Lady Jaydee na Spicy wathibitisha kuwa wapenzi, waeleza walivyokutana

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии •

  • @esthernyokabikimiti8584
    @esthernyokabikimiti8584 8 лет назад +18

    weeeee mapenzi matamu. . l wish you the best.

  • @yonasangitho4485
    @yonasangitho4485 7 лет назад +3

    mko vizuri halaf we jd we mjanja ww noma Sana..!!

  • @salmaanathalie1218
    @salmaanathalie1218 8 лет назад +8

    Judith Jayde mungu akupe maisha marefu 💕 Ma cherie

  • @papafikiri
    @papafikiri 8 лет назад +11

    this guy looks perfect and cool for lady Jay Dee Mbibo...kila la heri

  • @ashamohammedashamohammed7401
    @ashamohammedashamohammed7401 8 лет назад +23

    nimefirahi sana, Yaani ninampendaje huyu jide

  • @wacundirangu1661
    @wacundirangu1661 8 лет назад +26

    Hawa wawili watakwenda mbali.
    Mark my words
    Nawatakia kila la Kheri #JideSpicy

    • @deboravicent3354
      @deboravicent3354 6 лет назад

      Wacu Ndirangu when you said wataenda mbali mark my word ni kama vile your Kikuyu coz that is always what they say about people who works hard

  • @ziporakamili9152
    @ziporakamili9152 8 лет назад +8

    That's so cute Jide I'm happy for you

  • @winfridaw.mwashala289
    @winfridaw.mwashala289 6 лет назад +2

    sio mpenzi wa muziki wa jide, but i know her as a strong artist, sad to know she divorced, but now happy to know she is happy, with this person who sound as a honest soul, my prayers is you go far into this, love you jide from far, tanzanian lady oversees

  • @metalcombat4470
    @metalcombat4470 8 лет назад +5

    You really belong together...and don't you dare lose her, Spice! Big up Jide! I love your music.. I love you.

  • @triphosarohho9251
    @triphosarohho9251 7 лет назад +3

    Hongera Lady J kwakuwa na mpenzi wa nje Tz wengi magumashi

  • @salmazena1932
    @salmazena1932 8 лет назад +7

    mungu awalindie mapenzi yenu inshaallaah

  • @jeannemanirambona293
    @jeannemanirambona293 4 года назад

    Nawapenda san nyinyi wawili mungu awabalikie

  • @latifaayoub5750
    @latifaayoub5750 7 лет назад +47

    Kama umependa hii Couple gonga like👍👍👍

    • @zainabuhussein7286
      @zainabuhussein7286 6 лет назад +1

      Latifa Ayoub yeeeeesss

    • @sharonmutua2515
      @sharonmutua2515 6 лет назад +1

      Latifa Ayoub dem anakaa kuwa mzee

    • @medyally9644
      @medyally9644 5 лет назад +1

      Mnapendezea san hongera dada yangu nawaombea katika mahusiano yenu sigombane walakutengana mungu awongoze kwenye kazi zenu @_

  • @allykita2444
    @allykita2444 8 лет назад +9

    mi lady jaydee nampenda sana ila nna wasiwasi na huyu brother man asije akamchezea tu halafu akambwaga...

  • @kakakuona57
    @kakakuona57 Год назад

    Napenda kufanya nyimbo na spice,itakuwa Kali sana,naomba lady jde,anipe ruhusa nifanye kitu na bro

  • @neemalule5155
    @neemalule5155 8 лет назад +11

    jaydee kwa hapo umechagua na atakufaa xn kamatia

  • @hechihechie5558
    @hechihechie5558 8 лет назад

    Waooo mdada hongereni sana.Mungu awalinde nawaombea sana sana

  • @maryamkokani4683
    @maryamkokani4683 8 лет назад +29

    beautiful Couple of the year....God bless you....spicy eyes Really kills.hahahaaa

    • @salmazena1932
      @salmazena1932 8 лет назад +3

      mariam lizz umeonaeeeh macho dodooooooo

    • @rubbymusa1971
      @rubbymusa1971 8 лет назад +1

      shemela ametulia jicho sasa ha a ha hongera Jide mungu awatangulie

    • @queenmaa7892
      @queenmaa7892 7 лет назад +2

      hhhhh macho yamalizaa

    • @maryamkokani4683
      @maryamkokani4683 7 лет назад

      Salma Zena anakodoa kodo anakoa macho kodo.hahahaaa

    • @grycgpelitah4175
      @grycgpelitah4175 7 лет назад

      mariam lizz damn hehe umeona hio kumbe pia umeona pia kucheka damn dis dude is damn hawt lov him sanaa

  • @sakinandoile4758
    @sakinandoile4758 8 лет назад +7

    Enjoy your love an sahau maumivu

  • @WannaKnow
    @WannaKnow 7 лет назад +10

    Subscribe hapa kama umewapenda hawa❤❤❤❤❤

  • @Just_Florence
    @Just_Florence 8 лет назад +9

    Am loving this couple, spicy keep jay dee well for US

  • @felizwanzagi8465
    @felizwanzagi8465 8 лет назад +1

    Hongera dada....karibu New York.

  • @mariamukelvin7517
    @mariamukelvin7517 8 лет назад +7

    Umepata mwanaume mnzur

  • @hildaeddy9568
    @hildaeddy9568 8 лет назад +6

    I have fallen for the interviewer, I liked the techniques he used as the interviewees were comfortable and told us what we wanted to know. Kudos to whoever did this, you taught me something

  • @ruthkileo1286
    @ruthkileo1286 8 лет назад +7

    ukipata anaekupenda shikilia

  • @abodetidings8392
    @abodetidings8392 2 года назад +1

    cant believe what i saw here so surprisingly amazing

  • @seifmohamedseif9384
    @seifmohamedseif9384 7 лет назад

    wimbo mzuri mliotoa pamoja mzuri sana sana hongera ila na mtazamo mwingine jiandae kulia soon machoni anaonekan msani tu mpita njia tu ana jambo kaona ata make toka kwako na atapata mengi kupitia kwako na atakucha kwenye mataa

  • @jumapoolcrew5419
    @jumapoolcrew5419 8 лет назад +6

    Mungu awalinde

  • @yussraloveyussralove2941
    @yussraloveyussralove2941 8 лет назад +3

    jmn dada mungu akutunzeee nashemela wetu yuko poa

  • @esthermensah3484
    @esthermensah3484 6 лет назад

    Napenda lady jay dee uuhhuuu tena sana from Swiss

  • @oscarnicodemas246
    @oscarnicodemas246 8 лет назад +1

    Am happy 4 u jide....Mungu awatunze

  • @benthomasy8469
    @benthomasy8469 4 года назад +1

    Sasa dad jd mm nimekubali wewe kubaki na huyo jamaa ila naomba anko

  • @shangijoseph2552
    @shangijoseph2552 7 лет назад +5

    i like your eyes 👀 spicy, so nice.....!! mwaaaaaa!!

  • @kinglance6365
    @kinglance6365 5 лет назад +1

    Daaah dada yetu alikuwa na furaha sana wakati yupo na jamaa duuuh kweli mapenzi magumu

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 8 лет назад +2

    I love you two together...

  • @lloveyoutanzania5315
    @lloveyoutanzania5315 3 года назад

    Mwamba handsome kweli kweli

  • @nanceaidan6622
    @nanceaidan6622 5 лет назад +2

    Kaka HB mpk raha

  • @najmaameia.k.a3315
    @najmaameia.k.a3315 8 лет назад

    mmependeza Sana jmn hongera Sana dada

  • @familylove5417
    @familylove5417 8 лет назад +4

    Ila mpopo mzuri htari

  • @Sabrina-kn2th
    @Sabrina-kn2th 8 лет назад +4

    She deserves happyness

  • @salmadalaquimane5303
    @salmadalaquimane5303 6 лет назад +1

    Jaman nampenda huyu kka

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 8 лет назад

    oooh the guy is dope😍😍😍....he seems cool....jaydee all de best.....

  • @rehemamziray3618
    @rehemamziray3618 8 лет назад +2

    hongereni sana

  • @tawoostanzania9602
    @tawoostanzania9602 5 лет назад +1

    Nice couple

  • @vistorinandashitilanailong7889
    @vistorinandashitilanailong7889 4 года назад +1

    Damn this guy got nice eye...

  • @beatricegideon1253
    @beatricegideon1253 8 лет назад +2

    nawapenda had nahic kudata

  • @strongnana2226
    @strongnana2226 7 лет назад

    congrats sana..👏👏mwapedeza sana

  • @lightsonnjau2910
    @lightsonnjau2910 7 лет назад

    hongerasana dada kwa maamuzi mazuri

  • @yakaramayaka1456
    @yakaramayaka1456 8 лет назад

    hongera lady Jay dee mmependeza

  • @kakakuona57
    @kakakuona57 Год назад

    Nawakubali sana Hawa watu

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 7 лет назад

    Jay dee, you deserved to get a gentleman. Your so respectful girl, i like your atitude.
    Hope and i pray for your happiness.xx

  • @MrKondela
    @MrKondela 7 лет назад +1

    safii dada jide I'm happy for y'all

  • @anamanoni1243
    @anamanoni1243 6 лет назад

    mungu awatangulie jaman 😘😘😘

  • @hongerakkachawasemewwkzbut4996
    @hongerakkachawasemewwkzbut4996 7 лет назад +2

    huyu kk mzuri daaar

  • @yasintaisaya6045
    @yasintaisaya6045 7 лет назад

    Wish you all the best my dada

  • @protegnesmuzigaba6398
    @protegnesmuzigaba6398 8 лет назад

    Nampendaga sana huyu mdada coz najifunza vitu vng kutoka kwake

  • @jocyalex7957
    @jocyalex7957 4 года назад

    Shemeji yetu ana macho mazuri

  • @mercyfaith298
    @mercyfaith298 4 года назад

    Jamani hawa alienda wapi...

  • @happylove3823
    @happylove3823 6 лет назад

    You guys belong together u r perfect together

  • @Dee-mb9jn
    @Dee-mb9jn 7 лет назад

    This guy is cute oooh...nice couple

  • @dorkasedmund4962
    @dorkasedmund4962 4 года назад +1

    Love u spicy

  • @bienamapanje8108
    @bienamapanje8108 7 лет назад

    nawapenda sana jomon

  • @janeadhiambo1345
    @janeadhiambo1345 8 лет назад +1

    u look gud together

  • @andreaselemani9503
    @andreaselemani9503 8 лет назад +2

    nice couple

  • @njeshkaris8957
    @njeshkaris8957 6 лет назад

    All the best Nice couple

  • @minmianzi
    @minmianzi 6 лет назад

    jide and spicy daaaamnnnn i real love you guys doooohhh

  • @augeniatemu4147
    @augeniatemu4147 7 лет назад

    All the best jamani nawapenda bureeeee

  • @nafesakhatibu5342
    @nafesakhatibu5342 8 лет назад +1

    Its beautifully💏

  • @goodluckjikalilejikalile9382
    @goodluckjikalilejikalile9382 7 лет назад +4

    lady jde wewe ni mkubwa....shujaa....ndindindi

  • @nelmisana919
    @nelmisana919 8 лет назад

    99% perfect bro..bt plz nunua zile mic ndogo za interview itakua 100% thanks.

  • @joyceabdallah465
    @joyceabdallah465 8 лет назад +1

    Mungu awatunze

  • @ceciliaclophace6286
    @ceciliaclophace6286 8 лет назад

    spicy take care of lady jay dee coz she deserves 2 be happy

  • @amadeusmrope4953
    @amadeusmrope4953 8 лет назад +3

    good

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 8 лет назад +3

    Mambo vipi Tanzania? karibuni mtembelee channel yangu Inayoitwa Maisha Ya Ughaibuni....je ungependa kujua Mapenzi ya Mwafrika na Mzungu yakoje basi nimekuletea story hii tamu kabisa na utasimuliwa na mimi mwenyewe mhusika...

    • @jackmuro7744
      @jackmuro7744 7 лет назад

      Victoria David nakuona mama kitumbua

  • @anzalhanchi9095
    @anzalhanchi9095 7 лет назад +2

    Hs english s much better than nigeria english

  • @verahurden2482
    @verahurden2482 7 лет назад

    U deserve each other guys😍😍

  • @anthonysadiki4465
    @anthonysadiki4465 6 лет назад +1

    ninacho ogopa jamaa hondsome sana nilahisi kushawishiwa na mwingine

    • @mariammariam6307
      @mariammariam6307 5 лет назад

      Anthony Sadiki macho tu yananichanganya awe makini jide

    • @jocyalex7957
      @jocyalex7957 4 года назад

      Ha macho midomo mizuri duu bonge LA mwanaume aise

  • @magdalenaraymondmuya3512
    @magdalenaraymondmuya3512 8 лет назад

    Cha msingi Jay dee jitahidi usibadilibadili wapenzi. Try to make last longer for life

    • @boniphasmvungi9807
      @boniphasmvungi9807 6 лет назад

      MAGDALENA RAYMOND MUYA yeye hana shida wenyeshida ni ngosha

  • @hellenrussrusss6765
    @hellenrussrusss6765 7 лет назад

    mungu akuongoze mama

  • @getrudamwalongo4150
    @getrudamwalongo4150 7 лет назад

    God bless you alot!

  • @fauziakassim323
    @fauziakassim323 5 лет назад +1

    Huyu bwana nnamshuku asije akamuaribia mwezake

  • @salmazena1932
    @salmazena1932 8 лет назад

    mungu awalindie Mpenzi wenu

  • @corethasanga107
    @corethasanga107 8 лет назад

    Hongera

  • @yudadaniel4867
    @yudadaniel4867 5 лет назад +1

    hii couple imefia wapi tena?

    • @florencerose859
      @florencerose859 4 года назад

      Hata Mimi nawatafuta walete collabo nyingine

  • @silvanominchi8067
    @silvanominchi8067 8 лет назад

    hongera dadaa

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 8 лет назад +1

    hongera

  • @roseirungo1950
    @roseirungo1950 7 лет назад

    I wish both of you happy married💑 no matter what,,,😏 Lady Jay forget about pitty life that you past through ad move on💃💃💃👣👣 God is a bove all🙏🙏

  • @happinessjulius3642
    @happinessjulius3642 8 лет назад

    May God guide your ways...

  • @sabrinaali8810
    @sabrinaali8810 7 лет назад

    nakupenda sana sister

  • @salmasaid6220
    @salmasaid6220 8 лет назад +1

    mungu awatangulie

    • @halimasali.8081
      @halimasali.8081 8 лет назад +1

      Salma Said kabsaa Gadner amemuonyesha madharau sanaa jide jilie kwa raha zakooo

  • @cabardieclassicboy5707
    @cabardieclassicboy5707 7 лет назад

    Very nice jide & spicy

  • @uwamahoroemanneul4527
    @uwamahoroemanneul4527 6 лет назад +1

    Mumewake led muzuli maco nimeapenda

  • @enemamgogoikopowasanatu9750
    @enemamgogoikopowasanatu9750 8 лет назад

    mungu awena nyinyi mpaka molele

  • @julianaconradi5106
    @julianaconradi5106 6 лет назад

    Excellent 😍

  • @jamesmgimba7403
    @jamesmgimba7403 4 года назад

    Wa Nigeria sio wakujioendekeza pendekeza kwao,wanaweza wakakufanya punda faster na ukaanza kubebeshwa mapowder

  • @beatricekihehe9879
    @beatricekihehe9879 8 лет назад

    hongereni.

  • @reginanyanda2653
    @reginanyanda2653 7 лет назад

    nawapenda nyie wawili

  • @lovenesyngulo976
    @lovenesyngulo976 4 года назад +1

    Kaka mzuli kuliko jide

  • @salmadalaquimane5303
    @salmadalaquimane5303 6 лет назад +1

    Una kila k2 kizur

  • @heshima9
    @heshima9 7 лет назад

    Be carefully Jaydee,matapeli ni wengi.