uyu mama wamuache tu...kumfananisha na akina nani...only kennomies can do that, she's the queen on the floor juc awa NDIYO wanafanya atlst tunaona bongo Kuna talent
Mamlaka za kiafrika hovyo sana hv nyinyi basata hizi nyimbo zenye Maadili, zinazo Elimisha,... hamzisikii? Akuna mtu aliye uchi, minyororo kama mbwa kwanini msiwape tuzo za kuwatia moyo? Kila siku mapenzi, matusi na hao hao ndo bora kwenu.
😆😆😆mkuu umenifurahisha sana,but all in all unachoongea ni sahihi sana sana sana,hii nyimbo imenisisimua sana,ina ujumbe thabiti kabisa,basata ipo kimchongo mchongo tu
Lulu ameanza kufight siku nyingi Sana kwenye hii industry ya filamu.Big up Sana mama G.Hongera Sana dada lady jaydee kwa wimbo wenye mafundisho ya kulijenga taifa kimaadili#mtoto wa mwenzio umuone kama mtoto wako#.
The best radio show of all time, sijui kwanini vitu vizuri havidumu nimejaribu kuitafuta wahapahapa kwenye internet nimekosa haipo tena kama kunaanaejua namna ya kupata vile vipindi anisaidie.
Kuna wakati unashindwa kuongeza neno hapa" Maana kile wanacho imba ndicho wanacho ki-Ishi sasa" Nyimbo hiii ni ya kitambo kidogo..Tena ina ujumbe mzuri sana" Ila haikuweza kumsaidi kitu huyo msichana...baada ya Muda kupita hiyo Tabia ndio ikawa anaifanya na kuishi" Hama kweli hawa ni wasaniii"
Embu jamani tuangalie hii video ya commando jide na tuwe wakweli..just imagine huo umri wa lulu, it means hii nyimbo ni ya kitambo sana,lakini embu angalieni hio quality ya video ilivyo super 👌, yaani video inaweza kuzidi mpaka video baadhi za kipindi hichi cha 2022...itoshe kusema jide is a true super woman legend😍
Jay dee umenikwaza sana!! Kwani unatuchukuliaje wew mmama? Kwahyo hii ngoma ulikaa nayo tu kwa kibubu basi, tuzidi kuoneshwa makalio tu na hawa wajinga wanaojiita kizaz kipya? Umenikwaza sana, !! Usikute una nyimbo umefanya na marehem bruce ree na hautak kutoa!! Utanikera
alie itzama tena nyimbo hii miez hii naomb like
R.I.P Dada Joyce,wa Kwanza kabisa Kwa chereheni😭
uyu mama wamuache tu...kumfananisha na akina nani...only kennomies can do that, she's the queen on the floor juc awa NDIYO wanafanya atlst tunaona bongo Kuna talent
Mamlaka za kiafrika hovyo sana hv nyinyi basata hizi nyimbo zenye Maadili, zinazo Elimisha,... hamzisikii? Akuna mtu aliye uchi, minyororo kama mbwa kwanini msiwape tuzo za kuwatia moyo? Kila siku mapenzi, matusi na hao hao ndo bora kwenu.
Kwani tuzo zitolewe kila siku ni pipi 🤣🤣🤣🤣🤣
😆😆😆mkuu umenifurahisha sana,but all in all unachoongea ni sahihi sana sana sana,hii nyimbo imenisisimua sana,ina ujumbe thabiti kabisa,basata ipo kimchongo mchongo tu
@@BigZhumbe Sijasema kila siku ila zinapotelewa waangalie nyimbo zinazo stahili sio zile zinazo sapoti ushoga.
Watoto wa 2000 wanashangaa sana 🤭🤭🤭,
Ila sie 90s Tunaelewa hii ngoma ,long live the Queeen 🙌🙌🔥🔥
Watoto wa 2000 wanashangaa sana ,
Ila sie 90s Tunaelewa hii ngoma ,long live the Queen 🥰 #Lulu #Kipanya #Jide #GYPSY
Tujitahidi tunza watoto wetu mapema kabla hawajaanza kutunzwa
Eeh Mungu nibariki na moyo wenye upendo,uvumilivu na hekima ili niweze kupalilia shamba moja litakalokufurahisha hata na wewe Muumba👏
Lulu lulu daaaakitambo unafight kwenye game
Kwa bahati mbaya sana hiyo meseji ya shamba haikumfikia anko jj.. mtoto wa mwenzie akawa mkubwa mwenzie.. rip to him
WATU HUKUWA LULU AME GROW SANA ILA WATU HUBADILIKA LADY JAY DEE AMEBADILIKA HATA LULU WAREMBO SANA
the first dj to play this hit in kenyan soil why lie
Lulu ameanza kufight siku nyingi Sana kwenye hii industry ya filamu.Big up Sana mama G.Hongera Sana dada lady jaydee kwa wimbo wenye mafundisho ya kulijenga taifa kimaadili#mtoto wa mwenzio umuone kama mtoto wako#.
nyimbo nzuri yenye maadilu nimeipenda sana
The best radio show of all time, sijui kwanini vitu vizuri havidumu nimejaribu kuitafuta wahapahapa kwenye internet nimekosa haipo tena kama kunaanaejua namna ya kupata vile vipindi anisaidie.
Hii nyimbo mimi nimefuatilia video sio nyimbo ... nimependa sana content yake
Wimbo Bora kwa msichana Lady Jaydee.Big up
Jmn huu wimbo inaonekana aliandika mda mref
Our own legend, voice does not fade. You tacked memories of quality music.
Ni wajibu wa jamii kulea watoto...
It is a societal role to manage Children upbringing
Ebu twenden wote tuifanye iwe trending am so proud of u madam#SHAMBA
inapo anza ni kama movie flani hivi inaitwa NERIA
Unakaa kimya ukija kurudi unaludy na mautam kama yoteeeeeeee
Kuna wakati unashindwa kuongeza neno hapa"
Maana kile wanacho imba ndicho wanacho ki-Ishi sasa"
Nyimbo hiii ni ya kitambo kidogo..Tena ina ujumbe mzuri sana"
Ila haikuweza kumsaidi kitu huyo msichana...baada ya Muda kupita hiyo Tabia ndio ikawa anaifanya na kuishi"
Hama kweli hawa ni wasaniii"
Mke wa majizo arikuwa mkali toka kitambo
QUEEN of the bongo music she is back again Lady j dee mama laooooooooooooooooo......salute sanaa sster
Wimbo wa siku nyingi Sana, angalia Lulu alivyokiluwa enzi hizo
Zidi kufanikiwa endelea kuzirudisha kazi zako #real superAfrica giant best woman
Embu jamani tuangalie hii video ya commando jide na tuwe wakweli..just imagine huo umri wa lulu, it means hii nyimbo ni ya kitambo sana,lakini embu angalieni hio quality ya video ilivyo super 👌, yaani video inaweza kuzidi mpaka video baadhi za kipindi hichi cha 2022...itoshe kusema jide is a true super woman legend😍
I love this let's instill good morals in society for a brighter tomorrow
Na ndio ilivyokuwa maisha ya lulu yakaharibika km kwenywe hii filamu
Maisha ya Lulu yakaharibika!???
Watanzania na Maadili yenu ya kinafki ndo yanawapa Umaskini... Kwahyo Lulu alipo pale Maisha yake yameharibika😂😂 Aisee
@@DrFit-di1rb 😂😂hao ndo wabongo
Beautiful message in the song , thanks My Diva ⭐🙏🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Huyu sista anajua sana sema hawampi shavu
nime shea na kucimment ni mwamba
live long life Dear Queen may Allah protect you. Message delivered💯📢
Hii ngoma ukipewa uisikize bila kuona video unaweza waza ni ya kilimo kwanza. Hahaha bonge la meseji bonge la ngoma.
Good mother of my heart lady jaydeee...you deserve a respect to our mother land....🙏🙏🙏an out of our boundry
Love from Rwanda 💛💙💚
Legend hakosei much respect Komandooo
Wise words from our iron lady warm love from kenya
Wimbo bora sana, asante lady jaydee
Nyimbo nzuri kwa jamii zetu make kwa sasa watu wamejaa unafiki na ubinafsi!
On DUNDA ENTERTAINMENT We follow you 100%
Dada Jide in the building...I love you too much Sister 😍😍
Hii ndy miziki sasa,syo wale wengine kuimba mambo ya siyo eleweka,mpk jamii imeporomoka
Elizabeth Michael wow memories 🤗
Huyo mtoi anafanana lulu akiwa mtoto
Ndiy yeye mwenyewe Lulu
Great msg! inagusa sana
Touch of a legend…m grateful to live in your era
Ndio maana nakukubali sana dada wa taifa,kwenye mziki
Am here after seeing Elizabeth Michael's post on Instagram
💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻 thank you queen, I always love your music girl , please don’t stop.lots of love from Kenya 🇰🇪
Ujumbe mzuri kwa kizazi chetu cha sasa kinahitaji nyimbo kama hizi #SHAMBA 💥💥💥💥💥💥💥💥
Dada wa Taifa 🙌🏿🙌🏿
Ll ume kuwa sana mama g kama sio wewe
nakukubali comando never give up
Nakukubali sana dada elimisha jamii yako
Hii Message inakosea tuu Kuni Liza ila basi nimejizuia na Nimekuelewa
Wewe ndie Lady Jaydee nae mjua kweli
Wangapi wameona Lulu wa Kanumba like 👍 👌 ♥
Kwani ni yeye Kweli?
@@barakakusa7606 ndio sasa iv ni wamajizo
KKT kwaya hz nyimbo kawaimbie siku ya watto Afrika MB zenyewe Gharama alafu unatuimbia kwaya kweli?
Mbona kama lulu vile AMA machoyangu
Mziki mzuri unaishi milele 🔥🔥🔥👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻💪🏻
Duh masud kipanya alikuwa mdogo
May God Be Wth U My Beautiful Cster Jide
Sestar Naomba Kufanya Kazi Na Wew please
Song with a message.... Bravo to u JDe
Goma Kal Sana 🔥🔥🔥🔥🔥💯
Wooooow Ina Maana Ulikuwa Umeiifadhi Tu Hii Jaman ☺️....Wat A Interesting Song
😂Kipanya ndani, sio mchezo kama kawaida 🤛
Elizabeth alikua kinyoka leo mke wa mtu😁😁
Katoto kamefanana na Lulu Elizabeth Michael wa Majizo
Hongera sana Dada ujumbe umeufikisha.........
Mungu akubariki katika kazi zako.
Lil vixen anafanana na Lulu sana
This girl on thumbnail . . .. ako wapi walai🥰
dada mkuu wa bongo music
Throwback Wahapahapa☑️
Dah nilikua mdogo sana yan
✅yanga bingwa
Ongera sana ii video uliiitunza nmuona lulu, kipanya load ndan alafu uyu dada mkubwa jamn kama alikuwa ivi na saiv yuko vilevile watu wanajua kujitunz
Mbona Lulu hata Jde wadogo au ilikuwa library
Hapo Lulu bado bikra
Super woman ♥️♥️ your music always long time though
I will love you forever
Content iko perfect sana...komando Jide
Message is home.
Video nzuri sana
The Queen of bongofleva
True
Huu wimbo waonekana ni WA kitambo sana Elizabeth Michael akiwa ndio,,dah ulikwa wangoja nini
Ni ya muda sana mbna
Mm pia nimeshangaa sana masoud kipanya bado kijana enzi hizo😂😂
@@phyinajonathan8082 maadili saiv yamepotea sio kam zamani ni wakati sahii wa hii nyimbo skuiz mtu hajali mtoto wa mwenzie
Zamani sana waaa
Jay dee umenikwaza sana!! Kwani unatuchukuliaje wew mmama? Kwahyo hii ngoma ulikaa nayo tu kwa kibubu basi, tuzidi kuoneshwa makalio tu na hawa wajinga wanaojiita kizaz kipya? Umenikwaza sana, !! Usikute una nyimbo umefanya na marehem bruce ree na hautak kutoa!! Utanikera
Mbna hii ilirokaga kitambo sana
Mbona hii nyimbo ya kitambo saana nikiwa ndogo nilikuwa naangalia kwa tv ya mda saaana
Ama kweli mbolea imewekwa , huoni mazao kwa Bwana mkubwa mjengon ???
KP ni wewe ulituharibia mtoto kumbe😅😅
Khaaa hii video ka lulu hako ya mwaka gani jamn
Nice song
Kililu mashallah
Legendary jide
Kalulu
Wow beautiful
Good message
Kanataka kufanana na Lulu bana
ndo mwenyewe huoni video ya zamani hiyo!!
@@sadeeqcrucial9194 hapo sawa! Maaaana nimeumiza kichwa kinyama! Maana namuona na kipanya ndani
lovely