HAPPY BIRTHDAY HAYATI MAGUFULI, LEO ANGETIMIZA MIAKA 65, FAMILIA YATOA UJUMBE, 'SHUJAA'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 355

  • @johnsebastian-bx6qn
    @johnsebastian-bx6qn 15 часов назад +44

    Tutakukumbuka baba wa taifa wa 2na mzalendo wa kweri hakika kazi zako zitaishi maishani mwetu

  • @Drek.02
    @Drek.02 5 часов назад +14

    Huyu mzee alikuwa genious, pumzika kwa amani JPM🫡🫡🫡

  • @godfreylyimo4177
    @godfreylyimo4177 8 часов назад +22

    RIP Mtanzania wa kweli! Uliyekuwa tayari kupoteza uhai wako kwa sbb ya upendo mkubwa kwa Taifa lako na Watanzania wanyonge. Uliyofanya kwa miaka 6 tu,yaliakisi ukweli Taifa letu ni tajiri na kwamba tunaweza kuwa wafadhili hata kwa mika 15.. Madaraja,barabara zaidi sn huduma bora tulizofurahia kwa kipindi chako hazifutwi kwa maneno ya wachache ambao waliumizwa kwa sbb ulifunga mianya ya rushwa....!! Mungu akulipe Baba yetu...Nitasimulia watoto na wajukuu,Mungu atukumbuke atupe JPM mwingine japo yaweza chukua muda mrefu

  • @richardJanson-h7c
    @richardJanson-h7c 6 часов назад +10

    Happy birthday jembe wetu wa Tanzania 🇹🇿 tulikupenda lakini mungu alikupenda zaidi. Asante sana kwaulio tuachia katika Tanzania 🇹🇿 Mungu akufanyie wepesi uko ulipo

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 5 часов назад +7

    SAUT SAUT SAUT....INASEMA TUNAWEZA ,, ALLAH AKUHIFADH BABA,, UNAISHI ❤❤❤

  • @leonardmabala6963
    @leonardmabala6963 16 часов назад +36

    Pigeni kura tu mm Rais wangu alishapita ili kuwaonyesha watanzinia thamani yao na utajili wao tutakukumbuka daima hbd 🎂

  • @esoryc_c
    @esoryc_c 15 часов назад +13

    RIP Kwa Baba Pekee uliofanya maendeleo makubwa kwa muda .chache happy birthday mzee mungu akulinde na akutuunze ulikua unatupambania wanyonge ❤

  • @TumainiMallya-x5x
    @TumainiMallya-x5x 15 часов назад +15

    Heshima ilirudi katika Marais waliongoza Tanzania 🇹🇿 na wakawa wanatenda Sawa na kumwogop mungu ni mwalimu nyerere na mh John pombe magufuli MUNGU akukumbuke kwamazuri uliyotenda kipindi cha uhai wako

  • @emanuelmkama1325
    @emanuelmkama1325 Час назад +1

    Mungu tuletee Magufuli mwngne baba nmekuomba kwa machungu sanaaa,nakuomba najua kwa njia yoyote ile ukiamua utamleta japokuw bnadam washaanda wa kwao ila wew ushndwi yahwe

  • @sarahkadugu4367
    @sarahkadugu4367 17 часов назад +18

    Apumzike kwa Amani! Mwenyezi Mungu akuoe Amani ya Milele.🙏

  • @gamgangweesechota3589
    @gamgangweesechota3589 3 часа назад +3

    Endelea kupumzika kwa amani ewe Rais wangu,Rais niliyekuelewa na kukupenda,Rais usiye na aibu kwenye utendaji,Rais uliyetuhimiza kumpenda na kumuomba Mungu kwa lolote,Hbd in Heaven my Hero 💔Sisi ni wa Mungu na kwake tutakwenda ulitangulia tunafuata Hbd in Heaven once again msukuma Mwenye uthubutu na ushujaa💔, Hakika wewe ulikua Rais wangu na Bado wewe ni Rais wangu lala Baba usingizi huo ni wa wote kila mmoja kwa siku na saa yake,ulijua kuniuma😭

  • @emmanuelmkama3000
    @emmanuelmkama3000 5 часов назад +6

    Happy Birthday Kwako JPM, Rais niliyempigia kura wa kwanza na mwisho.

  • @DICKSONTimoth-xk7rj
    @DICKSONTimoth-xk7rj 16 часов назад +52

    Katika matukio ambayo yaliniumiza sana na sitakuja kusahau maishani ni kifo cha magufuli niliumia sana kwa kweli 😭😭😭😭😭😭😭

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 15 часов назад +4

      Hata mimi niliumia sana mpakaniliugua yani sitakaa nikasahao maisha yangu nilimpenda sana Magufuli mungu amlaze pema shuja wetu😭😭😭😭😭

    • @DICKSONTimoth-xk7rj
      @DICKSONTimoth-xk7rj 15 часов назад

      @halimamasai2234 😭😭😭😭😭

    • @Zubaiba
      @Zubaiba 14 часов назад

      😭😭😭😭😭😭

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 7 часов назад

      Yahn wewe kama Mimi nililia saana nayule mtoto Albino nimelia mimikimenilizaZaidi eti baba mzazi kashiriki hapana😭😭😭

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 6 часов назад

      Yaaani inaumiza mnoooo😢

  • @KaboraPilimo
    @KaboraPilimo 16 часов назад +30

    Happy birthday shujaa wetu mungu akupumzishe kwa amani

    • @bilalkhamis_
      @bilalkhamis_ 8 часов назад

      Amani gan iyo tena😂

    • @khloevibe7569
      @khloevibe7569 7 часов назад

      ​@@bilalkhamis_Usiwe kama unafilwa

  • @KwanduLimbu
    @KwanduLimbu 6 часов назад +5

    Happy birthday kamanda wetu upumzike kwa aman, na kazi zako zitaishi milele

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 7 часов назад +7

    PUMZIKA kwa Amani KAMANDA WANGU Magufuli. Mungu wetu aingaliye familia yako. Amen.

  • @SaidomaryMganga
    @SaidomaryMganga 5 часов назад +6

    Rais wangu wa maisha yangu yote mpaka nakufa ni mtu ambaye nilimpenda sana mpaka nalia kila mara

  • @IsaacNdungu-o1x
    @IsaacNdungu-o1x 8 часов назад +6

    The best president in Africa if not the world. Continue resting in peace baba wa wanyonge na taifa nzima. Ruto should learn from JPM aache ushenzi.

  • @RehemaSalum-vp6rf
    @RehemaSalum-vp6rf 6 часов назад +5

    R.I.P mwamba wa Afrika 😢😢😢 Mungu akusamehe kwa Yale uliyokosea tunakukumbuka daima hakika wew ni mwanga wa Tanzania

  • @paschalmartin9598
    @paschalmartin9598 10 часов назад +7

    Tunaomba Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele mahali pema peponi mzalendo wa kweli Baba Magufuli

  • @LevinaMiteo
    @LevinaMiteo 6 часов назад +7

    Najikuta nalia Tu bila sababu miss you 😭😭😭 nawaza angekuwepo sijui nacho yetu ingekuaje ulal salama

  • @storytownTv
    @storytownTv 14 часов назад +5

    Raisi aliechukiwa na mafisadi..😢 hata kifo chake mpka leo sijawah kukubali n mipango ya Mungu,, kuna namna hapo.. R.i.p my best President ever ,Mungu anivishe roho yako maana sio kwa nilivyokupenda 😢😢😢

  • @RamhaJuma
    @RamhaJuma 7 часов назад +5

    Tunawakumbuka sana ndugu zetu vipenz vyetu Allah awatie Nuru makabur yenu najua inauma San😭😭😭 ila kazi ya mungu hina makosa 🙏🙏

  • @brigethsauzand3926
    @brigethsauzand3926 14 часов назад +4

    Umetangulia tu lakini Nina Imani tutakutana paradiso mpya na Mungu aliyekuita akufufue tena siku ya mwisho we mis you TATA Magufuli

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 8 часов назад +9

    Tunakukumbuka sana .umetuachia maboya hakuna viongozi kwa sasa

  • @Jamesmwakisambwe
    @Jamesmwakisambwe 15 часов назад +5

    Spidi ya maendeleo imeanza kuonekana mzee ila yote yamejengwa kwako na tunatamani ungekuepo mpaka sasa tupige kazi kamanda wetu ila bas vijana wako tunakuja mungu akulaze mahala pema peponi amina

  • @lishuhamisi-ge2zm
    @lishuhamisi-ge2zm 17 часов назад +14

    Tunakuombea Kila wakati mungu akupe kazi yakuongoza malaika uko mbinguni vile utivyotuongoza watanzania pia tuombee Kwa mungu atupe kiongozi mwingine anafanana naww

  • @robertmpolo714
    @robertmpolo714 16 часов назад +17

    Happy birthday Rais usie sahaulika akilini mwangu. Mungu utusamehe watanzania

  • @chalesimtundu7633
    @chalesimtundu7633 5 часов назад +5

    Dah machozi yamenitoka tena kwa mala ingine nikiangalia tunachopitia sasaiv 🎉 mungu akupe mwanga wa milele

    • @dubai8594
      @dubai8594 Час назад

      MAUMIVU NI MAKUBWA SANA

  • @jamhurilibawa6505
    @jamhurilibawa6505 16 часов назад +14

    Asante kwa maisha ya mwamba JPM

  • @davidmickidad6842
    @davidmickidad6842 6 часов назад +4

    Tulikupenda. Tunakupenda na tutazid kukupenda daima Rais wetu. Mimi nachojua awamu Yako itakoma mwaka 2025..kuanzia hapo nitaanzakukuita Rais mstaafu.

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles 3 часа назад

      Dah unatuumiza 😭😭😭😭😭😭

  • @kimwilliard8933
    @kimwilliard8933 11 часов назад +5

    Mungu akupe pumziko jema la milele ! The greatest president we had.!

  • @ElizabethKujerwa-qs3pl
    @ElizabethKujerwa-qs3pl 6 часов назад +3

    Ila magufuli😰Mwenyezi Mungu ulitupa pigo zito😢

  • @raheemsaleh14
    @raheemsaleh14 3 часа назад +1

    Uyu jamaa alikuwa smart kuliko utakavyofikiri IQ 100% “hawa watu kweny uongozi huwa hawapewi uwazi so kupata mtu wa ivi afike kiti kikuu cha uraisi lafu akimbize km ivi cjui itakuwa mwaka gani tena, siasa uongo uongo tu na mjuba aliyajua yote hayo ndomana ukijieleza kiwaki umenawa, Rest easy

  • @TabiaMwaisumo-ss7pz
    @TabiaMwaisumo-ss7pz 5 часов назад +3

    Happy birthday shujaa wa Taifa,Daima tutakukumbuka pumzika kwa Amani, Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi

  • @EstherElias-u8o
    @EstherElias-u8o 5 часов назад +4

    Kizuri hakidumu na duniani ukiwa mkweli shida itakupata r.i.p baba

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 6 часов назад +4

    Daaah😢😢😢😢mzee wengine tunawaza mpaka tunataka kukufuru kiongozi kama wewe hakuna tanzania hii wewe tuu baba yani daah 😢😢

  • @RosemaryMalya
    @RosemaryMalya 16 часов назад +8

    Happy birthday Dady Mungu akuweke miongoni mwa watumishi wake😢

  • @HappySeuka-yd4cs
    @HappySeuka-yd4cs 17 часов назад +12

    Daah tunakukumbuka mzee mungu akupunguzie adhabu za kaburi

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka 15 часов назад +3

    Happy birthday president magufuli

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 7 часов назад +6

    Dah endelea kupumzika kwa amani mzee wetu Magufuli

  • @safisimkoko1932
    @safisimkoko1932 6 часов назад +2

    Daaah uyumwamba roho ya JOHN JOSEPH MAGUFULI ya UTAMBUZ HEKMA UTASHI UPAMBANAJI UJASILI MAAMZI MSIMAMO MAFANIKIO MEMA IWENDANIYANGU EEMWENYEZI MUNGU NISAIDIE

  • @ShabanKalenga-x5t
    @ShabanKalenga-x5t 5 часов назад +3

    Pamoja sana.pumzika kwa amani baba

  • @handmanserv527
    @handmanserv527 14 часов назад +4

    Daaah....siwezi kumsahau huyu jamaa...chumaaa

  • @kuntimartin
    @kuntimartin 9 часов назад +3

    Mungu akubariki na kukulinda huko ulipo sitokusahau wewe ni Shujaa wetu na huko ulipo ninaimani wewe ni shujaa pumzika kwa Amani Baba ❤

  • @lupamwakyusa1582
    @lupamwakyusa1582 15 часов назад +3

    And HAPPY BIRTHDAY TO YOU uendelee kupumzika kwa amani...

  • @DicksonJaphet-fq7ov
    @DicksonJaphet-fq7ov 7 часов назад +2

    Happy birthday JPM tutakukumbuka Daima Kwa Uzalendo wako🙏🙏
    Pumzika Kwa Amani.

  • @Africana255
    @Africana255 6 часов назад +3

    East,west, South and North he was our best.

  • @kamikazineema1957
    @kamikazineema1957 6 часов назад +2

    Mzalendo wa Tanzania zawadi tuliopewa kuiongoza Tz Kwa mda mchache maua yako unayo mheshimiwa hayati JPM🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @stevenmabungi3245
    @stevenmabungi3245 10 часов назад +3

    Hbd mwongoza njia wetu hakika ulifanya mengi katika taifa hili tunakukumbuka na utakumbukwa na vizazi na vizazi upumzike kwa amani baba🎉

  • @GeraldKashaigili
    @GeraldKashaigili 10 часов назад +2

    Happy birthday, Rais wangu kipenzi
    Mungu ailaze mahali pema peponi

  • @veelmng7746
    @veelmng7746 7 часов назад +2

    Tunakukumbuka sana baba yetu JPM pumzika kwa amani na raha ya milele Mungu akupatie

  • @williammaxmillian5738
    @williammaxmillian5738 9 часов назад +4

    Huyu alikuwa rais wa wawananchi siyo wa nchi🙏🙏

  • @godfreykasimba6187
    @godfreykasimba6187 5 часов назад +2

    Nakumbuka siku ya umauti wako mm ni Askari sijawahi kulia msiba wowote hata unaonihusu Ila kwako nililia Sana sijui kwann . Pumzika Mh Rais

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 14 минут назад

      Na enzi za JPM nyie askari mlikuwa na nidhamu sana na mliogopa kuchukua rushwa ila sasa mmekuwa wa ovyo kabisa wala rushwa sababu Samia anawachekea!

  • @ZekaniS
    @ZekaniS 6 часов назад +1

    🎉🎉🎉🎉umetuwacha mapema Baba Allah akuondoshee adhabu za kaburi kipenzi cha wanyonge

  • @JossephMsumeno
    @JossephMsumeno 16 часов назад +9

    Asante Millard Ayo lkn tunaomba ongeza muda zaidi dakika kumi hazitoshi jamani msibane

  • @jescamaumbi1320
    @jescamaumbi1320 16 часов назад +5

    Rais wangu wa miaka yote,pumzika kwa Amani tunakukumbuka daima🙏

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 15 часов назад +4

    Jembe mungu akupe pumziko jema😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭

  • @zebedemirambi3067
    @zebedemirambi3067 6 часов назад +3

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 when I watch this I'm still crying ❤🇨🇩❤️♥️

  • @nestor384
    @nestor384 9 часов назад +3

    The Greatest of all times A sabotaged life

  • @matrugnawangaeli4815
    @matrugnawangaeli4815 15 часов назад +2

    Haya mambo ndio tunayoyahitaji na yangezidi kufanyiwa kazi bila kusitasita. Tushirikianeni watanzania ili watoto wetu wawe na maisha mwema.

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 17 часов назад +6

    Tulipoteza mtu muhimu sna aisee 😭😭😭😭

  • @DottoAlly-pp9hc
    @DottoAlly-pp9hc 7 часов назад +2

    Happy birthday mwamba wa Tanzania daima tunakukumbuka

  • @SakinaValy
    @SakinaValy 4 часа назад

    Pole mama yetu Janeth sote tunamuombea baba wa Taifa tulimtegemea but mipango ya mungu hatukuweza kupangua,na kumsahau ni vigumu

  • @beatricealoyce3361
    @beatricealoyce3361 7 часов назад +2

    Happy birthday kiongozi shujaa🎉

  • @Amosmpaji
    @Amosmpaji 16 часов назад +4

    Happy birthday rais wa pekee ambaye hajawahi kutokea Tanzania R .I .P JPM tutakukumbuka milele vizazi na vizazi vijavyo.😢😢😢

  • @SabinaOhindi
    @SabinaOhindi 15 часов назад +2

    Happy birthday njembe mungu Baba akupokei peponi❤

  • @AminaJuma-r4y
    @AminaJuma-r4y 7 часов назад +3

    Daima tutakukumbuka baba pumzika kwa hamani 💔😭

  • @mathewm7115
    @mathewm7115 6 часов назад +1

    Happy birthday daddy still rest internal peace amen

  • @MuhamedSwai-d8q
    @MuhamedSwai-d8q Час назад +1

    Mwambah

  • @mkenyamzalendo254
    @mkenyamzalendo254 55 минут назад

    Happy birth Day John Magufuli. The real definition of a leader

  • @ZenabazigaZenabaziga
    @ZenabazigaZenabaziga 16 часов назад +4

    Kwakweli tanzania imekuw imepata kiongoz mwenye kujuw siyasa na maendeleo yaichi yak

  • @JustinWerema
    @JustinWerema Час назад

    Mama yetu janeth nakuombea kwa mwenyezi mungu. Akupe maisha marefu ila kumbuka huu mwezi wa kumi. Kam wakristu tunasali. Lozari ya mama bikira maria.

  • @AhmedMuhammad-b5n
    @AhmedMuhammad-b5n 8 часов назад +1

    Daaaaa unaumwa sana yani muda ukifika mungu atalipa tu

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 8 часов назад +1

    Tulimpoteza mtu muhimu sana kwenye taifa hili ambaye ameacha alama nyingi na kubwa mnoo mh rais Dr John Joseph pombe magufuli

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 8 часов назад +1

    Mungu akulipe kila la kheri anko Magu na akusamehe ulipokosea

  • @LatifaJuma-x8h
    @LatifaJuma-x8h 7 часов назад +1

    Dah mungu mpe pumziko jema😭😭tutakukumbuka daima

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 15 часов назад +1

    Tutakumbuka daima shujaa ❤tumekumiaas sana❤🎉🎉🎉

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 Час назад

    Tunakukumbuka baba yetu...mwenyenzi MUNGU akuweke sehemu salama

  • @veronicalaiser7869
    @veronicalaiser7869 14 минут назад

    Happy birthday mpendwa JPM ingawa haupo nasi. Tunakukumbuka.

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt 5 часов назад +1

    Happy birthday shujaa wetu

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 16 часов назад +3

    Tutakukumbuka Daima Rais Wetu..🙏🙏

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 9 часов назад +1

    Happy bday papa we are really missing your hard work and transparency.... surely you are missed daddy...RIP

  • @PiliMpuma
    @PiliMpuma 8 часов назад +1

    Mwenyezi mungu akuondolee adhabu ya kaburi

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 8 часов назад +2

    Happy birthday boss ❤❤🎉

  • @andrewjoseph5697
    @andrewjoseph5697 16 часов назад +3

    R-I-P JPM MY PRESIDENT

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 7 часов назад +1

    Mungu wa mbinguni mpumzishe kwa amani baba yetu

  • @NdilanhaBoniphace
    @NdilanhaBoniphace 6 часов назад +1

    Hakuna kifo kilichonitoa kwenye siasa kama cha Magufuli

  • @melkisedekkaijage2777
    @melkisedekkaijage2777 16 часов назад +2

    The only and only president of my life. Rais aliyenifanya niipende CCM 😢

  • @section8ight174
    @section8ight174 15 часов назад +1

    WE’VE ONLY HAD TWO PRESIDENTS IN 🇹🇿 SINCE INDEPENDENCE, MWALIMU NA HUYU MWAMBA, PERIOD!!

  • @placesandspaces3489
    @placesandspaces3489 9 часов назад +2

    Rest in Power Mr. Magafuli. You are appreciated.

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n 17 часов назад +5

    Happy birthday Jpm

  • @machiyatv4096
    @machiyatv4096 8 часов назад +1

    Dah Pumzika wak Amani Rais wetu 🎉

  • @HaniffaOmary
    @HaniffaOmary 5 часов назад

    Yani tunakukumbuka Sana magu yani siwahi kukusahau pumzika na Amani jpm😢😢

  • @michaelfabianmiambo
    @michaelfabianmiambo 14 часов назад +1

    baba ninakukumbuka sanaaaa kwa moyo wa dhati pumzika kwa hamani mzee wetu

  • @KcmMohamedy
    @KcmMohamedy 15 часов назад +2

    GOD BLESS MAGUFULI

  • @RobertMgore
    @RobertMgore 5 часов назад +2

    Mwamba

  • @AlphaDaimon
    @AlphaDaimon 15 часов назад +1

    Happy birthday ❤️❤️❤️🙌🙌🙌
    We Miss you Mzee wetu🎉

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 9 часов назад +1

    Aliekuwa Mzalendo wa kweli❤

  • @johnsebastian-bx6qn
    @johnsebastian-bx6qn 15 часов назад +1

    Aiseee basi tu Mungu tunakuomba magufuli mwingine jaman nch yetu Tanzania 🇹🇿