2152
    @saidlwambo2152 3 года назад +1

    Mzee Ismail Hongera.

  • @zalfahashimu9393
    @zalfahashimu9393 3 года назад +2

    Hongereni wastafu

  • @andrewtamba6671
    @andrewtamba6671 3 года назад +17

    During your time every one was happy na smiling! Still Loving you Dady and may the Almighty God prolong your life and keep you heathy

    • @manasengobei9968
      @manasengobei9968 3 года назад +4

      My friend we don't need happiness, we need development, happiness is not vital when people live under poverty, poor social services poor infrastructures and so forth.

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 3 года назад +5

      Not everyone please take that back. Only few corrupt individuals were happy. Kikwete was supposed to be in jail, to insult Tanzanians he was rewarded a house.

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 года назад +2

      @@manasengobei9968 I agree with you

    • @OfficialD.K
      @OfficialD.K 3 года назад

      ruclips.net/channel/UCMGlrUfUXqXog-g1HA_EcGw

    • @luganomunuwavanu9369
      @luganomunuwavanu9369 Год назад

      Mmmmh

  • @revocatusmashimba1347
    @revocatusmashimba1347 3 года назад +4

    Barakoa kumbe maigizo2 leo jamaa wamegoma kuzivaa wamesha sh2ka Mjulishen na mam.

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 3 года назад

      Chanjo nazo tutakoma ss tulokuwa nchi za watu maana uku wafanyakaz wanasindano zao wao wenyew wanasindano zao

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 года назад

      @@mahmoodalghefeili5370 MALAYA WACHA FITNA HUNA UJUWALO.

  • @BrightonIssack
    @BrightonIssack 2 месяца назад

    Aliyeshindwa kuanza maisha kwenye utawala wa Kikwete alikuwa mzembe wa kutupa make fursa zilikuwa nyingi sana, Mmungu akuongezee umri mrefu!

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 3 года назад +5

    Mwenyez Mungu akuweke Sana Mzee wangu, hekima na busara zako n muhimu Sana Kwa wa Tz

  • @jacobmakono4399
    @jacobmakono4399 3 года назад +4

    ..utafikiri hajafanya Yale!!

  • @aishandwata2207
    @aishandwata2207 3 года назад +7

    Allah akupe afye njema

  • @augustantiruka8603
    @augustantiruka8603 3 года назад +9

    😂😂😂😂😂nimecheka sana kwa habari za wajukuu.kumbe wanao chezea cm ma game wako wengi jamani
    Hongera sana Mzee baba Rais wetu mstaafu tunakupenda sana hufi leo wala kesho huna makuu na mtu moyo wako haujui kukasirika na moyo ndiko kwenye chemi chemi ya uzima wa mtu,
    Moyo ndiyo Pharmacy ya kila mtu,kama moyo ukiubebesha vinyongo,uka ukosesha Armani,ujue unatafuta kifo ila kama uki upa Armani utaishi mpaka vizazi vingi

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 3 года назад +2

    Jakaya baba hongera sana Kwa busara zako na hekima zako mm binafsi nakukumbuka sana Mungu akuweke baba

  • @stevensosipita2851
    @stevensosipita2851 3 года назад +4

    MIMI KAMA MIMI NAPINGANA NA WEWE SIKU ZOTE ULICHOKIFANYA AWAMU YAKO YA 4 NI UFISADI ULIOKIDHIRI NA HIVI SASA BADO HUTULII BADO UNACHOKO CHOKO KUMBUKA HII NCHI SIYO YAKO WALA SIYO YA MAKAMBA WALA YA KINANA TULIA NYUMBANI NA WAJUKUU ZAKO USIJIVUNJIE HESHIMA YAKO

    • @magdalenapeter419
      @magdalenapeter419 3 года назад

      ☝🏻

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 2 месяца назад

      Ukiacha ujinga utakuwa na akili lakini maadhali ujinga udini umekujaa ule mliojazwa na mwendazake,basi utakuwa raia mwema lakini sasa nakuona raia wa vatican badala ya Tanzania..!

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 3 года назад +4

    Hongera sana baba Naomba Ile ahadi yako ulipo Kuja USA pale kwa Mwakawago turudi nyumbani utatupa kazi nimerudi na ninaujuzi wa uchunguzi wa vifo from USA since 93 Naomba nisaidie baba nisiidie nchi yangu kwa ujuzi nilio upata USA

    • @themessengertz1237
      @themessengertz1237 3 года назад +2

      Tuchunguzie kifo cha Jpm kwanza

    • @martinhinda5233
      @martinhinda5233 3 года назад

      Tuanze na kifo cha JPM

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 3 года назад

      @@martinhinda5233 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 3 года назад

      @@themessengertz1237 sasa c kashazikwa🤣🤣🤣

    • @themessengertz1237
      @themessengertz1237 3 года назад

      @@mahmoodalghefeili5370 uchunguzi wa vifo huwa haujali mtu kashaoza au kabaki mifupa muulize mtaalamu, kuna kesi za vifo zina miaka zaidi ya 30

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 6 месяцев назад

    Hongera sana kaka

  • @Views-mf8ir
    @Views-mf8ir 3 года назад +4

    Ishi maisha marefu Rais wa vijana, Raisi mwenye moyo safi ..!!
    Najua Sukuma Gung hawatopendezwa na sauti hii hadimu sana 😄 lakini kula maisha mzee hakuna wakukufanya chochote kwani ulifanya kazi yako safi kwa kufata sheria na kuheshimu katiba yetu si haba ..!!!

    • @dorahy1579
      @dorahy1579 3 года назад

      Acha unafiki unajua kuwa mtu mzuri liependwa na wengi

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 3 года назад

      Huyo ni muuwaji

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 года назад

      @@hadijamagufuli2661 ULIKUWA NAE WAKATI AKIUWA VP UMEJUWA????

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 3 года назад

      @@salimmalaka256 muuwaji tu hiyo habar nadhani sio ngeni kwako so usinichefue ila kikwete ni muuwaji kamuuwa magfuli kama utakataa kataa lakni huku kitaa wengi tunajuwa Hilo

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 года назад +1

    Mwalimu mzuri wa maisha. Unafaa kuwatia watu ❤️. Walioondoka moyo hupata faraja.

  • @aishasaidchekeche9262
    @aishasaidchekeche9262 3 года назад +2

    Kweli kabisa raha sana kuwa n.a. wanao n.a. wajukuu zako 🤲🙏😍❤❣👍

  • @vonexmobile9116
    @vonexmobile9116 3 года назад +4

    Safi sana Kikwete kazi iendelee

  • @Tariqxxtenations
    @Tariqxxtenations 3 года назад +1

    Yani mzee umejikuna kisha umekata keki kisha uyo mtu umemlisha na mkono🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️😀

  • @Tariqxxtenations
    @Tariqxxtenations 3 года назад

    Aliona hapo mzee kabla ya kukata keki amejikuna kidogo kisha kakata keki😀😀😀🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

  • @sadikidaudi1223
    @sadikidaudi1223 3 года назад +6

    Hapo Kama ulikua unatenda Haki wala hunawasiwasi ila Kama ulitumikia jeshi Kama fimbo yakunyanyasa wengine Muda wa amli ushakwisha

  • @omaryayoub2838
    @omaryayoub2838 3 года назад +3

    Mungu akupe miaka 100 Rais wangu kipenzi.

  • @elibarikimbise1896
    @elibarikimbise1896 3 года назад +1

    Mzee baba nakupenda Sana mtu was mungu.

    • @rahelmnyone4936
      @rahelmnyone4936 3 года назад

      Cc wapare tunasema, kidudu kilichotulia ndo kinachokula mbegu

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 3 года назад +17

    Nchi inajengwa na wana Nchi.
    Mkiwageuzia maisha wanyonge ni ishara ya Nchi kupata mafanikio.
    Uraiani kuna maisha magumu. Huli unachotaka unakula ulichokipata.

  • @josephkweka8463
    @josephkweka8463 3 года назад +12

    Mzee Kikwete MUNGU akuzidishie hekima busara na afya njema.

  • @peterandrew2795
    @peterandrew2795 2 года назад

    Nakupenda sana jk uko makini sana

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 года назад +13

    Ni mara ya Kwanza kwanini. Na kwanini keki inafanana na jeneza

    • @yasintakahamba1320
      @yasintakahamba1320 3 года назад

      Bola ndio iwe ishala ya yeye kutoka duniani aende kuzimu afate roho za watu alio watoa yeye

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 года назад

      @@yasintakahamba1320 😂😂

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 3 года назад

      Hahaha 😂 😂 😂

    • @mosesmzakwe7774
      @mosesmzakwe7774 3 года назад

      Walichokitaka wamefanikisha

    • @wazirisaid8326
      @wazirisaid8326 3 года назад

      BJzee 19,Swali Hilo unawauliza waandaaji wa sherehe au waalikwa?Always offensive mind makes people foolish like you!!

  • @tibubandar413
    @tibubandar413 3 года назад +9

    Hongera JK

  • @husseinyusuph2751
    @husseinyusuph2751 3 года назад +16

    Hata magufuli watu walimtukana Leo nashangaa watu wanamchafua kikwete ukichunguza hao watu enzi za kikwete waliokuwa wananyonyonya sijui hizi sifa walisikia wapi acheni kumchafua watu mungu ndie anajua siri za kila mtu dunia

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 3 года назад +5

    Kikweli nakupenda sana kipindi cha uongozi wako hatukua na maisha magum kama sasa, Natamani ugombee tena 2025

  • @karimsolyambingu6335
    @karimsolyambingu6335 3 года назад +9

    MUNGU AKUPE UMRI MREFU MH.JK RAIS WA “MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA” HAKIKA MAISHA YALIKUWA BORA! 😊

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 3 года назад +3

    Good idea

  • @elibarikimbise1896
    @elibarikimbise1896 3 года назад +5

    Mungu akupe maisha mema.

  • @jumaharuna9899
    @jumaharuna9899 3 года назад +1

    Hongera rais wetu mstaaf ,hunaga sifa ya kujimwambafai2,,, uko vixuri

  • @hidayambarka6514
    @hidayambarka6514 10 месяцев назад

    2025 mjengon kikwete allah akitufikishaa 🎉🎉❤❤

  • @dorisselembo1225
    @dorisselembo1225 3 года назад +46

    Rest in peace Magufuli forever in ♥️

    • @leilahasani3118
      @leilahasani3118 3 года назад +7

      Nyie wanafki tu hamnalolote na Ndio Dalili ya wanafki mlivyo hta angekfriki Jakaya akaingia Kagufuri Ingekuwa kila day Ni Rest in peace Jk

    • @alimussa2655
      @alimussa2655 3 года назад +6

      @@leilahasani3118 😂😂 wanafki mnoo

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 3 года назад +4

      We naye magufuli katokea wapi hapa sasa..mxieq

    • @magdalenapeter419
      @magdalenapeter419 3 года назад +1

      @@leilahasani3118 wewe ndiyo mnafiki nani ulimskia alisema Mkapa Rest and peace?

    • @leilahasani3118
      @leilahasani3118 3 года назад +4

      @@magdalenapeter419 Hunalolote nyie ndie mliegeuza wimbo wa chama nyie Mkaanza imba '' Tumeipenda wenyewa wacha tuisome number"

  • @muddymiusic1624
    @muddymiusic1624 3 года назад +1

    💪 namkubali

  • @gracejoseph9451
    @gracejoseph9451 3 года назад

    Wao mpaka nikamic chalinze

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 года назад +5

    Kwani wana staafu kwa umri gani mbona bado wadogo hivi wengine

  • @jonasstephano7680
    @jonasstephano7680 3 года назад

    Uyu ndo kiongoz wangu bora

  • @ShamsiMikdad-bj7me
    @ShamsiMikdad-bj7me 11 месяцев назад +1

    Allah akupe mwisho mwema raisi wetu mstaafu

  • @fredrickmwegole7337
    @fredrickmwegole7337 2 года назад

    Kwaiyo akiulizwa tu hata na mtu umesha mtoa bongo hii

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 3 года назад +3

    Huyu mwamba aliongoza Kama maraika rakini watu bado walileta upinzani

  • @airinsumeno2490
    @airinsumeno2490 3 года назад +5

    Nlichoona ni keki inafanana na jeneza

  • @enickosanga4921
    @enickosanga4921 3 года назад +4

    Aaaah ila hii nchi kazi tunayo wanyonge

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 3 года назад

      Yaaan mhhhh

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 года назад

      its not only Tanzania, many nations in the world. to solve all these mess we need to start on ourselves then we pray so GOD will intervene for HiS Will to be expressed. other than that, we will keep crying, blaming and poking

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 3 года назад

      Mnyonge wewe tu sisi sio wanyonge

    • @enickosanga4921
      @enickosanga4921 3 года назад

      @@azizawadh5973 si unapewa za kula kwa mwezi ndo maana unasema hivo au

  • @rasheedmbaraka7199
    @rasheedmbaraka7199 3 года назад +5

    Long life jakaya

  • @deonicemollel4205
    @deonicemollel4205 3 года назад

    🤣🤣ni kweli ase kipindi Cha corona nimekaa nyumbn miezi Sita ivi kweli mimi ni WA kumtongoza mke wangu na kumuambia sijaowa 🤒🤒

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 года назад +12

    Hii ndo Tanzania 🇹🇿 nchi yenye udongo wenye dhambi wanalisaka sana taji la ushindi. Naona comments za watanzania ni matusi tu ila mzee unabusara.

  • @focuseric4109
    @focuseric4109 3 года назад

    Mbays sana sana nyoka

  • @shadyakimaro3245
    @shadyakimaro3245 3 года назад +7

    Mzeee wa USIPOKUBALI KULIWA HULIII!!;🤣🤣🤣

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 3 года назад +4

    Raia ndio kila kitu ndio maana mwngine anaitwa kiongoz ,shida ni pale kiongoz anasahau yupo pale Kwa ajili ya Nan au nn ,hapo ndio changamoto

  • @fidelslick2086
    @fidelslick2086 3 года назад +6

    Cold blooded killer ...Lazima umkumbuke Marehemu Magufuli zero speech

    • @chusse_2287
      @chusse_2287 3 года назад +1

      Mijinga mingi bongo hiii

  • @omariadam8839
    @omariadam8839 3 года назад +3

    Naikumbuka ile slogan ya maisha Bora kwakila mtanzania, ilikua niharakati za kuiendeleza kazi walizo asisi wazee wa nchi hi nyerer na karume. Nataka kusema maneno yako yataishi kwetu mzee KIKWETE, usijali mama Samia yupo kazi iendelee

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 3 года назад +14

    Kuna watu wanateseka kwa komenti zao. Huyo wanamtesekea, anacheka kwa tabasamu kubwa. Jifunze kuishi na sio kuishia!

    • @wazirisaid8326
      @wazirisaid8326 3 года назад +2

      Muddyb, Wana chuki binafsi hao,wanasumbuliwa na Yale mambo flani flan. wanamchukia mtu asiyekuwa na habari nao na wala hawalingani na hadhi yake.

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 3 года назад

      @@wazirisaid8326 Roho chafu!

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 года назад

      @@wazirisaid8326 NA WENGINE NI MALAYA WAUZA UCHI 2 🤣🤣🤣🤣

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 года назад +1

      @@TamuzaKale CHAFU SANA MARADHI HAYO HAWAPONI MPAKA WAFE.

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 3 года назад

      @@salimmalaka256 Yaani!

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 3 года назад +13

    You still look young and healthy my dad JK, I wish you should come again in 2035 after our beloved president Mama Samia's retirement.During your time every body was smiling even those who are now abusing you.May the almighty Allah keep you healthy and young forever.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 года назад

      Unampenda sana lakini kumpenda zaidi ni kumuacha apumzike. Kwa nini usimtaje Samia aendelee. Heshimu Katiba.

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 3 года назад +3

      Not everybody was smiling, the few selective ones. The looters, thieves and corrupts, probably you were one of them. Majority of Tanzanians suffered so much under Kikwete. Himself and his brother Membe enjoyed unnecessarily trips to Europe using public money. History will judge them

    • @edwarddavid8076
      @edwarddavid8076 3 года назад

      Eheheeeee! hm! Never

    • @manasengobei9968
      @manasengobei9968 3 года назад +3

      I don't understand if you are a human being or not, how can you praise Kikwete in that way, this president was more than corrupt person.

    • @wazirisaid8326
      @wazirisaid8326 2 года назад

      @@gracegrace6200 Is there any problem for using the public money for the public interests? You have nothing to hate him than personal hateness and no one can change you because no one is forced to believe what you believe in. Don't hate people unnecessarily my sister Grace.

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 3 года назад

    True dady

  • @paulebby1552
    @paulebby1552 3 года назад +2

    Kujishughulisha muhim bwana tusisahau wake 😂😂

  • @RecapAI
    @RecapAI 2 года назад

    Defacto ruller

  • @emmakulatamulongo6547
    @emmakulatamulongo6547 2 года назад

    Kwa kweli tabasamu lako linaleta matumaini nakukubali baba yetu

  • @masakamgalla9273
    @masakamgalla9273 3 года назад +1

    Kuna kajamaa ka maroon coat kamepiga norinda hadi raha🙈

  • @collinmshana8029
    @collinmshana8029 3 года назад +10

    Kama matusi mitandaoni ni tabia zenu hata akifufuka magufuli mtamtukana tu

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 года назад

      😶😶🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

  • @jameskabalo6285
    @jameskabalo6285 3 года назад +1

    Tapeli

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 3 года назад +3

    Hakuna anae taka kustafu ila hakuna namna.

  • @shabanikamsawa181
    @shabanikamsawa181 3 года назад

    Sawa mzee mungu akupe maisha marefu ila uliwalea sana wale wa msemo wa unanijua mm ni nani maana kila kona tulikuwa tunatishiwa2 unanijua mm ni nani daaah tuliishi mwenye nacho na mwenye nyazifa flabi anakuwa kama mungu mtu ila jembe aliwanyoosha R.I.P jembe mungu akupe maisha marefu mzee wa msoga

  • @hidayambarka6514
    @hidayambarka6514 10 месяцев назад

    Hamna anaesahau mke sema nivijimambo tu

  • @kibaopipa3474
    @kibaopipa3474 3 года назад +14

    WEWE SIYO MTU WEWE

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 3 года назад

      Mtu ni nani?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 года назад

      @@ramadhanwilbard8196 NA YY PIA SIO MTU JANA LAKE KIBAO BABA PIPA 🤣🤣🤣🤣

  • @umojaninguvukubwa631
    @umojaninguvukubwa631 3 года назад +6

    Hayo ndio anayoyapenda kikwwtw

  • @iscmusicteam6082
    @iscmusicteam6082 3 года назад +1

    Vizuri sana

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 года назад +2

    Kisima cha hekima

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 2 года назад

    Pesa zetu za wavyuja jasho zinatumika mungu unaona au? huoni ?mungu wetuu

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 3 года назад

    Hicho kwenye glass ni kitu gani

  • @rajabrukonge580
    @rajabrukonge580 3 года назад +8

    Kipenzi cha wengi Allah akuweke zaid miaka buku

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 3 года назад +4

      Kipenzi cha mafisadi. Watanzania waliteseka sana mikononi mwake. Wachache walifaidika mali za Watanzania wote. Na bado anaendeleza. Huyu hakuacha legacy yeyote zaidi ya kuluhusu ufisadi uliowatesa Watanzania walio wengi.

    • @material_liv4674
      @material_liv4674 3 года назад

      @@gracegrace6200 labda kipenzi chake yeye na fisadi mwinzie

    • @mussasualehe7146
      @mussasualehe7146 3 года назад +1

      @@gracegrace6200 Chuki haisaidii

    • @mussasualehe7146
      @mussasualehe7146 3 года назад

      @@material_liv4674
      Easy nyie ni mazz

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 3 года назад +5

      Nani sio chawengi katuulia magufuli huyu

  • @justinerichard6823
    @justinerichard6823 3 года назад +6

    Saffiii

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 года назад +3

    Watu wana zeeka na sura zao

    • @wazirisaid8326
      @wazirisaid8326 3 года назад

      Ukiwa na moyo Safi sura yako haiwezi kukunjanakunjana wala kukosa nuru

  • @Mjomba_Side
    @Mjomba_Side 3 года назад

    Kuna pisi imepita imevaa nyekunda 06:09

  • @StellaKaluwa
    @StellaKaluwa 5 месяцев назад

    Hapo Sasamm

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 3 года назад +5

    We Mzee unakera sana sio sili.

    • @ntandumathayo3257
      @ntandumathayo3257 3 года назад +1

      Mtu mwenyew unaandika sio sili, kuandika tu hujui je kuelewa itakuaje

  • @corneliosamadaly7009
    @corneliosamadaly7009 3 года назад +4

    Mbwa mwitu anayeishi kwa ngozi ya kondoo, lakn kumbuka ukiua kw upanga utakufa kwa upanga na hakuna Siri iishiyo milele🙏🙏

    • @amaniabdi9755
      @amaniabdi9755 3 года назад

      Wewe ndo huna Akili kwani wanaokufa wote wanauwawa,.mda wake wakuishi Duniani uliisha.Hata yeye alijijua ndo maana kila mda alisema mtanikumbuka,alijua ugonjwa wake si wakupona.

    • @landmadvdmbeyacity9561
      @landmadvdmbeyacity9561 3 года назад +1

      veep alimuua baba ako nn mbn una lia bila sababu we nan kwanza unaongea hivi

    • @landmadvdmbeyacity9561
      @landmadvdmbeyacity9561 3 года назад

      tumia vzr mdando utakuja juta maan huelewek

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 3 года назад

      Yaani kama hamnazo hivi.

  • @anitasita7153
    @anitasita7153 3 года назад +3

    KAZI YAKE KIVIPI YANI ACHENI UPUUZ TZ SIO NCHI YA KIFALME MTU AKITAKA UFALME APELEKE KWAKE NA MKEWE 😤😤😤😤

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 3 года назад

    Na mm naomba uwe babu yangu.

  • @avatar3879
    @avatar3879 3 года назад +2

    Sikh moja cousins wangu walicheza sembuleni mpaka babu akasema ajisikia mgonjwa