MWISHO MWAMPAMBA NA SIRI NZITO "NILIPATA DEPRESSION MIAKA 3"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 133

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 Месяц назад +18

    Nilikua najiuliza mwisho yuko wapi? Asante nimemuona ❤❤❤❤❤ bado anaoneka muzuri from Capetown South Africa

  • @RichardMatoli-t6d
    @RichardMatoli-t6d 25 дней назад

    Kaka Mwisho yuko vizuri mno uzowefu wake ni mkubwa mno anayomengi anaweza kutumiwa katika Media yoyote kuhusu jamiiii.🎉🎉🎉

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 Месяц назад +7

    Mtoto wa prof mwampamba, classmate wa narehemu dada yangu❤❤❤

  • @caimedia
    @caimedia Месяц назад +26

    Daaah kitambo sana, mi nilimfahamu kupitia Big brother na kipindi hicho ndiyo nilikuwa namaliza darasa la Saba. Mwisho alikuwa maarufu sana, nakumbuka hata mahusiano yake na Ray C kiuno bila mfupa yalivuma sana. Nimefurahi kumwona akiwa na Afya Njema

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 Месяц назад

      Dah...nlikua najiuliza jamani mwisho mwampamba yuko wapi!!! Ulibamba sana Big brother...hongera sana Mungu aendelee kukutunza...

  • @songombingo108
    @songombingo108 Месяц назад +9

    Very humble man

  • @LevensonSiame
    @LevensonSiame 9 дней назад

    Unachonga sana lete stori

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 Месяц назад +3

    Mimi nilikua najua ni Mrisho Mwampamba kumbe ni Mwisho ok MUNGU amtunze zaidi

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Месяц назад +10

    Huyu kumbe mstaarabu sana, ana uwezo wa kujibu maswali vizuri

    • @deogratiasshija5897
      @deogratiasshija5897 Месяц назад +4

      Kuna watu ukimsikiluza tu unajua si mjinga mjinga..halafu unakuta watu wengne wamememchafua kwa ujinga ujinga...daah..huyu jamaa kwa kumsikiliza tu sio puuz kama magazet yalivomchafua..

  • @thadeipeter2592
    @thadeipeter2592 Месяц назад +6

    Ahsante Dr kwa kutuletea uyu mtu

  • @bmtbeatz920
    @bmtbeatz920 Месяц назад +3

    Boys Boys na mwisho mwampamba iliniinspire sana bro u made impact kubwa kwny life ya watu Big up bro.🤘

  • @MercyJohn-g7f
    @MercyJohn-g7f Месяц назад +2

    Uko vizuri saana Mwisho Mwampamba

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 Месяц назад +5

    I love mwisho mwampamba

  • @ip_header
    @ip_header Месяц назад +1

    Awesome interview 🎉🎉🎉

  • @ErneaJoel
    @ErneaJoel Месяц назад

    Am happy for you Jembeeee kaka

  • @JanethMadios
    @JanethMadios Месяц назад +1

    Hazeeki mashallah

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 Месяц назад +1

    Kijijini MKULWE,Big Bro Mwisho

  • @Marianne-t1z
    @Marianne-t1z Месяц назад +1

    Luka nakuona kaka😊

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 Месяц назад +4

    😂😂🎉Huyu jamaa ana akili za aina yangu, nilidhaniwa mie ni mshamba kutokushobokea vitu fulani au sehemu fulani au maisha fulani au mtu fulani mkubwa kipesa au kimadaraka!Kumbe ninawenzangu wenye misimamo yetu tu tunajua wenyewe nilikua naona sieleweki hivi🤗☀️☀️☀️☀️☀️☀️

    • @mohamedmkape698
      @mohamedmkape698 Месяц назад

      Sio kweli

    • @jut1161
      @jut1161 Месяц назад +1

      Mm mwenyewe ndo nipo hivyo. Sishoboki na nafasi yako, naamini uwezo wangu na umoja

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Месяц назад

      @jut1161 ubarikiwe,nadra sana watu wa aina hii ktk hii sayari tulioko

    • @KipazaOfficial
      @KipazaOfficial Месяц назад

      Tupo wengi sanaaaa

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Месяц назад

      @KipazaOfficial Oooo wow!bless you

  • @didamugya6039
    @didamugya6039 13 дней назад

    Mshiriki pekee wa Bigbrother aliyevuma kupita washindi wote

  • @AzizNgitu-wk3ey
    @AzizNgitu-wk3ey Месяц назад

    Aise mweisho alikuwa handsome mno

  • @mr.erickmwacha8575
    @mr.erickmwacha8575 Месяц назад +5

    Leo ni mara ya kwanza kupitia hapa, ila nimependa utangazaji wako mkuu.

  • @PascalChiume
    @PascalChiume Месяц назад +3

    Lovely..

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 Месяц назад +2

    Muda mrefu kweli sijaona sura yako kaka Mwisho Mwampamba

  • @wakalimediatz
    @wakalimediatz Месяц назад

    Mambo ni moto 😂😂😂

  • @abdulazizmohamed6331
    @abdulazizmohamed6331 Месяц назад +2

    Alihitimu kidato cha 4 at Forest Hill Sec School

  • @AbduliHamisi-q2c
    @AbduliHamisi-q2c 5 дней назад

    Daah jamaa sikujua kama anakili hv kwl wadishi wanajuwa kumchafua mtu

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Месяц назад

    Kitambo sn jamani big brodher wtt kaenda pemben😅

  • @Awaasha-cn6bx
    @Awaasha-cn6bx Месяц назад +2

    Kumbe maisha yalikuwa yanafanana likizo tukienda kwa babies chakula cha usiku saa 12 jioni unasimuliwa hadithi muda wa kulala ukifa mnalala mnaenda mtoni kuoga zamani raha sana ukikumbukq unatamani urudi mdogo

  • @Kokafamil
    @Kokafamil Месяц назад +3

    Buyu alikuaga na Ray C Sindio 😅

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi3534 Месяц назад

    Na pongezi humohumo

  • @SamsonEzekiel-or9xc
    @SamsonEzekiel-or9xc Месяц назад +1

    The ROCK

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 Месяц назад

    Mwisho wa SKU nying sana sana

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 Месяц назад +4

    Tatizo ya riziki zinAzokuja kwa ghafla..hayo ndio yaliyomkuta Mwapamba. Zile pesa hakujua azifanyie Nini.. kikubwa yupo hai..pesa makarataasaiii

  • @SamsonEzekiel-or9xc
    @SamsonEzekiel-or9xc Месяц назад +2

    Alitisha wakati wake

  • @blackshu2390
    @blackshu2390 Месяц назад +5

    Maisha halisi anayoishi ni kama ya Afande Sele( Suleiman Msindi) tumejifunza mengi🙏🙏🫶🏻

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 Месяц назад +1

    Unachumba chako ila hujui hadi lini muda wowote wakiibuka ndg mnashare room ...huo ni ukweli

  • @kevingomela5095
    @kevingomela5095 Месяц назад +3

    Mtangazaji unaongea sana aixee yan robo ya interview yote unaongea ww mzee dah😢

  • @onionpeeling5822
    @onionpeeling5822 Месяц назад +2

    Kasoma Mbuyuni huyo sehemu panaitwa Vibandani ! Vurugikeni sana kule ! Uruguni watu wanamwonaga mzungu jamaa mswazi kuliko rangi

    • @ezekielmadindula2679
      @ezekielmadindula2679 28 дней назад +1

      Muongo wewe, huyo kasoma Morogoro International school na Forest hill secondary

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c Месяц назад +2

    Kwa waliosoma morogoro au wanaoishi,,,uyo mwamba mitaa Yao mitaa ya forest hill pale ushuani,,atali,,,maisha bhna...

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Месяц назад

      Sio forest hill ni sua na baba yake alikuwa ni prof

    • @wanzakleruu
      @wanzakleruu Месяц назад

      Sio Sua. Ni Msamvu mitaa ya Edema

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Месяц назад

      @@wanzakleruu kabla ya hapo walikuwa wanakaa SuA miaka ya zamani

  • @esterkileo3486
    @esterkileo3486 Месяц назад +2

    Duuuh muda Sana Mwisho nilikuona kwenye bar yenu tushikamane na Kaka yako isambi na mama yenu daaah

  • @HijaRashid-g4q
    @HijaRashid-g4q Месяц назад

    daa jamaa ana undugu na bartzal

  • @MashakaShabani-s5m
    @MashakaShabani-s5m Месяц назад +1

    Mzee wa kireka

  • @jonasmpita2206
    @jonasmpita2206 Месяц назад

    Mwisho ile gari yako ya wazi iko wapi siku hizi

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o Месяц назад

    Boya sana huyo. Alijua hazitaisha kwishinei

    • @mrambadiana9678
      @mrambadiana9678 Месяц назад +5

      We nae toa njaa zako hapa unakua ka choko

    • @alphamenson3784
      @alphamenson3784 Месяц назад

      ​@@mrambadiana9678Sure man, huyu atakuwa sio mwanaume kamili coz mwanaume kamili hawezi kufurahia kuona mwanaume mwingine anapitia misukosuko au kudrop kimaisha

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx Месяц назад

      Wewe utakuwa shoga mfirwaj mkundu unafurah mwenzio kushuka kipesa

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 Месяц назад

      Akabadilishia wasenge

  • @neemamangushi8187
    @neemamangushi8187 Месяц назад +2

    Watoto wa siku izi hawawezi wanasikia kinyaa😂😂kweli kabsa

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 Месяц назад +2

    Nimekumbuka Big Brother Africa miaka ileee,Mwisho alikuwa anapendwa sana na kina dada.😅

  • @SalimMasewa
    @SalimMasewa Месяц назад

    Asa hao kuku si mngewafungia kwanza bandani,thn mkimaliza kipindi ndo mwafungulie..

    • @TheSalma1999
      @TheSalma1999 Месяц назад

      lol kuku wamewika nafurahi mno

  • @eidbanjobanjo5420
    @eidbanjobanjo5420 Месяц назад +1

    Kaka mi naomba unitafutie Richard wa big brother nae tumuone jamaa kapotea sn kwenye hii dunia

  • @tanzaniatouristsattraction1622
    @tanzaniatouristsattraction1622 Месяц назад +8

    Mi depression ilinitesa miaka 2 nikatafuta comfort kwenye alcohol ikanimaliza kabisa

    • @Timoclement
      @Timoclement Месяц назад +2

      Dah! Usiombe isikukute ambaye hawezi elewa

    • @matildamati9222
      @matildamati9222 Месяц назад

      Ilikumaluza je na uko hapa 😮

    • @tanzaniatouristsattraction1622
      @tanzaniatouristsattraction1622 Месяц назад +1

      @@Timoclement kabisa

    • @elizabethnyika1000
      @elizabethnyika1000 Месяц назад +2

      MUNGU akusaidie ndugu yangu nimesikia maumivu sana utasimama tena😭😭

    • @BayekeFarijala
      @BayekeFarijala Месяц назад +5

      Pombe ikifeli, ni mbaya zaidi, Depression inatibiwa kwa kutengengeza maisha yako na Mungu kwa kuokoka

  • @AlbertLema
    @AlbertLema Месяц назад

    Mbona kama ıntervıew haıjaısha

  • @josephkiwale374
    @josephkiwale374 Месяц назад +9

    Ukishakuwa na damu ya kizungu akili automatically inakuwa ya kizungu2,hakuna mzungu fala

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 Месяц назад +1

      Umekariri Shehe!
      Point yake kubwa hapo kasema hatukua na watu wa kutushauri...
      Vinginevyo nikwamba huyu mwamba ujana maji ya moto alienda resi vibaya; me nimekulia Sinza, ameng'aa sana mitaa hiyo akiwa msela sana, bange nyingi, mitungi tilalila, sijasimuliwa nimeshuhudia.
      Ilikua umaarufu wa ghafla lkn ilikua ni platform yakufanya mambo mengi makubwa positive Kwa faida yake na jamii iliyomzunguka.
      Najua amekufurahisha sababu amezungumza dhidi ya maisha ya umbeya ambayo Kila nafsi inachukia kusemwa vibaya, lkn upande wa pili wa ukweli lazima usemwe.
      ALICHEMKA SANA!

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Месяц назад +1

      Dah ujabahatika Kukaa nao unawaona tu kwenye tv jifunze uwajue hao wazungu Au waloishi nao

    • @karumekheir7811
      @karumekheir7811 Месяц назад

      Wapo tele wazungu mafala tumeshafika nchi zao

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Месяц назад

      @karumekheir7811 Hawajui hawa c wanawaona kwenye tv watembee wawajue vizuri

    • @LidyaSilaa
      @LidyaSilaa Месяц назад

      Kwanini uliachqna na rc ulimtesa sana makongo juu kipindi hicho ukaanza kutembea na mtoto mdogo shombeshombe lulu duuu

  • @afropatriot7769
    @afropatriot7769 Месяц назад

    Ivi Raha P alienda wapi bob Mwampamba

  • @RehemaJustine-co2kp
    @RehemaJustine-co2kp Месяц назад +1

    Kumbe ukiwa unaoga mtoni,kisha mtu akapita na nguo zako usimkimbize 😂😂😂

  • @Abbasbakarsth
    @Abbasbakarsth Месяц назад +1

    Jamaa kaongea vtu venye ukwel

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 Месяц назад +2

    Daah kitambo sana huyu ndio alimfundisha R C kuvuta madawa 😢😢ila mungu kawainua tena daah mungu anusuru vizazi vyetu comment yangu povu ruksa nisha sema 😆

    • @SamwelikazimbayaKitahenga
      @SamwelikazimbayaKitahenga Месяц назад +11

      Hacha uongo bob aliye mfundisha madawa Ray C ni Load eazy wa weusi kama haujui kitu bora kunyamaza sio kukurupuka

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq Месяц назад +2

      ​@@SamwelikazimbayaKitahenga mwambie kaka maana watu wanakurupuka sana hii nchi

    • @patriciacarlo7236
      @patriciacarlo7236 Месяц назад

      Kama hujui vitu kaa kimya,mwisho katoka familia ya wasomi ya professor mwampamba

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 Месяц назад

      Hujui hata unachokiongea 😆🤣🤣,fuatilia hata interviews za Ray C utasikia alimtaja nani aliyemfundisha kutumia drugs.Mtoe Mwisho kwenye huo upumbavu wako.

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 Месяц назад

      @@patriciacarlo7236 kwa hiyo nikusaidie nn ? Kwa mfano?

  • @MosesMushi-p2p
    @MosesMushi-p2p Месяц назад +1

    Uyu mwamba ni kweli ni mtu mstaarabu ki ukweli. Mimi kama itakua sahii mwaka2004 nilikutana naye sinza kijiweni mimi nikua naendasha gari na yeye filefile alikuaakiendasha gari aina ya NISANI nazani magari yameumana yaani jamaa kanisogelea kaniomba mshikaji embu sogeza mbele kidogo mshikaji tupite kiungwana tu akua na tambo za kistaar kishamba flani iv

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 Месяц назад +1

      Ni mtu muungwana sana. Lakini yote inatokana na malezi ya nyumbani kwao.

  • @DavidSemu-gu6wp
    @DavidSemu-gu6wp Месяц назад +1

    Hivi yule demu mwenye mahoka wa Namibia ndio walifungiana ubalozi kabisa? Uh! Yule alikuwa fyatu jamaa aliishi naye miaka kidogo sikosei wana mtoto dah! Lakini Big Brother ili tuzibulia watu sio utani kile kilikuwa ni kitengo ktk ufalme wa ibilisi mlaaniwa.kuna kale ka bwana mdogo Nando mara ya mwisho kumsikia kichw kilikuwa kimepata moto ubongo umefumana.

  • @SakinaHussein-p4y
    @SakinaHussein-p4y Месяц назад

    Wanafunzi wa patel watoto wa forest hill ushuani enzi zetu

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz Месяц назад +2

    Mwisho hazeeki na Identify yake ya Kunyoa Upara tangu naanza kumjua mpaka leo, 2003 nilikuwa darasa la nne jaman mdogo sana.
    Alipokelewa na Ray C na Amina Chifupa Enzi hizo kutoka Airport watu wamejazana kumuona Mwisho 😅😅😅

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 Месяц назад

      Kunyoa upara toka 2003?Huyu si Kuna kipindi alifuga nywele

    • @Jeff_Tz
      @Jeff_Tz Месяц назад

      @lilyrose7983 Mimi muda wote namuona na kipara

    • @RajabuHassan-v2y
      @RajabuHassan-v2y Месяц назад +1

      Angalia video ya wimbo wa Ray C umenikataa bila sababu utaona kafuga nywele

    • @josephgamba8389
      @josephgamba8389 Месяц назад

      ​@@RajabuHassan-v2y Enzi zake alpokuwa Big Brother alkuwa na Rasta

    • @samsonmathew7562
      @samsonmathew7562 28 дней назад

      Mbona alikuwa anasuka au kuna upara wa kusuka?😂😂😂😂

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 Месяц назад

    Milion 100 mwaka 2003 alafu leo ni masikini 😅😅😅

    • @JacquelineMacha-y3n
      @JacquelineMacha-y3n Месяц назад +1

      We unejuaje ni maskini??

    • @hassanlikwenangu8471
      @hassanlikwenangu8471 Месяц назад +1

      Mwisho sio masikini jionee huruma wewe mwenyewe Ngosha

    • @nicholauskilosa5336
      @nicholauskilosa5336 Месяц назад

      @hassanlikwenangu8471 Mac muga

    • @DevothaMsafiri-k7u
      @DevothaMsafiri-k7u Месяц назад

      Aliekwambia maskini ni nani uyo Hana majigambo ya kujifanya mambo safi anaishi maisha ya kawaida sana ata kipondi ametoka big brother

    • @nicholauskilosa5336
      @nicholauskilosa5336 Месяц назад

      @DevothaMsafiri-k7u alikutana na watt wamjini wakavuna alichopanda wakasepa anaitwa Mac muga