*Balahau musilaumu serikali bure maana taarifa za upepo zilitolewa mapemaa sana marahii ila mukaleta ukaidi wetu wa mazin'ombe na micheweni hivo musitafute sababu kikubwa mushukuru Allah kwakuwa muko salama*
Saa nyingine tunaweza kulaum serikali au watu bure. Taarifa za kimbunga zimetolewa wiki moja kabla. Vyombo vyotel vya habari vimeekeza kimbunga Hidaya Hadi muda, kinaanzia wapi, kinaelekeanwapi. Meli zilisimama. Wewe ukaweka pamba madikioni Leo unalaumu.
Mwalimu Hamad mbona husikilizi mamlaka ya hali ya hewa wasemavyo. Acheni ubishi wakati mwengine.........., hata meli zilizuiwa itakuwa nyie mtumiao majahazi?
Poleni sana
Poleni sana ndugu Allah awalinde hili na jengine
Poleni kwanza ila si muliambiwa kuhusu hali ya hewa ila tatizo ubishi kisha mulaumu serikali.
*Balahau musilaumu serikali bure maana taarifa za upepo zilitolewa mapemaa sana marahii ila mukaleta ukaidi wetu wa mazin'ombe na micheweni hivo musitafute sababu kikubwa mushukuru Allah kwakuwa muko salama*
Acheni kuilaumu serekal ajali haisababishwi na serekal,
Pia mnakua wakaid sana mamlak Hali ya hewa wanatoa tahadhari ila ukaid ni mwngi