Lady Jaydee: Ugomvi wangu na Clouds Media haujamalizika

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 ноя 2024

Комментарии • 179

  • @alphoncinajohn748
    @alphoncinajohn748 6 лет назад +2

    uko vizuri sana Mdogo wangu. nakuaminia sanaaaaaaa!!!! nakupenda sanaaaaaa

  • @riscaoscar6209
    @riscaoscar6209 5 лет назад +25

    Huyu dada mungu amjalie apate mtoto Amenñ

  • @wacundirangu1661
    @wacundirangu1661 6 лет назад +5

    Love you forever Jide!!!
    Will listen to you to eternity!
    #QueenOfBongo #WeKnowYourHeart #1Fun #FromKEWithLove

  • @zainabumtubwi263
    @zainabumtubwi263 6 лет назад

    Mungu akubariki sana maisha kuna watu wema n a kuna watu wa kukuweka chini .kamada pambana .

  • @undefinedserviceus375
    @undefinedserviceus375 6 лет назад +1

    nampenda sana huyu dada coz ana hekima na busara pia

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 6 лет назад +14

    Nakupenda sana jide kwel we i comandooooo huteketei wala huangamiii mungu azid kukupandisha

  • @jamesmethuselafredrick6064
    @jamesmethuselafredrick6064 6 лет назад +2

    We jamaa una Sauti ya Radio sana unafaa kuwa mtangazaji wa Radio sana👊@Sky

  • @exaverychale2389
    @exaverychale2389 6 лет назад

    clouds ni wanyonyaji yaani msanii akipishana nao tu hawapigi nyimbo zake wanataka afe njaa, jide i love u upo shupavu huyumbishwi

  • @sarafinaemanuel3240
    @sarafinaemanuel3240 6 лет назад +12

    Komandooo nakupenda adi naumwa

  • @faithmwangangi2461
    @faithmwangangi2461 6 лет назад +12

    Still loving you.... hata clouds wasipozicheza nyimbo zako I'll still make an effort to source for them on other platforms. Go gal

  • @eyezarc1239
    @eyezarc1239 5 лет назад +4

    Twenzetu dada komando 💪🏿 tukale 👉🏾🚬🚬🚬🚬🚬🚬

  • @ambaranguathuman4446
    @ambaranguathuman4446 6 лет назад +5

    Inaboa sana kituo cha radio kuleta ubanguzi kutokupiga nyimbo za msanii hata hvyo anatusua ile mbaya hammkamati ng'oooo

  • @justinkasuku1460
    @justinkasuku1460 6 лет назад

    Sisi tunakupenda yatosha.. waachie media zao.. I love you forever jide

  • @shibonemathias1153
    @shibonemathias1153 5 лет назад

    Nice, nakukubali sana, kwa unyama alioufanya kwako, MUNGU , atamhoji hukohuko majuuu

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 5 лет назад

    Nakupenda sana Jide! Napenda kazi zako..

  • @germanerwilliam4668
    @germanerwilliam4668 5 лет назад +16

    Haya mtutolee konki wetu jamani tafadhali

  • @hopejacob2436
    @hopejacob2436 6 лет назад

    Dada Jide unahekima sanaa...hakika Nakupenda

  • @rassanleezedon6861
    @rassanleezedon6861 6 лет назад +10

    blauz wanapenda kukusujudiwa, kama mungu wa music bongo

    • @kamboarheritage461
      @kamboarheritage461 5 лет назад

      Ni bahati mbaya wao sio chombo cha habari cha taifa. Wanafanya kazi kwa utashi wao. Mbona hawagombei kupeleka nyimbo zao TBC?

  • @iconlyx2724
    @iconlyx2724 6 лет назад +6

    Tusubiri wasafi mambo ni safiii

  • @AliBaba-zb3tg
    @AliBaba-zb3tg 5 лет назад

    Wee dada Ruge kashasema Ukilopoka mwenyeww na nyege zako za kukosa Mtoto...Roho Mungu why ume mchukia Ruge kabla ajaongea mengine . weww dada Utakufa kuma weee tena ufeee kuma kabisaaa weww na Domo mtakufaa kifo kibaya mxiuuu

  • @mudylivigha521
    @mudylivigha521 6 лет назад +2

    Wasafi for lifeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @aggraypeter.5008
    @aggraypeter.5008 6 лет назад +17

    Hiyo ndiyo nilikuwa naitaftaga iliishia Wapi Kumbe ndo hivo

  • @ramadhanabdallah7747
    @ramadhanabdallah7747 5 лет назад

    lady j,dii una sauti mzuri nyororo kabisa ongera

  • @anobileejacob2427
    @anobileejacob2427 6 лет назад +2

    Komaaa wetu mtt wa nyumban pamoja sana wanamara tuko nyuma yako uctake kuwabembeleza ww ni xhidaaaaaaaaaa

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 лет назад +8

    Jide safi sanaaa

  • @moseskayan3705
    @moseskayan3705 5 лет назад +1

    Mbona cloud media peekee ndio hugombana na Wasanii mara sijui WCB mara jdee nini mbaya na hawa

  • @samwelnyankena9873
    @samwelnyankena9873 6 лет назад +9

    safiiiii comandoooo

  • @IshiKistaa
    @IshiKistaa 5 лет назад +1

    KUTAKA KUJUA NYOTA YAKO TEMBELEA UKURASA WETU KUJUA ZAIDI NYOTA YAKO ruclips.net/channel/UCxBrgr6eSdKzbt1PUSZ9dWQvideos?view_as=subscriber

  • @zamzamkassim8665
    @zamzamkassim8665 5 лет назад

    Jide hapa duniani tunapita achana na hayo mastori yk muombee BINADAMU mwenzako apumzike kwa Aman huo unafanya ww ni dhambi kubwa xn mbele ya m/mungu

  • @Gratefulheart3188
    @Gratefulheart3188 6 лет назад

    interview zenu zimetulia,nazipendaaa

  • @hamadeddy8089
    @hamadeddy8089 5 лет назад +1

    Nakupenda jide Sana tena

  • @bulibamagambo3300
    @bulibamagambo3300 6 лет назад

    Mwandishi jaribu kuwa proffesional . Kwanza kutaja majina Kama clouds na Ruge siyo maelekezo kimaadili ndo maana jide kakusahihisha.
    2. Hutakiwi kumuunga mkono unaemohiji kwa mfano umetumia maneno ka ma Yaah, ok, vizuri. That is true. Professionally haitakiwi. Ni hayo tu.🙏🙏🙏

  • @barikiarastus8770
    @barikiarastus8770 6 лет назад +2

    nakukubali sana dada yangu

  • @haroonmdou2954
    @haroonmdou2954 5 лет назад +4

    Mashabiki nao sijui huwaga wanafata mkumbo kwenye comment mnamtukana ruge need kafariki mnajifanya mmexahau mnaxma kwa mazur

  • @sulleymanjimmy3199
    @sulleymanjimmy3199 6 лет назад +5

    Yani hao watu wanataka waabudiwe na kila mtu so walitaka Jide aseme yeye awe kama kajidhalilisha,, yani dah umeona kama Rubi alivyoenda kuomba msamaha alaf jinsi gani shilawadu walivyoanza kumdhihaki..

    • @gaspermatyenyi7949
      @gaspermatyenyi7949 6 лет назад +1

      acha tu....asee yan binadam ila kwa ruby mwache ajishushe tu.....ila kwa wasanii wakubwa kama jide na mond hao wajinga wanapoteza muda tu

  • @myahudi6951
    @myahudi6951 5 лет назад

    Afu naona hapa mnatumia kiki ya marehemu kupata hela.
    Hongereni mnaoshangilia kufa kwa Ruge maana ninyi mtaishi milele(HAMTAKUFA).
    Ruge alishawatengenezea barabara lkn sio wote wataipita salama kwan wengine watapita kwa mkuu, baiskeli, pkpk na kwa magari.
    REST IN PEACE DIRA YA VIJANA TANZANIA(RUGE).

  • @lisosoben3862
    @lisosoben3862 6 лет назад

    very smart Dada....!

  • @rayrayroblox5663
    @rayrayroblox5663 5 лет назад

    Pole sana dada jd . Rip ruge

  • @eddybayzor4106
    @eddybayzor4106 6 лет назад

    Clouds wanafiki sana jide piga kazi mungu yupo na wewe

    • @gaspermatyenyi7949
      @gaspermatyenyi7949 6 лет назад

      duuuh kweli asee yan clouds wamezidi kutaka kutetemekewa ...si unajua ruge muhaya ubinafsi na masifa kwa wingi bado wafanyakaz wengi ni wachaga tabia zao zilezile..ila ndo wanazidi kupoteza mashabiki

  • @shakiraataafanyajemondnimo100
    @shakiraataafanyajemondnimo100 6 лет назад +17

    Ndo ivyo bhana sasa ndo wamehamia kwa mond apa sasa ni sawa na kudeki bahari hamta weza ng'o

    • @gaspermatyenyi7949
      @gaspermatyenyi7949 6 лет назад

      hao wanapenda kunyenyekewa ndo tatizo na efm inakuja kwa kasi sana....mabifu yao na wasanii wanazidi kupoteza ratha ya mashabiki wao

  • @nbfchisotta3749
    @nbfchisotta3749 6 лет назад

    clouds ni radio station ya biashara, kibiashara zaidi., hata nje huko wezutu msanii ananunua kipindi au kulipia kwaajili ya ngoma zake kuchezwa., me sikushangaeni nyie wasanii, kila interview unasema tofauti., Dodoma ulisema vzr humu nimesikia vingine.,

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 6 лет назад

    Lady jaydee live longer binti komandooooooooo

  • @hopegagarino6754
    @hopegagarino6754 6 лет назад +23

    comando nakubali sanaaa

    • @aishajumaaisha2769
      @aishajumaaisha2769 6 лет назад

      ....

    • @myahudi6951
      @myahudi6951 6 лет назад

      Kwa wanamziki wa kike Tz bado hajapatikana wa kumfunika Jide hata watengenezwe akina nanii! Hata wasipopiga nyimbo zako mbona tnakpata tu vzr tena hku mikoani kuna channel mpya tnaiangalia sn na ikiendelea ivo wanaokbania watapata kwikwi sn!

  • @tintz3157
    @tintz3157 6 лет назад +4

    Itakuwa Ruge alimuomba jide k akamnyima ndo kaona alianzishe kwa style hiyo,, ila hatamuweza komando still going up
    Kwa mondi ndo kabisaaaaa hawamuezi tena

    • @shameemrashid5219
      @shameemrashid5219 5 лет назад

      Mmemsengenya ruge hatimaye kawaachia dunia sasa furahini

  • @shufaafarihya8674
    @shufaafarihya8674 6 лет назад

    nakupata sana kipindi kile uko Victoria fm

  • @peterernest1050
    @peterernest1050 6 лет назад

    Clouds badilikeni hizi sio zama zile za unyonyaji nilikuwa napenda sana kusikiliza redio yenu na tv yenu but baada yakuwajua kiundani sipendi hatakuwasikia mtu yeyote asiyependa maendeleo ya mwenzake ni adui kwangu mmekuwa ni adui

  • @ahmedpenjula6422
    @ahmedpenjula6422 5 лет назад +2

    Mtegemee mungu sio ruge ni binadam hawezi zuwia lolote mama angelimzuia ziraili mtoa roho ..yeye kama wewe na sasa umesadiki iloo kama yeye kama wewe

  • @tausiphilimon253
    @tausiphilimon253 6 лет назад +2

    Njooo wasafi jide

  • @AfrikaminausKifukwewrest
    @AfrikaminausKifukwewrest 3 месяца назад

    Paa na ungo uende love garden

  • @sambuchingoro6988
    @sambuchingoro6988 5 лет назад +6

    watu wagumu kuelewa eheee, ss hivi mnasema wanaomsema Ruge wanakosea kwasababu tu kesha fariki wakini wakati Lady j dee anatoa waraka wake mrikoment kwa kumtukana Ruge kuwa ni mnyonyaji ss hivi mnamuona Ruge mzuri, hacheni unafiki.

  • @gabbyhenrgy1157
    @gabbyhenrgy1157 5 лет назад +2

    Unapingana na walaka wako wa 2013 unaotembea asee leo mmeona marehemu kapokelewa km Rais RIP shujaa Ruge

  • @stanleymavurastanleymavura9295
    @stanleymavurastanleymavura9295 6 лет назад

    Dada usiogope ruge Ana roho kubwa sana-hiki naenda wcb

  • @nzeyyunus5990
    @nzeyyunus5990 6 лет назад +38

    Usijalii Mama Clouds wanajifnya ndo kila kitu, Ruge mzinguaji tu. Wasafi tv and Radio ndo zinakuja Mama achana na wapuuzi hao.

    • @issaabdallah7660
      @issaabdallah7660 6 лет назад +1

      Sasa wasaf media ni ile ile clouds

    • @halimabakari3339
      @halimabakari3339 5 лет назад +2

      Trey Yunus yn ww nimpuuzi wa mwisho unaongea ujinga tuuh

    • @sulaimanabdallah4088
      @sulaimanabdallah4088 5 лет назад

      Huyu hana mango ushasaidiwa Leo umefanikiwa kishakufa ww wasema na huyu atiwe ndani wallahi

    • @priscilarkahindi9126
      @priscilarkahindi9126 5 лет назад

      @@sulaimanabdallah4088 hii ya kitambo sana, wameileta tu

    • @joicemtimba570
      @joicemtimba570 5 лет назад

      Trey Yunus musenge

  • @mwanamisidihoni1610
    @mwanamisidihoni1610 5 лет назад

    Uungwana unapotea mukikosana tu Mpatanishi mitandao kwanini msikutane wenyewe mkayamaliza

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 6 лет назад +15

    Ameongea kwa uchungu sana....

  • @susanlazaro7492
    @susanlazaro7492 6 лет назад +2

    Kumbe hawa (klaudsi) wana bifu na wasanii wengi Sisi Wasafi Tupo smart mpaka Mioyo Yetu ni Misafi ndio Maana Mungu Anatuzidishia.

  • @amenyekibona8730
    @amenyekibona8730 6 лет назад

    Love so much mommy

  • @parkjandisuk3362
    @parkjandisuk3362 5 лет назад

    nampenda huyu Mrembo

  • @akilimingi6036
    @akilimingi6036 6 лет назад

    Jide uko sawa

  • @salamasefu9434
    @salamasefu9434 5 лет назад +1

    Uko sahihi

  • @miriamjoseph1418
    @miriamjoseph1418 6 лет назад

    clouds wachotaka ni jide aende kuomba msamaha kama wakina Ruby

  • @highlifebreezy4317
    @highlifebreezy4317 5 лет назад +1

    wasafi oyooooooooooooo!

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 6 лет назад +5

    Hivi redio ni moja tu Tz? Kwa nini wasizicheze kwa radio nyingine na TV

    • @rosemartin3757
      @rosemartin3757 6 лет назад +1

      Clouds wana tangazo lao la usiwe kaa.wkt wao ni kaa wakubwa tena kaa hadi sura zao.wafie mbali na chuki zao binafsi .redio na tv sio wao tuu.

    • @jannethedwin4394
      @jannethedwin4394 6 лет назад +1

      Mwisho wao umefika nahakuna marefu yasio na icha

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 лет назад

    Huyu dada ni mzuri jamani na mwenye kujiheshim sana ktk wasanii wooote Tanzania. Sio wa kiki, sio waku uza michupi nk

  • @mwaitukamwallah1300
    @mwaitukamwallah1300 5 лет назад

    Mboba hupeki radia free africa cloud ilikuwepo pekee yake ungepeleka hta kwa zomboko hawavumi lakini wamo.

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 5 лет назад

    Dada Jide mbona unabadirika bila kukumbuka kua dunia haifichi chochote? Ivi kwa mda mfupi umeshasahau ukurasa ulouandika na kupost ukiwa umewazuia Clouds wasipige nyimbo zako? na ukaongeza kwamba ata ukifa msiba wako wasiudhurie? Na kama wakija wapigwe mawe😧😧😧 Leo hii unaanza tena kumgeuzia atia marehem yeye alijiepesha ambayo yangejitokeza sababu uenda yangeleta mtafaruku,Kama una lengo la kujitetea jitetee kwa ustahiri sahihii. Tujifunze kua na akiba ya maneno wakati mwingine maneno ujenga. Tujifunze kutoongea sana wakati tumekasirika au wakati tunafaraha ilokithiri. Ila kwa yote tumshukuru Muumba kwani walio wengi wamemtambua Marehem Ruge alikua mtu wa aina gani na hii ni kutokana na yeye alivojiandalia mwisho wake si jambo la kawaida viongozi,radio,wanahabari,makampuni binafsi na serikari,wasanii na wananchi wote kwa ujumla kuomboleza kwa mtu mmoja inadhirisha wazi wazi kua alikua ni mtu wa watu sema kawaida ya sisi wanadamu mazuri ya watu tunayaona baada ya wahusika wenyewe hao kuondoka kutangulia mbele ya haki(TUNASHUKURU WAKISHAENDA)Lakini ata kama ni tofauti sote tunazo wametofautiana ndugu iweje marafiki? Mwisho wa yote tunapotamka maneno tujitahidi kuyakumbuka yasije kuturudia kuapa viapo vya dhuruba uwezijua itampata nani,ukizungumza watu watayatunza maneno yako na hayatasaulika bali tu yatatafsriwa na kila aina ya msikilizaji. Ukweli auzibiwi njia atimae utajulikana tu bila ata yakujitetea wala kugombana, ata kama utakua ushatangulia mbale ya haki bado ukweli wako utakuja kuonekana, na kama ni ubaya watu watajua tu.

  • @ben_digital
    @ben_digital 6 лет назад +5

    Tatizo la Ruge anaongeaga kama yeye hakoseagi hiv

  • @deusgabri
    @deusgabri 6 лет назад

    Media zipo nyingi saivi Dada angu, achana nao ,haiwezekani kila MTU anagombana na hiyo media inamatatizo sana, wanajifanya wao ndo wameshika soko LA burudani tz.. Media kibao saivi wakizima wengine wanawasha mama, kuna dizzm ,kuna wasafi, kuna efm,kuna choicefm

  • @bashiriathuman8826
    @bashiriathuman8826 6 лет назад +3

    clauds wa kisenge utafikiri wanaredio peke yao

  • @aduchannel3369
    @aduchannel3369 6 лет назад

    Thc is a very serious weakness of clouds media, I include those of wcb. Try to change being like human god clouds media

  • @alphoncemahinya6224
    @alphoncemahinya6224 6 лет назад

    Duuh bro unafaa kutangaza clouds fm umetulia sana katika interviews zako

  • @andrewkalubi3524
    @andrewkalubi3524 6 лет назад +3

    Hawa cloud wana personal interest ila huyu dada kawanyoshaaaa.saf xana...munatanguliz unfki badala ya taifa. Assume wasani wote mumekosena eh itakuje sasa kweny kituo chenu kwa upande w burudani?

    • @kamboarheritage461
      @kamboarheritage461 5 лет назад

      Kizuri jamaa wanawatengeneza wasanii wao wenyewe kupitia THT.
      Yaani clouds ni zaidi ya unavyofikiri ww

  • @abelmirwatu544
    @abelmirwatu544 6 лет назад +2

    Komandoooo duh! Kuna watu wanaomba msamaha ili wapigwe wajifunze kwa huyu dada.

  • @fedelischengula7891
    @fedelischengula7891 6 лет назад

    atuitaki clouz walafiesta imekuwa ikionesha ubaguzi wahali yajuu sana

  • @habibafeithal6292
    @habibafeithal6292 6 лет назад

    Ndio Tabia yao hiyo clouds

  • @nyamogaStudio
    @nyamogaStudio 6 лет назад +2

    millad ayo hamaaaa

  • @officialmbeyaone3572
    @officialmbeyaone3572 6 лет назад +3

    Kama kuna kitu nakichukia apa Tanzania basi ni clouds and wata ngazajiwake wote nacjajuwa watabadilika lini

  • @bakariluhala7332
    @bakariluhala7332 5 лет назад

    Dunia siyo mbaya dada j na unalijua hilo

  • @mussamsella8560
    @mussamsella8560 5 лет назад +1

    Jide namkubari sana lkn namkubari zaidi namna alivokabiliana na changamoto ya kazi yake.
    Maisha yetu kama viumbe hai hayaendeshwi wala kupangwa na kiumbe chochote ila Mwenyezi Mungu tuu,Hapa sijazungumzia Riziki....kwani Riziki anatoa Mwenyezi Mungu tuu.Hili aliliishi huyu dada
    Baada ya kutokea kutoelewana baina cmg na yeye na cmg walikua ndio wateja wake wakubwa wa kazi zake alibadirika haraka na kutafta soko mbadala ambalo hadi kesho linamsaidia
    Hili soko mbadala ndio limekua la uhakika zaidi kuliko lile la mwanzo ambalo kimsingi huenda lingemlemaza kiakiri
    Hongera sana dada yangu ....Riziki haina milango na kama iko funguo anazo Mwenyezi Mungu tuu na sio binadamu na hii iwe findisho kwa binadamu wengine ...tusiamini jambo flan atalifanikisha flani tuu ...hamna

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 5 лет назад

    Usiseme kumaliza

  • @asiliyakechuma7335
    @asiliyakechuma7335 5 лет назад +2

    #ruge amexha kufa na#clouz yake

  • @samuelabisai7713
    @samuelabisai7713 6 лет назад

    ww jide achan nao hao maboya clouds wanabifu na wasanii kibao

  • @fabianmilanga4980
    @fabianmilanga4980 5 лет назад +2

    Clouds clouds clouds?

  • @allystandardtz8017
    @allystandardtz8017 6 лет назад

    wafanyieni ujinga watu wengine ila kwa cm mtapata tabu sana

  • @manasemwakagali9358
    @manasemwakagali9358 6 лет назад

    amsikin Clouds tv na redio pendwa manaboa sana. bifu sio issue

  • @neemajavan4125
    @neemajavan4125 6 лет назад

    clouds wasenge piga kazi mrembo

  • @moya-moya1
    @moya-moya1 6 лет назад

    clouds sio ccm,itashindwa tu,ccm ndo huwa awashindwagi

  • @ngoyemotinspnetwork.7124
    @ngoyemotinspnetwork.7124 6 лет назад +5

    Ktuo kila siku no bifu tu.
    Wanataka wanyenyekewe nini..
    Nilikiwa nawakubar sana hawa jamaa ila nimeona si kitu...
    Wanatengeneza bof kila siku...

    • @kamboarheritage461
      @kamboarheritage461 5 лет назад

      Clouds ni media ya mtu binafsi, sio ya taifa. Wanafanya wao wanachotaka na sio kulazimishwa na mtu. Mbona hawagombei kupeleka hizo nyimbo zao kwenye kituo cha taifa (TBC) wanang'ang'ana tu na clouds..
      Mnajua walikotoa mtaji wakafungua hizo station..?
      Mnajua kwann wanafuatiliwa na watu wengi..?
      Hata ukisema leo hutawafuatilia, kumbuka kuwa hakuna mtu aliyekuomba uwafuatilie ila kuna vitu vyao vizuri ndo vilikuvutia.
      Acheni hizo bhana, muziki ni biashara na clouds ni biashara..

  • @alishomar7549
    @alishomar7549 6 лет назад +55

    Redio ya watu Inashindwa kupiga nyimbo ya mtu? ? tena m2 mwenyewe jide? Inboa sn

    • @gwakisaezekiel2576
      @gwakisaezekiel2576 6 лет назад +2

      @Alish Omar umeona hee ruge ana roho mbaya sana na sura lake baya kama sokwe

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 6 лет назад +1

      Alish Omar true

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 6 лет назад +1

      Alish Omar ...Shida ukizuia kupiga Nyimbo za Jide Clouds kuna vyombo vingapi zaid ya Hao. Ishu kama hiyo inaweza kuwa shida kww wasanii wadogo ila Kwa Jitu kubwa kama Komando Haweza kupata shida kabisa

    • @moshishukurani6010
      @moshishukurani6010 6 лет назад

      Alish Omar xarutikomandojide

    • @saeedmassoud256
      @saeedmassoud256 6 лет назад

      Makuma t Clouds

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 лет назад

    Kumbe kulikua na madikteta had kwenye media

  • @kitangacharles5818
    @kitangacharles5818 6 лет назад +16

    Comando jide

  • @sampatrick917
    @sampatrick917 6 лет назад

    Achana nao wasafi ipo kwaajili ya wanyonge na makonk

  • @farahaniomari9839
    @farahaniomari9839 5 лет назад

    Konkiiiii atolewe

  • @denisbomani8275
    @denisbomani8275 5 лет назад

    Kamwe huwezi kupendwa na watu wote 🙇🙇🙇🙇,huwezi kuwafurahisha watu wote,kamwe huwezi kupendwa na watu wote,😁😁😁 ruge alichokifanya kimeonekana......

  • @hasansalum5736
    @hasansalum5736 5 лет назад

    una qkil sana ulivosema lisitajwe jina la mtu

  • @leahjoseph6072
    @leahjoseph6072 5 лет назад +2

    Jifunze kusamehe wewe Dada ata MUNGU atakufungulia kizazi chako nyoooooh

  • @mrishomzelela4627
    @mrishomzelela4627 6 лет назад

    huyu mtangazaji sauti yake mbona kama yule jamaa anayechambuaga video za diamond especially ile ya Africa beauty. tafakari vzr sauti ya hyu mtangazaji then like

  • @nadimmebu9091
    @nadimmebu9091 5 лет назад

    Hhhhhhhhhhhh ana chagua yeye ipingwe chimbo gani sio wewe msanihi ila uyu kidogo maelezea vizur sio lile bwege

  • @dinakidai4118
    @dinakidai4118 6 лет назад

    we Ni komando tuu

  • @medrickmwasibila5711
    @medrickmwasibila5711 5 лет назад

    wwe unae mlaumu luge yukuawapi. kwanza uwenzi muukumu maleem una akili ulikua wapi wakatu yuhai ukamuukumu mungu ndie muukumu kakuzulumu kakunyanyasa mwachie mungutu. kwassa ukisema mabaya ya maleem tutakuona mnafkitu tutajuaje kama unachokinena ni chaukweli?????