ISRAEL yaishambulia IRAN! Ni Mkwara tu? Mchambuzi Ally Masubi aeleza kilichotokea

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 193

  • @mozasultan1676
    @mozasultan1676 Месяц назад +21

    Haya mambo yamekaa kama mchezo wa kitoto. Mtihani kweli allah atufanyie wepesi

  • @HashimOlomi
    @HashimOlomi Месяц назад +12

    Hongera Iran kwa kumuadhibu myaudi

  • @jamesmkanula4625
    @jamesmkanula4625 Месяц назад +9

    Asante kwa Taarifa ila Tangazo mwishoni kali sana

  • @justusngonyani165
    @justusngonyani165 Месяц назад +1

    Wayahudi kweli walimwua Yesu.Waarabu wanafurahia sana vigo vya wasio waislam

  • @shaabanyusufu2997
    @shaabanyusufu2997 Месяц назад +29

    Mayahudi wanapenda sana vita ndomana walitaka kumuua yesu na manabii wengi waliwaua

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 Месяц назад +2

      Kwa hiyo wana kuhusu nini kama siyo umbea, Israel ni taifa la Mungu kazi yao nikusambaratisha Magaidi na waabudu Majini

    • @calvinmbise9667
      @calvinmbise9667 Месяц назад +6

      Sio walitaka bali wao ndio waliomuua Yesu

    • @user-jf7is4fk2v
      @user-jf7is4fk2v Месяц назад +6

      hao ni israel koko

    • @abuujibriltv5233
      @abuujibriltv5233 Месяц назад +5

      ​@@calvinmbise9667wali muua mungu wako! Pole sana 😢

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj Месяц назад +4

      ​@@erickmsigala138taifa la shetani sio lamungu ww soma alafu soma yao hawamtambui yesu nabii wao wanao mtambua ni mussa soma wacha kuropokwa

  • @HashimOlomi
    @HashimOlomi Месяц назад +3

    Mm n timu irani

  • @JanjaThedj
    @JanjaThedj Месяц назад

    Daah mwenyezi mungu asaidie

  • @deusntobi6682
    @deusntobi6682 Месяц назад +10

    Hii itapelekea mzozo mkubwa xn na Tujiandae na kupanda kwa bei za mafuta

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Месяц назад

    👊✌👍.

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 Месяц назад +5

    Bei za mafuta zitapanda tena na ugumu wa maisha ndio utazidi.

    • @universalenergy8060
      @universalenergy8060 Месяц назад +3

      Siyo mafuta tu gold went up to $2417 this morning.Dollar ipo juu the dollar index is approaching 107.Bado shipping costs maana meli za Ulaya na America hazipiti tena ile route ya Iran zinazunguka mzunguko mrefu gharama zinapanda tu

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Месяц назад

      @@universalenergy8060
      Asante kwa kuni Update ndugu Yani nikilinganisha maisha kabla Ya 2020 na sasa kuna gep kubwa mno kiuchumi aise vyuma vimekazs hadi kutu imekuja

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv Месяц назад +10

    Ishallah iran ita win

  • @MuraniSalim
    @MuraniSalim Месяц назад +2

    Duuh mtihani 0:39

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 Месяц назад +6

    🇧🇮🇧🇮 1🙏🙏

  • @charlesassey5642
    @charlesassey5642 Месяц назад

    Mchambuzi hajui chochote na hajui kujieleza , tafuteni wachambuzi !!!

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Месяц назад +2

    Sasa hizi nchi za kimaskini zitapata shida kwa ajili ya ugomvi qa mataifa makubwa

  • @asmaalghafri449
    @asmaalghafri449 Месяц назад +1

    1:28

  • @user-uk6to4vw2w
    @user-uk6to4vw2w Месяц назад +1

    Jamani tusishangae haya yote yalitabiliwa kiama kimekaribia

  • @user-jf7is4fk2v
    @user-jf7is4fk2v Месяц назад +3

    si taifa la israel halisi ila hao israel koko

  • @user-ii6gs2jg4g
    @user-ii6gs2jg4g Месяц назад +4

    Iran keshajibu tayali ndugu yani mbwa Kala mbwa

  • @azizihfarijala5307
    @azizihfarijala5307 Месяц назад +4

    israel amelenga mitambo ya nuclear ya Iran ila bahati yao Iran walikuwa macho mifumo ya ulinzi ilifanya kazi ila mchambuzi ufanya tafiti sehemu zingine siyo vyombo vya magharib tu.

  • @arevolivenews6955
    @arevolivenews6955 Месяц назад

    Duh!

  • @joshuakasemelo1675
    @joshuakasemelo1675 Месяц назад

    Uchambuzi wa kishabiki mifumo yaulinzi wa anga la iran ilihalibiwa vibayasana iran wameogopa kuwatangazia wAnanchi wake maana watatakiwA nao kijibu,jambo ambalo irAn anaogopa

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 Месяц назад

    Wewe basdala utusikilizi sisis tuliopo eneo la tukio, unamsikiliza mchambuzi anayesoma magazeti😢😢😢

  • @ZubeirJuma-up7kb
    @ZubeirJuma-up7kb Месяц назад

    Hamna vita apo

  • @maniamba.tz_
    @maniamba.tz_ Месяц назад +1

    Iran ni lijidude likubwa

  • @user-wk9og5gi9v
    @user-wk9og5gi9v Месяц назад

    Huyo ni hamas?

  • @jumashedafa
    @jumashedafa Месяц назад +7

    Sio mikwara anapend kuingia ktk vita kamili na Iran ila anaogop na isitoshe ana vita vingin na Hamas hivy kujigawa pia anawaz itamuwia tabu

    • @alphoncembasa592
      @alphoncembasa592 Месяц назад +1

      Islael haijawahi kushindwa fuatilia historia na hata kama wakifa huwa hawakati tamaa

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Месяц назад +1

      ​@@alphoncembasa592Israel bila washirika wake hawezi vita.
      Mfumo wake wa kuzuia mabom unatoka America, sasa vip bila America Israel ataweza?

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni Месяц назад +1

      Nchi zinazo weza kupigana bila kusaidiwa ni Marekani na urussi tuu hao wote lazima wasaidiwe .

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Месяц назад

      @@FredMwamgogwa-td6ni
      Marekani hawezi pekee bila kusaidizana na nchi za ulaya na bara la amerikan.

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni Месяц назад +1

      @@RamadanPaul vita ni uchumi

  • @mussaisaac
    @mussaisaac Месяц назад

    Ujuaji mwingi.

  • @user-ct9fb5or2n
    @user-ct9fb5or2n Месяц назад

    KIFO Cha yesu kimeleta WOKOVU duniani na hata mitume kufa kwao Ni kutimiza maandiko

  • @alphoncembasa592
    @alphoncembasa592 Месяц назад

    Wewe ndio umenena kweli

  • @user-nk4oq4ek9y
    @user-nk4oq4ek9y Месяц назад

    Iwe vile itakuwa tu kwani iyo Israel ndo kina nani

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 Месяц назад

    Utoto huo kma mnasuburia kisasi suburini

  • @user-sd5hj2im4q
    @user-sd5hj2im4q Месяц назад +1

    Israel ni rahisi sna kupigwa lkn kinachompa kiburi ni nchi za magharibi zinampa kiburi

  • @babuuosama8752
    @babuuosama8752 Месяц назад

    Walimwengu Wengi duniani hawatambui ukweli kuhusu wa Israeli Ukweli ni huu Waisraeli wengi soi zionists yani wazayuni ni wachache wakishirikiana na settlers yani wavamizi wa ardhi za wa Palestina . Waisraeli wengi wanapinga serah za zionists natinyahu. Wanataka waishi na wapalestina kwa amani kwa kutambuwa nchi mbilli majirani . Lakin Afriti America British and France wachochezi wa huwasama duniani hawataki wapalestina kujitawala wenyewe .

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 Месяц назад

    Wote wana nuclear weapons
    Hivyo hakuna wa kumuogopa mwenzake

  • @user-mh9hj3lx7q
    @user-mh9hj3lx7q Месяц назад

    Wewe ni shabiki

  • @papaamasauti1973
    @papaamasauti1973 Месяц назад

    IRAN vs ISRAEL ni war game

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm Месяц назад

    Nyie wanafiki wakati mwengine kila mmoja mnasema hamna madhala hamna madhara bro una ushabiki kwa irani nimekuona. islaeli aliaza kuua viongozi nayeye ndio alie maliza irani kaua nini islaeli nyie wanafi islaeli mshindi Ata ilani kashambulia hamna madhala

  • @minanifreddy6969
    @minanifreddy6969 Месяц назад +2

    Wachambuzi wa sns wanachambua na wamekaa kidini haaaaa

  • @ahmedabry293
    @ahmedabry293 Месяц назад +1

    Iran inasema "hakujakuwa na shambulio la anga huko Isfahan au sehemu zingine za nchi. Israeli ilifanya tu jaribio lisilofanikiwa na la kufedhehesha la kuruka quadcopter, na zote ziliangushwa."

  • @user-mh9hj3lx7q
    @user-mh9hj3lx7q Месяц назад

    Wewe hacha uongo

  • @nicolausminja689
    @nicolausminja689 Месяц назад

    Hapo wanataka Iran abweteke wakizani kwamba Israeli kashalipiza kisasi chake. alafu watamtokea kama mwizi atokeapo bila kutarajia.maana siamini kwamba eti hizo ndio hatua kali walizodai watachukua dhidi ya Iran.🤔

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni Месяц назад

    Israel jeuri sana wale jamaa iran hamna kitu wanafanya jamaa wasijue wameua makanda kibao sijui wataalam wa nyuklia kibao kila siku wanadukua mitambo ya iran jamaa wanawatu wenye maarifa sana mungu kawabariki kwa hilo.

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Месяц назад

    Israel kalpua airport

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm Месяц назад

    Islaeli na yeye ana nyukilia mbona ilani hajashambulia

  • @user-el3me9vj4i
    @user-el3me9vj4i Месяц назад

    Uwe muazi Israel ameshindwa mbinu kwa Irani

  • @user-ii3bn4en8e
    @user-ii3bn4en8e Месяц назад +2

    Ujue Irani akiipiga iziraili marekani lazima atakaa pemben amuachie mswala pekeake km alivo muachiA zelenski mpaka leo anapigwa na urusi

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 Месяц назад

      Hakuna vita Israel ukiwa na nuke uguswi

    • @Rey_D669
      @Rey_D669 Месяц назад

      Kweli jamaa asahvi anapigwa sana sjui kwanini hasaidiwi au ndo wanamuogopa huyo mjamaaa

  • @user-ji1mq4sk1n
    @user-ji1mq4sk1n Месяц назад

    Acheni uwongo hamna uhakika mnaropoka

  • @user-to7bs5pl4n
    @user-to7bs5pl4n Месяц назад

    WAPERESTINA NDIO WANAPENDA VITA KWANI NI NANI ALIYE ANZA VITA? NA KIFANYA MAUAJI NA HADI LEO HAWATAKI KUWARUDISHA WAISTAEL WALIOWATEKA ACHA TU ISHESHE TUONE PANAPOVUJA AISHIVYO MUNGA KAMA ALIVYO ANGAMIA FILAUNI SHAM NDIVYO WA
    GUUG
    YO ANGAMIA MAADUI WOTE WA ISRAEL MUN

  • @user-hr5gx1zr1m
    @user-hr5gx1zr1m Месяц назад

    Magaidi watwangwe

  • @kingcole60
    @kingcole60 Месяц назад

    🇮🇱🇮🇱🇮🇱

  • @SileIsmail
    @SileIsmail Месяц назад

    Acheni ujinga marekan walimdanganya Saddam Hussein kuwa hataisaidia Kuwait alivyoingia wakamgeuka

  • @DaudiPeter-db9hw
    @DaudiPeter-db9hw Месяц назад

    Kama ni mikwala yeye aende shida watanzania 2namdomo sana

  • @Mubarak552
    @Mubarak552 Месяц назад

    Israel anatabia ya kushambulia kwa kuficha sura yake na kutumia sura ya mtu anaetaka kukuchonganisha nae, na ameshafanya hivyo mara nyingi sana, nina hakika soon atashambulia Iran akiwa na sura ya nchi nyingine lakini Iran watamkomesha huu sio wakati wa mtu mmoja kuwa mbabe, saivi wababe ni wengi

  • @minanifreddy6969
    @minanifreddy6969 Месяц назад +1

    Eti hesbollah kuingia Israel mnachambua kipuuzi
    Nimegundua Sky mwenyewe yupo pamoja na wachambuzi wake wakipuuzi...

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 Месяц назад

      Sasa siaashambulie sasa kama nimwanaume kaharibu vitu uone unaongea nini

    • @missp1814
      @missp1814 Месяц назад

      punguza jazba😂,fatilia haya maswala yapo wazi,shida watu hamtaki kubadilika....mambo yamebadilika hata marekani na Israel wanajua,now kila mtu anamhofia mwenzake wanachunguliana...ule ubabe wakuongozwa na nchi moja umepitwa......now ubabe ubabe

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 Месяц назад

      @@missp1814 nifatilie nini sasa ambacho hakikowazi ninini

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 Месяц назад

      Wewe mwenyewe mpuuzi

  • @jumabuckary7698
    @jumabuckary7698 Месяц назад

    Waoga tu Hao Israel wapumbavu mashetani wakubwa

  • @salymsuleiman2035
    @salymsuleiman2035 Месяц назад +4

    Kumbe iran ina nyuklia ?

  • @user-ib2ns8kf9h
    @user-ib2ns8kf9h Месяц назад

    Siku nyingine usimlete huyo mchambuzi

  • @user-ex6sh1rl4d
    @user-ex6sh1rl4d Месяц назад

    SHIA HAPIGANI NA MYAHUDI NA IYO SEHEM YA ASFQHQN NI SEHEM AMBAYO ATAENDA KUPOKEWA MASIH DAJJAL NA MAYAHUD AO WANAZINGUA WANAUME TU

  • @evelynemugeni2369
    @evelynemugeni2369 Месяц назад

    Ni propaganda tu wanataka tusau genocide israel amefanya Gaza

  • @ahmedabry293
    @ahmedabry293 Месяц назад

    Huyo mchambuzi analeta habari za vyombo vya magharibi vya uongo. 🚮

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 Месяц назад +1

    Mbona unazumgumxza uwongo, Israel wameishambulia irán ndio ukweli, we mshabiki wa Irán

  • @paulvimbamvula9508
    @paulvimbamvula9508 Месяц назад

    Israel imeyingiza ndege zake F35....stealth.....na zimerudi salama....vyombo vya magaribi vijakosea bwana..wewe shabiki

  • @user-jx7ot4ru7l
    @user-jx7ot4ru7l Месяц назад

    Cku 3 kuna silaha kubukwa kubwa .kutoka marekani zimeingia Israel wamerekani.mbwa ktk dunia hii wabayaa sana wamerekani ndo wanao piganisha vita mpaka wapalesina kuuwawa pyaa sababu .wamerekani.wamarekani ndo magaidi wakubwa duniani wabayaaa sana.

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 Месяц назад

      Acha ushabiki maandazi,,kwn Palestine wakibondwa ww uko kibada unadhurika nn😆😆

  • @Kagineemmanuel
    @Kagineemmanuel Месяц назад

    🇮🇱

  • @user-tq4lx9si1n
    @user-tq4lx9si1n Месяц назад

    Uyomchambuz nimzulisana japonimwislamu anaudini walaupendeleo atakidogo yako fact sana uyojama siyonduguyake kipalauyo anachokfanya putin Ukraine anakifulaia Netanyahu kujilinda namagaid wakiislamu analialia

  • @timotheokiss4870
    @timotheokiss4870 Месяц назад

    Mie nazani israel alitaka kupata esab ya siraha nzito za iran

    • @amirisaid6341
      @amirisaid6341 Месяц назад +1

      Unazani hawazijui ? Hao wote wanajuana

    • @timotheokiss4870
      @timotheokiss4870 Месяц назад

      @@amirisaid6341 iran amuwez Israel kaka msijifaliji

    • @abbynimel-kindy5107
      @abbynimel-kindy5107 Месяц назад

      ​@@timotheokiss4870 wew nani alokuambia.. Israel anategemea America... Acha kabisa Mziki wa Iran.. China. North Korea. Russia ao wote team moja muache Israel ayakanyage ndoo utaona sas kuku akinyolewa.😂😂😂😂

    • @timotheokiss4870
      @timotheokiss4870 Месяц назад

      @@abbynimel-kindy5107 uwezi shindana na mtu mwenye akiri Israel ni mtu makin sana kaka

    • @kingcole60
      @kingcole60 Месяц назад

      ​@@abbynimel-kindy5107jiulize kwa nini hizo nchi za magharibi zinamlinda Israel ndo utapata jibu kuhusu Israel

  • @user-jf7is4fk2v
    @user-jf7is4fk2v Месяц назад +1

    yesu alikuwa mweusi hata putin anajua hivyo

  • @TygaBusiness
    @TygaBusiness Месяц назад +1

    Huyu mchambuzi n wamchongo anafataga video za tweeter 😅 na upande wake ni Iran hajawah zungumzia vzr myahudi😅

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji Месяц назад +3

      Kwa hiyo unafurahia wale MASHOGA kuuwa WATOTO na kuchoma MAKANISA au unawaombea TAIFA la MASHETANI kila siku 😢😢😢😢😢

    • @Jeff_Tz
      @Jeff_Tz Месяц назад +2

      Dunia nzima inawasema vibaya wayahuni koteee sio waislamu wala wakristo hakuna anayesupport mauaji ya halaiki

    • @user-mf7hl7jh6s
      @user-mf7hl7jh6s Месяц назад +2

      Mim niko Iran hakuna chochote kile kiliharibika mchambuzi anaongea ukweli

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji Месяц назад

      @@Jeff_Tz kweli ni kansa hawa hawajui ukristo wala uislam ni MASHETANI yanayo tawala dunia 💯

    • @Mitchellekyle
      @Mitchellekyle Месяц назад

      S5ss5🎉​@@Jeff_Tz

  • @josephwilliam5813
    @josephwilliam5813 Месяц назад

    Tunataka mchambuzi kama huyu asieonesha unazi ktk uchambuzi sio dj smah

    • @AbelCharles-co6qb
      @AbelCharles-co6qb Месяц назад +1

      Kwel kabisa...Smaa anamahaba ya kidin...hamna ki2 pale

  • @MichaelJoseph-uc4zk
    @MichaelJoseph-uc4zk Месяц назад

    walicheka sana kuishambulia Israel sasa ni zamu ya kilio kwa Iran.

  • @user-zg4yz7je8d
    @user-zg4yz7je8d Месяц назад +1

    Uyu mchambuzi ni muongo mpumbavu wewe madhara yanaonekana acha uongo

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Месяц назад +1

      Wewe umeona wapi?

    • @user-mf7hl7jh6s
      @user-mf7hl7jh6s Месяц назад +1

      Mim niko Iran wew uliona wapi kua madhara alionekana Mim niko Huku

    • @user-mf7hl7jh6s
      @user-mf7hl7jh6s Месяц назад +1

      Hakuna madhara alitokea nihuko isfahan mim nipo Huku Iran kilichosikilizwa nnimlipuko tuu

    • @johnrugah502
      @johnrugah502 Месяц назад

      Maongo tupu jana ukatundanganya hata leo endelea tu

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 Месяц назад +1

    Wanaoneshana ubabe

  • @user-fx5ks2qc3u
    @user-fx5ks2qc3u Месяц назад

    Kiujumla YULE MYAHUDI, NI JEURI Sana..Iran itapata tabu sana.. TUSIJIPE MOYO..

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 Месяц назад

    Hao warabu wasi jisahau nakuzima mitambi yao tayari sasa wamesha ingia kwenye vita na watu makatili hata waki ambiwa hawatokuja kulipiza wasi waamini hao hawakubali kushindwa