- Видео 2 468
- Просмотров 1 646 508
MD Online TV
Танзания
Добавлен 27 окт 2021
Karibu katila Channel yetu ya MD TV (MDTvznz) Habarika Kidijitali. Channel ambayo inafanya shughuli zake kwa kufuata taratibu zilizopangwa
Tafadhali tunaomba sana uwepo wako katika kufuatilia Channel hii ili iweze kuendelea, nikuombe uendelee ku like, ku comments na ku share content zote zile ambazo zitakuvutia.
Kwa mawasiliano tafadhali tumia namba hii +255715962558

Dereva wa Lori aliyegonga na Kuua Watu asakwa na Polisi Tanga
#Polisi #Tanga watoa Tamko Kumsaka Dereva wa Lori aliyegonga na Kuua Watu
Просмотров: 50
Видео
Kocha Moroco aongea Kiufundi Ushindi wa Zanzibar Heroes dhidi ya Burkina Faso
Просмотров 3,7 тыс.18 часов назад
#Mapinduzi Cup #zanzibarbeach #zanzibar #news
Waziri Tabia akabidhi Mamilioni kwa Zanzibar Heroes #mapinduzicup
Просмотров 6 тыс.18 часов назад
#Mapinduzi Cup #zanzibarbeach #zanzibar #news
Maneno ya Fei Toto baada ya kuwakanda Burkina Faso Mapinduzi Cup
Просмотров 6 тыс.18 часов назад
Maneno ya #Fei Toto baada ya Kuwakanga #Burkina Faso #Mapinduzi Cup #zanzibarbeach #zanzibar #news
Mbwa Vita wa #JwTz ni balaa, aushangaza Umati wa watu
Просмотров 2552 часа назад
HAKIKISHA UME SUBSCRIBE CHANNEL YETU .............................................................................. #news #MDtvznz #Micheweni_Digital_Tv .............................................................................. Tembelea Blog yetu michewenidigitaltv.blogspot.com/ .............................................................................. Email: michewenidigital255@gmail.c...
Nondo za RC Kitwana baada ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 61 ya Mapinduzi
Просмотров 3342 часа назад
#RCKitwana afurahishwa na Ushiriniano ya Viongozi na Wananchi kwenye Kilele cha #Mapinduzi61 HAKIKISHA UME SUBSCRIBE CHANNEL YETU .............................................................................. #news #MDtvznz #Micheweni_Digital_Tv .............................................................................. Tembelea Blog yetu michewenidigitaltv.blogspot.com/ .......................
DC CHAKE CHAKE atoa Heko kwa Wananchi Kilele Siku ya Mapinduzi
Просмотров 2812 часа назад
HAKIKISHA UME SUBSCRIBE CHANNEL YETU #mapinduzi #sherehezamapinduzi .............................................................................. #news #MDtvznz #Micheweni_Digital_Tv .............................................................................. Tembelea Blog yetu michewenidigitaltv.blogspot.com/ .............................................................................. Ema...
SHUHUDIA RAIS MWINYI AKIWASILI NA KUPIGIWA MIZINGA 21 KWENYE KILELE CHA MIAKA 61
Просмотров 1 тыс.4 часа назад
#mapinduzi #sherehezamapinduzi
USIKU WA FASHI FASHI CHAKE CHAKE
Просмотров 3274 часа назад
HAKIKISHA UME SUBSCRIBE CHANNEL YETU .............................................................................. #news #MDtvznz #Micheweni_Digital_Tv .............................................................................. Tembelea Blog yetu michewenidigitaltv.blogspot.com/ .............................................................................. Email: michewenidigital255@gmail.c...
Chake Chake Fash Fash za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Просмотров 6844 часа назад
Chake Chake Fash Fash za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais Mwinyi aongoza Kikao Kizito akiwa Pemba, Yumo Makamu wa Kwanza na Wapili
Просмотров 1,5 тыс.7 часов назад
Kikao kizito Chafanyika Pemba kikiongozwa ni Rais Mwinyi
Chande awaacha hoi Naibu Waziri Mkuu na CGI kwa Uchezaji wake wa Ngoma ya Asili Pemba
Просмотров 1,7 тыс.7 часов назад
Naibu Waziri Mkuu Dkt #Biteko, #CGI wamshangaa #Naibu Waziri wa #Fedha kwa Uchezaji wa Ngoma ya Asili HAKIKISHA UME SUBSCRIBE CHANNEL YETU .............................................................................. #news #MDtvznz #Micheweni_Digital_Tv .............................................................................. Tembelea Blog yetu michewenidigitaltv.blogspot.com/ ..............
Waziri wa Mambo ya Ndani aimwagia Sifa Uhamiaji kwa Huduma Bora
Просмотров 4927 часов назад
HAKIKISHA UME SUBSCRIBE CHANNEL YETU .............................................................................. #news #MDtvznz #Micheweni_Digital_Tv #uhamiaji #mapinduzicup .............................................................................. Tembelea Blog yetu michewenidigitaltv.blogspot.com/ .............................................................................. Email: mic...
Mkasi wa Rais Mwinyi Wafika Ole Chake Chake Pemba
Просмотров 5839 часов назад
HAKIKISHA UME SUBSCRIBE CHANNEL YETU .............................................................................. #news #MDtvznz #Micheweni_Digital_Tv .............................................................................. Tembelea Blog yetu michewenidigitaltv.blogspot.com/ .............................................................................. Email: michewenidigital255@gmail.c...
Rais Mwinyi ajumuika na Waislam Kisiwani Pemba
Просмотров 1779 часов назад
HAKIKISHA UME SUBSCRIBE CHANNEL YETU .............................................................................. #news #MDtvznz #Micheweni_Digital_Tv .............................................................................. Tembelea Blog yetu michewenidigitaltv.blogspot.com/ .............................................................................. Email: michewenidigital255@gmail.c...
Mkasi wa Rais Mwinyi wafanya kazi Pemba, azidi kufungua Miradi kuipaisha Pemba Kiuchumi
Просмотров 3839 часов назад
Mkasi wa Rais Mwinyi wafanya kazi Pemba, azidi kufungua Miradi kuipaisha Pemba Kiuchumi
Naibu Waziri wa Fedha - Chande awataka NMB Wafike Micheweni Kufungua Tawi
Просмотров 2299 часов назад
Naibu Waziri wa Fedha - Chande awataka NMB Wafike Micheweni Kufungua Tawi
MNEC KUSINI PEMBA NADRA GULAM AWASHIKA MKONO UWT #MDtvznz
Просмотров 21512 часов назад
MNEC KUSINI PEMBA NADRA GULAM AWASHIKA MKONO UWT #MDtvznz
Viongozi Wajaa Kojani Rais Mwinyi afungua Skuli Mpya ya Ghorofa
Просмотров 1,6 тыс.12 часов назад
Viongozi Wajaa Kojani Rais Mwinyi afungua Skuli Mpya ya Ghorofa
RAIS MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI UWANJA WA GOMBANI PEMBA
Просмотров 46212 часов назад
RAIS MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI UWANJA WA GOMBANI PEMBA
Yusra amshangaza Rais Samia kwa Mashairi yake
Просмотров 61114 часов назад
Yusra amshangaza Rais Samia kwa Mashairi yake
Rais Samia amwaga sifa mradi wa Hotel Bawe Island
Просмотров 8514 часов назад
Rais Samia amwaga sifa mradi wa Hotel Bawe Island
Rais Samia ashangazwa na Harusi za Zanzibar kama Ulaya “Hakuna Maskini……..
Просмотров 34816 часов назад
Rais Samia ashangazwa na Harusi za Zanzibar kama Ulaya “Hakuna Maskini……..
Wakulima wa Kangagani wanakwenda Kunufaika - RC Kaskazini Pemba
Просмотров 50416 часов назад
Wakulima wa Kangagani wanakwenda Kunufaika - RC Kaskazini Pemba
Dkt. Mwinyi Katuunganisha Zanzibar - RC Kusini Pemba
Просмотров 18916 часов назад
Dkt. Mwinyi Katuunganisha Zanzibar - RC Kusini Pemba
SMZ itaendelea kujenga Maghala ya Kuhifadhia Chakula - Waziri Tabia
Просмотров 21516 часов назад
SMZ itaendelea kujenga Maghala ya Kuhifadhia Chakula - Waziri Tabia
Mapinduzi Cup: Burkina Faso wawakalisha Zanzibar Heroes
Просмотров 6116 часов назад
Mapinduzi Cup: Burkina Faso wawakalisha Zanzibar Heroes
Waziri Riziki Pembe awaasa Kojani kuithamini Lulu walionayo
Просмотров 20016 часов назад
Waziri Riziki Pembe awaasa Kojani kuithamini Lulu walionayo
Mbunge wa Kojani amefanya Makubwa Jimboni - Mhe Maida
Просмотров 14616 часов назад
Mbunge wa Kojani amefanya Makubwa Jimboni - Mhe Maida
5+2 saba😂😂
Zanzibar ni nchi kabla hata Ya Tanzania kuwepo haya watoto wadogo wanajuwa
Hongereni sana na mubarikiwe na Mungu kwa kutuondolea aibu Watanzania.
5+2 itakua 7
Tano + Mbili = 10 dahh
Africa Mashariki Zanzibar inatambulika kama Nchi .... Maana hata CECAFA Zanzibar ushiriki kama nchi ila kimataifa Zanzibar ni mkoa muongoni mwa mikoa 28 iliyo tengeneneza nchi ya Tanzania..... Sa hz Kauli ya Feitoto ipo sa hz ila baada ya hayo mashindano akiongea hvyo kauli yake ni bathil...... NB:Zanzibar ushiriki mashindano mawili tu kama nchi Mapenduzi cup na CECAFA ......
Hivi Zanzibar nayo ni nchi au sijamuelewa vizuri FEISAL 😳
Sio nchi ni sura yako tuu hii ipoo tuu watu wanaishi ndani na kuanzisha sheria zao
Ni kinu sio mchi
Waislamu tusome historia kama huna muda basi japo sikiliza wana history , Zanzibar ni nchi kamili, ila ni wivu na chuki dhidi ya waislamu na Uislamu, ndio leo imefikishwa hapo . Msikilize sheikh Ilunga Hassan au Mzee Bilal waikela, au kanunue kitabu kwa jina la Kwaheri Ukoloni kwaheri uhuru cha Dr Harith Ghasan.
kifimbo
@@salimkhamis9406 😆
Bravo❤❤
Good
hmn kitu apo
❤
Munaharibu tamaduni za pemba wamestaarabika nyie mnaharibu
Astahafiru Allah
Safi sana home sweet home.
😂😂 Mh. Hamad Chande mwanao nakupongeza uzidi kufanya vyema kwenye majukumu yako. Mungu akuongoze kwa hekma na huruma katika kuwatumikia wananchi. hakika unafanya vizuri.
Weweeeee
Good job 😊
Dah ndugu zetu walau kidogo watazamika mwinyi oyeee Mwinyi 5 again 👍
Barabara ya Mkoani
🎉SAFI SAMA
Kumbe upo??
mama hakuna kama wewe duniani
Mashaallah nimefurah kuiyona kangagan yetu nimekumbuka mbali na mengi nimeishi kangagan miaka 2 na nimesoma gangagan miaka 2 naijuwa vzr kangagan
Kazi mzuri ila kwa vile wametoa km sadaka miti yao ilkuwa hiyo pesa ifanye kazi nyingine
Maashallah. Mitano tena. Ila Mr Rais katika Ahadi zako usisahau neno In shaa Allah!
Wamekaa kama macheli
Usitimie nafsi ya wingi wakati jopo kubwa lipo tofauti na wee
Yoyote ambae yupo tofauti na Rais huyo ni mpinga maendeleo
Ww hata ulete mabasi ya kutumia upepo sisi wazanzibar hatukutaki maana sio chaguo la wazanzibar
Chaguo letu ..... Miaka 5 Tena Dr Mwinyi in shaa allah
Ndugu mawazo yako ni pumba tupu, kama hutamki ni wewe na wapinga maendeleo wenzako. Mwinyi Oyeeeee Mitano tenaaas
Mitano tena. Sasa Mimi nimeamini kwamba yajayo yanafurahisha. Mitano tenaaa
@meekman1805 hatuwezi kumuunga mkono.maana hakuchaguliwa
@@نوفل-س5ر Si lazima mumuunge mkono, Kwa mfano huo ndugu yangu unafanana na Wakristo nao wanadai Muhammad hakuchagulia ndiomana hawamtaki.
Muda na ujenzi tofauti tofauti. Maswala ya ujenzi ni upewe muda mzuri,kwa kuwa kuna jambo ndio maana mnataka kufanya kwa haraka hiyo haipendezi. Munampa mtu presha kwa wakati mdogo wa ujenzi? Msifanye hivyo baadae ikaleta madhara.
Kazi nzr mashallah
usenge mtupu nchi haiongozwi nawashez ikawa namaendeleo
Ndio kuwapa kazi kw kujuwana nakuangalia huyu ni chama fulani ndio shida zk ndio hizo
Hana watendaji kaz hio yenda ni kubwa muda hautoshi hata wakeshe na usiku
Mm binafsi sio mkaguzi huo mrad lkn kw uzembe wa huo muliempatia dhamana kufanya ukarabati huo ni mtihañi kufikiwa maengo
Sina sababu ya msingi ya kuipenda ccm
Wacha ujinga hata shukurani hamna miaka yote nyie wapemba mlisahauliwa na marais wote waliopita mwinyi kaja na neema anaeafanyia mambo kibao kweli hata shukurani hamna wezi wa fazila
@@bongo39 we mjinga sana, sasa tusiseme au???
Huko pemba huaga wanapelekwa watu wajinga kusudi ili wafanye mambo vyoovyo pengine katoka unguja huyo
Apa umeongea Kwa matusi lakini ndio ukweli kiila kitu hakiendi sababu wasofaa huletwa huku
Wakandarasi wabovu ndo waletwa Pemba ila wale wenye uelewa hupelekwa unguja ...kwann mnatufanyia hivii mnatuonea kiukweli mnatuonea watoto hatuna hadhi cjui pia mnatuchukulijee Wapemba
Ndio adhari ya kuwapa wahuni kazi kwa kujuana
E
Mashaallah Allah akupe umri mref uendelee hiv hiv☺️☺️☺️
Wise you're ass up,kiongozi.maneno ya kijiweni hayo.
Ujumbe mzuri tu kwa wenye kujali na kuelewa.....
gombani ni kubwa sehem kubwa fanya km ilivyofanya unguja weka viwanja ya michezo vingi mazoez judo nk jenga pemba km unguja sio maneno tu
kwan kimebadilika nini apo kama pitch ilikuwepo kama rangi za majukwaa ilikuwepo kama vyuma vilikuwepo mm naona saiv anachojengwa mwinyi kwenye huo uwanja had apo unaongea ni kuotesha nguzo apo nje za kuweka paa la uwanja km wa amani
Acha unafiki.kama huoni.nenda ukaone live afu uje uongee huo.ujinga
HONGERA SANA DR SULEIMAN MAKAMO WA RAISI MSTAAFU.SERIKALI YA WANAFUNZI CHUO CHA AFYA 2010 HADI 2013. UMEFIKISHA UJUMBE KWA KUTUMIA MFUMO WA KINYUMBANI ULI UFAHAMIKE VIZURI KIMAWASILIANO. HONGERA SANA DR , ALLAH AKUPE AFYA NJEMA TUNUFAIKE ZAIDI NA NEEMA ZAKO. NI MIMI MUSSA GN LEADER 2010/2013.
Km hayo ndio maendeleo bc tanganyika ingalikua hkuna omba omba wala chokoraa wala panya rodi maana hayo yliopo znzb tanganyika yapo mara tatu yake😂😂😂 lkn bdo watu wna dhiki
Mhe uko busy unafungua majengo kila kukicha yakiwemo majengo ya Mahakama. Una khabari Kama Watu wanauliwa bila hatia? Hatua gani unachukuwa kukomesha ujahil huu? Hatujasikia Taasisi yoyote kukemea ushenzi huo unaoanza Kuota mizizi Visiwani mwetu. Si ofisi ya Mufti ( Wako bizi na vichupi ) si ZBC. Aibu. Alafu mnatangaza siku ya kuomba dua ya Amani ilhali Taasisi za Serikali ndio zinaongoza kuvunja Amani.
Goooooooood Pemba yetu
Uko tanga vipi kwani maendeleo hakuna mpaka yamekuvutia yahuku
Hakuna kilicho habilishwa nimarekebisho madogo tu
Acha Makasiriko kama unaona ni Marekebisho madogo subiri ukamilike ndo utaona
@@khatibabass3106Ukiona huna busara tafadhali usitume matusi
Huyu mjinga sana