Mzee hajui kusoma wala kuandika, nadhani hilo ndo tatizo. Jamaa wame take advantage kumfilisi. Nahisi walikua wanampa matumaini ya kupata nyumba huku wanamshauri auze vitu awalipe wamsaidie kupata nyumba, sababu ya kukosa elimi nae akawa anawaamini. Pole mzee, haki yako utapata InshaAllah!
Daah ubina adam kazi kwelii yaani tatizo lakuto kujua kusoma ndowametumia njia hiyo kumpokonya jasho nahaki yake😭 kunamuda watu wanateseka au watoto wao kumbe kuna jasho lamtu ndani yake Mungu akutetee mja wake🙏🙏
Pole mzee.. hii kesi ni sawa na ya kwangu, niliwajengea wazee wangu wakati wa uhai wao sasa wazee wote wamefariki ndugu zangu wanasema nyumba ni ya mzee ila hati ina jina langu. Tuko mahakani kesi inaunguruma haki ya mtu haipotei najua nitashinda.
Inategemea uliwajengea kwenye uwanja wako au wa wazaz wenu, kama ni uwanja wa wazaz ndo shida ipo hapo familia za kiswahili aznaga simile, pole sana ndug.
Nyumba ni haki yake kabisa watoto wa mdogo wake na mke wa mdogo wake haviingiliani msirahisishe maisha alijenga kwa ajili ya kesho yake na sio kesho ya mke wa mdogo wake
Kweli don’t trust no body😢😢😢😢😢pole baba mungu akusaidiee jamani binadamu wabaya😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢daaha sad 😔 kigoma mdogo wangu wa tumbo moja alikufa vibaya Tena aliyefanya hivyo ni ndugu 😢😢😢😢😢jamani kwa nzia hapo sitaki ndugu hata kidogo my heartchanged a lot 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢rip deo mdogo wangu still miss you 😢 but human no way😢😢😢😢
Mzee pole Sana kizulimiwa na shemeji yako Huyo ni TAPELI. Mzee NAKUOMBA kwa Wazizi wa Aridhi na nyumba haki yako itapatikana tu. Huyo ni mwizi. Tafadhali fika kwake OFISINI ATAKUSAIDIA.
Pole mzee.... Ila nahis Kuna shida mahali.... Unawatoto wengi na umesema umewasomesha.... Hakuna mtoto ata mmoja aliesoma kidogo awe anakusaidia kukushaur/kufatilia mambo...? Au ulikua huwashirikishi??
Mzee alichezewa michizo kwanza Kuna watu lazima kuna watu walichukua pesa kuwa atasaidiwa ndio maana akawa anauza vitu vyake kifupi kesi yake ilikuwa na utapeli
Jamani jamn haya mambo yapo yali mkuta Baba Angu lakn Alhamdulillah alikua na usipitisho na Mashahidi walikuwepo Zaid ya miaka 12 kesi mahakamani lakin amepata haki yake kwasasa
Shida wanaume mkipata pesa huwa mnaona mloanza nao takataka unatafuta kahaba linakuja kwako kwajilia ya pesa to zikiisha linasema wanajua kuigiza mapenz hao sio poa kwahuyu mzee sio kosa lake naongelea badhi ya wanaume wakifanikiwa wanakuona kama ulie anza nae hufai zikiisha wanarudi wanakuwa wapole wakati huo sio poa nikikumbuka aise harafu wakati huo mnapesa hataki hata umshauli chochote ila kipindi cha nyuma akiwa hana kitu ulikuwa unamshauli kila kitu
@@HanipherHassan-i4d upo vizuri lakini Mwanamke Ela za mwanaume so kihivyo Zifatiriwe wakati mwingine tunataka uhuru kidogo Jamani, Mwanamke na Ela so poa
Dah pole sana mzee lkn pia najarbu kufikiria mali zote hizi unauza kukomboa nyumba moja, ulikuwa na nyumba 4, duka, fremu ,viwanja na gari vyote ukauza sasa n her angepotez nyumba moja akabak na mali zingne
Kumbuka pia amekwambia aliugua miaka mitano. Wakatj huo ana kesi mahakamani. Na kisaikolojia akawa hayuko vizuri. Kama umemfatilia vizuri nafikiri ameeleweka tu. Tuache midhaha kwenye matatizo ya watu basi
Duh huyu Mzee ni kweli ana watoto wengi ila hakuawapeleka shule mtoto wake wa kwanza alikuwa anaitwa Mnyonge, mm huyu alikuwa jilani yangu hapo kilimahewa karibu na dr Mazana
Rohooo mbaya 😅😅😅sasa familia ya mdogo ako anataka ingaike wakati ana nyumba zingine ???? Kuna kitu akiko sawa walahi angweza kupambana na kujenga zingine
@@officer1208 binafsi nimejifunza Mengi sana ila kikubwa nilichojifunza ni ile mwisho wa ubaya ni aibu aliyefilisika sio yeye tu ni hadi wadogo zake wote waliokua wakishirikiana bora yy kabaki na nyumba wenzake waliuza had nyumba zao wamepanga kbs hao sababu hta mm sijazijua
Acheni mamb ya kibabaifu yaani ufirisike kwa ajili ya nyumba moja yaani mtu auze mali zake zote ili kugomboa nyumba mirad tuna kuamini jalibu kutuletea stor ambazo zna mashiko sio upuuzi kama huu
Jamn babu yupo sahihi lazima aipaganie nyumba yenye thaman ww KUWA na nyumba madafu sio sawa na KUWA na nyumba kigoma mjini dar ni dar tu Location ukitoka kw Aziz ally kituo kinachofata madafu mchezo😂😂😂😂😂😂
Nyumba yangu ya mwisho kupanga pale madafu mpaka nahamia kwangu ilikuwa balaa tulikuwa tunachanganywa nani wa kumlipa Kodi maana kila moja anasema yy ndo mwenye nyumba lol tulikoma
Kwa maelezo aya ya uyu mze atueleze pesa alipeka wapi afu kutembea awezi na ninamwona anatembea adi kinyume nyume me na aya yakusema Moja iyo nyumba dar ipo sehemu gani na imegalim shingapi kujengwa mbili aliwezaje kumweka mdogo wake kwenye nyumba ya thamani na family yake afu yeye akabaki kwenye nyumba za kawaida tatu vitu alivyo uza magari nyumba biashala au miradi mpaka akafilisika vina thamani gani na la mwisho kwanini asinge achia watoto wa kaka waishi sababu ni family pia sababu Alisha leta wema huruma toka mwanzo alivyo kuwa akitaka kuwatoa alitaka wakwende wapi.? Na yeye angeendelea na mishe zake ili asifilisike akabaki kuwa tajili mpaka sasa angekuwa tajiri
Inavyoonekana hata watoto alionao n weng lkn hakuna mtu ambaye amesoma na kujipambanua kias cha kulivalia njuga suala hili, maana kwa dunia ya leo kesi za kudhulumiwa ni nying, hasa hz za nyumba, mashamba na viwanja watu wanadhulumiwa sana, na pia kesi nying zimekuwa n ngumu maana rushwa nayo imeshika hatamu, na mtu akila pesa n rahs sana kuuza haki ya mtu, utazungushwa weeee kumbe jamaa wameshamuwah msimamiz wa kesi wakampiga bahasha yenye mzgo.
Ninavyofikiri mimi kesi inapoanza mtu unaona ni rahisi lakini mwisho wa siku hiyo kesi inaendeshwa kwa pesa halafu inaenda taratibu sa na mpaka ikija kufika mwisho na wewe umebaki mtupu
Mzee hajui kusoma wala kuandika, nadhani hilo ndo tatizo. Jamaa wame take advantage kumfilisi. Nahisi walikua wanampa matumaini ya kupata nyumba huku wanamshauri auze vitu awalipe wamsaidie kupata nyumba, sababu ya kukosa elimi nae akawa anawaamini. Pole mzee, haki yako utapata InshaAllah!
Duuh hatr sana kuhusu na mkumbuka aliekua wazir wa ardh jer muro alivyokua anasaidia
Daah ubina adam kazi kwelii yaani tatizo lakuto kujua kusoma ndowametumia njia hiyo kumpokonya jasho nahaki yake😭 kunamuda watu wanateseka au watoto wao kumbe kuna jasho lamtu ndani yake Mungu akutetee mja wake🙏🙏
Pole mzee.. hii kesi ni sawa na ya kwangu, niliwajengea wazee wangu wakati wa uhai wao sasa wazee wote wamefariki ndugu zangu wanasema nyumba ni ya mzee ila hati ina jina langu. Tuko mahakani kesi inaunguruma haki ya mtu haipotei najua nitashinda.
Inategemea uliwajengea kwenye uwanja wako au wa wazaz wenu, kama ni uwanja wa wazaz ndo shida ipo hapo familia za kiswahili aznaga simile, pole sana ndug.
Dah! Pole sana Baba Mungu Mwenyezi akusaidie upate haki yako😢
Mzee nimekuelewa sana pesa nyingi zimiliwa akidanganywa kua atasidiwa dunia aina uluma mulioko kwenywe nafasi msaidien apate akiyake mungu atawabalik
Mwaarabu pole sana .wengi tunajua nyumba Ni yako .huyu mzee asaidiwe
Ni kweli mie niliwahi kuishi kwake wazazi wangu walipanga kwenye nyumba yake
Nyumba ni haki yake kabisa watoto wa mdogo wake na mke wa mdogo wake haviingiliani msirahisishe maisha alijenga kwa ajili ya kesho yake na sio kesho ya mke wa mdogo wake
Pole sana mzee wetu kama ni jasho lako Mungu atakufanyia njia pasipo njia 🙏🙏
Pole sana babu, Mungu akupatie watu wema wakusaidie kutetea haki yako
Polee mzee wangu duu kweli shemejii mtata duu hadi mzeee kasahauu hardware aseme anderware😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂nacheka kama mazur😅😅😅😅
Kweli don’t trust no body😢😢😢😢😢pole baba mungu akusaidiee jamani binadamu wabaya😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢daaha sad 😔 kigoma mdogo wangu wa tumbo moja alikufa vibaya Tena aliyefanya hivyo ni ndugu 😢😢😢😢😢jamani kwa nzia hapo sitaki ndugu hata kidogo my heartchanged a lot 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢rip deo mdogo wangu still miss you 😢 but human no way😢😢😢😢
Mungu ambariki apate hakiyake
Mzee pole Sana kizulimiwa na shemeji yako Huyo ni TAPELI. Mzee NAKUOMBA kwa Wazizi wa Aridhi na nyumba haki yako itapatikana tu. Huyo ni mwizi. Tafadhali fika kwake OFISINI ATAKUSAIDIA.
Pole sana Faza, Mzee Korogwe, hii stori niliambiwa na Mwanae Mussa Bassa nikajua ni uongo kumbe kweli 😢
Pole sana baba mungu hawezi kukuacha naakupiganie😂
mungu akusimamie baba haki mungu hashindwi hakiuako utaipata ikiwa hai allah nimkubwa na mfalme
Mmmh magonjwa yale ukimwi😂😂😂
Pole Baba si la kukucheka, lina weza kupata mtu yoyote na pia hakupata wakili wa kumtetea maana hawezi kujieleza vizuri, plus hajasoma
Hilo la kwake mke wamdogo wangu na anawatoto nifungue kesi nitakua Nina akili kweli
Hamuujui ukwl alikua na mawakili wa3 aligush kila kitu kesi yake naifahamu,waliomfilisi ni wanae sababu ya wake tofauti
Aliegushi ni mzee au huyo mwanamke? @@danielyharuna6393
Pole mzee kwa kuharibika kikorosjia
Kwel asee ameharibika kikorosjia😂😂
😅
Mhm! Yesu tusaidie. 🙏
Njaa ipo na Yesu anasemwa kila siku, vifo vipo na Yesu anasemwa au kutajwa kila siku. Watu weusi wanatakiwa kuamka. Hauwezi wewe mtu kumzaa Mungu
Kwenye andaweya yaani vifaa vya ujenzi,imebidi nicheke kidogo,ila pole sana mzee
Hardwea
Na Ile kisaikolojia
😀😀😀 SIO TAMEKE NI TEMEKE Mzee una tuchanganya Ujue😀
Umli wake na wako hauendan acha upumbavu uwe na maadili ya wazee
Pole Mzee mwarabu wema wako leo wasiojua wanakuponda pole sana haki ya mtu haipotei inacheleweshwa tu utapata haki yako
Haki ya mutu haipotei😄😄😄😄 kwa dunia hihi , natanzinia hii😂😂😂😂😂😂
Acha kuongea upuuzi huyu mzee anatetea haki yake iliyopotea
@@BarakaBoasi kazana nae😄😄😄
Mupe haki yake tuone
Watoto wake wapo wapi hadi wanashindwa kumsadia mzee wao. 😢😢😢
Sasa mzee wangu kweli unauza mali zote kwa kukomboa nyumba moja😊
Hawa watu wa media wanatuona hatuna akili Wala hatuna kazi na bundle zetu
Pole mzee.... Ila nahis Kuna shida mahali.... Unawatoto wengi na umesema umewasomesha.... Hakuna mtoto ata mmoja aliesoma kidogo awe anakusaidia kukushaur/kufatilia mambo...? Au ulikua huwashirikishi??
Ndo hapo,baba mtu anapitia hiyo pressure yet watoto wanaweza saidia
Sema mzee
Mzee alichezewa michizo kwanza Kuna watu lazima kuna watu walichukua pesa kuwa atasaidiwa ndio maana akawa anauza vitu vyake kifupi kesi yake ilikuwa na utapeli
Raisi wetu ni kipenzi cha wanyonge atakusaidia kwa neema aliopewa na mwenyezi mungu ameni
Pole sana
Mungu afanye wepes utapata haki yako
Kwan Hati miliki ya nyumba ilikuwa imeandikwa Jina la nan?😊😊😊
DAAH kumbe mzee hajui kusoma na kuandika ndomana wame mzulumu
Anauza Mari kukomboa mari 1 tena wanaishi Ndg zake Elimumtaji 😅😅😂😂
Usiombe yakukute unapigwa zongo unafilisika mpaka akili... unatupa kila kitu kukukomoa
@@JailanSelemani tatizo lako akili
Temeke ni mjin broo..garama zake ni kubwa kwahiyo angepata hiyo nyumba anaweza uza bei nzur kuliko ata hzo mali alitoa kukomboa hiyo nyumb
Elimu mtaji gani tutolee njaa zako
Wema wake umemponza kama Ferooz sasa majuto ya Dunia anayahonja 😢
Yaani hata kikoloschia nilishaharibika 😂5:37
Anamaanisha sijui kisaikolojia masikini 😢🙆
Pole sana ila usijali maana Mungu amekupa maisha marefu hata Ivo shukuru tu Utarufishiwa nyumba yako
Pole sana Baba tunaimani serikali yetu tukufu itakupa haki yako
Mungu msaidie huyu mzee hiinihakiyake
Duh mahakaman hera zipo😮😮😮
Kikorosia ameshaharibika😂😂😂😂 yaani kisaikolojia ndo alichomaanisha😂😂😂
Du kweli Mzee umepgwa palefu
Pole sana babu mungu yupo pamoja nawe
Jamani jamn haya mambo yapo yali mkuta Baba Angu lakn Alhamdulillah alikua na usipitisho na Mashahidi walikuwepo Zaid ya miaka 12 kesi mahakamani lakin amepata haki yake kwasasa
Wanawake wote wachinjwe Christmas, ndio chanzo cha wanaume wengi kufikia hatua hiii pore sana dady
Pole sio pore
@@selector728 sawa mwalimu
Shida wanaume mkipata pesa huwa mnaona mloanza nao takataka unatafuta kahaba linakuja kwako kwajilia ya pesa to zikiisha linasema wanajua kuigiza mapenz hao sio poa kwahuyu mzee sio kosa lake naongelea badhi ya wanaume wakifanikiwa wanakuona kama ulie anza nae hufai zikiisha wanarudi wanakuwa wapole wakati huo sio poa nikikumbuka aise harafu wakati huo mnapesa hataki hata umshauli chochote ila kipindi cha nyuma akiwa hana kitu ulikuwa unamshauli kila kitu
@@HanipherHassan-i4d upo vizuri lakini Mwanamke Ela za mwanaume so kihivyo Zifatiriwe wakati mwingine tunataka uhuru kidogo Jamani, Mwanamke na Ela so poa
Somesheni watoto, pole mzee umedhulimiwa kutokana na uelewa mdogo!
Amezulumiwa kwa uzembe wake
Maisha haya huyu mzee namjumbuka alikuwa na pesa ndefu mungu huyu😂
Dah pole sana mzee lkn pia najarbu kufikiria mali zote hizi unauza kukomboa nyumba moja, ulikuwa na nyumba 4, duka, fremu ,viwanja na gari vyote ukauza sasa n her angepotez nyumba moja akabak na mali zingne
Kumbuka pia amekwambia aliugua miaka mitano. Wakatj huo ana kesi mahakamani. Na kisaikolojia akawa hayuko vizuri. Kama umemfatilia vizuri nafikiri ameeleweka tu. Tuache midhaha kwenye matatizo ya watu basi
Pole utapata haki yako wala usiwe na wasi wasi
Duh huyu Mzee ni kweli ana watoto wengi ila hakuawapeleka shule mtoto wake wa kwanza alikuwa anaitwa Mnyonge, mm huyu alikuwa jilani yangu hapo kilimahewa karibu na dr Mazana
Mnyonge shule si alikataa bhn sahv chapombe dzm
Pole mzee
Rohooo mbaya 😅😅😅sasa familia ya mdogo ako anataka ingaike wakati ana nyumba zingine ???? Kuna kitu akiko sawa walahi angweza kupambana na kujenga zingine
😅😊 1:16
Mbona kama ni ujinga mdogo wake amekufa nayupo na nyumba ya ndg yake sasa watoto wange enda wapi hongera mke wa marehem ❤
😂😂😂
Nyumba alijenga kwa ajili yake na watoto wake hakujenga kwa ajili ya mke wa mdogo wake na watoto wa mdogo tuwe waelewa
Huna hakili yangekua kwako
Sahihi
Huyo mzee hajatapeliwa yy ndy alihitahi kutapeli hata hati ya marehemu aliibadilisha
Kweli sina ninacho cha kusema ila ninyamanze mdomo koma huyu alikuwa bos 2003
Sema ukweli tujue japo kwa ufupi.
Mzee Muongo,yeye ndiye alitaka kuzulumu kaliwa na wanasheria wake sana na hajawah umwa miaka mi5 kafilisiwa na wanawe wakubwa sababu ya wake wengi
Mkuu tupe story kwa kifupi,huenda tukapata funzo hapa.
@@officer1208 binafsi nimejifunza Mengi sana ila kikubwa nilichojifunza ni ile mwisho wa ubaya ni aibu aliyefilisika sio yeye tu ni hadi wadogo zake wote waliokua wakishirikiana bora yy kabaki na nyumba wenzake waliuza had nyumba zao wamepanga kbs hao sababu hta mm sijazijua
@@danielyharuna6393unawajua ndg yang? Au na ww unataka kutupanga tu
@@iddymvukuye2502😂😂 nisingeongea km siwaFahamu mzee
@@danielyharuna6393 kwahy mzee anapotosha watu?
Shida ilianzia hapo kwa Kukosa Elimu 😢
Uyu mwandishi hamna kitu bora vido
Ni upumbavu kurusha kipande kinachosema marehem alifariki kwa ukimwi. Utovu wa maadili ya kitaaluma.
Ni ndg yake anamjua alimuuguza yeye syo mtu baki
Allah atunusuru wote tunao waamini ndugu zetu hadi naogopa ila haki ni haki tu
Wengine wana uoni hafifu,nyumba alijenga kwa ajili yake na sio kwa ajili ya mke wa mdogo wake na watoto wa mdogo wake.
Kwa temek madafu nymba ya vimba 16 dhaman kam bil moja pole mzee
Hana watoto?
Wamrudishie VITU VYAKE
Kama mtu anayo hati ya kiwanja kwann mahakama wasimpe nyumba yake? Pole sana mzee
Pia hata hao watoto ni majingq sana,wema wa Mzee kiwasomesha hawaoni.msaidieni mzee
KWANI HIYO NYUMBA HAIKUWA NA DOCUMENTS!!!
Hiko iv kama umekutana nakes. Utajuwa kuwa Mzee huyu anaongea nn acheni kuzarau maisha kupanda nikaz kushuka rahisi sana MUNGU atakusaidia mzeee
Stor ina walakin hiii
Hela ya moto uwa inaishaga ivyo
Sahihi kbsa
Nikwel kabsa hela iyo nafikir ilkuwa ya moto
Sahihi
Hiyo nyumba haina hati? Hadi uuze nyumba zote magari yote kwa sababu ya nyumba moja??
Acheni mamb ya kibabaifu yaani ufirisike kwa ajili ya nyumba moja yaani mtu auze mali zake zote ili kugomboa nyumba mirad tuna kuamini jalibu kutuletea stor ambazo zna mashiko sio upuuzi kama huu
Kwani umelazimishwa kutazama acha nyege wew
Fact sana iyo nyumba Ina garama gani mpaka hauze Kila kitu nyumba magar ili akomboe nyumba moja
@@worldrapamako3960haujielewi kaka matus ya nn sasa
Jamn babu yupo sahihi lazima aipaganie nyumba yenye thaman ww KUWA na nyumba madafu sio sawa na KUWA na nyumba kigoma mjini dar ni dar tu
Location ukitoka kw Aziz ally kituo kinachofata madafu mchezo😂😂😂😂😂😂
Ufilisike sio ufirisike
Siangejenga nyingine au ni gorofa
😂
Wewe mdogo wagu wewe😢😢😢
Mzee Mwarabu pole sana mwenye nyumba wetu wa zamani huyu 🥺🥺
Wewe muongo kweli au
@ramadhanimbegu1372 unanijua? Nimeishi kwenye hyo nyumba hapo hapo hapo wazazi wangu waliwahi kupanga agu unaniita mwongo unanijua?
😢😢Maskini mzee wetu pole kwa mapito..kwa roho moja sina noma na wewe mzee,shida yangu ni kijanaa alofanya interview😢😢 na content ilivyo oganaiziwa😂😂😂😂
Kweli Mzee hiyo ilikuwa mali yako,umepigwa na ushamba,wametumia uzaifu wako wa kujieleza,Yana mahakama jamani,hata mahakimu,hawaoni uhalisia
Da polesana babaangu nakuonea Hadi huluma
Unaeeza sema Ivo kwasababu ayaja kupata jaman kes kuendesha ni Kaz sikia tu kes
Diamond kawafungulia
Nani kasikia mtangazaji anamkumbisha mzee ataje" na gari" mzee akasema Dala🤣🤣
Kikolosjia nimeharika kabisa 😂😂😂pole babu ila mafaili ni mengi 😂😂
Hahaaa! Noma sana.
Nyumba yangu ya mwisho kupanga pale madafu mpaka nahamia kwangu ilikuwa balaa tulikuwa tunachanganywa nani wa kumlipa Kodi maana kila moja anasema yy ndo mwenye nyumba lol tulikoma
Biashara ya Andaweya Yaani Vifaa vya Ujenzi.
Hardware.
Hahahaha dah hii ni akili mnemba kaka
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Hakika +MUNGU+ ni MWEMA MILELE yote atamrejeshea haki yake na kila kilichopotea YOHANA 14:14, 1 WAKORINTO 1:9🙏🙌
Wanasheria wamsaidie huyu mzee mbn ukweli upo sema mzee hawezi kujieleza
Muzee tapeli sana nawewe mwandishi matako yako
Kamtapel nan?
Angewaachia familia ya mdogo wake.. majuto mjukuu
Ye mwenyewe ana watoto 18 😢
Jaman kwani huyo mbuzi kondoo kamkosea nini nani kaona
Kwa maelezo aya ya uyu mze atueleze pesa alipeka wapi afu kutembea awezi na ninamwona anatembea adi kinyume nyume me na aya yakusema Moja iyo nyumba dar ipo sehemu gani na imegalim shingapi kujengwa mbili aliwezaje kumweka mdogo wake kwenye nyumba ya thamani na family yake afu yeye akabaki kwenye nyumba za kawaida tatu vitu alivyo uza magari nyumba biashala au miradi mpaka akafilisika vina thamani gani na la mwisho kwanini asinge achia watoto wa kaka waishi sababu ni family pia sababu Alisha leta wema huruma toka mwanzo alivyo kuwa akitaka kuwatoa alitaka wakwende wapi.? Na yeye angeendelea na mishe zake ili asifilisike akabaki kuwa tajili mpaka sasa angekuwa tajiri
8:58 q
Inavyoonekana hata watoto alionao n weng lkn hakuna mtu ambaye amesoma na kujipambanua kias cha kulivalia njuga suala hili, maana kwa dunia ya leo kesi za kudhulumiwa ni nying, hasa hz za nyumba, mashamba na viwanja watu wanadhulumiwa sana, na pia kesi nying zimekuwa n ngumu maana rushwa nayo imeshika hatamu, na mtu akila pesa n rahs sana kuuza haki ya mtu, utazungushwa weeee kumbe jamaa wameshamuwah msimamiz wa kesi wakampiga bahasha yenye mzgo.
Alichokifanya mzee kama vile pikipiki ya mkataba unatoa na kadi kabisa ni haki yake😊
Shida waha wanatamaa halafu washirikina sana hasa wanawake noma
Pole ila hujafilisika Bali umetajirika kiroho na umejijengea hazina ya Mbingu .
Namimi nimeshangaa atafirisikaje kW jili ya nyumba moja
Ninavyofikiri mimi kesi inapoanza mtu unaona ni rahisi lakini mwisho wa siku hiyo kesi inaendeshwa kwa pesa halafu inaenda taratibu sa na mpaka ikija kufika mwisho na wewe umebaki mtupu
Ndugu ndugu ndugu shikamoooo
Duuuu binadamu wamebadilika sana sikuizi
Mzee Anaongea Kama Brother K Pole Sana.
sasa kama alikua ana nyumba 3 sjui nne si ange baki nazo hizo
Inategemea pengine hii ina gharama
Huyu mzee ajitahidi kuendeleza ufugaji, pia ale ili kubotesha afya yake .Achane na kesi.