Nyumba ya Lady Jaydee

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 авг 2013
  • Fahamu maisha ya Lady Jaydee. Kwenye video. Mwanamuziki maarufu kutoka Tanzania. Lady Jaydee anawatembeza nyumbani kwake kutoka chumba chake cha kuvalia kuelekea kwenye picha zake za tuzo. Pata nyuma ya pazia ya maisha yake.
    -------------------
    Discover the life of Lady Jaydee. In this video, the famous Tanzanian musician, Lady Jaydee, gives a tour of her house, from her dressing room to her awards and photos on the wall. Get a behind the scenes glimpse of the life of this Tanzanian icon.
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 37

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 8 лет назад +5

    nampenda sana huyu dada mimi binafsi namshauri aishi vizuri na watu na ajiheshim kama wanawake wengine. wala asiwe anajidhalilisha mitandaoni kama wema

  • @g-spack
    @g-spack Год назад +1

    Sauti na macho wow this lady is talented and beautiful

  • @megm6816
    @megm6816 8 лет назад +3

    she's so Natural I love

  • @reginanyanda2653
    @reginanyanda2653 7 лет назад +4

    upo vzr lady jad dee

  • @Buonjiboy
    @Buonjiboy 10 лет назад +1

    Naam Jaydee si Unioee, ta mie napenda kuimba kabisaa. tutaimbe pamoja Yahaya

  • @agieashley3311
    @agieashley3311 7 лет назад +4

    I wish Tanzanian female celebrities could be like Lady Jay Dee......someone who has respect for herself, natural and many other great values...not to expose themselves just the way they are doing ...NKT....

  • @judithpaschal7107
    @judithpaschal7107 6 лет назад +1

    Ongera saaaaaaaana wajina wangu I Love you so much.

  • @mercylinejumba3176
    @mercylinejumba3176 8 лет назад

    I wish all women should be like u. u r so inspiring. I like how you are love u so much

  • @fidesbenard7144
    @fidesbenard7144 7 лет назад +5

    uko poa mdogo wangu, kanda ya ziwa moja iyo hatunaga ujinga

  • @chao3979
    @chao3979 9 лет назад +1

    Loving it

  • @joannemonu8872
    @joannemonu8872 8 лет назад +4

    i wish u cld try n tlk to those young artist in yo country thy really need advice frm ppl lyk u pliiiiiz

  • @swahilisongswithZita
    @swahilisongswithZita 10 лет назад

    nampenda sana Jide! shes hardworking and so inspiring

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 5 лет назад

    du kweli mungu akupi vyote

  • @halimamlili8803
    @halimamlili8803 7 лет назад

    hongera mama

  • @alliabaraka5810
    @alliabaraka5810 9 лет назад +1

    keep it up

  • @victorlyimo7885
    @victorlyimo7885 8 лет назад +2

    nice

  • @brigidmua9558
    @brigidmua9558 7 лет назад +2

    congratulations

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 3 года назад

    💞💞💕🔥❤️💖💖💖💖❤️💞💞💞jideeee

  • @douglasisaya6078
    @douglasisaya6078 9 лет назад +3

    Dada j.ukopoa sana

    • @swahiliwood
      @swahiliwood  9 лет назад

      Douglas Isaya Ungependa kumwambia nini..?

    • @douglasisaya6078
      @douglasisaya6078 9 лет назад

      Dada mungu akuzidishieee I love madada

  • @abdallahhassan4299
    @abdallahhassan4299 5 лет назад

    nyumba mbaya kinomaaaa yan kwa msaniiii iyo nyumba bado sana

  • @danielnkinda9508
    @danielnkinda9508 7 лет назад +1

    sana

  • @reemajeereemajee2105
    @reemajeereemajee2105 8 лет назад +2

    very cute and beautiful girl big up

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 8 лет назад +10

    hawa ni watu wenye akili. yaani majivuno hana hata kidogo na katulia na mumewe na familia anayo. sio mazombi kama wale mapumbavu mengine yenye laana kutwa kubadilisha wanaume kama ndara

  • @edwinloventer8849
    @edwinloventer8849 8 лет назад

    usichoke go ahead. ..

  • @bonitatembonitate257
    @bonitatembonitate257 7 лет назад +5

    nachompendea jide nimwanamke anaejielewa na hana ulimbuken wa mambo yakitoto kama wekena fulan

  • @stephanozakaria1876
    @stephanozakaria1876 5 лет назад

    YANI TANGU NIMEMFAHA LADY JAY DEE KIUKWELI NILITOKEA KUMPENDA SANA NAKUMBUKA ILIKUA MWAKA 2000 WAKATI HUO NILIKUA NA ISHI SINGIDA YANI NATAMANI SIKUMOJA NIJE NIMUONE LIVE KIUKWELI NTAFURAHI SANA JD NAKUPENDA SANA TANZANIA HII WEWE NDIO MSANII WAPEKEE UNAE JIHESHIMA NA KUITHAMINI KAZI YAKO MUNGU AKUBARIKI SANA

  • @TheAZZY40
    @TheAZZY40 10 лет назад

    WEWE NDIYE WW WACOKUPENDA MASHOGA WANALIWA

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 8 лет назад +7

    hata sura yake na sauti yake ni ya. busara na upole kweli na hekma pia anayo

  • @omarshos1324
    @omarshos1324 8 лет назад +1

    Bado song

  • @maxomari3542
    @maxomari3542 8 лет назад

    huyu muelekeo anao

  • @fidesbenard7144
    @fidesbenard7144 7 лет назад +1

    uko poa mdogo wangu, kanda ya ziwa moja iyo hatunaga ujinga