KAKAA WA ARUSHA AKUTWA AMEJINYONGA NA KUOZEA NDANI, AMEACHA UJUMBE KWA BABA NA MAMA "NISAMEHENI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 119

  • @Happizo
    @Happizo 20 часов назад +21

    Mungu waonekanie vijana wa kizazi hiki.. maisha ni magumu mno.. mawazo.. mawazo alooo

  • @valentineevarist
    @valentineevarist Час назад +3

    kusema kweli watu wengi tuna stress za maisha tuna ishi kwa ku bangaiza sana

  • @LakinaneMuna
    @LakinaneMuna 20 часов назад +8

    Mungu wangu tunaomba uturehemu waja wako kila siku ni majanga 😢😢 kwa nchi yangu ya Tanzania 🇹🇿

  • @EunicePaulo-l2t
    @EunicePaulo-l2t 18 часов назад +4

    Arusha polen sana mungu awasaindie

  • @nickjustin2023
    @nickjustin2023 5 часов назад +4

    Eti "mimi nimesikitika sabbu mm ni muuza vichwa vya kuku"..😂😂😂

  • @memesnamatukiomuhimu8453
    @memesnamatukiomuhimu8453 Час назад

    Vijan tupeane san support watu wanapitia mengi😪🙌

  • @martinamahenge4476
    @martinamahenge4476 19 часов назад +11

    Mama vichwa vya kuku anatangaza na biashara yake -Visibility😅

    • @MsNajma-j7e
      @MsNajma-j7e 19 часов назад

      Kufa kufahana😂😂😂😂lazima atangaze mahana mteja wake amefariki jmn anamajonzi

    • @kelvinanselimu1281
      @kelvinanselimu1281 18 часов назад +2

      Nimecheka adi nimetema chakula mdomoni juu uyo bi mkubwa ni jau sn😅

    • @Mina.15
      @Mina.15 12 часов назад +1

      😂😂😂😂

    • @adelinabaitu3291
      @adelinabaitu3291 11 часов назад

      Vichwa vya kuku vimeingiaje mbona mambo aya​@@Mina.15

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 7 часов назад

      ​@@MsNajma-j7ekufa kufaana sio "kufahana" pia maana sio " mahana"

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 20 часов назад +6

    Mtihani kaamuatu kujinyonga namlangowake walikuta umefungwa au?maana wasiyojulikana wanambinunyingi

  • @Rich-wo
    @Rich-wo 2 часа назад +1

    Tumrudie Muumba wetu jmn…huko nje si shwari kbs

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru 19 часов назад +3

    Inalillah wainaillah rajighuun 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @JacksonStephano-xn8ly
    @JacksonStephano-xn8ly 19 часов назад +4

    Watu wamebeba vitu vingi moyoni hawana mahali pakusemea😢😢 mwisho wa siku vinawazidia wanaona suruhisho ni kujiua kwa sababu wanaamin watapumzika.... tuwafundishe watoto wakiume kujieleza na kuzungumza. Tuachane na kauli za mwanaume kukaza❌ mwanaume halii❌mwanaume uwe na kaba❌

  • @RajabuAbdi-rs7sp
    @RajabuAbdi-rs7sp 9 часов назад +1

    Yaah Allah tunusuru nahaya mabaya yakidunia

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 Час назад

    Dodoma wamepumzika Sasa zam ya Arusha du polen sana

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 23 минуты назад

    Maisha yanatuwazisha sana vijana 😢😢😢

  • @laurencemassawe9100
    @laurencemassawe9100 8 часов назад +1

    Da Mungu awasadie sana vijana

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 25 минут назад

    Huyo mama alipie Hilo Tangazo la kuuza vichwa vya kuku

  • @annangailo9292
    @annangailo9292 Час назад

    Nimeumia snaa mdogo wangu pia alifanya ivyo mpaka Leo sielew 😢

  • @lullebolle808
    @lullebolle808 20 часов назад +1

    Poleni Sana ndugu zetu

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 17 часов назад +2

    Jamani pole Jasmine muuza vichwa vya kuku, wazazi, ndugu na majirani. R.I.P S2Kizy 😢😢😭😭😭

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 20 часов назад +4

    Hapo ni maisha au mapenzi

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 19 часов назад +2

      Oh dear. Mental health is real.
      Rest in peace.

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw 10 часов назад +1

    Inalilah wainalilah rajuuni

  • @ISACKKILEO-e7z
    @ISACKKILEO-e7z 5 часов назад

    Vijana wa arusha sijui nan kawalogaa,😭😭😭😭😭🏃🏃🏃

  • @davidlyimo8079
    @davidlyimo8079 9 часов назад

    Daaah! Inaumaa saan aisee 😭

  • @MaryTarimo-g1q
    @MaryTarimo-g1q 20 часов назад +3

    Arusha kuna nini?

  • @leonardaugustino4072
    @leonardaugustino4072 4 часа назад

    Eeh kumbe S2kizzy amekufa uko na hamsemi Duh😮

  • @FaustaKessa
    @FaustaKessa 8 часов назад +1

    Jamani uyu kaka mbona namfahamu

  • @charlesmwakagile7294
    @charlesmwakagile7294 21 час назад +2

    People are going through alot r. i. p

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 3 часа назад

    Merry, mmmm. Utakuja saaidia poli. Mmuangalie lbd MTU amejinyonga.

  • @FatmaHalfan-w3l
    @FatmaHalfan-w3l 6 часов назад

    Daah Maisha magumu watu wanapoteza dira ya maisha

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 19 часов назад +2

    Arusha shikamoo poleni familia

  • @ChristopherMaximilian-e3r
    @ChristopherMaximilian-e3r 19 часов назад +1

    duuu haya maisha haya

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 5 часов назад +1

    Na wewe Godfrey siku moja moja uwege unatuletea habari za harus ww kila siku watuletea bad news tu kwan huko arusha watu awaoan jaman tumechoka kulia

    • @SharyMary-s8t
      @SharyMary-s8t Час назад +1

      😂😂Bora hata useme jamani maana mmh

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 21 час назад +1

    so sad jaman

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 21 час назад +1

    R.I.P poleni sana wafiwa

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 9 часов назад

    s dhan kama kna mt anapenda kjinyonga jmn ila ni ubinafs mmoja m,baya sana unajitazama mwenyewe t kama n mapenz vjana tuache ujinga bora uwe play boy klko ujiuwe ksa mapenz syo vzr ila nais tumrudie mwenyenyenz mungu mana binadam wengne syo wazr

  • @mauriceslh
    @mauriceslh 3 часа назад

    Vichwa vya kuku tena...Ebu muulizeni Huyo mama aisee...

    • @BUFFALO-A
      @BUFFALO-A 45 минут назад

      Sasa wamuulize nini wakati anakwambia kasikitika mteja wake kajiua

  • @omanmct135
    @omanmct135 9 часов назад

    Hatari

  • @bnztechnologies2676
    @bnztechnologies2676 4 часа назад

    pia anaweza kuwa kauliwa na muuaji akaandika hiyo note sema tz upelelezi bado sana

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 8 часов назад

    Mm naona huyo kanyogwa hapo 😢😢😢

  • @amaniashery7762
    @amaniashery7762 6 часов назад

    Huu utamaduni wa sis wanaume kuweka vitu moyon bila kusema ili kupata msaada ni mbaya sana Mungu mrehemu kakaa dah so sad

    • @DaudiEmanuel-yv3jt
      @DaudiEmanuel-yv3jt 3 часа назад

      Ndo hamna watu wa kutusaidia aiseee haya maixha duuh😢😢😢😢

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 20 часов назад +1

    Jamani maisha haya

  • @frolamaugo3924
    @frolamaugo3924 16 часов назад +1

    Arusha Kuna nni mbna vifo aviishi

  • @UmuHaitham-v3b
    @UmuHaitham-v3b 20 часов назад +3

    Jamani mbona Arusha kunamatokeo mengi saana ya madhara makubwa makubwa saana .

    • @jamesnyahega3143
      @jamesnyahega3143 9 часов назад

      Issue hapo ni madawa ya kulevya yaliyokithiri huko arusha

    • @C.O.D7467
      @C.O.D7467 6 часов назад

      Duu hongera afisa upelelezi​@@jamesnyahega3143

  • @DaruMcv
    @DaruMcv 19 часов назад +2

    Vichwa vya kuku😅

  • @Rich-wo
    @Rich-wo 2 часа назад

    Do i hear S2KZ?!

  • @gastonpeter4265
    @gastonpeter4265 4 часа назад

    Kashachukuliwa kimazingira huyo hakuna mtu anayependa kujinyonga kanyongwa na maroho huyo na wakamset kuandika hvyo

  • @Mina.15
    @Mina.15 12 часов назад +2

    Depression is real

  • @yohanakateko
    @yohanakateko 20 часов назад +1

    Maisha magumu mno hamna hajira mawazo mengi maisha magumu

  • @WallaceWaweru-ob7jz
    @WallaceWaweru-ob7jz 6 часов назад

    Vijana wana mawazo sanaa 😢

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 21 час назад +2

    Ile mbichi ya meru itakuwa chanzo

  • @lucasroswe6544
    @lucasroswe6544 17 часов назад

    Hii ni wapi mbona kama kwa moromboo

  • @joshuanassary5072
    @joshuanassary5072 20 часов назад +1

    Uchawi nao upo

  • @yohanakateko
    @yohanakateko 20 часов назад +1

    Matatizo ni mengi ugonjwa wa afya ya akili pia upo ila mungu atusaidie

    • @karibunyumbani3824
      @karibunyumbani3824 20 часов назад +1

      Ni kweli

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 10 часов назад +1

      sikuhiz mtu hata ukiomba msaada ndo kwanz watu wanakutenga yaan inauma😭

    • @SharyMary-s8t
      @SharyMary-s8t Час назад

      ​@@aboudijaaboudijakweli unabaki nalo moyoni mwishowe unaona Bora kufa tu

  • @zubeirymkina9424
    @zubeirymkina9424 3 часа назад

    S2kizzy tena

  • @RosemaryMalya
    @RosemaryMalya 5 часов назад

    Mama wa vichwa vya kuku shkamoo

  • @AbiaWilliam-s1s
    @AbiaWilliam-s1s 8 часов назад

    😢😢

  • @aboudijaaboudija
    @aboudijaaboudija 10 часов назад

    ukikosa hata wakukufarij unachukua maamuz magum ,😢life

  • @DianaHyera
    @DianaHyera 9 часов назад

    Sasa Makongoro mbona wenzio tunamajonzi lakini wewe unatufokea sasa

  • @AbdillahSalimu
    @AbdillahSalimu 17 часов назад

    Mwanaume alichoka kuishi ??... kweli maisha nikiboko cha mtu mkubwa

  • @mamakekhubeiby4206
    @mamakekhubeiby4206 9 часов назад

    Labda ametiwa hofu la moyo maskini

  • @RukiaRashid-mb7qc
    @RukiaRashid-mb7qc 17 часов назад

    😢😢😢😢😢

  • @Mina.15
    @Mina.15 12 часов назад

    Vichwa vya kuku 😂

  • @BaltazarSavin-b3q
    @BaltazarSavin-b3q 21 час назад

    😮

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 21 час назад

    Arusha Mungu turehemu

  • @paulnyambo6969
    @paulnyambo6969 20 часов назад +2

    Arusha imekuwa na matukio mengi sana mabaya ya vifo ukiachana na hili tukio ila mkuu wa mkoa hana habar yuko bize kwa vitu ambavyo havina tija kwa wananchi

    • @simonmalegesi414
      @simonmalegesi414 20 часов назад +2

      Muhuni kafa unamtaki mkuu wa mkoa we kenge uyo kwetu tunazika mlimani ni mkosi

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 17 часов назад

      ​@@simonmalegesi414😂😂😂😂😂

  • @LolyFadi-t8b
    @LolyFadi-t8b 19 часов назад

    Kumbe s2kiz

  • @EsuphatMolel
    @EsuphatMolel 21 час назад

    Mbona Kila siku ni Arusha tu jamnii

  • @masoudfundiumeme8892
    @masoudfundiumeme8892 21 час назад

    Aisee maisha ni siri jamaan

  • @jonaslubote2759
    @jonaslubote2759 21 час назад +2

    Kuna pisi nyeupe imehojiwa hapo

    • @MasanjaBahati
      @MasanjaBahati 20 часов назад

      😂😂

    • @karibunyumbani3824
      @karibunyumbani3824 20 часов назад +2

      Sichekagi ujinga ila huu wa kwako 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 19 часов назад

      😂😂😂😂ndo mlivyo wanaume hata mkifiwa na waje wenu cku ya msiba mnaangalia wanawake wa kuoa

    • @petrolconrad4250
      @petrolconrad4250 19 часов назад

      Babuuu😂😂

    • @abasmwika3432
      @abasmwika3432 11 часов назад

      Asha

  • @knowledgeispower1118
    @knowledgeispower1118 17 часов назад

    Unatembea na waslam..wanamapepo ndio wamemuingia

    • @Veronicawelu
      @Veronicawelu 9 часов назад

      Ww jmn ayo mambo yameingiaje😮

    • @IvanMocha
      @IvanMocha 5 часов назад

      Acha upuuzi

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn 3 часа назад +1

      Komwe kama chaji ya Cm Sasa Waislam wameingiaje hapa Tahila nini fyuuuuu km ulikuwa auna la kuongea ungekaa kimya kelbu wahed Majinuni 😏😏

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 20 часов назад +2

    Uyo mama anasema vichwa vya kuku.sijamuelewa

  • @leilaadam882
    @leilaadam882 21 час назад

    😢😢😢😢😢