😭😭Kidume chozi limenitoka leo hii 2024 coz niliweka ahadi wakati nina miaka 15 tu Kwamba hii Qassida nikioa niisikie lakini bahati mbaya haikuwa hivo siku ya harusi mimi sikuepo kutokana na fitna na ikabidi siku ya harusi yangu ipite bila mimi wala mke wangu 😣 Na haiwezi jirudia sina picha ya harusi wala radha ya pilau siijui LAKIN Alhamdulillah yote kheri Allah anajuwa apangalo but this ❤
Kila jambo na kher zake allah bora ila uwezi juwa allah alikuepusha na jambo gani ila kwa ushauri wangu unaweza fanya siku moja kumbukizi ya ndoa yako ww na mkeo na mkavaaa vizur na mkapiga picha ya kumbukizi ya harusi basi kila kitu kitakuwa sawa kwa uwezo wake allah kaka
mashaallah wallah dini yetu nitamu saaaana kushinda asali imagine sichoki kuiskiliza kaswda hii kwakicha ndo haijawahi potea mungu awazidishie kila lakheri wote mloshiriki hapa
😭😭Kidume chozi limenitoka leo hii 2024 coz niliweka ahadi wakati nina miaka 15 tu Kwamba hii Qassida nikioa niisikie lakini bahati mbaya haikuwa hivo siku ya harusi mimi sikuepo kutokana na fitna na ikabidi siku ya harusi yangu ipite bila mimi wala mke wangu 😣 Na haiwezi jirudia sina picha ya harusi wala radha ya pilau siijui LAKIN Alhamdulillah yote kheri Allah anajuwa apangalo but this ❤
Kila jambo na kher zake allah bora ila uwezi juwa allah alikuepusha na jambo gani ila kwa ushauri wangu unaweza fanya siku moja kumbukizi ya ndoa yako ww na mkeo na mkavaaa vizur na mkapiga picha ya kumbukizi ya harusi basi kila kitu kitakuwa sawa kwa uwezo wake allah kaka
Wallah nataman sana ndoa nkickiliza hii qaswida❤❤ Allah atujalie ndoa ambao bd hatujapata inshallah
Baada miaka kumi karibuni inshaAllah nahalalishwa na hii nyimbo nimerud kuiskiza nikijua siku niliyoisubiri kwa hamu hatimaye imewadia💞💞💞💞💞💍💍💍💍
Mie bado jmnii😭😭😭mungu anijaalie mume mwemah🤲
Allahuma Ameen
Wakati yatoka ndio nilikuwa Niko Kwenye harakati za kuoa🎉❤
Mm bado mungu anipe mume mwema❤
Amin@@HafidhaAmiri-td8su
Mashallah nataman siku yangu ya harusi imbwe hii inshallah Allah anijalie mume mwema yarab
In shaa Allah.Ameen.
Amiin Thoma amiin sote jamii islamu wakike na wakiume
mashaallah wallah dini yetu nitamu saaaana kushinda asali imagine sichoki kuiskiliza kaswda hii kwakicha ndo haijawahi potea mungu awazidishie kila lakheri wote mloshiriki hapa
kweli kabisa amiin inshaallah
Eli mina llah kheriii ya kharusi daaa allah nijalie nije pata mke mwem mwny kujua vyema naadiili ya din inshallah nataman niowane nae
Mashaa Allah siku ya harusi yangu hii nashid itapamba shughuli yangu in shaa Allah
Mashaalllha kawaida nzuri .mnoo allha awabaarik
Qaswida tamu xana mungu ampe afya njema Mume wangu mtarajiwa
Amiin Thoma amiin
Niko hapa
wallah hii qaswida natamani kusikiliza muda wote
wow mashalla nyc song am from kenya currently in saudia n i must listen to this daily n i like the young man smile imefanya hio video ingare
Pia mm from kenya nimeipanda sana hii kaswisa currently in saudia
Wallah thummaa wallah hakuna kitu muhimu katika maisha kama ndoa Soo sisi ambao hatukuowa tumuombe mungu atujaalie katika jambo hili muhimu
madrasa noma jaman naipenda sana yani Mungu awazidishie sana
Masha Allah nice qaswida
It was a very nice qasida
❤❤nyoyo zime watulia harusi imeshakuwa
natamn cku y harus yang niimbiwe km hv af mke wng awe mwema wallah ad rahaa atupe wake wema wanaume wte
In Shaa Allah.. Allah atakabalie Du'aa yako
Ameen
Allah akufanyie wepesi
Ameen yarrab jmn mnitafute watsup 0657218771 in shaa Allah
aamin
hakika hawa mashekhe Mungu awape maisha marefu na yenye baraka tele in sha allah
mashaallah.... mnanitamanisha na mim niolewe
Masha Allah
Masha Allah
Masha Allah qasda ni nzuri sana
Masha allah, ni nzur sana
Mashaalla qaswida nzur Sana tena naipenda sana
nikiangalia hii video dah inanifanya nizid kutaman maisha ya ndoa yaa rabii nijaalie mume mwema!!
MashaAllah
ally Kibwana innshalah utampata kwani Allah hana ashindwalo
Mbona jina ni Ally kibwana harafu unatamani mwanaume?
Aaamiiyn. Ulishapata hivi bila shaka
Umesahau. ?
thanks my brothers and sisters for your comments May Allah bless u All for the view you can watch more from this group jus type madrasatul nah dhat
amaizing qaswida...am still crazy about it in 2016
jelani ali its 2017 but i fill its like you shut ths video month a go be blessed my dear brothers Allah itakabal mabrook
jelani ali mashaallah
penda sana ndo mambo yang
MashaAllah
Mashaallah nice qaswida
Mungu a2jalie uzmi naafya tele kila mja atafkia hitaji lamoyo wke
I miss my family there I shall be back any time nice day.🙌
Maa shaa Allah Waallah ndoa inaraha yake Yaa Allah Nijalie niipate stara hii naawe Mume mwema in shaa Allah 👏👏👏😢😢
Ameen.
Mashaallah kaswida ni nzur mpaka nakuwa naimani nitapata mume mwema inshaallah
Umenipata +255724829191
Amiin Thoma amiin sote jamii islamu wakike na wakiume natujalie
Masha Allah.kheir Insha Allah.Zanipa faraja sana
i love this song they all look nice keep up
Shekh una jua sana Mungu akujalie na akupe maisha marefu ili uzidi kuifikisha mbal dini yetu ya kislamu
maashaaalah qaswida nzuriiiiii saaaaaanaaaa
Mashallah
Mashallah nice qaswida
Mashallah hii kaswida inanipa nia njema Ya kidini na maisha sana:( na huyu dogo mashallah kapamba video:)
Mashaallah mpka naitaman ndoa❤️❤️❤️
mashaallah pia mm namuombea kaka said bati hussein na yeye afunge ndoa
Allah Akufanyie wepes!!!!
Zamani ilikuwa kuna waimbaji wazuri wa kaswida mashallah
Mashallah Allah atujalie kizazi chema🤲🤲🤲
Masha'Allah... this is the song that i qonna be playing my wedding day Insha'Allah:)
Me too😁
Manshallaah Allah anijalie na Mimi nipate mume wa kheri
beautiful qaswidas, mashaaAllah!
Inanikumbusha mbali
mashallah nimeipenda sana nikona harusi ya ndugu yangu Kenya kombani tarehe kumina tano nitumieni no zenu nataka kuwaita
Saif Al Falasi 0796348141
Mashaa Allah nice kaswidah...
Mashaallah
Ama kweli vya zamani ni dhahabu
Mashallah 🥰 huwa nikiskilza naskia aman na furaha nakumbuka sku ya harusi yng😥
Mashallah lovely song, with the little young man smiling 0:30 :)) makes you enjoy the song.
may allah blessed u all how it is interesting even if i dont know what they are saying (from ehtiopia)
nice song God bless....
Yan naipenda sana hii qaswida
Masha'Allah Madrasatul Nah Dhat.....Alfi shukrani kwenu nyote na Walimu wenu.
loverboyx5
napenda sana kaswida zena mungu awazidizishie baraka
assalamu Aleykumu w.w.nduguzangu waislamu yaremambo munayafanya nimuzuli lakini Mtume Ashakataza kwahivyo chungeeni isiwenihasala skuyakiyamah fadhakili fainnadhikila tannifaullimumininah In'shaAllah
+yahya wainaina,kosa apa liko wapi?ata mtu wetu MOHAMMAD s.w.a akipofika Madina alipokelewa na matwari
+yahya wainaina,kwa hiyo kwenye harusi watu waeke nyimbo za diamond ndio furaha yako?
Mashallah nawaalika kharusi yangu ndugu zangu tarehe 7 December inshAllah 🤲🤲🤲🤲🤲
fantastic i kly it n the nyc smile from the small boy keep it up
Mashaallah kla LA kher
Inshaa allah natamani siku ya harusi yangu niimbiwe hii qaswida inshaa allah yarabi nijaalie mume kwema
Amiin. Inshaallah
Amin
Mashallaaah blessed sounds
Napenda uyo mdogo mola amjalie mashaallah
Daaah nakumbka mbali sana
Kher inshaallah....naamin na mm Allah atanifanyia wepes
skhe khafidh hapa akasome
hawa jamaa wanajua bn
Kutoka kampala Uganda,na wa shukuru sana.
kheri inshallah
Naipenda vilevile inanivita ni the best
Mashaallah qaswida nzuri
Mashallah mashallah qaswida nzuli
Allah nisadie nidumu na mumewangu mbaka kifo. Amiiiiin
Beautiful qaswida Masha allah ❤
shukran all for ur comments
cette chanson sa fais penser dans un mariage de vouvouni Bambao
asaIam aIaykum,its swahiIi Ianguage fr0m east africa-Tanzania@zahrashah
Amar bawaazir وعليكم السلام
mashallah mola awazidishie elmu
Alima Alima mashallh
nice kaswida nzuri sana hii
Mungu nipe mke
Inshallah mungu alete heri na mimi niolewe mwaka huu
Inshallah ❤️❤️❤️❤️
Mashaallah 💓💓💓
Maashallah.
Daaah MashaAllah had machozi yananitoka nikiisikiliza hii Qaswida😢😢😢
Yaan hii qaswida nilkuw nasklza zaman tangu baba yng yupo hai bas hapa nimeskilza nalia t tyr amefarik😢
Ma ash Allah
Jumah❤
Napenda mnavoitikia
Beautiful island Zanzibar
raha sanaaaa
mashaallah!!!!
Mashaallah mola hawape heri tele
Masha Allah ❤
Ee bhana hili dude ni shida ..limetetimia kila idara ..limetengenezwa kiufundi sana
Hhhhh shukran sana
mashalla
h i like this qaswiida
2024 Alhamdulillah ❤
Ma shaa Allah
mashaallah shukran jazzilla kwa qaswida
mashallah qasda nzurisa mashallh.
mwenye nayonaomba anilushie wtsp
safi sana qanswaida nzuli
allah protect all marriages
good song
Man'chaAllah napenda sana kasida iyi
wow awesome I like Swahili ..
Kazi njema
Mashallah jmn❤
MaashaAllah
mashallah. i love it
2019 november nyimbo nzuri sana
Umeon ee kaswali mzuli najiliwaza from omn mpk nimepamis nymban tz kupitia kaswda hii ishaalah allah mungu akipeend nitaludi
Macha Allah djayidi
mashaAllah ilov it
Kheir insha'Allah 2022🔥🔥🔥👌
Mashaallah ❤️❤️❤️❤️
super c'est beau il y a rien à dire
Mashaallah 2019💟