madrasatul nah dhat salaam bwana kharousi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 ноя 2024

Комментарии • 666

  • @AsiaAsia-sv6ok
    @AsiaAsia-sv6ok 11 месяцев назад +110

    Wenzangu tulio hapa adi huyu mwaka wa 2024 tujuwane kwa like

    • @saidtembele3070
      @saidtembele3070 8 месяцев назад +1

      Dahh leo kuna mtu nilikua nazungumza nikamwambia hii miaka kumi na mbili au kumi na moja nyuma imenibidi nije niichek tena

    • @Radhiamagawa
      @Radhiamagawa 8 месяцев назад

      Tupo pamoja yaani

    • @mwanatumumwatsumi5862
      @mwanatumumwatsumi5862 8 месяцев назад

      Tuko sote❤

    • @SameerKhalid-e4s
      @SameerKhalid-e4s 6 месяцев назад

      Assalamualaikum warahmatullahi wabarakatuh
      Vile vile Mimi pia Niko hapo kwa ajili ya Hilo miaka zime pita kama kufungua mlango na kufunga

    • @Shani-xs4td
      @Shani-xs4td 5 месяцев назад +1

      Tupo

  • @sroutisrouti3260
    @sroutisrouti3260 3 года назад +9

    Yarabi mola wangu nijalie mume mwema mwenye kunijali nijalie na Mimi mola wangu niolewe nifuraishe wazazi wangu ishallah

  • @munsheedtvonline8399
    @munsheedtvonline8399 Год назад +21

    2023 still I love it , mashallah

  • @abdulhamis2393
    @abdulhamis2393 5 лет назад +10

    Hongere mtungaji ulotunga huumwimbo na ukanifanya niowe . Mungu mjalie.

  • @abduraghmaandaames6751
    @abduraghmaandaames6751 3 года назад +19

    im from south africa capetown side i simply love zwahili qwasidas this is 1 of my number 1

  • @Macloudyally
    @Macloudyally 4 дня назад +1

    Asalaam aleikum,wallahi natamani kujua hawa wanafunzi kama wapo hai niwaone Allah awahifadhi insha'Allah

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 2 года назад +4

    Kaswida naikubali sana by king mambo mengi from Zanzibar

  • @salhatunimande720
    @salhatunimande720 4 года назад +42

    Jaman tunaorudia kuangalia hii qaswida 2020 December tujuane😌❤️❤️

    • @fatmamussa1161
      @fatmamussa1161 3 года назад

      ,😍nipo

    • @saiddavo8772
      @saiddavo8772 3 года назад +1

      I'm the one of you. Tuko bega kwa bega

    • @husseinfunga3272
      @husseinfunga3272 Год назад

      Mimi 2023 bado nipo nayoo

    • @sayd4203
      @sayd4203 10 месяцев назад

      2020😢.....2024🎉🎉🎉😂😂😂😂😂❤❤

    • @MaryKatoi-qk1md
      @MaryKatoi-qk1md 4 месяца назад

      ❤❤😂​@@husseinfunga3272

  • @jasminali5921
    @jasminali5921 5 лет назад +7

    Mashaa Allah tabarakallah qaswida ni nzuri natamani niimbiwe siku ya kharusi yanguu🌹🌹🌹mola anifanyie wepesi mume mwema

  • @sadaabdallah1641
    @sadaabdallah1641 6 лет назад +41

    Qaswida niliipendaga sn nabado naipenda sn yani waliimba vinzur saana mashaallah hongeren sn

  • @rjjr5938
    @rjjr5938 5 лет назад +67

    2019-mwezi wa9 Kama bdo unaisikiliza hii Qawida gonga like

    • @kainatbenim
      @kainatbenim 5 лет назад

      mussa Odinga hello bro. Can you help me

    • @rjjr5938
      @rjjr5938 5 лет назад

      kainat benim yes i can help you what my dear

    • @rjjr5938
      @rjjr5938 5 лет назад

      kainat benim yes let me help you what is dear

  • @mauayahaya5039
    @mauayahaya5039 3 года назад +1

    Maashallah qasida nzuri Sana najiskia amani na faraja kila naposkia "dunia hadaa maisha kalili nakupa nasaha hebu yafikiri" mawada yao maharus duh jamani💜💜

  • @kuresel06
    @kuresel06 5 лет назад +4

    by IHH in Turkey in 2011, we came to your country. I loved you for God. On the way back, they gave this Kaside group a CD. I listened to them for a long time in Turkey. May Allah blessed our eternal

  • @chibujunior3066
    @chibujunior3066 3 года назад +3

    Mwenyez mungu awajaalie qaswida nzuri

  • @monday1278
    @monday1278 10 лет назад +31

    Nini niseme hata nioneshe furaha kwa uzuri wa nyimbo hii.. nyimbo nzuri sana, sauti km tupo peponi vile. Hongera

  • @salmaseifu4775
    @salmaseifu4775 Год назад +1

    Nawaombea dua Nwaka huu muwepamoja mtoe khasida mzur tena kundi gili ni hatari nyīmbo zenu zina hish na sauti nzuri sana

  • @ridhwanandreas3046
    @ridhwanandreas3046 11 лет назад +41

    Wonderful song my favorite swahilli islamic music. Masha Allah

  • @damtumct6720
    @damtumct6720 5 лет назад +45

    Mpaka leo hakuna walofikia hapa zimetoka nyingi lakini bado bigup

  • @IssaNassir-tv6lh
    @IssaNassir-tv6lh Год назад +1

    Mashaallah iliweza Hadi cjapata kuskia qaswida nzri za harusi km zenu endapo umefkia mda wko wa kuoa au kuolewa ndio utajua utamu na ladha y hizi qaswida

  • @Rahim_tz
    @Rahim_tz 2 месяца назад +7

    Jamani huu 2024 nifollow nasi

  • @JasminiAthumani
    @JasminiAthumani Месяц назад +3

    Nasikiliza Qaswida hii kwa majonzi Natamani Ndoa lakini Hadi sasa sijapata Nusra hiyo;Dua zenu niweze nusrika

    • @dijamodo5717
      @dijamodo5717 Месяц назад +1

      Mwenyezi Mungu atakupatia kilicho bora kipenzi Inshaallah 🤲😍

    • @JasminiAthumani
      @JasminiAthumani Месяц назад +1

      @@dijamodo5717 Amiin

    • @mauakibera1722
      @mauakibera1722 Месяц назад +1

      Allah afanye wepes jmn

    • @JasminiAthumani
      @JasminiAthumani Месяц назад +1

      @@mauakibera1722 Amina inshaAllah

  • @mwanatumujuma6527
    @mwanatumujuma6527 5 лет назад +3

    Alf million mabroooook bw na bb harus.Nimeipnda sana

  • @abuymchina1879
    @abuymchina1879 6 лет назад +16

    Namm bd npo naiyangalia tena mwakahuu2018#jambo la kuowa mollah huridhia fanyen upesi mpate tulia#mashaallah nmeupenda sn huu ubet

  • @fatumalikamba6829
    @fatumalikamba6829 4 года назад +7

    Kama wewe mwaka huu wa twenty twenty unaiyangaria hii qaswida gonga like yako apa sasaivi... Hii qswida mi siichoki

    • @salamamohammed5446
      @salamamohammed5446 4 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤️❤️❤️❤️❤️💯💯💯🙏🙏🙏🙏

  • @mwalisuleih1164
    @mwalisuleih1164 3 года назад +1

    Mashaallah tabaraka Allah khair natabasamu xan na kufurai nkickiza qaswida zenu wana madrasa nah hongereni xn

  • @kassuomar
    @kassuomar 4 года назад +1

    WAALLAHI NNAFURAHI NIKISKIZA HII KITU NAKUMBUKA KABLA YA NDOA NAMKUMBUKA MWENZA WANGU

  • @Sammuhfoodie
    @Sammuhfoodie 3 года назад +5

    Ma Sha Allah I miss qasda from madrasatul nah dhat...their qasda are the best and educative

  • @azizaabdi1265
    @azizaabdi1265 6 лет назад +2

    Ewe ndugu yangu wasubiri nini jambo la kuoa utafanya lini,, mashaAllah

    • @mohamedmgwami5987
      @mohamedmgwami5987 4 года назад

      Aziza Abdi bi aziza swali lako nalijibu ugumu wakuoa nikumpata mke aliye bora mimi natamani hata leo nioe lkn huyo mke mwenyewe ndio shughuri qaswida ni nzuri sana

  • @sabriamber1706
    @sabriamber1706 5 лет назад +1

    Maa shaa Allah Qaswida yani maliza kila nnapo ipata nafasi kuisikiza, Allah s.w.a awalipe kheri zaidi Ameen na kuwapa uwezo wa kuyatoa qaswida zaidi ameen

  • @tabyhamisi7797
    @tabyhamisi7797 4 года назад +1

    December 2020🔥. Hakuna qaswida ilyokuja kuipindua hi.japo zimetoka nyingi ,ila hi nzuri sana Sauti nzuri, mashaaaallah. 💕💕💕

  • @khamisaisha739
    @khamisaisha739 4 года назад +13

    2020 and I still love it💙💙💙💙MASHAALLAH TABARAKALLAH💕💥

  • @salhamrishoaish9292
    @salhamrishoaish9292 4 года назад +8

    Kama waangalia hii qaswida 2020 tujuane hapa😘 nakama wahamini waolewa mwaka huu kabla ya kuisha or mwakani sema inshalllah 😘🙏kila hatuwa duwaah❤

  • @hala_.at_me3873
    @hala_.at_me3873 3 года назад +3

    Na bibi harusi twawaombea meema ❤️💗

  • @sarahsalim1175
    @sarahsalim1175 12 лет назад +1

    Mungu awazidishie kwani naipenda saana,hii qasweda muzidi kutuekea kwanii sisi tuko mbali na nyumbani angalau husikia raha tusikiza qasweda, kwani maisha ya hapa ni ya upweke angalau ukisikiza qasweda husikia raha kama upo nyumbani.

  • @nassoropigauwa2503
    @nassoropigauwa2503 2 года назад

    Mashaalaah nakumbuka sana kaswiida ii ilinifany nioe bila kujar gharama za maisha

  • @jumaarapkhalifa9599
    @jumaarapkhalifa9599 3 года назад +1

    2021 am here gonga like from kenya and tanzania

  • @ramahkesh9360
    @ramahkesh9360 Год назад +1

    Mashallah leo naiangalia hii 5/April/2023❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @sidironsayd2278
    @sidironsayd2278 Год назад

    Hits in my nerves ❤❤❤ shukran for the memories and alhamdullilah ala kuli hal..love this2023

  • @نونينوني-ز4ظ
    @نونينوني-ز4ظ 9 лет назад +38

    jamaani naipenda hii qaswida mashaallah sauti nzuri

    • @mimamtam
      @mimamtam 5 лет назад +2

      Mashaallah naipenda namimi natamani siku yaharusi yagu niweke

  • @ahmedanwar1210
    @ahmedanwar1210 2 года назад

    MAASHALLAH ❤️ hii qaswida bado hata ikikaa miaka kumi bado no nzuri MAASHALLAH

  • @MegaAhmedsaid
    @MegaAhmedsaid 10 лет назад +27

    This is the best of all...The video will be a classic for generations to come!

    • @zamhajuma9294
      @zamhajuma9294 6 лет назад

      Maashaallah

    • @naswihaali1028
      @naswihaali1028 4 года назад +1

      Mashllh nilipenda sana qaswida zenu sahii hakuna tena nzuri

    • @bdoman9518
      @bdoman9518 3 года назад

      @@zamhajuma9294 nnnnnñnpnpkp p pķ

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly Год назад

    Hii kaswida inadunda had leo 2023 pongez sna kwa walio imba 😊

  • @zuu__95
    @zuu__95 3 года назад

    mawada mawaaada yao makharusi wallah sitaacha kuitizama na kuiskiliza hii qasidah jmn. mashaallah wote mloshiliki nawapenda..

  • @salmakasmakasma3005
    @salmakasmakasma3005 Год назад

    Inshallah nikiolewa eeh mungu nipe mume mwema wa kuijua dini

  • @LLIV456
    @LLIV456 Год назад +1

    wwhen i was 6 now am 12 i still like it on 2023
    masha allah bless his familly

  • @violethshabani3020
    @violethshabani3020 4 года назад +2

    Inshaaal mungu aweke wepesi katika ndoa yangu mwaka huu iwenjema

  • @RioIpo
    @RioIpo 3 года назад

    Zimetoka qaswida nyingi za Harusi lakinii bado ipo top... hongereni vijana

  • @shukranijonathan3501
    @shukranijonathan3501 5 лет назад +91

    Kama unaiangalia hii qswd mwka 2019 n unaipnd kma mm lyk yako bas..."!

  • @LovelyAzaleaFlower-uc8vr
    @LovelyAzaleaFlower-uc8vr 7 месяцев назад

    Mashallah wimbo zuri Sana ninaipenda Sana ...... watching from Malawi 🇲🇼❤❤

  • @JumbejrMail
    @JumbejrMail 2 месяца назад +1

    10-09-2024 huu wimbo unanikumbusha miaka 9 nyuma, nilipompeleka kaka yangu kuoa TANGA nikaishia na mimi kuposa pacha wa bibi harusi baadae tukafunga ndoa Alhamdulillah, na hatimae wapo pamoja ...........

    • @HamiduAbdallah-p3s
      @HamiduAbdallah-p3s 2 месяца назад

      Maaaashallah habibty allah awaongoze njia iloyonyooka katka ndoa zenu na maelewano mazuri na upendo wa dhat Kat yenu ila mcsahau kufanya ibada❤❤❤💑👩‍❤️‍👨 inshaaallah. Kawthar

  • @aishaismail4699
    @aishaismail4699 7 лет назад +15

    my best kaswida in the world I have ever seen in mylife😘😙😚🤗 mwaaaaa

  • @jannatyabubakar9038
    @jannatyabubakar9038 4 года назад +3

    So awesome and attractive qasda MashaAllah😘😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @hassanjecha2980
    @hassanjecha2980 7 лет назад +4

    Salamu ya salamu bwana kharusi na bibi kharusi yaaaa salamu """ mawada ,mawaada yao makharusi,maisha mazuri tunawatakia .daar nakumbuka mbali mashaalah

  • @MadadiBoga
    @MadadiBoga 2 месяца назад +1

    2024and still my favorite qasda❤

  • @goldenson1340
    @goldenson1340 6 лет назад +2

    Haki ya Mungu Allah ndo kila kitu kwenye maisha na Ahella Mungu atuzidishie mapenzi ya dini na kusoma Quran

  • @aminahaji716
    @aminahaji716 4 года назад

    2020 tujuane wimbo mzuri sanaa Allah akupe hitaji LA moyo wako in shall ah🙏🙏

  • @danielleoterindulu7315
    @danielleoterindulu7315 5 лет назад +109

    weka like kwa wanaoangalia hii nyimbo 2019

  • @ZenaIddy-zn5rz
    @ZenaIddy-zn5rz 8 месяцев назад +1

    Mashallah 💦🙏

  • @rukiamcharo9567
    @rukiamcharo9567 5 лет назад +30

    ....who is still in 2019....just drop ur lyk if ur still watching it😘

    • @dharesfadhil2236
      @dharesfadhil2236 5 лет назад

      Kaswida

    • @kainatbenim
      @kainatbenim 5 лет назад

      Rukia Mcharo hello ı hear one music like this but ı cant found. Can you help me

    • @hawa345mohamed4
      @hawa345mohamed4 4 года назад

      Yani apana chezea handat

  • @jumakombojumakombo
    @jumakombojumakombo 5 лет назад

    Nashid safi kabisa yanikubusha mbali sana mola atujaliye mambo mema

  • @latifamohamed2128
    @latifamohamed2128 4 года назад

    Mashallah.qaswida nzuri sana hii najiksia furaha kuskiliza

  • @ommyhoommyho3265
    @ommyhoommyho3265 5 лет назад +15

    Qaswida nzuri Sana yenye ujumbe pia mola awazidishie muendelee hivyo

  • @KhaliluHaroub
    @KhaliluHaroub 6 дней назад +1

    hiiiii kaswaida haiishi hamu wallah

  • @alhabibchafiou7100
    @alhabibchafiou7100 4 месяца назад

    Allah macha'allah Sauti ni zaidi ya tamu na nzuri

  • @munakassim3521
    @munakassim3521 4 года назад +2

    Kama tupo pamoja 2020 na bado unaiona hii qaswida ni kiboko yao gonga like hapa

  • @nusrakajubu8377
    @nusrakajubu8377 7 лет назад +82

    natamani siku ya arusi yangu waniimbie hiyo

  • @talibnassur4000
    @talibnassur4000 4 года назад +1

    Mushikane na brother Nassir tu make best of qaswida in worldwide

  • @majidgashe9856
    @majidgashe9856 4 года назад

    Yaani haichuji hata siku moja 2020 Mungu awalinde

  • @fatoomfatoom5590
    @fatoomfatoom5590 4 года назад +1

    2020 ewe ndugu yangu wasubiri nini jambo lakuoa utafanya lini

  • @najmanajma-4765
    @najmanajma-4765 5 лет назад +11

    MashaAllah mashaAllah qaswida nzuri,Mola najalie ningie kwenye ndoa inshaAllah🤲

    • @salamamohammed5446
      @salamamohammed5446 4 года назад

      Mungi akufanyie wepes upt unacho kipat🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️💯💯💯💯

  • @yussufmohamed5018
    @yussufmohamed5018 2 года назад +3

    Keep trending till now 2022 mashaallah 💯♥️

  • @hk_ballers
    @hk_ballers Год назад +3

    2023 still the best ever

  • @faatiflex958
    @faatiflex958 3 года назад +10

    2021 and this is stilll my jam🥺

  • @azzygau2781
    @azzygau2781 6 лет назад +2

    I'm here today Maa Shaa Allah

  • @allyshabani738
    @allyshabani738 11 лет назад

    Mashallah qasida safi nzuri yenye maadili safi mmeturia safi nimeipenda mrhabaa

  • @abdullyjoginda2832
    @abdullyjoginda2832 5 лет назад +1

    Huaga nikiangalia hii qaswaid na me natamani niwe kama wao

  • @rahimaessa9904
    @rahimaessa9904 4 года назад

    Twaibin wallah nawapenda sana , Allah awazidishie Kila lenye kkheer

  • @bakarifaraji5478
    @bakarifaraji5478 3 года назад

    Maashalla mungu awape ummli mrefu wenye baraka

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 Год назад

    Nlikua napenda sana hiz still 🔥🔥🔥

  • @sleyabdallah8051
    @sleyabdallah8051 8 лет назад

    mashaallsh...wimbo mzuri wenye kuelimishaa...

  • @fatmat9433
    @fatmat9433 6 лет назад

    Best Qasida naisikiliza nikiwa oman mawada mawada yao maharusi

  • @omadybinumady5427
    @omadybinumady5427 5 лет назад +2

    Masha Allah qaswida nzuri saana

  • @reyshobya6750
    @reyshobya6750 5 лет назад +17

    2019 still watching 👍

  • @sefoassane6406
    @sefoassane6406 7 лет назад

    Shukran kwa kwaswida njema... my Allah gave you rehema, forgive your sin all of you, and gave you misercord to gate jannat firdaus

  • @ayshaomar2951
    @ayshaomar2951 7 лет назад +1

    Natama mani kuolewa.....eee mungu wangu.....nitolee imiitihani ....ya kiibilisi

  • @fatumahassanadan5050
    @fatumahassanadan5050 6 лет назад +3

    Mashaallah it makes me feel better

  • @XussniMubarak
    @XussniMubarak 21 день назад

    Bdo tupo tunazidi kupata raha y hii kaswidii❤❤❤

  • @Sarahaweys
    @Sarahaweys 3 месяца назад +1

    15 august 2024 anyone ❤

  • @tatudijah6773
    @tatudijah6773 4 года назад +12

    2020🔥🔥🔥 naupend sana

  • @axa29
    @axa29 8 лет назад +91

    "Wacha wasi wasi warizikijuwa Ilahi Qudusi ndio alotowa" :)

  • @mtopelamussa7440
    @mtopelamussa7440 3 года назад +2

    2021 gonga like

  • @munfatchichi2874
    @munfatchichi2874 6 лет назад

    Wameshatumiz jamb leny maana alilohuaia mtume hashim😘😘

  • @khadijaally5202
    @khadijaally5202 5 лет назад +2

    mungu tupe wepesi katika ndoa yetu 🙏🙏🙏

  • @fatmat9433
    @fatmat9433 6 лет назад +2

    Mawada Mawada yao Maharusi Maa Shaa Allah

  • @RioIpo
    @RioIpo 3 года назад +1

    Mawaada mawaada yao makharousi

  • @winslowog3358
    @winslowog3358 3 года назад +11

    Mashaallah 2021 and still this Qaswida is as sweet as new 🥰, what do you think?

  • @SaburiSamadu-p2v
    @SaburiSamadu-p2v 8 месяцев назад

    Nakupenda Sanaa hii qaswidaa allhal awalipe

  • @asiakinia9344
    @asiakinia9344 4 года назад

    Mashaallah sichoki kuckiliza hii qaswida wallah aichuji

  • @mwanajumajuma4541
    @mwanajumajuma4541 10 лет назад +14

    Mashaa Allah...sauti na kipaji mola kawajalia......

  • @Zowazowa-xu1gk
    @Zowazowa-xu1gk 10 месяцев назад +1

    Mashaallah tabarakallah ❤❤❤