Qaswida yenye mafunzo mema zaidi - Walia nini mwanangu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 1,9 тыс.

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 7 лет назад +319

    Tuwe waminifu mchepuko balaa mola atunusuru

  • @AshrafNyaki-si6fv
    @AshrafNyaki-si6fv 10 месяцев назад +10

    Qaswida nzur sana yaan,wale 2lioichek 2024 gong like hap

  • @YusraHamadi
    @YusraHamadi Год назад +48

    2024 nipeni like zangu jaman

  • @AishaAmiani
    @AishaAmiani Год назад +6

    ❤❤❤❤forever my favourite kaswida 2023

  • @SaumuShehe-kt3ut
    @SaumuShehe-kt3ut 10 месяцев назад +11

    Hiii KASWIDA hadi leo ukiskilza haimalzi hamu ni mzuri Sana na wameipatia

  • @alfanabdallah8157
    @alfanabdallah8157 3 года назад +18

    2021 bado tunaangaria ngusa Kama like

  • @hashkhantantrasiraji118
    @hashkhantantrasiraji118 13 дней назад +2

    Mungu atuepushe na magonjwa hii qaswida inatachi kweli moyo😢❤🙏

  • @marywanza-by9df
    @marywanza-by9df Год назад +6

    Am not a Muslim but I love this qwasda

  • @suleimanroba5896
    @suleimanroba5896 2 дня назад +1

    Ustadh asalamualehkum kwa elimu yako allah kabisa ustadh !

    • @suleimanroba5896
      @suleimanroba5896 2 дня назад +1

      Kweli kweli baba haki mwambie mwana mamake ni nani?aiii ustadh umesema

    • @suleimanroba5896
      @suleimanroba5896 2 дня назад +1

      Maashalah !ustadh tuende nalloo allah akuhifadhi

  • @zainababubakar7651
    @zainababubakar7651 3 месяца назад +6

    Mrudishe mamake mzazi tafadhali😢😢😢😢😫😫😫😓😓😥😥☹️☹️☹️😣😣🤧🤧

  • @fridayrungwe7152
    @fridayrungwe7152 Месяц назад +2

    Hii qaswida inanikimbusha kifochamzazi wangu

  • @ramadhaniadamu3782
    @ramadhaniadamu3782 3 года назад +4

    Qaswida mzur sana inaujembe mzur sana mwenyezi mungu azidi kuwapa ujuzi mzidi kutuelemisha

    • @arkamarkam1636
      @arkamarkam1636 2 года назад

      Mashallah 😭😭🙏🙏🙏❤❤❤❤❤

  • @shamimujuma8494
    @shamimujuma8494 2 года назад +82

    Walioangalia Kaswida hii mwaka huu walike

    • @zenakioga6567
      @zenakioga6567 2 года назад +1

      Nabado naangalia siichoki ata kidogo

    • @JumanneWexaka-bt3ch
      @JumanneWexaka-bt3ch Год назад +1

      Jaman naomba hii kaswida muifatilie sana

    • @zuhurajokoro1233
      @zuhurajokoro1233 Год назад +2

      Kweli hayo yanatokea kwetu na yanatia uchungu sana

    • @SaumuAthumani-e8t
      @SaumuAthumani-e8t 4 месяца назад +1

      Naipenda sana qaswida hii ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @VianneyNdayisenga-od3zh
      @VianneyNdayisenga-od3zh 4 месяца назад

      Acha Tu Ni Seme Qaswida Pambee san Hadi Kuta Zinazungumziyana❤❤❤❤❤

  • @AllyGamaa
    @AllyGamaa 4 месяца назад +4

    Mungu atupe moyo wa subira

  • @ndegendegetourssafari6871
    @ndegendegetourssafari6871 3 месяца назад +5

    I like it most am christian but huu wimboo niko now indeep😢

  • @msekwamussa7070
    @msekwamussa7070 5 лет назад +6

    Mashaallah it's 100% very good i like it

  • @AlbashirRashid-e1v
    @AlbashirRashid-e1v 3 месяца назад +4

    Allah ampee subra

  • @salamamalingum4636
    @salamamalingum4636 7 лет назад +9

    Mashallah Qaswida Inaumiza sanaa mungu Atuepushe na maradhi Insha Allah

  • @nairobianbullet
    @nairobianbullet 2 года назад +3

    Qaswida nzuri mashaallah Allah awazidishie

  • @arafaa1412
    @arafaa1412 5 лет назад +8

    Mashaallah Mashaallah Allah akuongoze kaswida nzuri sn

  • @Halimamaere
    @Halimamaere 2 года назад +2

    Mashallah kaswida nzuri san kila nkiitazama inanilizaa kwa kwel 😭😭😭😭

  • @mohameda.d.masuwe6160
    @mohameda.d.masuwe6160 6 лет назад +6

    Asante sana kweli ya uma sana muungu atulinde na magonjwa amina

  • @MohamedOmary-j8t
    @MohamedOmary-j8t 3 месяца назад +1

    Mashaallah qaswida nzuri sana nikiisikilizaga

  • @FirdausMahamud
    @FirdausMahamud Год назад +4

    mashaAllah nice qaswida

  • @kadirosage3878
    @kadirosage3878 3 года назад +3

    Qaswida nzuri 🇰🇪🇰🇪♥️♥️😰naipenda
    Sana MashaAllah

  • @mariamkhamisi9357
    @mariamkhamisi9357 Год назад +4

    Mm kila mwaka lazima nitazame naipenda sana

  • @mwanamisiomarmwanamisi8149
    @mwanamisiomarmwanamisi8149 6 лет назад +3

    Mashaallah mashaallah qaswida nzuri ujumbe mwema allah awazidishie muzidi kutukumbusha Amiin ishaallah INA hurumisha had I nalia thaqbir thaqbir thaqbir Allahu Akbar😍😍😍😍

  • @zubedashaban8119
    @zubedashaban8119 5 лет назад +6

    Kwakwel inauma hasa unapoletew dahaa allah tunusuru kwa ili tupe mwisho mwema aminaa

  • @ASIAMINGE
    @ASIAMINGE 10 месяцев назад +3

    Jaman mashaallah qaswida nzuri

  • @tatimafahad9376
    @tatimafahad9376 6 лет назад +5

    Qaswida ina mafunzo nzuri sana Allah atujarie uwaaminifu ktk ndoa zetu

  • @ramlabakari-dg4st
    @ramlabakari-dg4st Год назад +1

    Nimeipenda kaswida hii nikisikiliza mioyo inanigusa hatari. Mashaalah

  • @faridaimran1088
    @faridaimran1088 3 года назад +4

    Mashaallah natumaini kwa uwezo wa Allah watu watajifunza kupitia ujumbe wa qaswida hii

  • @AshaHamisi-j5q
    @AshaHamisi-j5q Год назад +5

    Mashallah inafunz na ukwel ukiwemo kwa mjomba

  • @tifahfauzia9157
    @tifahfauzia9157 6 лет назад +6

    nzuri mashaallah inamafunzo sana, imenitoa machozi

  • @mohammedhamiss3127
    @mohammedhamiss3127 Год назад +4

    Allah akujalie maisha mema

  • @rehemabakari6403
    @rehemabakari6403 7 лет назад +5

    Mashaallah kaswida nzuri na inaujumbe mzuri......allah atunusu na maradhi aya

  • @christinafidelis3053
    @christinafidelis3053 4 года назад +6

    Hongeren wote mlie shirikiii huuu wimbo mana una mafundsho mengi

  • @ashurakondo7366
    @ashurakondo7366 6 лет назад +4

    mashaallah bint anasauti nzurii pia oaswida nzuri yenye mafunzo

  • @sambilahussein6242
    @sambilahussein6242 5 лет назад +10

    Mara ya kwanza kuisikiliza hii kaswida nililia sana ,allah atupe mwisho mwema

  • @hawaabubakar2619
    @hawaabubakar2619 6 лет назад +7

    As Salaam Aleykum Wa Rahmatullah Wa Barakatuh.....Shukran kwa qaswida zako haswa hii imenigusa nalia nackiza nikiwa saudia Arabia

  • @hamidamedia514
    @hamidamedia514 Год назад +1

    Nairudia kila siku hii kaswida,,,,inaliza sana,, tuwe waaminifu katika ndoa zetu ilitusiwape watoto wetu huzun na mateso

  • @marywanjiku3793
    @marywanjiku3793 4 года назад +8

    Wimbo huu unanitoa machozi nauzunika sana mma ni mtu wa maana sana kwenye maisha yangu

  • @manassehjoseph3740
    @manassehjoseph3740 4 года назад +7

    Tufikie sehemu tuwe waminifu na wakweli,ingawa mkristo jaman kwa hii mnaweza na mpo vizuriii sana

  • @aminaramadhan3970
    @aminaramadhan3970 4 года назад +5

    Maa Shaa Allah. Kwa hakika naipenda sana hii qaswida kila ninapoisikiza nalia . Ujumbe muhimu sana. JazakaAllah khair.

  • @stabuamohamed483
    @stabuamohamed483 10 месяцев назад +4

    I love this qaswida mashallah

  • @zubedashaban8119
    @zubedashaban8119 5 лет назад +6

    Mashaallah mana hii qaswida ina mafunzo ndani yake kwakweeli allah atupe mwisho mwemaa ameen

  • @kishuliyusuph4178
    @kishuliyusuph4178 4 года назад +6

    One of the best kaswida off all the time ....love ALLAH ...Love you to for those who sing kaswida hii .

  • @aishalyanga727
    @aishalyanga727 5 лет назад +5

    Yani nimeipenda Sana hii kaswida Sana naiangalia kila mara mashaalaa wamejua kutufundisha kwakweli 🙏🙏🙏🙏😭😭😭

  • @karimasaid8295
    @karimasaid8295 5 лет назад +5

    mashaallah, qaswida yenye mafunzo kweli, ya Rabii tuepushe na dhiki na mabaya ya dunia inshaallah

  • @yusufkhamis8243
    @yusufkhamis8243 6 лет назад +7

    Mashalah mwenyezi mungu awajalie imenigusa xana!!!!

  • @saumu9911
    @saumu9911 2 года назад +2

    Qaswida yenye mafudzo mazuri sasa Allah atunusuru kwa majanga haya

  • @esternzunda8956
    @esternzunda8956 5 лет назад +4

    Mafundisho yasio isha mi sio muislam ila ii nyimbo mungu wa mbinguni awabaliki kwa mafundisho

    • @liongamusa3806
      @liongamusa3806 4 года назад

      Inapendeza kwa huo moyo ulionao.. Tz raha sana hatubaguani

  • @KhamisiMbully
    @KhamisiMbully Год назад +3

    Mungu atujalie inshallah wanaume watulie

  • @mariammahmoud6953
    @mariammahmoud6953 3 года назад +6

    Huwa inanilizag nkisikilz tuwen Makin inshallah Allah awape ufahamu

  • @anitasefu
    @anitasefu Год назад +3

    Ewemwenyez mungu tujaaliy waja wako napia utuepuxhe naazabu yakabur

  • @rahabujohn2691
    @rahabujohn2691 4 года назад +12

    Japokuwa Mim ni mkristo lakini napenda sana kaswida.pia tusidharau dini za wengine la Muhimu tumche Mungu alietuumba

  • @SaumuDama-o2p
    @SaumuDama-o2p 9 месяцев назад +3

    My favorite qaswida

  • @alnasrialnasri721
    @alnasrialnasri721 4 года назад +10

    MAA SHAA ALLAH TABARAKALLAH. Kama unangalia.2020.

  • @shabaningayama8417
    @shabaningayama8417 2 года назад +2

    Mashallah ujumbe mzuri , tujifunze kuifikiria familia zaidi

  • @habibatyntosso1436
    @habibatyntosso1436 5 лет назад +5

    Mashallah hakika hii ni zaidi ya funzo allah awazidishie kila jema inshaallah

  • @chilovebeb4579
    @chilovebeb4579 11 месяцев назад +6

    Mamangu na hii jamanii Duuuuuh kwa cku anaskikiza hta mara 30🤣😆😂🙌🙌

  • @rukiamaliyo1898
    @rukiamaliyo1898 5 лет назад +4

    MASHAALLAH,Naipenda Maana inafunzo nzuri kwetu Waislamu.

  • @sheikhabdulrahim7740
    @sheikhabdulrahim7740 3 года назад +3

    Masha Allah masha Allah masha Allah is beautiful qaswida beautiful Allah atufadhi is beautiful 😊

  • @jumachiryauta8890
    @jumachiryauta8890 Год назад +4

    Mashalla qasda murua kabisa

  • @fatumamohamed6903
    @fatumamohamed6903 3 месяца назад +6

    Mwaitwaje kuna qaswida yenu moja naitafuta ila sijui jina lake labda mkiniambia jina yenu ni search nitaipata jmn

  • @reythamsaidy8673
    @reythamsaidy8673 3 года назад +4

    Mashallah hakika ni qaswida YENYE mafunzo

  • @kulwashuga
    @kulwashuga Год назад +3

    Kwa kweli inaelimisha tuanche michpko mashallah

  • @mustafaally2424
    @mustafaally2424 5 лет назад +15

    kazi nzuri,mungu atupe mwisho mwema

  • @JumanneWexaka-bt3ch
    @JumanneWexaka-bt3ch Год назад +3

    Jaman hii kaswida inamafunzo mema

  • @fatumawalid3643
    @fatumawalid3643 6 лет назад +12

    qaswida nzuri sana Mashaallah. imenifanya nikalia kwani ni mambo hutendeka kote duniani. Allah atuhifadhi

    • @allymsumi7978
      @allymsumi7978 3 года назад

      Hakika wallah co Wababa tyu hata wamama sote tuwe makini

    • @allymsumi7978
      @allymsumi7978 3 года назад

      Qaswaida nzuri na huyo binti mashaallah

    • @taturamadhan1747
      @taturamadhan1747 3 года назад

      Hakika imeniumiza san uko vzr pole sana allah akujalia

    • @bakarigatanga1808
      @bakarigatanga1808 3 года назад

      @@allymsumi7978
      #

  • @ShamumaShaibu
    @ShamumaShaibu 2 месяца назад +2

    Mashallah funzo zuri❤

  • @ElizabethCharles-b2z
    @ElizabethCharles-b2z 10 месяцев назад +4

    Iikaswida inanirizaga sana basi tu

  • @akiduluambano7976
    @akiduluambano7976 4 года назад +3

    Mashaallah qaswida nzuri yenye mafunzo

  • @khalfansaidy9101
    @khalfansaidy9101 4 года назад +6

    Mashaallah ina mafunzo mazuri allah atuepushe

  • @alimasssaidi5922
    @alimasssaidi5922 8 месяцев назад +4

    Allah atupe mwisho mwema

  • @saudiaomary9882
    @saudiaomary9882 Год назад +15

    Tunaoiangalia mwaka huu 2023 tujuane hapa 👇👇

  • @rehemamgunga8854
    @rehemamgunga8854 Год назад +3

    Amazing from this side of Duruma 🥰

  • @SalmaOmary-iy5cm
    @SalmaOmary-iy5cm Год назад +4

    Safi sana hiiqaswida

  • @SouleymanSoumbeh
    @SouleymanSoumbeh Месяц назад +1

    Naipend san nakosa gisi ya ka yakuiwek msim❤

  • @princesszuumtamu8026
    @princesszuumtamu8026 6 лет назад +8

    Imenigusa sana nami nalia 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @AminatBeka
    @AminatBeka 4 месяца назад +6

    Mashallah

  • @hadijadamumbaya5423
    @hadijadamumbaya5423 6 лет назад +4

    Imenipa mafunzo imenipa tahazari yamaisha pia imeniumiza kwa kweri kifo nikitu kinachoninyima amani kila nikikumbukapo mungu tupe mwisho mwema wajawako

  • @FatumaMasoud-fc2ek
    @FatumaMasoud-fc2ek Год назад +4

    Kaswida inahuzinisha sana😢

  • @babueddyothman300
    @babueddyothman300 5 лет назад +6

    Maxhaallah ujumbe ulobeba maudhui makubwa ktk jamii zetu. Hizi ndio qaswida zenye kuleta tafsiri pana. Xio kila siku unaimba qaxwida za harusi tu

  • @saidanvidal2321
    @saidanvidal2321 2 года назад +1

    Nmeipenda kaswida hii ni mzuri mashallah

  • @bahatiamisi7727
    @bahatiamisi7727 4 года назад +5

    Mafunzo mazuri mbarikiwe ❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿

  • @rehemangawanga8566
    @rehemangawanga8566 3 года назад +2

    Mashaallah kaswida nzuri😭😭

  • @ramadhankijana9442
    @ramadhankijana9442 5 лет назад +8

    Dah Allah atujalie mwisho mwema

    • @sasadada5389
      @sasadada5389 5 лет назад +2

      Ramadhan kijana 😭😭😭

  • @MalikMolu-t5h
    @MalikMolu-t5h 3 месяца назад +3

    Wllh wanaume kueni na subra

  • @carolinamrema7290
    @carolinamrema7290 3 года назад +4

    napenda Sanaa hii kaswida mashalaaah

  • @fatmasalim91
    @fatmasalim91 6 лет назад +2

    Yaaah Allah tuzidishie subra na imani ndani ya moyo wetu yaah Rabbiiiiii

  • @banurashukurujamilah1390
    @banurashukurujamilah1390 2 года назад +3

    Wallahi very 😭 sad song in my life I really liked it

    • @safianahshaafie5510
      @safianahshaafie5510 2 года назад

      Even i don t understand the languages but the song is making me to cry

  • @ZaharatiHassan
    @ZaharatiHassan 11 месяцев назад +2

    Kaka ABHIMANYU unaendana na dada AKSHARA na mafaa kuoana bwana najinalenu ABHIRA
    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😅😅😅😅😅😅😮😮😮😢😢😢😢😢😢😢msiniambienye sio mke namume nitalia sana happy oliiiiiiii8😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😢😢😢😮😅😅😊😊

  • @mnyamwangatzukiwahaunabasi2299
    @mnyamwangatzukiwahaunabasi2299 5 лет назад +6

    ni Qaswida nzuli na inafunz nimeipenda saana inshallah

    • @taigerzinda4039
      @taigerzinda4039 5 лет назад

      Mnyamwanga Tz ukikosa * bofya # pamoja sana mnyamwanga mwenzangu

  • @ZainabOthman-n1g
    @ZainabOthman-n1g 5 месяцев назад +2

    Wow it's so amazing qaswida

  • @ZahraZahra-rp7wb
    @ZahraZahra-rp7wb 5 лет назад +6

    Mashaalha mungu Awazidishie muzidi kutufundisha mema

  • @muntadhwarhussein7800
    @muntadhwarhussein7800 2 года назад +1

    Qaswida ninzur nayenye mafunzo maashaa Allah 🌹🌹

  • @allymohammedisere6486
    @allymohammedisere6486 7 лет назад +8

    wislam ndio din ya kweli mashaallah

    • @alimaalima6016
      @alimaalima6016 6 лет назад

      Ally Mohammed Isere kabsaa dini ya haki yani najivunia kua muislam alhamndulillah

  • @NasoroRashid-z7v
    @NasoroRashid-z7v 9 дней назад +4

    tunaoangalia hii kaswida mwaka huu wa 2025 tujuane apa

  • @rehemanyamawi2790
    @rehemanyamawi2790 5 лет назад +9

    Inna Lillah huu msiba yafanyika kwa ss.....Mungu atujalie kheir katka ndoa zetu