PART 2 : ANAPOISHI WASTARA SAJUKI / NIMETESEKA KWA WANAUME / SAJUKI ALINIAMBIA / MWAKA 5 NIPO SINGO.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 май 2024
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" RUclips channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 224

  • @belyseirakoze5371
    @belyseirakoze5371 Месяц назад +21

    Uyu mtoto wa marehemu kafanana baba yake Mash Allah 😭😭😭😭😭 wamenifany nilie hata sijuwi nalia nini 😢😢😢😢😢 wastara Mungu yupo na wewe kipenz

  • @user-nh2qo3tt9m
    @user-nh2qo3tt9m Месяц назад +32

    Sajuki angekuepo wastara angeishi maisha mazuri Zaidi😌

    • @HadijaZabroni-pu1lt
      @HadijaZabroni-pu1lt Месяц назад

      Lakini ata saizi anaishi vizuri pia

    • @annamussa185
      @annamussa185 Месяц назад +2

      Wangekuwa washa achana na taraka juu wasanii lini wakadumu, huyo anajiongeleshaga tu coz hayupo so anatumiaga kama kigezo cha kusaidiwa

    • @nashnene6326
      @nashnene6326 Месяц назад

      Says who? You?

  • @MahraMansoor5969
    @MahraMansoor5969 Месяц назад +12

    Kamani mwacheni saleh haki yake kazi ngumu hii mwache Anjoy nimependa mazingira ya wastara wallahi raha wenyewe tunawapenda from uk 🇬🇧

    • @mamaaanmar1261
      @mamaaanmar1261 Месяц назад

      Kweli msafi mpaka raha

    • @mamaaanmar1261
      @mamaaanmar1261 Месяц назад

      Msafi. Mpaka raha. Kutazama. Kweli huyu mwarabuu 🙌🙌🙌❤️❤️

    • @snowaudielizzy8861
      @snowaudielizzy8861 Месяц назад

      Haki huyu tangazaji hana Aibu hafai kukwambia jiskoe uko nyumbani😮

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 Месяц назад +2

    Nampenda huyu dadawastara 🎉🎉🎉❤❤ Yuko vizuri hongera salehe kutuletea huyu dada❤❤

  • @user-pd2fk6kt5i
    @user-pd2fk6kt5i Месяц назад +5

    Yaani swalehe kwenye nyumba zote alizo tembelea hii ni ya kwaza kwa chakula alicho kaibishwa vizuri

  • @naimanimo4925
    @naimanimo4925 Месяц назад +2

    Wow masha Allah she's a sweetheart she's a fighter born with boys the only girl

  • @user-hi3et7mp6m
    @user-hi3et7mp6m 14 дней назад

    Masha Allah ,dada Allah akupe afya we nafamiliy yako

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 Месяц назад +6

    Jamani😢😢 nilimsahau sanjuki ila nimemkumbuka sanjuki kwahiyo sura huyo mtoto❤❤

  • @janetdundul3858
    @janetdundul3858 Месяц назад +4

    Swalehe kijana anapiga kazi vzr sana,,, nampenda sana ❤❤😊😊😊

  • @blandinamyinga9489
    @blandinamyinga9489 Месяц назад +1

    Sajuki,Sajuki,Sajuki"" raha ya milele akupe ee bwana na mwanga wa milele akuangazie upumzike kwa amani"🙏

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar Месяц назад +3

    Mashaallah' mtoto Nzuri' ALLAH Akukuze

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Месяц назад +2

    Wewe salehe wewe ndiyo maana unakuwaga kibonge maana kila nyumba unayokwenda nilazima ukamilishe suunna😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤ farhiya kafanana na baba yake sana mungu amrehem ahera aliko

  • @chany9950
    @chany9950 Месяц назад +12

    Katoto kazuri jmn 😘😘😘

  • @user-hi3et7mp6m
    @user-hi3et7mp6m 14 дней назад

    Masha Allah umefanana na dabarika ata kuongea,mume fanana sana

  • @user-nh2qo3tt9m
    @user-nh2qo3tt9m Месяц назад +10

    Wastara urembo wake hauishi,..hazeeki😃

  • @ChrestinaTina-jl9cs
    @ChrestinaTina-jl9cs Месяц назад +1

    Kafanana na aliekuwa babaake jmn ❤❤❤ Mwenyez Mungu amrehem

  • @mamaaanmar1261
    @mamaaanmar1261 Месяц назад +3

    Wastara. Nimekupenda. Ukomsafi. Sana. Mapaka raha. Hongera sana. Ukovizuri. 🥰🥰🥰🙌🙌🙌🙌🙌

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys Месяц назад +1

    Binti Kafanana Marehemu Baba ake MASHAA'ALLAH 😊❤❤❤

    • @user-un2ki5jf1k
      @user-un2ki5jf1k Месяц назад

      Adi kuongea yani duh mungu amuifazi sajuki

  • @florahhemedy4053
    @florahhemedy4053 Месяц назад +3

    She is definitely strong and SAJUKI won’t be forgotten ❤

  • @saudashani5981
    @saudashani5981 Месяц назад

    Nakupenda dada wastara Mungu aendelee kukupigania

  • @leylamohamed9939
    @leylamohamed9939 Месяц назад +5

    Saleh itabidi Nikualike Uje ule Kwangu😂😂 Uko Deep na unajua Raha ya Chakula ni Ule vizuri haswa mpk mwenyeji afurahie

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 Месяц назад

      atamie nimependa anavokula..hadi raha mnooo..ana enjoy chakula mwenyewe safi sana

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Месяц назад

    Mpaka nime😢 mulipendana sana kaz ya Mungu haina makosa,mtoto mzuri mashallah

  • @catherinenenula7450
    @catherinenenula7450 Месяц назад +6

    Huyu kaka Kwa kula kiboko karibia anamaliza jagi la juice na uhakika alivoondoka waliongea khe😂😂😂😂🤣

  • @Amina124-gm9nx
    @Amina124-gm9nx Месяц назад

    Maashaallh mtt mxrui

  • @macklinahkarungi2502
    @macklinahkarungi2502 Месяц назад +11

    Hiyo juice ya nn inaonekana tamu hatari sio kwa kuibugia huko 😂😂😂

  • @salmafrancis6689
    @salmafrancis6689 Месяц назад +8

    Daa apa namuona sajuki kabisa

  • @mariamali6615
    @mariamali6615 Месяц назад

    Mashaallah familia nzuri❤❤❤❤

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 Месяц назад +9

    😂😂😂mtangazaji naona umekitendea haki chakula tartiiiiiiibu😂😂

    • @BerthaModest
      @BerthaModest Месяц назад

      Jmn😅😅😅😅😅muachen kujishilia kashidwa🙌utasema kiwavi mda wote tumbo linatak chakula

  • @homesaickofficial7407
    @homesaickofficial7407 Месяц назад +6

    Dah cameraman anapata shida watu wanakula yeye na camera ila ngoja nimwambie dada zamaradi ikifika mida ya kula salehe ndio ashike camera alikodi kipindi ili cameraman ale 😂😂😂

    • @Njeriii536
      @Njeriii536 Месяц назад +1

      😂😂😂 weeee salehe ataacha kazi

    • @shanimbaruku2071
      @shanimbaruku2071 Месяц назад +1

      😂😂😂😂

    • @aishabakari8040
      @aishabakari8040 Месяц назад

      Kwakweli 😂😂😂😂

    • @esterMahenge
      @esterMahenge Месяц назад +1

      Si ana tegesha camera si wamekaa hapo😅😅😅nae yuko pembeni wnakula

  • @jenjoseph7270
    @jenjoseph7270 Месяц назад +1

    Nampenda sana wastara mtoto kafanana na baba yake sajuki jaman

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 Месяц назад

      Mashaaallah tabarakaallah ❤ ❤ ❤

  • @keyla3641
    @keyla3641 Месяц назад

    Stor yenu nzuri hebu ektini movie

  • @aishaathuman6445
    @aishaathuman6445 Месяц назад +3

    Uyu binti kafanana na baba ake daa kwa mom ajafata chochote❤😅

    • @nadiaali9147
      @nadiaali9147 21 день назад

      Kafanana nanihilii kitumbua

  • @PendoMfalamagoha
    @PendoMfalamagoha Месяц назад +1

    ❤❤

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 Месяц назад +14

    Farheen anafanana na baba ake❤

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n Месяц назад +2

    Jaman farheen so cute ❤😂😂😂NMEKAPENDA so charming 😂😂😂story ka zote. Sajuk mtupu. Black beauty.. RIP sajuki.

  • @janethhendry6734
    @janethhendry6734 Месяц назад +2

    Bas msimombe cc maskini

  • @KautharRamadhan-xv3gf
    @KautharRamadhan-xv3gf Месяц назад +5

    Huyu saleh alikua na njaa sana kaah mwwnyewe anamuangalia lakin hata hawazi anachojua ni kula tu😂

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n Месяц назад +1

    Wastaraaa❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mariamusaulo4429
    @mariamusaulo4429 Месяц назад +10

    Swalehe kipindi kinamfaaa🤣🤣🤣🤣

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 Месяц назад +2

    ivi uyo dada anachukua nini jmn mudaa au ameambiwa n swalehe!!!!!

  • @KautharRamadhan-xv3gf
    @KautharRamadhan-xv3gf Месяц назад +2

    Kaaaah uyo saleh tena kazidi haoni hata aibu anafanya kama kadhamiria kuwakomoa akitoka hapo lazima watamsema 😂😂😂

  • @sirahchocolate8508
    @sirahchocolate8508 Месяц назад +1

    Jug la juice Saleh 😅😅

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 Месяц назад +1

    Sura ya babako marehemu #sajuki Ila tabia ya mama yako wastara

  • @jescamushi7737
    @jescamushi7737 Месяц назад +3

    Ila SALEHE HUNA USTAARABU WA MEZA JMNIII...kunywa juice ka ndo chakula na wengne hawajala woiii

    • @upendommbaga7070
      @upendommbaga7070 Месяц назад

      Yaan amekula mpaka amelemewa upande mmoja.. juice kamaliza yaan

    • @hamidawamba
      @hamidawamba 29 дней назад

      Nyie nanyi wachoyo ko asile, ndio maan mim sipnd kula kwa mtu inaelekea mnawasema watu wakishakul kwenu huko

  • @user-pw2sw1sk1b
    @user-pw2sw1sk1b Месяц назад +4

    Huyo.bint sajuki.mtupi wallay ukizaaa coppy ufiiii😅😅😅😅😅 bado.unaish mwili wako.kasoro roho

  • @rosemaryrwabibi5908
    @rosemaryrwabibi5908 Месяц назад +2

    Hao kuku million 3 daaah. Na mtu ananunua wa kula

  • @veronicankhwazi7954
    @veronicankhwazi7954 Месяц назад +1

    Damu ya baba ilikuwa kali sana

  • @JudyLee-hf9cy
    @JudyLee-hf9cy Месяц назад +4

    Swalehe hadi bakuli liishe😂😅😅

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 Месяц назад +2

    Salehe juice inaisha unamsahau camela man dah😂😂😂

  • @user-eq9ml7yo7d
    @user-eq9ml7yo7d Месяц назад +1

    sarehe unakandamiza daaaaa

  • @hamidawamba
    @hamidawamba 29 дней назад

    Wengi humu wachoyo sana malimbukeni wa chakula mnapenda kumsemea chakula huyu kaka wawatu jaman sio vzr kaa 🤐🤐🤐

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 Месяц назад +2

    Eti haujakutana na mwanaume kimwili muda gani,khaaaa....swali gani hilo???

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija Месяц назад +2

    😂😂swaleh naona comment nyingi wanakusema eti unakula ongo hata ingekua watazamaji wangekula tu 😂😂😂😂😂kula zako bhana maisha yewe mafupi😅😅😅

    • @esterMahenge
      @esterMahenge Месяц назад

      Kweli kbs wanao sema ana kula tu wana tamanii😂😂😂😂

  • @salashbooben7622
    @salashbooben7622 Месяц назад

    Saleh, wastara anahuzunika kwa kuelezea kifo cha mumewe we unaenjoy juice na nyama🙌😂🤲💔

  • @nasrahozza9231
    @nasrahozza9231 Месяц назад +2

    Mtoto ni Sajuki mtupu

  • @user-nh2qo3tt9m
    @user-nh2qo3tt9m Месяц назад +1

    Saleh huwa anaenda mida mizuri,..mida ya maakuli😁🥘🥙🌮🍗

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 Месяц назад +1

    Mwacheni alee ndo uzima wenyewe ..akiumwa atoweza kula😅

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 Месяц назад +6

    Farheen nimekupenda unajielewa mtt mzur ❤

  • @itzsnazzyjazzy472
    @itzsnazzyjazzy472 22 дня назад

    Saleh kaka yangu na kulaa

  • @neemamollel840
    @neemamollel840 Месяц назад +1

    Isee salehe ni mroho jamn anavyotafuna sasa kama hajala mwaka mzima mfyuuu

  • @thamani5842
    @thamani5842 Месяц назад +1

    Nyie waandishi wa habari maswali mengine msiwe mnauliza

  • @user-sm2uu5pv4y
    @user-sm2uu5pv4y Месяц назад +3

    Salehe unakula tena unaongeza,,, wewe noma

  • @PatriciaFelix-hx9wc
    @PatriciaFelix-hx9wc Месяц назад

    Jaman mtoto Wetu kabisa allo sajukii kabisaaaa

  • @MunaShaibu
    @MunaShaibu Месяц назад +1

    Jmn ebu Muacheni ale Kwan Vp

  • @veronicahlusekelo5205
    @veronicahlusekelo5205 Месяц назад

    Mwenye bintiake hajla ametajwa huku🤣🤣🤣

  • @user-ln1qq4bw5o
    @user-ln1qq4bw5o Месяц назад

    Saleh anakula kam yupo nyumbni jamanii😂😂

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Месяц назад +1

    Atakuelewa wapi huyo salehe nae nasikiza ubwabwa tabiya mbaya tu

  • @olomweneelama1240
    @olomweneelama1240 Месяц назад +1

    Mtangazaj ni Bala kula

  • @chani_tayra_official1860
    @chani_tayra_official1860 Месяц назад +4

    Ningeshangaa Saleh akose kula 😂😂😂😂😂

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 Месяц назад

    Swaleheee 😂😂😂😂😂 ongera dogo

  • @user-fl3gy6ni7z
    @user-fl3gy6ni7z Месяц назад +2

    Kachangamfu had raha

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 Месяц назад +4

    Natamani Wastara uelezee kidogo hao kuku wa milion 3.naona kama hujaelezea vizuuuri tukashiba maelezo

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 Месяц назад +4

    Salehe ntakupikia siku nikualike mdogo wangu ❤😂

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 Месяц назад

    Ila huyo mfanyakazi na wastara hamsemeshi😢😢

  • @user-qt3xc2fz6s
    @user-qt3xc2fz6s Месяц назад

    Salehe unapenda kula doooh

  • @MwanajemaPharmacy
    @MwanajemaPharmacy 26 дней назад

    Swaleh uwe unamkumbuka na camera man wako 😂😂😂

  • @user-bc3lh5ss6c
    @user-bc3lh5ss6c Месяц назад

    Ila juice hainywewi hivyo kama maji khaaa😂😂😂😂😂

  • @zenathMohammed-md1oy
    @zenathMohammed-md1oy Месяц назад

    Nimependa wastara hana mambo mengi...

  • @user-nm2pr1xz6u
    @user-nm2pr1xz6u Месяц назад

    Mtangazaji ana hofia kuongea kingereza 😂😂

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 Месяц назад +1

    Saleh juice ameilewa 😂😂😂😂

  • @upendommbaga7070
    @upendommbaga7070 Месяц назад

    Mtangazaji amekula akashiba mpk kakaa upande ana hema juu juu hahahahah

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n Месяц назад

    Show alizofanya Ramadan ndo hajadusa ila Safi kilamtu anakula kazini kwake

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 Месяц назад +1

    Ila hapo kwa z anto😂😂ametu chocha

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 Месяц назад

    Sanjuki jaman nalia mm ni kimwangalia mtoto wako nakuona ww kabisa nitakukumbuka daima senjuki

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 Месяц назад +19

    Yan swalehe umefanya juu chin mpk kwenye sekta yako ukamilishe jambo lako😂😂

    • @salehcllassic2325
      @salehcllassic2325 Месяц назад +3

      😀😀😀😀😀😀😀

    • @nururaymond5
      @nururaymond5 Месяц назад +2

      Mwandishi Kwa madikodiko

    • @MosesAntony-gh4yt
      @MosesAntony-gh4yt Месяц назад +2

      Yani Swalehe hajawahi acha msosi

    • @israeluronu9958
      @israeluronu9958 Месяц назад +2

      ​@@MosesAntony-gh4yt😂😂😂 alikosa kwa Dj Ally B kama sijakosea 😂😂

    • @teedullah5708
      @teedullah5708 Месяц назад +2

      Kwanza safarihiamefurahi wah

  • @bettykerewe4100
    @bettykerewe4100 Месяц назад +4

    Anakula kuliko mwenye nyumba duh

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 Месяц назад

      mwenye nyumba atakula baadae msosi upo

    • @janetdundul3858
      @janetdundul3858 Месяц назад

      Acha shobo chakula siyo cha kumsema mtuu

    • @thamani5842
      @thamani5842 Месяц назад +4

      Mlitaka ale vipi? Kwanza ukiona mgeni amekula vizuri chakula chako unajiskia, unaona kumbe kakipenda. Kuliko umkaribishe mtu aguseguse tu

    • @tumainlession411
      @tumainlession411 Месяц назад +2

      Kweli mgeni akila unasikia raha sana jamani

  • @aziza9093
    @aziza9093 Месяц назад +5

    Yani huyumtoto kama nimemona sajuki nilikuwanapeda yulakaka Allah ampelijan

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Месяц назад +2

    Aki huyu salehe yuko km ambae hajaona chakula wasitara heri cunyamaze kwanza muanqaliye Hilo moja LA kula

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Месяц назад +1

    😂😂😂😂Hiv 😂😂huyu shangalrh ni mzima kweli 😂😂😂😂😅

    • @nigamo9645
      @nigamo9645 Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂

  • @rozeyousef9823
    @rozeyousef9823 Месяц назад

    Mtoto ni sajuki mtupu😢😢

  • @user-qe3rx2ok7z
    @user-qe3rx2ok7z Месяц назад

    Swalehe namuona kama kanenepa au macho yangu

  • @wardaomar4828
    @wardaomar4828 Месяц назад

    Hyu mdada ni mshamva😂😂 yupo bize kurekodi kipind na yy

  • @blandinamgema4131
    @blandinamgema4131 Месяц назад

    Salehe juisi umeipenda haswaa maana sio kwa kuigida huko 🤣🤣🤣🤣

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 Месяц назад

    Kilasaa mnaongelea kuhusu sajuki sema mnataka kula chakula cha wastara mnakera

  • @batuli8665
    @batuli8665 Месяц назад

    Salehe😂😂😂😂😂

  • @ummullaqsa974
    @ummullaqsa974 Месяц назад +1

    Tuachane n izo nywele z mtt😂ila salehe mroho sana kaka anakul hajali km yupo ugenin wala nn😂😂🙌

  • @magrethkapinga1811
    @magrethkapinga1811 Месяц назад

    Sajuki alijizaaa jamani

  • @mankinemansulikine-2220
    @mankinemansulikine-2220 Месяц назад

    Salehe apana khaaaa una ata haibu khaaa salehe ukitaka kuowa upate mke anaejua kupika 😅😅😅

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Месяц назад +9

    huyu mtoto bado hajaharibika Allah amuongoze ushahidi ni stori yake ni yakitoto sana mtoto akiharibika anakuwa hata stori ni zakikubwa

    • @salmaalkyumi6030
      @salmaalkyumi6030 Месяц назад +3

      Allah awahifadhi watoto wetu wote 🤲🤲🤲

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n Месяц назад

    Kuku mil3 ndo naskia leo😮😮😮!