Nakupenda sana dda isha mashauzi natamani ningekuwa na dda kama we...me dda yangu analoho mbaya na hapendi maendereo yetu wadgo zake kabsaa kila sku anatuchawia tusifanikiwe
dada Isha kama umetudangany nadhani ukimpa kitu lazima kiwe chake huwez sema umempa mdogo wako kisha useme NI yako , sema ummeuweka awe msimamiz wa saluni ,
Nakupenda sana dda isha mashauzi natamani ningekuwa na dda kama we...me dda yangu analoho mbaya na hapendi maendereo yetu wadgo zake kabsaa kila sku anatuchawia tusifanikiwe
Habunnallah wa neemar wakir
Hulogwi mpenz badili mtazamo wako tu utaona mambo yanakwenda
Me ndugu dada yngu amenichomea nyumba kabisa na mpk saiv kapotea amekumbia hatujui yupo wap
@BahatiMateru-us7zt ni shida mpez kunawezetu wanabatika kupata dda lkn ssi wengine ndio wamekuwa mwiba kwenye maisha yetu Allah atuweke wepse
Mmmmh
MASHALLAH isha ana akili sana na anawapenda ndugu zake MASHALLAH ❤❤
dada Isha kama umetudangany nadhani ukimpa kitu lazima kiwe chake huwez sema umempa mdogo wako kisha useme NI yako , sema ummeuweka awe msimamiz wa saluni ,
Kweli kabisa alitakiwa aseme saloni niyake ila huyo sauda nimsimamizi au saloni niyasauda amemfungulia nakumpa😊
Kuimbi dhambi funguka tu kipenzi Allah akuongoze😊
Umeaminisha watu kama umeolewa leo unakana Astaghfirullah Mungu atuongoze 😢
Wanafanana❤
Ameweka mdogo wake asimamie Mali yake,kama hamuelewi😮
Kweli ata Mimi dada angu ni ana rohoo mbaya
❤❤❤is a beautiful thing support wadogo ni kitu cha mzingi sana
Mashallah allah akuzidishie pale palipo pungua
Uo ushungi mashauzi😢😢😢
Ila wasanii daaah,hii saloon ipo hapa kwetu temboni, cjuh kwann wankwaga waongo
Kwanini na isha asiachi??Mungu awawezesheni
Eti salon ya sh ngap jaman wasanii muwe mnasem uwalisia jaman
Hizo namba kaongeza ila kiukweli Isha anampenda sana mdogoake
Mpongeze sn,kwa muonekana huo hyo hela umefika, wanaelew tu wenye maofisi,💪
❤❤❤
Mnafki uyu ziwa kama loba siulisema umeolewa mxiii
Kwan ukimpa kitu nduguyako mpaka uende kwenye midia
Watajuaje. Saa Kam ana salon😂😂
Mnapenda sn kiki tuachen kwanza yanga bigwa
@@hanifamziray277 kweli yanga bingwa
Uongo jaman
Uongo uongo uongo ofisi yake hata sahani nzuri hawana sehemu ya sehemu ya juice yenyewe mbaya
Hii nayo habari?
hata milioni 20 haifiki yani watu mnapenda sifa zakinga😂😂
Una wivu duuh
We unayo iyo m.20 au wivu wa kipumbavu
Team kuteseka 😂😂😂
Aijafuka ata milion 10 mie rafiki yangu anayo kuzid iyo na aijafika ata 20 m
Wivu @@bdvc7107
uongo mtupu salon gana hiyo yenye thamani ya milion hamsini
We hunayo ata ya mirion Moja unajua garama ya vifaha za salon
Ndo hivo vifaa vya saloon ghali na unaona imejaa
😂😂😂😂alafu kasema ofisi yake siyo tena ya mdogo
Umeonaa eeeh hata mm nilitaka kuuliza mbona anasema ni yake na si ya mdogo wake tena @@johasaeed391
@@johasaeed391hapo ndo kajichanganya😅😅😅