#EXCLUSSIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 159

  • @minaelsamson5352
    @minaelsamson5352 Год назад +10

    Hii interview imesababisha nkakupenda Bure RUBY..... KEEP IT UP ❤

  • @pascalinajames9117
    @pascalinajames9117 Год назад +13

    Nimeipenda sana hii interview...love your confidence and how unajieleza ruby ...much 💘love

  • @SambelaPeter
    @SambelaPeter Год назад +18

    His man is so supportive 💯

    • @nyarkindubay5454
      @nyarkindubay5454 Год назад

      Her man not his man,I come in peace from kisumu kenya

  • @Winfridankalupia-t8d
    @Winfridankalupia-t8d 6 месяцев назад +1

    Amina Ruby!🫶💪🤝👏👏👏👏👏

  • @Anitha-h4v
    @Anitha-h4v 5 месяцев назад +2

    Nakupenda bure Ruby

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 Год назад +6

    Ila kweli ukiwa na misiamamo. Lazm. Uonekane jeur hapo. Weng ipo hivyo, watasema unalinga, kiburi, zarau, kisa msimamo, big up. Ruby we Jembe bwna piga Kaz ❤❤😂I 🎉🎉

  • @figo4g
    @figo4g Год назад +5

    Ma favorite lady artist in East Africa Rubby

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 Год назад +18

    Ruby nimekupenda unajibu kwa kujiamin Sana 🥰

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 Год назад +33

    Mimi nahic Ruby yupo Kama Mimi tuu sipendagi kuonewa nasipendagi mtu aniharbie misimamo yangu kulalamika kwingi dah Ila sipendi hii Hali inapelekea kugombana na watu wengi Sana Ila ndo tulivo kila kitu tunahic Kama tunaonewa na tunaanza kulalamika Ila mi siipendi hii Hali😭

  • @MercyJulius-e3h
    @MercyJulius-e3h Год назад +3

    Realy love u Rubi❤❤❤❤❤

  • @peninagodwin2432
    @peninagodwin2432 Год назад +3

    ruby kacheza vizur Mashallah

  • @AzaShamba
    @AzaShamba Год назад +6

    Ruby❤❤❤❤❤❤❤song nzuri uloimba ww na mboso, MASHALAAH, HAKUNA MSANII WA KIKE MWENYE SAUT NZURI KA RUBY, AFU ZUCHU NA NANDY❤❤maua sana, lady dee, raya c

  • @DavidTumwebaze-fo1ft
    @DavidTumwebaze-fo1ft 4 месяца назад

    Wow nimependa jina ya mtoto gospel nice name

  • @shakiramuhammad8790
    @shakiramuhammad8790 Год назад +15

    This gel can sing 🙌🏼

    • @Mina.15
      @Mina.15 Год назад

      Yes that's why they're intimidating by her

  • @josephmtawali5401
    @josephmtawali5401 Год назад +3

    big up ruby😊❤

  • @pendoanzigar3172
    @pendoanzigar3172 Год назад +6

    baada ya kutoa kipaza sauti ruby nimemsikia akisema zuchu na dimond kama na we umesikia gonga like twende sawa😂😂😂😂

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 Год назад +4

    Ruby mwanamke mwenye kujiewa sana nimependa

  • @EsterKilasi-o5e
    @EsterKilasi-o5e Год назад +4

    Kusah kapoteza mtu talented san

  • @NatalieNzeyimana-fg8mg
    @NatalieNzeyimana-fg8mg Год назад +1

    Aise nakupenda kuanzia leo na kuanzia leo I am you biggest fan🙌🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Год назад +5

    Ruby mzuri sana kwa kweli,

  • @frankbarnabaclassic1996
    @frankbarnabaclassic1996 Год назад +5

    Actually Nimependa hii Interview 💕

  • @figo4g
    @figo4g Год назад +4

    Much love❤ u Rubby 🎉

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 Год назад +3

    Endelea kuwa halisi Rubby usipindishe mama ipo siko wataelewa ❤

  • @zainabbaamir721
    @zainabbaamir721 Год назад +1

    Du nimpenda bule c muongo utafika mbali sana

  • @rahmalovelymakeup-xy1qp
    @rahmalovelymakeup-xy1qp Год назад +2

    Ruby Ruby ❤🎉😂

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Год назад +3

    Mashallah ❤

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr Год назад

    Mungu akubariki nakupenda sana bint from ughaibuni

  • @MathewMbavu
    @MathewMbavu Год назад

    Aiseee,mama allya wewe big up so Kwa kuongea hukoooooo

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 Год назад +4

    Ongera Ru by nyimbo nzuri

  • @zainabbaamir721
    @zainabbaamir721 Год назад

    Yaan iyo saut mashallah ❤❤❤

  • @NasraHassan-d5c
    @NasraHassan-d5c Год назад

    Masha Allah ruby

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 Год назад +2

    Wakati wa Mungu Upo karibu sana.

  • @esthermunihire6688
    @esthermunihire6688 Год назад +1

    Je te dis petite Rubby dans la vie, tu dois être sûre de toi même, chose grave tu ne pas sûre de toi même alors sois calme je sais tu aimes encore kusa mais chose grave tu n'as pas l'audence de venir devant lui a cause de Aunty elle est trop jolie plus que toi dada kubali tuuuuuu

  • @zuu114
    @zuu114 Год назад +3

    Lubi umenifanya leo nikupende kuliko wasaniii wakike wote tanzania❤

  • @wardawarda6535
    @wardawarda6535 Год назад +13

    Nyie Nani kamsikia Ruby akisema Nandy alitoka na Ruge ,Zuhura na Mondi ndo maana wamefika mbali ila Ruby mmbea huyu 😄 🤣 😂 haki kasogeza 🎤 pemben kwanza aseme umbea

  • @mauasumali-cm7gs
    @mauasumali-cm7gs Год назад

    Rubby ❤️❤️❤️

  • @GiaUk
    @GiaUk Год назад +4

    Ruby anajitambua sana. Acha watu wakuite kiburi but intelligent sana. Why ampigie aunty kuhusu mtoto. Maswali mengine bana. Her replies were on point 😅.

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Год назад +2

    Anaakili sn yakujibu maswali as wise women !

  • @Byme6434
    @Byme6434 Год назад +1

    Ruby Jamani Anafanana Sana Na Mama Anna Tibaijuka

  • @AbdullahKareem-i6n
    @AbdullahKareem-i6n Год назад

    Luv u ruby

  • @everlyne8595
    @everlyne8595 Год назад

    Ruby n mzur halaf aringi mtanga mwenzangu

  • @tynercolin5060
    @tynercolin5060 Год назад +1

    Interview nzuri sanaaa

  • @janemugoya1316
    @janemugoya1316 Год назад

    I think this guy know the value of rubi enjoy baby girl

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Год назад +15

    I like her anajibu kwa akili sana uyu dada

  • @upendomahenge3802
    @upendomahenge3802 Год назад +1

    kwani wasanii wa kike kama hawa wanajifichaga wapi/Ruby umetisha na unajuwa sana ipo siku utakuwa no one

  • @GladysIsiaho
    @GladysIsiaho Год назад +2

    Ruby ni dm nakupenda sana baada ya kuona hii interview yako uko role model for real

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 Год назад +2

    Wasafi wanafki sana

  • @didakalaule7840
    @didakalaule7840 Год назад +1

    Ila wapo wanaume/wanaake wanaopenda mapenzi ya ushirikina na hua yana isha vibaya sana

  • @MozaAlkhaif-dg9pk
    @MozaAlkhaif-dg9pk Год назад +6

    Anafigur zur

  • @navenkumar8549
    @navenkumar8549 Год назад

    Duuuh vizur sanaaa rub

  • @ChadiaChacha-u5i
    @ChadiaChacha-u5i Год назад

    My Ruby wng❤❤❤Nakupendraaa

  • @ClaireHappy
    @ClaireHappy Год назад +3

    Mtihani sana huyu rubi Hana stara kupanick muda wote😢

  • @SamwelMalale-dj5jb
    @SamwelMalale-dj5jb Год назад

    Umetisha rubi

  • @MahenzoNzai
    @MahenzoNzai Год назад

    Uyu ruby anaongea ukweli wasanii wakike .
    .wengine wanachezewa haswaa tena hadharani😢😢😢😢

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Год назад +5

    God be with her

  • @johnfrancknzojibwami2779
    @johnfrancknzojibwami2779 Год назад

    Nime kupenda sn kwa msimamo wako mke mwenzang😢 endelea ivo mungu atakusimamai 🤲kwa hicho kidogo unapata kwa halali🙏🎉

  • @dianamdaku9802
    @dianamdaku9802 Год назад +2

    Juma kilanga chote komoo, Dida nawe umepoa km siyo wew😂😂 huyo ruby ni kama mzee kigogo TID😂😂

  • @joharyhaji-g8m
    @joharyhaji-g8m Год назад +1

    anamchafua mwenzie t anamaan kila akienda kwenye enterviw nkumusema mwenzie anamahan

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Год назад +8

    JUMA LEO UMEJUA KUNYOOSHWAAAA😂😂😂😂

  • @saburimpimbita2132
    @saburimpimbita2132 Год назад

    ❣❣❣

  • @zainabunahimananahimana9527
    @zainabunahimananahimana9527 Год назад

    Leo mumenifurahisha😊

  • @Betu8282
    @Betu8282 Год назад

    Nakupenda sana

  • @shyllahnekesa216
    @shyllahnekesa216 Год назад +2

    Ndio zile za Diamond kumla Zuchu

  • @elizabethwanjiku7831
    @elizabethwanjiku7831 Год назад

    Aunty Ezekiel ni mganga amekwamilia kusah mdogo wake na miaka minane

  • @maryjoseph-es8qw
    @maryjoseph-es8qw Год назад +3

    Tatizo karuby nikazuri alaf kana swaga ndo mana wanakatongoza😅😅 nani asopend vtu vzuri wafkir😂😂😂

  • @MwanaidiKatogota
    @MwanaidiKatogota Год назад +1

    Nampenda sana rubby ana sauti nzuri sana

  • @JoyceWazir
    @JoyceWazir Год назад +4

    Ruby unanivulug na majib yk yn wasaf mutakom kula chumaiko

  • @ashafatia
    @ashafatia Год назад

    Hakuna mweny Sauti nzuri kama Ruby Tanzania nzima

  • @bekatv1009
    @bekatv1009 Год назад +1

    Eti Wacha nieke mic pembeni...lips nazo zinasema zuchu na diamond

  • @HadijaShaidukongoti
    @HadijaShaidukongoti Год назад +1

    ❤❤❤❤

  • @rehmahamishamismkande4348
    @rehmahamishamismkande4348 Год назад +3

    Wakiachwa wanakuwa na midomo mirefu na kujishauwa kusifu vipya mwisho wa siku wanaachwa

  • @elysahussein5804
    @elysahussein5804 Год назад

    Nimempenda bure Ruby

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Год назад +3

    Rubi huyo anatitude kasoma na mdogo angu zuhura Yani yupo ivyoivyo tokea shule ya salma

  • @esterkimath1214
    @esterkimath1214 Год назад +1

    Mmmh niko na hofiäu na hizo mic kuchekiwa virus /corona Ruby kuwa makini

  • @taylorkasitu3819
    @taylorkasitu3819 11 месяцев назад

    ruby ukweli humuweka mtu huru ni vyema kumrudia mwenyezi MUNGU

  • @rahmaarrington9019
    @rahmaarrington9019 Год назад +3

    Sasa humtaki kwao ulienda kufanyaje ?? Saivi uzuwe ulienda kwao kwa kurogwa

  • @LilianNovatus
    @LilianNovatus Год назад +2

    Kiburi cha rubby kinanipa raha mm

  • @bibiejuma5094
    @bibiejuma5094 Год назад +1

    Ndio kama zuchu katakwa kimapenzi na Diamond ndio tunamsikia yupo juu

  • @edybreezy1212
    @edybreezy1212 Год назад +1

    😂😂😂😂ruby anajuwa kuongea bwana mpk kuimba

  • @CHIEF_WA_BUJONDE
    @CHIEF_WA_BUJONDE Год назад

    juma uyo aonge ukweli

  • @otesimuhidini2051
    @otesimuhidini2051 Год назад +4

    Rubby mrembo..Ana akili na unajua mziki

  • @AminaHamad-o1w
    @AminaHamad-o1w Год назад

    Juma kitambi iko oooooh

  • @IreneMwenda-nl2hu
    @IreneMwenda-nl2hu Год назад +2

    Edrisa ajui kucheza

  • @safian.9518
    @safian.9518 Год назад +1

    Wasoma lips tujuwaneeee alisema zuhura ana mondi nandy alikuwa na ruge😂😂😂😂😂

  • @zaynabmwanjovu1002
    @zaynabmwanjovu1002 Год назад +3

    Ruby wakumrudisha mjin ni Clouds tu walez wake..Apekeke Album hapo

  • @bahathmuro7145
    @bahathmuro7145 Год назад

    Kwenye jeuri, kiburi,
    My Sebastian una principle zako zinazofuata kanuni, taratibu, na sheria utasumbuka kama huyu mdada ballance tu hivyo vitu

  • @GRACEFELICIANKALUMUNA
    @GRACEFELICIANKALUMUNA 2 месяца назад

    Hata mm nipo na msimamo ka, yakwako rubi so achana na hao wanaokusema awana mbigu yakkpeleka

  • @JanuaryNombo-fd7cj
    @JanuaryNombo-fd7cj Год назад

    Mmmh

  • @SadaAhamadi
    @SadaAhamadi Год назад

    Ndio

  • @rasependopendo8096
    @rasependopendo8096 Год назад

  • @aminamangu
    @aminamangu Год назад +2

    We Ruby ni kiboko et nitoe maik Nand na ruge , Zuchu na mond

  • @sikudhanimohammad7692
    @sikudhanimohammad7692 Год назад

    Sikuona haja ya kuongelea mambo ya kulogwa hapo.

  • @abialusekelo-nr8kf
    @abialusekelo-nr8kf Год назад

    et shem anakitu atafika mbali🤣ila Dida

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc Год назад +3

    Ruby jamani fanya collabo na zuchu!!!!!

  • @ellyitete938
    @ellyitete938 Год назад

    Shida uliacha kumuimbia Mungu kanisan

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Год назад +1

    Kuvumbi leo 😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 Год назад

    Toka uko ulimwengu uko kwenye kikajani sio media utalaumu wengi

  • @WandigiMachandi
    @WandigiMachandi Год назад +1

    Namuona wandigi jamani huo ndio umwanamke

  • @farajabakari429
    @farajabakari429 Год назад +1

    wenye misimamo wote huonekana jeuri

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 Год назад

    Kisima kwelii😂😂😂