Maisha ya Lady Jaydee, alivyoanza muziki, mafanikio, utajiri na mengine

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 ноя 2017
  • Judith Mbibo aka Lady Jaydee ni miongoni mwa wasanii wa kike wanaoheshimika zaidi Tanzania na wenye mafanikio makubwa. Ifahamu vizuri safari yake kimuziki

Комментарии • 22

  • @sakinandoile9439
    @sakinandoile9439 6 лет назад

    Nataman kupata Album zako zote Jide nyimbo zako nazipenda sana

  • @mwitasamwel7972
    @mwitasamwel7972 6 лет назад +1

    Nakukubali sana coz huna skendo sana, unajua kutenganisha muziki na maisha binafs

  • @yusuphjaphari154
    @yusuphjaphari154 6 лет назад +1

    maisha ni Safari ndefu Sana kaka sky

  • @allykassim1455
    @allykassim1455 6 лет назад

    napenda sana kusikiliza kazi zake huyu dada.she is very smart.SnS

  • @sakinandoile9439
    @sakinandoile9439 6 лет назад

    Nampenda sana jide napenda pia the way anavyojibu maswali pia.... nimefrah pia anampenda Usher Rymond msanii nnayempenda pia....... I wish waje kufanya Collabo

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 лет назад

    Hongeren sana, Big up jide

  • @tinamalembeka4509
    @tinamalembeka4509 6 лет назад

    Ur my role modal kila siku kila saa and forever

  • @jut1161
    @jut1161 6 лет назад

    Wow 10

  • @RonnieMchatta-pr5bd
    @RonnieMchatta-pr5bd Год назад

    Hongera rafiki

  • @happinessmataluma1948
    @happinessmataluma1948 6 лет назад

    nakukubal sana jey d napenda nyimbo zako

  • @aggraypeter.5008
    @aggraypeter.5008 6 лет назад +1

    Haya Maisha Safiri salama

  • @mariamj8219
    @mariamj8219 6 лет назад

    nakupenda bure kwele

  • @damsonmywanga4405
    @damsonmywanga4405 5 лет назад +2

    Dada rudi Kanisani Rudi Dada peperusha Bendera ya MUNGU, kwani kipaji hicho Mungu alikupa umwiimbie umtumikie WASABATO wamepewa Kijiti tokea Hapo mwanzo mpaka sasa iweje we we uko huko?

  • @jameshagwe3063
    @jameshagwe3063 6 лет назад +2

    Fred tunataka na wewe uhojiwe kipindi hiki siku moja

  • @dinakidai4118
    @dinakidai4118 6 лет назад

    jidee

  • @amisihassani6332
    @amisihassani6332 6 лет назад

    Kaka pia tunaitaji mjadala wa ma duzo

  • @elimwangamuna5731
    @elimwangamuna5731 6 лет назад +1

    Sky hivi kule dizzim online haupo tena?maana naona kumepwaya.plz naomba unijibu mm shabiki yako mkubwa

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  6 лет назад +1

      Nipo bado, ukiangalia website utaona kuna habari kibao naandika. Sionekani wakati fulani kwenye interview sababu ninakuwa kwenye ofisi nyingine

    • @cathiah1mwamikazi182
      @cathiah1mwamikazi182 6 лет назад

      SimuliziNaSauti napenda unavyo tangaza tunaku support sana from Dubai

  • @shakirakhans2764
    @shakirakhans2764 6 лет назад

    Sky kwa kweli jide yan hajawai ongea vzr hivyo yan huwa mkali kwa interview

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 4 года назад

    Ila kwann km anapanik vile majibu yke daah mara nyingi namsikia