Mashallah qaswida nzuri juu ya kuelimisha mauaji ya Albino Mola awajalie Wanachuo wote mlioshiiriki kuinba qaswida hii na munhu akujalie Ostadh kwa kutunga na kushirikiana vyema kuinba qaswida hii
Loves this Qaswida since then,I was still schooling till now married Alhamdhulillah still listening to it..2021.Ramadhan Mubarak my Muslim brothers and sisters.
Qaswida nzuri sana wallahy ni ujumbe kamili..kwa nini ewe kiumbe uhadaike na mali ya dunia wakati maisha ni mafupi..Allah anakusubiri na moto mkali unakungoja..
asiye penda hii kaswida ni katili love you guys more than 100% mola atujalie tuepuke haya majanga karibuni America ndugu zangu hivi nataka niwe Muslim maana nyinyi mna ujumbe mzito God bless all Muslims forever thank you God
I can hardly understand kiswahili but this song it lifts me actually the whole album... I can understand only few parts of the song and still enjoy and get the message.
Hesabu za Mungu haziendi hivyo..kibri ni kukata haki, unaogopaje ufukura wakati Mungu ndio mwenye kuruzuku jilazimishe kumcha Mungu.... usiwauue watu kwa kutaka mali kumbuka utalizwa ulichuma kutotaka wapi...zingatia sicheze na wema...
Hii ni busara ya hali ya juu kwa hawa waliofikiria kutunga kaswida hii yenye ujumbe wa maana kubwa katika jamii.Hii inabadilisha hata zile fikra hasi kuwa madrasa zetu hazishiriki katika matatizo ya jamii zetu.NAWAOMBEA KWA MOLA HAWA WAHUSIKA AWAZIDISHIE MOYO WA KUSAIDIA JAMII. NA AWALINDE NA KILA BAYA.AMIN
zeituna Abdinoor. This qaswida is blaming and crisis those who killings albino for stupid beliefs that they will be rich by using their parts of the body in their blackmagic.
zeituna Abdinoor its swahili from tanzania they are talkng about peoples killing albinos they dont have mercy on them hope this short note will make you sertisfied
Mumin Ahmed fata matendo sio busara kukosoa ujumbe mzito kama huu.... Mungu awabarik sana hawa mashekhe... Walio tunga hii qaswida.. Chamsingi nikufata matendo mema mambo ya vinanda wewe haikuhusu mungu ndie anaejua.
Anyone in 2024 listening to this qaswida God bless you
Fist is me
𝒔𝒂𝒎𝒆 𝒕𝒐 𝒖 2
❤❤
Allahum amiin
🤩🤩🤩❤️
Mwaka wa 2024 march, still feeling this as if it was released yesterday 😢
2024 still listening ❤
2024 kama unacheki hii qaswida gonga like
Nipo nimeikumbuka baad y kifo cha asimwe aliouliwa n bab yake
naipenda qaswida hii cjapata kuona. kweli Mungu aingilie kati kwa hili mana huu ni unyama
Hii nihtari
The don poch nene jaman hii kaswida niatali nzuli balaa
Hola
Naeza Pata number yako..dada
Naipenda sana
Am Christian
But I like this song
It's very impressive
Mashallah
Amin
Exactly❤
😢😢❤
Mashallah qaswida nzuri juu ya kuelimisha mauaji ya Albino Mola awajalie Wanachuo wote mlioshiiriki kuinba qaswida hii na munhu akujalie Ostadh kwa kutunga na kushirikiana vyema kuinba qaswida hii
Loves this Qaswida since then,I was still schooling till now married Alhamdhulillah still listening to it..2021.Ramadhan Mubarak my Muslim brothers and sisters.
N halimaa inasikitisha sana
Still here 6 months later 😭heart soothing Maa shaa Allah 🥰🥰
If someone knows this song he or she is a LEGEND 👍👍.
Qaswida nzuri sana wallahy ni ujumbe kamili..kwa nini ewe kiumbe uhadaike na mali ya dunia wakati maisha ni mafupi..Allah anakusubiri na moto mkali unakungoja..
Walid Farouk assalam aleykum
qasuda Kali sana inaujumbe
Masha Allah
Hii kaswida Ni Atali naipenda kuisikiliza kila mda
Mashaallah kaswida nzuri sana
Am Christian but am in love with this qwasida
asiye penda hii kaswida ni katili love you guys more than 100% mola atujalie tuepuke haya majanga karibuni America ndugu zangu hivi nataka niwe Muslim maana nyinyi mna ujumbe mzito God bless all Muslims forever thank you God
Astaliko Mulishi ... karibu katika dini ya haki
Bitoke coment
Mashaallah
Ndugu vipi umeshakua muslim? kama bado Mungu akufanyie wepesi
Astaliko Mulishi Ameen
2024 let gather here❤❤
Hii qaswida imetulia sana,mashallah!
Qaswida mzuri sana mwenyezi mungu ampe rahma
mashalaa imenihuzunisha sana na nikiangalia nikweli wanauwawa asante kwa kaswida mungu awajalie muzidi kutuelimisha wakenya
had analia duuuh nkweli iman
Tanzania hii bhana we vip?
Allah awajeze imani awalipe Leo na kesho kwa kuwatetea albino kwabutenzi huu mzuri inshaallah
Allah awalinde na mabaya walemavu wa ngozi
Mashallah 🥰🥰 Mungu awazidishie. I love this song very much
swaadakta ya usithad zidiaaaa mashaallah umemakinika katika ii qaswida
n
@@jrahman827 poa kama uko life
nyimbo nzuri hongera ustaz
anicetas evarist hivi hii ninyimbo amma nashdi
Masha allah
masha Allha good ostaz namibapenda kuimba qaswida
Mmbo vp
Imenigusa hii qaswida jamani....Mashallah ustadh Allah awajaze
ماشاءاللہ
Ww ni fala
I can hardly understand kiswahili but this song it lifts me actually the whole album... I can understand only few parts of the song and still enjoy and get the message.
Daa many years ago, but this still touches our heart, memories never dies, miss home 😢😢😢
mashallah kaswida nzuri 😘😘😘
📿📿📿📿
Very nice
Alhamdulillah
Mwezi wa9.2019 kama bdo unacheki hii Qaswida gonga like twende sawia
Leo n mwez wa 1.09.2023 mimi bado naangalia
26 /10 /2023 here❤️🔥❤️🩹
0:00
Tarehe 05/02/2024 kama na wew hii Qaswida ni pendwa kwako gonga like twende pamoja
17/03/2024 watching
Kama uko 2019 and still unaskiza hnu nyimbo gonga like
2020 tupo
Vp
from. nakuru. nakumbuka. kipindi. cha. mwezi. mtkf. wa. ramdhani. ni. kiwa. kahama. mtaa. wa. majego. mapya. nikiwa. na. beshte. yangu. azzi. a dala. alikuwa. ana. upenda. huo. wimbo. sama
ujumbe mzuuuuri mno
2020 kidole juu
jazakallahu kheir.wape ukweli wanaoua albino.hata mimi pia nawalaani
Asimwe alikuwa na Makosa ganiiiii😢 Mungu akupe Pumziko la Milele Asimweeee😢😢😢😢😢🤲🤲🤲
Best nasheed for albinism 😥😥😥😊😊
I remember this when I was little
The best😍❤️❤️‼️
Mashaallah ‼️
❤❤❤
i love the voice man i really love it and i understand the language it is swahili and iam in america but i left kenya some months ago
Mashallah
Mashaallah 💯
Wacha uongo hauko America
Manshalaahh GOD may bless you for your massage inshalaah
Hesabu za Mungu haziendi hivyo..kibri ni kukata haki, unaogopaje ufukura wakati Mungu ndio mwenye kuruzuku jilazimishe kumcha Mungu.... usiwauue watu kwa kutaka mali kumbuka utalizwa ulichuma kutotaka wapi...zingatia sicheze na wema...
Naipenda sana ii kaswid
Mm ni mkirsto lakn napenda sana kaswida nawapenda jaman
❤❤😊
Hii ni busara ya hali ya juu kwa hawa waliofikiria kutunga kaswida hii yenye ujumbe wa maana kubwa katika jamii.Hii inabadilisha hata zile fikra hasi kuwa madrasa zetu hazishiriki katika matatizo ya jamii zetu.NAWAOMBEA KWA MOLA HAWA WAHUSIKA AWAZIDISHIE MOYO WA KUSAIDIA JAMII. NA AWALINDE NA KILA BAYA.AMIN
Nice
Ameena Yarabb
kaygreko
❤️❤️❤️
uko,poa,inaelimisha
naumia sana sema can lakufanya mungu anajua
Who is here in may 2020?
Who is this
Please.
subuhana Allah Jamani mola hawanusuru albino wa sio kua na hatia yoyote binadamu kama watu wengine.kwa wanao fanya hivyo sivizuri haki Kwa mola.
Poa
mashallah,,wimbo mzuri wenye mafundisho mazuri
Reminds me of my late Aunt😢😢🥺🥺...Mungu akurehemu Ameen inshaaAllah..akujaalie Janaah.🕯️🕯️
I am listening 2012 upto 2023 very impressive
2024 bado chozi lashindwa kujizuia...😢
subhanllah. sauti nzuri lkn maneno yke yasikitisha
Zuhura Salim 😱😱😱
Zuhura Salim UN
Zuhura Salim San my awajui km dunia mapto
nawapendena sana waislam yaan
my mum and my siz a day cant pass without singing this song .what anice song
Mungu awabariki sana Kwa qaswida nzuri yenye ujumbe Kwa jamii, 22/04/2024❤❤
2019 tunafunga na nyimbo nzuri kabisa ya mafunzo Kama unakubaliana nami gonga like apa
Innshllah kwa mtunz mwenyezmungu amupe mwongozo mwema
2019 ..
Gonga likes kwao..
I love this ansheed ..but I don't understand the meaning I wish I could know this language
zeituna Abdinoor. from where ma greand
zeituna Abdinoor. This qaswida is blaming and crisis those who killings albino for stupid beliefs that they will be rich by using their parts of the body in their blackmagic.
zeituna Abdinoor its swahili from tanzania they are talkng about peoples killing albinos they dont have mercy on them hope this short note will make you sertisfied
Hui
zeitun you not a Tanzanianieeee let me explain to u
mansha Allah nice nice Allah awa sima miye iri muzidi kutufu ndisha v2 vzr 🕋🕌 from 🇹🇿🇹🇿⚘⚘Allah ibariki Tanzania na dunia kwa ujumra hamin
Proud to be a swahilian guy, kuzaliwa uswailini raha
Ni Raha walai
QASWIDA moja nzur sana tangu day one kuiskia mpka Leo ipo kichwani WALLAHI ITS HEART TOUCHING ONE LOVE FROM OMAN 🇴🇲 ❤
This song still gives me goosebumps still listening 2021
You can say that again☺☺☺
Mashaalah qaswida nimeipenda
Daima pamoja.Allabarakafii.
stanley daud
edi zizu nimeipenda
20/3/2023😍still love this kaswida
love this qaswida since childhood till now adulthood Alhamdulillah
Kumbe tuko wengi tulio ipenda hii nyimbo utotoni mwetu daah gud memory aise
Mashallah chukulani mwenyezimung akubarkiwe sana👍👍👍👍
wimbo nzuri sana,mashaallah
Nasrahamisi01
Wow caroline Jackson
Caroline Jackson waabudia jua
Mashaallah
It's very good asante sana brother
kitambo sana daahh mashallah
Mashaalah qaswida nzuri wow👌👌👌👌👌
i wish one day i will learn this beautiful language
Don't worry ✌
Welcome
Naupenda uislam mungu uchukue uhaiwangu nikiwa .mwislam safi
i still love this song in 2022
Me too
Masha'Allah Allah atujaalie Jannah mzee wangu
masa allah beutiful voice.
im from indonesia.
2024 fatahii ww good job Zanzibar
maashallah....ramadhan makbul
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤ yarabi wajalie Albion
Qaswida mzuri sana MashaAllah 😍
MashaAllah...sauti nzuri sana.Allah awabariki👏👏
kasida ni nzuri sana lakini vinanda vingi sana imekuwa sio kasida imekuwa nyimbo nimeipenda sana lakini vinanda ndio vilio haribu
Mumin Ahmed fata matendo sio busara kukosoa ujumbe mzito kama huu.... Mungu awabarik sana hawa mashekhe... Walio tunga hii qaswida.. Chamsingi nikufata matendo mema mambo ya vinanda wewe haikuhusu mungu ndie anaejua.
+Abou Msouth kweli wengne kazi kukosoa mwenzao tu
tuacheni unyama tumrudie mungu, nice songs
Asante sana ndugu.
mungu akubariki,
Maashallah qaswida nzur sanaaaa cku zote naipenda
mashaallah qaswida nzuri sana
qaswida nzuri kweli
qaswida nzuri kweli
This qaswidah never dies❤
Napenda all qaswida za kiswahili
Yeah me 2 I like it
Hii kaswida naipenda sana. Inasikitisha sana
Iko vizuli sana
Still listen this qaswida very nice with good message
Vifo vya albino very amazing qaswida Allah tumuwombeye a tupe alidjana
So nice qasida,love it😘😘
Nymbo nzuri ina ujumbe mzurii xnaaaa
mashaallah napenda xana hii nyimbo nzuri
Until now, 2024, I'm listening to this qaswida its has deep meaning😊😊😊😊
Same here
macha'allah ce kassuda est vraiment bien triste mais bien courage
Allah atawashinda mashaallah qaswida nzuri
Childhood nasheed ☺️🥰🥰🥰
Kwa mara ya kwanza naitazama kwenye Cd ilikuwa mwaka 2010, ilikuwa Moto 🔥🔥🔥 wew uliiona mwaka gani
1k dislikes 🙄🙄🙄 ni lugha Hawajui ama🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴mad love 4 this frm Somalia,,compelling & emotionally thrilling nasheed✊🏿✊🏿
Mashaalah mungu awazidishie mutuerimishe albino ni binadam kama binadam wengine
Verry nice song
Mashallah kaswida nimeikumbuka sana Leo nimeitafuta
i like this qasida
As Salaam Aleykum Wa Rahmatullah Wa Barakatuh.....Ma Sha Allah Qaswida yenye kuckitisha jazaka Allah kher....Allah Akuzidishiye Utajiri wa Afya
mashaallah hakika inapendeza
i don't know de meaning of this nasheed but I liked it masha Allah.
They're saying albinos should not be killed bcz they have not chosen to be albino and that Allah has cursed those who kill albinos
Masha allah tabarakallah hii qaswida naipenda saana
mashaalah sauti na shairi wenyewe 👍👌👌
kweli jaman vialubino nao viumbe kama ss jaman
wela wela
Nimeipenda hii kaswida iko vzr sana na pia inafundisha mambo meng juu ya ndugu zetu albino