Kwa hakiki filamu hii imekua nzuri mwanzo hadi mwisho wale team baba karobo filamu imetufunza mengi tusiwe na kinyongo na wengine shukran kwa filamu hii
Ila zujat unabonge la shepu mama,,,,,jitunze wasijekulichezea akina konde boy,,,,,,asanteni sana kwa movei nzuri yenye mafunzo mazuri,,,,,,,Mungu azidi kuwapa nguvu na uwezo wa kuendelea mbele nawapenda sana,,,,,hongera baba karobo na timu yako
Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya Baba Karobo, Ninamuomb Mungu atupe Riski nyingi za Halali n, Afya njema,Baraka tele,n atukinge nakila Balaa,napia atupe mwisho mwema 🤲🤲. Aaaaameeen 🤲.
Your filamu ni kali sana umejitahidi sana hongereni jamani filamu ni nzuri sana tunatumai tutapata filamu nyingine zote zaidi ya hiyo hapo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mm nakubal muvi zako Baba Joan hakika nimejifunza kitu kwenye Baba yangu kipofu natumaini muvi inayokuja itakuwa nzuri 🙏🙏🙏🙏 Mwenyezi Mungu akubariki Baba Joan uzidi kutuletea muvi zinazotufundisha vijana
Amen Amen!!!! Mungu ni mwema kila wakati aisee!!!! Tumemaliza yamenifundisha mimi mwanafunzi wa shule.ya kwamba tusiwe na kiyango na mtu tujue kumtumikia kila wakati .🎉🎉🎉🎉🎉 Amen watumishi wa Bwana .Shalom Shalom......❤❤😂😂😂😢😢😮😮😮
Mwisho waubaya niaibu Roy na Fasheni poleni sana piya natowa pongezi kwa baba Karobo kwamafunzo mazuri Mungu akutiye nguvu uzidi kutuelimisha Insha Allah❤❤❤
Kazi nzuri sana hizi ndio filam ambayo tunazamia kuziona kutoka kwenu,ijapokuwa tuko wa Congo tulizoeya kuona wakina Vincent Kigosi , Steven Charles Kanumba nawengineo,Ila sasa tunaona zile enzi zimerudi ijapokuwa watu ni tofauti na séries Pia ni tofauti,Ila kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Pamoja sana toka Dodoma bungeni, kutokea mwanzo adi mwisho kazi nzuri ushindi baba karobo, usimwache zujati kwenye kaz yako kuja wengine tumefatilia hii movie kwasabbu vya zujati anabalaa uyooooo oooooooo💖💖💖💖💖💯💯💯🔥🔥🤝
Baba Joan the movie has been good and more of teachings. From it there is a lesson that, Our God is all powerful. Challeges can meet anyone but we should keep hope in Our savior. We should be forgving to anyone. We should humble to confess our wrong deeds. Thank once again for the good work and creative art you have done. May God bless you and the team. Galatians 6:9. Let's not grow weary in doing good.
HONGERA BABA KAROBO NA TIMU YAKO NZIMA KIUKWELI HII SEASON NI NZURI SANA INAFUNDISHA NA INAELIMISHA MWENYE MASIKIO ASIKIE ❤❤❤❤ MAANDIKO YANSEMA SAMEHE SABA MARA SABINI
walio tazama mwazo ata sasa mwisho weken apa alam kwa upend wenu ❤❤❤🎉🎉🎉
We kp teletext plan B tunagoja sana 🙏🙏🙏🙏
Kp wa zebuu huyo
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
KP tunasubiri plan B
Kwa hakiki filamu hii imekua nzuri mwanzo hadi mwisho wale team baba karobo filamu imetufunza mengi tusiwe na kinyongo na wengine shukran kwa filamu hii
Finally 😅😅😅kimeisha❤wekeni tick apo waoh very nicely 🎉🎉🎉🎉🎉
Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪. Mnipe likes za BABA KAROBO 🎉🎉
Pia mm nmetoka Kenya nimekua nikifuatilia hii kipindi toka mwazo
🎉. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Nawapenda pia
Jamani nawapindasana❤❤❤
Nimecheka MMA karoboa alivyoingia😂😂😂
Haya sasa tuliyo anzanaye mwanzo mpaka mwisho tujuwane team strong🇴🇲🇴🇲🇧🇮🇧🇮
Tup kbs 🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪💪
Time 🇴🇲 ibra
@ayshasaid1547 asante ✌️
@@ZiadaNiyinkuru ✌️
Asante umeyifunga vizuli.Jah be blessed our dreams Team's Baba Kalobo.
Hongera sana baba karobo kwa kazi nzuri sana hakika tumejifunza vya kutosha hata tusiojua kusoma hata picha tumeona ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Asante sana kwa kumaliza hii movie jaman kama kweli unampenda gonga like ya mwisho 🎉🎉 from mozambiqui 🇲🇿🇲🇿
Ila zujat unabonge la shepu mama,,,,,jitunze wasijekulichezea akina konde boy,,,,,,asanteni sana kwa movei nzuri yenye mafunzo mazuri,,,,,,,Mungu azidi kuwapa nguvu na uwezo wa kuendelea mbele nawapenda sana,,,,,hongera baba karobo na timu yako
Angekuwa mrefu kidogo angependeza zaid
@HappyShirima-k9t shoga angu Mungu akupe vyote
Mwanzo mpaka mwisho kazi nzuri big job
Hongera baba karobo kwa kaz nzuri toka mwanz had hii ya mwisho mungu afanye wepes kwa kaz mpya utakayo ianza❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂🎉
💪💪💪🤙 hii kali sana hata nilifikilia leo hamuachilii bana mbalikiw sana baba joana
Mnipee like za zudyat ,baba karobo na karobo..
Nafurahi kuona movie inaisha vizuri mashallah 💖😍
its been a very educative film. Big up Baba Joan
Jamni jamni mwanamke ushungi ❤zujati hongera zako Kwa kupendeza 🎉🎉 yan unasura ya upole na nimrembo pale unapojistiri Kwa kwel ❤❤❤
Hongereni baba joan team kwakazi nzuri hii yenye mafunzo nimejifunza mengi kupitia hii movie 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ tupeni kitu chengine kizuri zaidi
Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya Baba Karobo, Ninamuomb Mungu atupe Riski nyingi za Halali n, Afya njema,Baraka tele,n atukinge nakila Balaa,napia atupe mwisho mwema 🤲🤲. Aaaaameeen 🤲.
Allahuma Aaaamin
Tumalize salama ❤❤❤baba yangu kipofu munipe like nataka nione wenye munafatilia baba Yangu kipofu
Kazi nzuri. Nimeifatilia mwanzo mwisho. Baba Joan, baba Karobo hujawai niangusha.
Loi umeacha roho mbaya ume nenepa na kunenepa nakupenda bule 🎉🎉🎉🎉 mwisho mwema by
Siku niliekuwa nasubilia kwa amu ndo Léo sikutegemea kwamba hiii movie ataisha jamani asante sana baba karobo 😜🌺🙋🙋🇲🇿🥀🌹🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Amen mungu abariki baba karobo.pia fasheni Na mpenzi mmetambua makosa yenu Mungu awafingulie njia🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Karibu tena mungu awabariki nyote Kigali 🇷🇼 turabakunda cyaneee
Your filamu ni kali sana umejitahidi sana hongereni jamani filamu ni nzuri sana tunatumai tutapata filamu nyingine zote zaidi ya hiyo hapo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwakweli hii movie nimafundisho baba joan ubarikiwe nipo 🇧🇮 nimekubali kazi hii ni nzuri saaana
Tulioanza wote had Leo tumehitimisha wote❤🎉 wap like, nawapenda nyote, byeeeh
Nikiwemo
Jamani tumemaliza
Mungu awabalik wote niliyo msapot baba karobo
Pia wewe unaye soma comment hii mungu akupe maisha marefu ame👏👏
Ameen
Amin
Mm nakubal muvi zako Baba Joan hakika nimejifunza kitu kwenye Baba yangu kipofu natumaini muvi inayokuja itakuwa nzuri 🙏🙏🙏🙏 Mwenyezi Mungu akubariki Baba Joan uzidi kutuletea muvi zinazotufundisha vijana
Kazi nzuri, pongezi wahusika wote kwa mafunzo mazuri mubarikiwe sana Mungu awaongoze kwa kazi zenu ili mzidi kutupea mafunzo bora🎉🎉🎉❤❤❤❤
Hakika
Amen Amen!!!! Mungu ni mwema kila wakati aisee!!!! Tumemaliza yamenifundisha mimi mwanafunzi wa shule.ya kwamba tusiwe na kiyango na mtu tujue kumtumikia kila wakati .🎉🎉🎉🎉🎉 Amen watumishi wa Bwana .Shalom Shalom......❤❤😂😂😂😢😢😮😮😮
Mwisho waubaya niaibu Roy na Fasheni poleni sana piya natowa pongezi kwa baba Karobo kwamafunzo mazuri Mungu akutiye nguvu uzidi kutuelimisha Insha Allah❤❤❤
Asanteni sana kwa kazi hongereni mungu awabariki 🎉🎉🎉❤
Amiin. Kazi nzuri sijakosa hata episode episode 1 big up Baba Joan
Honger San bab joan kwa mafunzo umenifuza mgeni kweny kaz zako tunasubir mpy kak mungu akafanye weps kweny kaz zako ❤❤❤❤
Leo nimewahi nimekuwa wakwanza🎉🎉🎉🎉🎉🎉
HII KALI SANAA BABA JOAN EMBU NIPE RUHUSA NIIPIGIE RECUP 🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡
Hizo ndio movi tunahitaj katik maisha yetu atakuko Burundi tuko nanyinyi mwanzo paka mwisho Burundi oye❤❤❤
Hongereni kwa kaz zenu zote ni nzur kwakwel❤❤❤
Kazi nzuri kaka,, ingine ije kwa mpigo.. much Love from Kenya ❤❤❤
Kazi nzuri bb karobo kutoka mwanzo hadi mwisho ❤❤ congratulations 🎉🎉
First to watch
Baba joan mungu awalinde sana na pia awaongezee zaid ya hili mlilo lifanya kwaheri term baba yangu kipofu muwe na wakati mwema byyy🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kama umetazama kuanzia ya kwanza mpaka hapa piga llike Baba karobo kazi njema🎉🎉🎉🎉tunangoja kitu kingine kizuri
Wa kwanza. Leo ❤❤
❤❤❤❤🎉😢
Mungu awabariki nyote mwangalia hii video n kucoment
Wakwanza like waoh🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana hizi ndio filam ambayo tunazamia kuziona kutoka kwenu,ijapokuwa tuko wa Congo tulizoeya kuona wakina Vincent Kigosi , Steven Charles Kanumba nawengineo,Ila sasa tunaona zile enzi zimerudi ijapokuwa watu ni tofauti na séries Pia ni tofauti,Ila kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wow mungu hawazidishie
❤❤❤❤❤ ASante kwa somo nzuri mumgu awaraisishiye kazi yenu 🎉🎉🎉🎉🎉
Ongera sana baba karobo tunangodjeya movie mpyaa
Leo nimekuwa wakwanza ❤❤❤ musinihangushe kunipa like kama unapenda baba yangu kipofu
Nimeangalia movie hiyi tangu mwanzo hadi mwisho❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Hongereni kwa kazi safi hakika kila mmoja alicheza upande wake kwa ustadi
Movie nzuri mwazo mwisho jitahidin sana nawapenda nyete
Leo mimi watona hapa nipe likes na mimi tunaomkubali baba karobo🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉
Zuraiati same here muaziyo we unamupata ulimupenda ❤❤❤❤nawapenda jamenai
Movie nzuri jamani tulio anza mwanzo adi sasa tumemaliza tuwape hongera zao ❤❤❤❤❤much love guys ❤
Wow kazi nzuri sana wapenzi Mungu awatangulie kwa kazi yenu ❤❤❤
Pamoja sana toka Dodoma bungeni, kutokea mwanzo adi mwisho kazi nzuri ushindi baba karobo, usimwache zujati kwenye kaz yako kuja wengine tumefatilia hii movie kwasabbu vya zujati anabalaa uyooooo oooooooo💖💖💖💖💖💯💯💯🔥🔥🤝
Jaman mm jata nlikua sitaki iishe lia sw tu tunasubiri hiyo nyengine❤❤❤❤❤
❤
First
Amina Amina baba karobo tumejifunza mengi kupita hii move yako god blz you ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuri sana baba Joan 🎉🎉 Mwenyezi Mungu akuzidishie ujuzi zaid
Waoooooooooooooo hatimaye tumwmaliza 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kaz nzur baba Joan, Mungu awe pamoja na ww katika kaz unayoianza nyngne
Movie nzuri sana imetufunza vitu vingi asante kwa kuelimisha jamii kwanzo mpaka mwisho nzur sana
Safi sana kutoka tulipoianzia mpaka mwisho twamshukuru mungu
from Tanzania mwanzo mpakq mwisho tuliokuwa na baba karobo gonga like apo ❤❤❤
Walio furahia na mateso aliyo pitia mama kalobo feki na yakambadilisha tujuane hapa gonga like kama hiii🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Wow filam mzuri sna niliqnza nayo ati mwisho 😢
Zuujat kwa muonekano huu MashAllah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana kwa mafunzo mazur nimeifatria mwanzo mwisho tumejifunz kitu kaz nzur sana
Congrats team Baba karobo ave liked the movie very much,swilihati much love and keep up, karobo echo❤❤❤❤
Wakwaza leo naombeni likes zagu
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮👍 hoy
Ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote kwa mafuzo mzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tuimeifanikisha baba yangu kipofu❤❤❤tulio anza mwanzo hadi mwisho shukrani zetu kwako Baba Joan haikua rahisi but mliwezeshwa na Mungu🙏🙏🙏
Kali sana hii🎉🎉🎉🎉
much love kwa baba karombo n zujati pamoja na karobo movie imeisha vyema♥️
Asante Sana baba karobo natim yako hakika tumejifunza mengi kupitia hii muv
Nashangaa sana tumekamilisha hii filamu ila like nayo sijapata n'go tangu nianze kufuatilia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Asante baba karobo mungu akupe nguvu na umzima kwa kumsamee fasheni na roi
Woow very nice baba karobo asante na Mungu awabariki
Baba Joan the movie has been good and more of teachings.
From it there is a lesson that,
Our God is all powerful.
Challeges can meet anyone but we should keep hope in Our savior.
We should be forgving to anyone.
We should humble to confess our wrong deeds.
Thank once again for the good work and creative art you have done.
May God bless you and the team.
Galatians 6:9. Let's not grow weary in doing good.
Da sijapenda hiii movie kuisha hapa da na mm hapa sitarudia RUclips mpaka nione nyingine
Wah I want to thank you all my fellow passengers whom we were all in this bus 🎉🎉🎉🎉
Mubarikuwe sana❤❤❤na mungu awatie nguvu thank you so much
HONGERA BABA KAROBO NA TIMU YAKO NZIMA KIUKWELI HII SEASON NI NZURI SANA INAFUNDISHA NA INAELIMISHA MWENYE MASIKIO ASIKIE ❤❤❤❤ MAANDIKO YANSEMA SAMEHE SABA MARA SABINI
Zuu anajiachia tu
Hongereni movie ilikuwa tamu sana ❤❤
Nimefurayi sana tunawapenda❤
Kazi zuri pia mumefanya kazi zuri kumalizia movie apo yaani ndio mngendeleza ndio mlikua mnaharibia saidi
Asande sana baba karobo kuawasamehe awa walikdendea mabaya amen mungu akpariki sana baba Joan Niko kenya❤❤❤❤❤❤❤❤
Timefulahiya Sanna hiyo movie imenifunza sana, Baba Joan big up💪💪💪💪
Kazi nzuri baba Kalobo finally the end,tupo nawe Hadi tamati inshallah!!!!
Wangu kwanza kutazama
Hii video Ina funzo kubwa sana,inatufunza ya kwamba baada ya dhiki faraja na vilevile mwisho wa ubaya ni aibu,hongera sana
Wa kwanza Leo kutoka kenya nipeeni likes ali
Nimefika right on time washalala movie nzuri Sana nipe like tukingoja nyingine
Tunakupenda pia na movenzuri i hopeinayo kuja pia itakuwa nzuri tunakupenda sana baba John kwa upendo wenu
Ahaaa nita imiss sana iyi move kbs karobo jamaani Ahadi yako na ule rafiki yako mutaowana ss