CHEKI TATU MZUKA ARUSHA WALIVYOCHOMWA MOTO KISA WIZI WA SIMU MASHUDA WATAJA WALIVYOWAKAMATA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 180

  • @omarmwabege
    @omarmwabege Месяц назад +13

    Hii sio dawa.Dawa ni sheria ya Allah, ingefatwa kusinge kuwa na wizi Duniani!!

  • @neemanyimbi2355
    @neemanyimbi2355 14 дней назад +2

    Daaah wez wanaona haya na bado wanaiba

  • @STARLONGANG
    @STARLONGANG 29 дней назад +2

    Sio vizuri kutoa hukumu sisi sio mungu tujifinze kuwa Kuna kesho ndiomana zimewekwa sheria

  • @finaselemani
    @finaselemani Месяц назад +5

    Maskini jamani hadi huruma😢😢😢akiwa si ndgu yko utaona kawaida tuu

  • @RiportHakiel
    @RiportHakiel 2 месяца назад +27

    ARUSHA NI MKOA WA MAJAMBAZI TU. Ata hao wanaowachoma wezao ni WEZI

    • @robertj.4484
      @robertj.4484 Месяц назад +3

      Wanafuta ushahidi Sio??

    • @GracePatrick-zc2eb
      @GracePatrick-zc2eb Месяц назад +1

      Ni kweli kabisa mi npo arusha hapa.hata hawa mnaowaona wanaochoma hapa pknck wote wez tulikuwa tunashhudia laivu.

    • @AyubuHamis-r8b
      @AyubuHamis-r8b 14 дней назад +1

      Ipo wazi wengine tunaogopa sasa kuishi Arusha

    • @omarymajid4965
      @omarymajid4965 13 дней назад

      Si bora mwizi kuliko wewe unaetoa matako

    • @VailethChimais
      @VailethChimais 3 дня назад

      ND wajifunze

  • @robertmboya7842
    @robertmboya7842 4 часа назад

    Safi kabisa hawatakiwi kuishi hawa wapumbavu😡😡😡

  • @RAISONRIOBA
    @RAISONRIOBA 12 дней назад +1

    Aisee mko makini

  • @annacharles-o5y
    @annacharles-o5y 3 дня назад

    Jamani kwani mapolisi wanakuwaga wapi kwenye haya matukio… Mungu alinde uzao wa mwanamke hili swala la kumchoma binadamu mwenzio sio kabisa

  • @AsmoreTune07
    @AsmoreTune07 16 дней назад

    Anaeongea ni Oscar big kama sjakosea 💪

  • @AsiaBakari-rb2ok
    @AsiaBakari-rb2ok 3 месяца назад +13

    😢😢😢😢😢hayeni jamn kam mlicho kifnya kina mpendeza mungu basi .....nyie endeleeni...usihukumu binadamu nmwenzio ...hapo wengine ni waizi na ...wqpo hapo wangpi happ walisha fanya matukio tena labda makubwa leo hii una mtoa mtu roho😊

    • @mnyetikulwa4510
      @mnyetikulwa4510 3 месяца назад +3

      Hujaibiwa ww

    • @broodaquizo2510
      @broodaquizo2510 2 месяца назад +2

      Ww kuib j n vzr

    • @teachernyalusi
      @teachernyalusi 2 месяца назад +2

      We hujawahi kutana nao USIKU utilize sisi 😭😭

    • @richardrobert2203
      @richardrobert2203 2 месяца назад +2

      Kwa hyo tuendelee kuacha waibe ndo Mungu anapendezwa na hayo ya wizi?

    • @Vailethmalo74Malo
      @Vailethmalo74Malo 2 месяца назад

      Hao waofanya hivyo lishawapata jambo wewe bado hujaibiwa

  • @Katelynkabi
    @Katelynkabi 3 дня назад

    Mwizi auliwe no mercy for wezi

  • @abuually-ol2xc
    @abuually-ol2xc Месяц назад +2

    Anachomwa moto mwizi na anaachwa huruu mfanya liwati Ambae ni mbaya zaidi kuliko huyo mwizi maana anaeharibu watoto anahitajika kuuliwa kabisaa maana anaharibu jamii

  • @KastuliSamae
    @KastuliSamae Месяц назад +4

    Apo safi sana

    • @FrankCharles-dr6dy
      @FrankCharles-dr6dy 8 дней назад

      Sio ivo ndg yang akna binadam alokamilika iyo sio hukum jmn inaumiza sana😂😂😂

  • @DullaMimi
    @DullaMimi 2 месяца назад +6

    Tungeonyesha msimamo kama huu kwa wezi wanaoiba mali zataifa aise tungekua mbali sana

  • @emmanueltemba3240
    @emmanueltemba3240 3 месяца назад +6

    Wazee kuna wangese kama hawa walinikosakosa mitaa ya memorial huku mosh town aloo simu hawakufanikiwa kuishika vzur nikabak nimeing'ang'ania dah mpka Leo siamin man kama niko nayo maana walinsomea raman nikiwa peke yang hamna m2 mbele wala nyuma wala gar wakagaeuza baik mbele yang wakataka kuichukua alooh niliwatukana wakatak kunirudia niliokota mae waliamsha popo balaa

  • @janethsanga-m8o
    @janethsanga-m8o Месяц назад

    Safi sana

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 2 месяца назад +2

    Arusha ni mji ambao Geneva ambapo hawa vibaka wanatuharibia jina la arusha,big up waaeusha wote

  • @emmanueltemba3240
    @emmanueltemba3240 3 месяца назад +4

    Siku nikikuta mwiz anachomwa moto lazma nshirik wanarudsha wa2 nyuma

  • @StellaStanphord
    @StellaStanphord Месяц назад

    Ni laana mnajiwekea kbs😢

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 2 месяца назад +4

    Yaani hata wale wabakaji wa binti wa yombo walah wangechomwa moto gadharani

  • @FloraJacob-nx8ei
    @FloraJacob-nx8ei 14 дней назад

    Tunawafinish😅

  • @Riziki-m7u
    @Riziki-m7u 29 дней назад

    Jifunzeni kusamehe. Bwana nyinyi

  • @KelvinShayo-nd3rq
    @KelvinShayo-nd3rq 2 месяца назад

    Nakubali kikoZ kaz

  • @alibakari7176
    @alibakari7176 Месяц назад

    Tamaa ya tecno ya laki2 unapoteza uhai na pikipiki mpya ya milion 2 na nusu.. Wabaya sana hawa wapuuzi kukujeruhi kukuua kwao ni kawaida

  • @AntonyRotich-g9u
    @AntonyRotich-g9u Месяц назад

    yani mpaka mbwa inafika baze 😂😂😂

  • @MinahAlly-l2p
    @MinahAlly-l2p 11 дней назад

    Jamani inauma lakin

  • @francisofisi9058
    @francisofisi9058 27 дней назад

    Wasameheni Jameni😢😢😢😢

  • @FridaMwita-tr8qw
    @FridaMwita-tr8qw 21 день назад

    Namimi kuna kijana mmoja anaitwa saidi hapa bunda aliibia ps 3 zangu 3 na tv zake akakimbia huko alipo akikamatwa achomwe moto, bado nina hasira nae

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 2 месяца назад +1

    Mitaa inayoingoza Kwa wizi Arusha Matejoo, Mianzini,mtaa wa Jaluo, uswahilini,ungalimitedi, ngarenaro na sanawari manalozi na wenye viti wa mtaa wanawajuwa wezi wote wa mtaani ingekuwa vizuri wanashirikiana na polisi naona ualifu Arusha ungepunguwa

  • @abuually-ol2xc
    @abuually-ol2xc Месяц назад

    Wakuchomwa moto ni wabakaji na walawiti watoto wadogo hao ndio wanaostahiki kuuliwaa kikatili ili iwe mfano Kwa wengine 😢ila chaajabu anaeharibu watoto hafanywi kitu na jamii inamtetea

  • @HonorataMafala
    @HonorataMafala 2 месяца назад

    Mmesahau wanaitwa wadudu??

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi 2 месяца назад

    Mungu tusaidie

  • @MariaKazimily
    @MariaKazimily 29 дней назад

    Mbn wanaopigwa namuona kama mchumba angu😂

  • @AdamMwisimba
    @AdamMwisimba 2 месяца назад +4

    Kwenye ujana kuna mapito mengi sana hila kuhuwa binadam mwenzio kwa kumchoma moto siyo picha nzuri hinahuzunisha sana watu wenye mioyo mepesi kama sss haaa hapana

    • @MuunganoMwakifwamba
      @MuunganoMwakifwamba 2 месяца назад +1

      Ivi ume wai kuibiwa

    • @FrankCharles-dr6dy
      @FrankCharles-dr6dy 8 дней назад +1

      Kuibiwa kupo lkn mungu angehukum kila kosa tngekuwa wap leo sotee mungu awarehem

    • @AsumthaAron
      @AsumthaAron 6 дней назад +1

      W@@FrankCharles-dr6dy mwizi usipowahi kumuua bas anakuua ww, tena hasa wez wa pkpk

  • @costansiahongoa8017
    @costansiahongoa8017 20 дней назад

    Mungubawanuxuru

  • @martintssoray5352
    @martintssoray5352 13 дней назад

    Hao jamaa wauawe kabisa maana nao wameua sana wamewapa watu ulemavu

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 2 месяца назад

    SHELIA MNACHUKUA MIKONONI MTAKUJA KUJUTA MUPO JELA POLISI IPO WAPELEKENI MTAKUJA KUJIKUTA JELA NA KESI YA MAUAJI😢😢😢

    • @Daffamtata
      @Daffamtata 2 месяца назад

      Hujawahi kuibiwa ndugu nyamaza

  • @StevenMaina-s5d
    @StevenMaina-s5d 23 дня назад

    Pelekeni hao wezi

  • @Fraidemasika
    @Fraidemasika 7 дней назад

    Watuwa arusha wanahatari

  • @adelaidemary5514
    @adelaidemary5514 2 месяца назад

    Mngeweka waishi jela badala ya kuwachoma 😢😢😢😢tumbo iliizaa jamani ni uchungu😢

  • @RoseMeryPanya
    @RoseMeryPanya Месяц назад

    Endeleen kuwachoma kbs hao majambaz vibaka ukikutana nao huw hawana huruma kbs

  • @Daffamtata
    @Daffamtata 2 месяца назад +1

    Shida ukiwapeleka mbele yanakuwa kama yale ya binti wa yombo bora kumalizana nao hivi iwe funzo kwa anaetaka kujarbu

  • @BenardSadani
    @BenardSadani 2 месяца назад

    Uwa kabisa awowez

  • @BakariMichael-q5p
    @BakariMichael-q5p 29 дней назад

    Mwizi yeyote achomwe wanaludsha wat nyumban San dawa nikchoma mana matendo mabaya yamekuwa mengi san

  • @zulfashaban-yu3te
    @zulfashaban-yu3te 2 месяца назад

    Laah itawatafuna vizazi vya wote waliowachoma hao

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 23 дня назад

    Tatu mzuka inamaan gani.!?

  • @mosesmpwata3876
    @mosesmpwata3876 3 месяца назад

    Dudu, hii Kali au maigizo.

  • @hassankidilikia5566
    @hassankidilikia5566 2 месяца назад

    Viongozi wanakula ela za shule amuwi na hasila kama izimanyoko😢

  • @asiamwarabu440
    @asiamwarabu440 29 дней назад

    Ukute wezi ni wao wanaopiga sema hao wanapigwa walitaka kuwachomea nakuwataja wezi kibao kikawageukia me sitak kuamin Kila asemalo mtakatifu

  • @patrickkatana8823
    @patrickkatana8823 2 месяца назад +2

    Hamna hata huruma...
    Damu yao iko mikononi mwenu na pamoja na vizazi vyenu

  • @RechoRechomarivey
    @RechoRechomarivey Месяц назад

    Wangepelekwa ata jela jaman msihukum hivyo jamani huyo ni mtoto wa mwenzio

  • @VailethChimais
    @VailethChimais 3 дня назад

    Yaan hao unapiga had wawe hoi afuu unachoma moto pumbavu kabisa

  • @asmanidris8527
    @asmanidris8527 3 месяца назад

    wakristo acheni kuwaadhibu wanaadamu Kwa Moto mwenyezi Mungu amekataza vikali

    • @KwitendeOmary
      @KwitendeOmary 3 месяца назад +1

      Umekosea kusema wakiristo

    • @GeorgeJames-pc3eb
      @GeorgeJames-pc3eb 2 месяца назад +1

      Wew ndo mkorofi, hapo wamesimama wakristo pekeyao ?

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 2 месяца назад

      Kuna mijitu au tuseme vijitu vikiamka asbh vinatafuta kutukanwa kutwa. Arusha ina waislamu kibao washenzi wa kutupa lkn hiki kimalando kinatujuza kuwa wao ni malaika. 😢

  • @GilbertNhigula
    @GilbertNhigula Месяц назад

    Si Vizuri Kabisa Mlivyo Fanya ! Kuchukua Maamuzi mikononi mwenu ya Kupiga na kuchoma Moto , Vipo Vyombo Vya Sheria Mngefuata Utaratibu Wote wa Kisheria Kutoa taharifa police Kwamba Kuna Wezi tumewakamata Tuko Sehemu furani bila Shaka Mpolice Wangekuja tu .

  • @GodfreycosmasiMunishi-wh3fn
    @GodfreycosmasiMunishi-wh3fn 2 месяца назад +1

    Nibalaa mani mnauwabinadam mwezenujamani mwogopenimungu

  • @Athumanmreta
    @Athumanmreta Месяц назад

    Hao wote wezi wakubwa

  • @MeryMbaga-y4n
    @MeryMbaga-y4n 2 месяца назад

    Tatu mzuka ndo watu ga ni

  • @thaskie3771
    @thaskie3771 2 месяца назад

    ARUSHA mapozi kama NAIROBI
    Hapa kazi ni "KU-FINISH KUMALOOH" mangeusi. Kesi baadaye

  • @GodfreycosmasiMunishi-wh3fn
    @GodfreycosmasiMunishi-wh3fn 2 месяца назад

    Ilachuga nijehanamu makonda unajitahidibaba mama alipokutupa sisalamasana kwako

  • @JosephKimaro-u8v
    @JosephKimaro-u8v 3 месяца назад +2

    Daw ndo hiyo

  • @NaeemAlly-l2p
    @NaeemAlly-l2p Месяц назад

    Imagine kma so wao 😢

  • @JosephMwita-m2o
    @JosephMwita-m2o 2 месяца назад

    Vijana naombeni muache
    Kufanya vitendo kama hivyo mutaisha

  • @RahaSaid-l2u
    @RahaSaid-l2u 2 месяца назад +1

    Jamani kuweni nauwakika

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 2 месяца назад

    Msihukum msije mkahukumiwa

  • @herrymathayo1159
    @herrymathayo1159 Месяц назад

    Kweli hawana akili unachoma pikipiki ndio nn

  • @miriamamiri641
    @miriamamiri641 Месяц назад

    Nyie wote apo ni waiz tu hakuna lolote apo

  • @FelwusiFelwusi
    @FelwusiFelwusi 2 месяца назад

    Choma moto awo

  • @HusnaMohamedi-y7r
    @HusnaMohamedi-y7r 2 месяца назад

    Usihukumu ili na ww usijekuhukumiwa tumuogope mungu

  • @FredLuo-v3e
    @FredLuo-v3e Месяц назад

    Xaxa iyo pikipiki yenyewe usikute ni ya wizi ,busala ingetumika tu, ipelekwe polisi iyo pikipiki ili kama ni ya wizi atajulikana mwenyewe

  • @reginaedward4883
    @reginaedward4883 3 месяца назад +4

    Choma hao gasia

  • @samsonsimon3138
    @samsonsimon3138 3 месяца назад +2

    Si watafute kazi za kufanya kuliko kujaza mafuta kwny pikipiki wakaibe wauawe tu maana hao ni tishio katika uhai wa mtu

  • @nyemowanyotanjemaudm4360
    @nyemowanyotanjemaudm4360 2 месяца назад

    Duuuuuu.alusha n noma

  • @FarajaGalus
    @FarajaGalus Месяц назад

    Wauwawe tuuuuuuuu

  • @GangGang-lx6mf
    @GangGang-lx6mf Месяц назад

    Uko majambazi wote tuu

  • @edwinamos9734
    @edwinamos9734 2 месяца назад

    Hakuna serikari arusha

  • @patrickkatana8823
    @patrickkatana8823 2 месяца назад

    Hata nyie njia ni iyo hiyo😢

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 Месяц назад

    Nawanaowatetea wote pigeni moto

  • @mnomoonetz509
    @mnomoonetz509 2 месяца назад

    Sijaona kama wamechomwa moto me nimeona wanapiga story tu hapo

  • @HassanSaid-e1w
    @HassanSaid-e1w 3 месяца назад

    Sawaa

  • @mohamediathumani-p7h
    @mohamediathumani-p7h Месяц назад

    Sasa mbn hata kupigwa hawapigwi

  • @absm8084
    @absm8084 3 месяца назад

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢 naogopa mie duuuuuh

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 2 месяца назад

    Hatar

  • @Abuu_muhammad
    @Abuu_muhammad 18 дней назад

    Hakuna polisi?

  • @IreneMacha-g8o
    @IreneMacha-g8o 2 месяца назад

    Daah hawsnaga uruma hawa 3mzuk

  • @Tukujuze
    @Tukujuze 2 месяца назад

    Sijajua kwanini Arusha imekuwa Tanzania , any way cha msingi kuua ni dhambi

  • @PhinahSamwel-p8x
    @PhinahSamwel-p8x 11 дней назад

    chomen bik lakin roh ya mwanadmu 2mwachie MUNGU jap amr y 7 inajielz kabs

  • @DeoMwanambuto-f3n
    @DeoMwanambuto-f3n Месяц назад

    3mzuka ya crouds au

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 2 месяца назад

    Wezi wanao choma wenzao....

  • @RaphaelMgaya-ms5hy
    @RaphaelMgaya-ms5hy 3 месяца назад

    sasa piki piki inakosa gani kwa kweli si wangegawaana tu 10000 wakanywe supu

  • @kajentanmjeuri104
    @kajentanmjeuri104 3 месяца назад

    unaimba tu pkpk inaisha, husemi watu wanaumizwa

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 3 месяца назад +1

    Hao wenyewe wezi mmewasachi mkawakuta hawana pesa nyote wezi tu nakuwachoma moto ni dhambi

  • @RazakMsonde
    @RazakMsonde 2 месяца назад

    Subhanallah

    • @gilbertoisso
      @gilbertoisso 2 месяца назад

      😂😂😂 sisi ndio chuga msijaribu kutuibia

  • @AnnaMkasa
    @AnnaMkasa 2 месяца назад

    Sasa nyinyi na hao mluo wachoma nani anazambi damu yao itawatesa ssna nyinyi

    • @FrankCharles-dr6dy
      @FrankCharles-dr6dy 8 дней назад

      ❤❤❤ ni kwel mungu anaona na ukiuwa kwa upunga utakfa kwa upanga hatjui kesho yetu msamaha ni jambo jema

  • @saidyori7007
    @saidyori7007 2 месяца назад

    KAMA UJAWAI KUIBIWA UNAONA KAMA WANAONEWA

  • @directorabiero340
    @directorabiero340 3 месяца назад +1

    Wafe tyu aiseee nishawai ibiwa nikalia tokea hapo Sina huruma na mwizi wafeeeee

    • @EllyCantonaCantona
      @EllyCantonaCantona 3 месяца назад

      Ulichoibiwa kina thamani ya uhai wa mtu?

    • @mnyetikulwa4510
      @mnyetikulwa4510 3 месяца назад

      ​@@EllyCantonaCantonaAcha kutetea ujinga ww,, unajua watu tunavyosotaga kutafta mali ww,, tunafanya kazi hatarish ili familia yangu ipate uahuen ila anatokea mjinga flan anarudisha nyuma tena,, acha wafe ww

    • @mnyetikulwa4510
      @mnyetikulwa4510 3 месяца назад

      ​@@EllyCantonaCantonaAcha kutetea ujinga ww,, unajua watu tunavyosotaga kutafta mali ww,, tunafanya kazi hatarish ili familia yangu ipate uahuen ila anatokea mjinga flan anarudisha nyuma tena,, acha wafe ww

    • @mnyetikulwa4510
      @mnyetikulwa4510 3 месяца назад

      ​@@EllyCantonaCantonaAcha kutetea ujinga ww,, unajua watu tunavyosotaga kutafta mali ww,, tunafanya kazi hatarish ili familia yangu ipate uahuen ila anatokea mjinga flan anarudisha nyuma tena,, acha wafe ww

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 2 месяца назад

    Mbo hawachomwi

    • @jumakillo4637
      @jumakillo4637 2 месяца назад

      Walichomwa moto baada tu ya hiyo bike kuisha askari walifika lakini

    • @jumakillo4637
      @jumakillo4637 2 месяца назад

      Walichomwa moto baada tu ya hiyo bike kuisha askari walifika lakini

  • @CarolineNderitu-t8x
    @CarolineNderitu-t8x 6 дней назад

    Kumalo

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 3 месяца назад

    Mshahara wa dhambi

  • @HellenMacha
    @HellenMacha 3 месяца назад +4

    Siung mkono kuua mtu...

  • @DariusSpirou
    @DariusSpirou 3 месяца назад +1

    Kama wachaga choma mana hakuna mchaga sio mwizi ila hawaitwi wezi utasikia unacheza na mchaga mchaga katumwa pesa ila wote wezi

    • @JacksonjacksonTrois
      @JacksonjacksonTrois 3 месяца назад +1

      Unajidanganya wachanga Chama lingine alafu jiangalie manzi unaedeti nae kama anakuomba pesa sana Hana msaada huyo sio mchaga

    • @ShayoJoseph
      @ShayoJoseph 2 месяца назад +2

      We dad unawatafuta wachag wew utachomwa nawew

    • @happynkya9770
      @happynkya9770 2 месяца назад

      Weeee Kuma kweli hata mamako ni mchaga ndo maana ni mwizi ng'ombe hiii

    • @sophiakimaro5174
      @sophiakimaro5174 2 месяца назад +1

      Hujielew hata kidogo.wizi wa mchaga si wa kukwapua ni kutafuta hela kwa bidiii

    • @JacksonjacksonTrois
      @JacksonjacksonTrois 2 месяца назад

      @@sophiakimaro5174 tenaaaa😂