Mke wa Marehemu Moses Kulola Atua Ufufuo na Uzima | Amwachia Askofu Gwajima ujumbe mzito

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 авг 2021
  • Mke wa marehemu Moses Kulola aliyekuwa muhubiri wa injili miaka ya nyuma amefika Ufufuo na Uzima

Комментарии • 169

  • @joelyjoely7827
    @joelyjoely7827 2 года назад +20

    GWAJIMA NIKIPENZ CHAWATU SELIKAL INATAFUTA MOTO UWAKE WASIKUGUSE KIGOMA TUNAKUPENDA SANA 💪💪💪🌍

    • @itiamekimbui722
      @itiamekimbui722 2 месяца назад

      ngwajima ni taa kutoka mbinguni nduniani 🇰🇪

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 года назад +12

    Mashujaa wa Bwana...Wengi wamelala... Sisi bado tu hai ... Vita bado mbichi... Bwana Yuko upande wetu..ninani wa kutushinda....Eee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

  • @prophetmunuo9317
    @prophetmunuo9317 2 года назад +10

    Mungu wa Baba zetu hakika upo nasi, tunapoona hawa wazee wakitutia moyo kwenye hii kazi ya Mungu tunapa nguvu ya kusonga mbele kwa Imani kubwa.

  • @olivaisaya5272
    @olivaisaya5272 Год назад +1

    AMINA MUNGU akubariki mama na akupe nguvu ya kuendelea kusogea mbele zaidi na YESU jina lipitalo majina yote akufunike Kwa damu yake iliyo mwagika msalaban

  • @penuelfullsalvationchurch3350
    @penuelfullsalvationchurch3350 2 года назад +3

    Gwajima Ana akri nyingi ...Mungu akbliki sana...mtetezi wetu

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 9 месяцев назад +1

    Mungu Akubariki sn mama yetu. Nafurahi sn kukuona.❤❤❤

  • @molig8489
    @molig8489 2 года назад +14

    Hongera Samsung yangu MUNGU Baba akuzidishie maisha marefu nilikuona mwaka , 1980 nyamagana mwanza nikiwa nimemleta mtoto mwenzangu akiitwa Maganga mlemavu na aliponywa miguu ikanyooka hakika ilinipa nguvu kiimani hadi Leo mamangu

    • @TeamKRX
      @TeamKRX 2 года назад

      Tushushe 😀

  • @vj8313
    @vj8313 2 года назад +3

    Wow mama happy to see u mom, nikikuangalia namuona baba moses kulola hakika mlipendana hadi kufanana sura jaman. Be blessed sana

  • @yesuanaokoamtumainiyeye1360
    @yesuanaokoamtumainiyeye1360 2 года назад +13

    Bibi yupo vzr sana
    Kweli Ni kijana kiroho

  • @rehemakaijage1364
    @rehemakaijage1364 2 года назад +6

    Wow mama yetu wa amani,
    tunakupenda saaaana,
    Nimefurahi kukuona ukiwa kijana mzuri, mrembo
    mwenye nguvu za Mungu

  • @marrysauli8455
    @marrysauli8455 2 года назад +7

    Amen mamangu kweli kabisa !! Kwa Mungu hakuna uzee !! Mbarikiwa

  • @AnethPeace
    @AnethPeace 2 года назад +2

    Ety nitafikia hata natambaa💪hakika huu Ni Upendo wa Agape,, YESU akutunze bibi 🙏

  • @user-ll6ni9li4z
    @user-ll6ni9li4z 3 месяца назад

    Ngwajima umefanya jambo la maana sana mungu akubariki mch

  • @dekathuva6443
    @dekathuva6443 2 года назад +20

    My son is called kulola .. from Kitui Kenya

  • @joshuasanga5827
    @joshuasanga5827 2 года назад +3

    Amina Mama napokea maombi yako Mama Moses kulola oohhhh my God 🙏

  • @RachelBriervanity1
    @RachelBriervanity1 2 года назад +1

    Samahani Sana nina onmbi moja kama utabadilisha Title ya Mke wa Marehemu kwa namna ingine itakuwa vizuri waliokoka Hakuna Marehemu Asante

  • @servantofalmightygoddranth2511
    @servantofalmightygoddranth2511 2 года назад +4

    Wanawake kama hawa yani babu yetu moses kulola alipata mkewapo wachache sana,barikiwa bibi yetu mtumishi wa JEHOVAH MUNGU mke wa Moses kulola

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 2 года назад +4

    Tunakupenda Bibi mama Kulola.

  • @theresiamhina9714
    @theresiamhina9714 2 года назад +1

    Amen mama yetu mpendwa, nimeipenda ushuhuda wako mama👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @user-sz3qk7pi2t
    @user-sz3qk7pi2t 9 месяцев назад

    Mungu atusaidie tutumike kwa uaminifu

  • @swahiligamertz8727
    @swahiligamertz8727 2 года назад +1

    Baraka na ziwe nawe askof gwajima kwa kufanya haya

  • @leonardanzurunipombi2499
    @leonardanzurunipombi2499 2 года назад +1

    Ameeen mama yetu MUNGU akutiye nguvu

  • @levismike16
    @levismike16 Год назад

    Amina mama ubarikiwe

  • @tausipaschel155
    @tausipaschel155 2 года назад

    Amen mama Ila hayo marasta na hereni acha Baki na nywele zako za asili ili uende Mbinguni mama yangu nakupenda Sana

  • @jackmahoe5296
    @jackmahoe5296 2 года назад +1

    Waaambieni watu wote wajipe Moyo Bwana amekusudia kutenda Mema milele Amina.

  • @lordrichreuben1446
    @lordrichreuben1446 2 года назад +2

    Hawa ndio waasisi wa iman tz kipindi hicho hakuna mic Wala magari walikuwa wanatembea kwa miguu km kibao lakin hawakuchoka mpaka leo bado kamshikilia yesu daah inatutia moyo sana na ss vjana bibi mungu akutie nguvu

  • @robathzingu1650
    @robathzingu1650 2 года назад +2

    Asante Bibi yetu na nimeipenda sana hii.

  • @elizabethmwaipopo2303
    @elizabethmwaipopo2303 2 года назад +1

    Waooh mama tunapokea mausia yako thank you!!!!!!!!

  • @daisylangat820
    @daisylangat820 2 года назад

    Amen mum,Mungu wa mbinguni akupe nguvu mpya.. Hallelujah

  • @mwajumajumanne6206
    @mwajumajumanne6206 2 года назад +1

    Amina mama klola lmungu akubariki

  • @maarifadunianiyayesukristo9300
    @maarifadunianiyayesukristo9300 2 года назад +2

    Barikiwa Mama na bishop.

  • @thomasmandao4179
    @thomasmandao4179 Год назад

    Glory to God bless more when I hear voice mom

  • @apostlejohnwondergitahi4183
    @apostlejohnwondergitahi4183 2 года назад +8

    Shalom, ushuhuda wa baraka kutoka kwa mama yetu,from Kenya we thank God so much for the works of the lord from mzee kulola family.

  • @anselemimichael5453
    @anselemimichael5453 2 года назад

    Amen mama, Mungu azidi kkupigania ktk imani

  • @aivanalexander
    @aivanalexander 9 месяцев назад

    MUNGU awatunze sana watumishi wa Mungu
    Tunajifunza mengi kutoka kwenu na tunatamani MUNGU atufikishe viwango vya juu zaidi na Zaidi
    Ujumbe kutoka Kwa Mungu Ninaomba ufike kwa mama yetu Moses na Kwa kanisa la TANZANIA
    Mungu anasema turejeshe sura ya Mungu ondoeni uchafu miilini mwenu rejesha asili ya MUNGU
    Anaesuka aachane na KUSUKA,anaejipamba na kuvaa mahereni aache kabisa
    Lakini pia bibi yetU MOSES KOLOLA MUNGU ameniambia ukitoa NYWELE HIZO za katani KICHWANI
    .Hautasumbuliwa na kichwa
    .Hautasumbuliwa na miguu Tena
    .Hautasumbuliwa na pressure Tena
    .NNE MUNGU atajibu Yale yote aliyomuaidia BABA Kwa kanisa (rate moses)
    Ni MAAMUZI magumu lakini yataokoa maelfu
    Na Mungu ameniambia baada ya ayo u ta pu m zi k a Kwa AMANI
    BWANA ASEMA.

  • @ericksagara1719
    @ericksagara1719 2 года назад +1

    "zaidi ni upuendo, tupendane kama Yesu alivyotupanda" Kusema kweli upendo unatushinda, hata kwa wapendwa nao upendo wao bado bado. Tujipe moyo

  • @mariamrrusa3514
    @mariamrrusa3514 2 года назад +4

    Asikofu,huyo mama kamlea baba yetu moses na kumtia nguvu hadi saa yake ya mwisho hakuteteleka,wewe wajua,nakuomba uzidi kuwa imara na ukajazwe ujasiri wa kumpigania Mungu,ni heri kubwa kuwa na mama kama huyu ampendae Yesu upande wako,hakika nakuombea mda huu ni andikapo sms hii,usitetereke kwa lolote,na Mungu atakuwa upande wako,

  • @bertinamenda6823
    @bertinamenda6823 2 года назад

    Amen amen

  • @denismaussa650
    @denismaussa650 Месяц назад

    Amen BIBI yetu

  • @joycentongani388
    @joycentongani388 2 года назад +1

    Mungu akubariki sana bibi.🙏🙏

  • @josephinemuhonja2812
    @josephinemuhonja2812 2 года назад +2

    Amen mama

  • @devidkamata9488
    @devidkamata9488 2 года назад

    Ubarikiwe saana

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 года назад +2

    woow bibi yetu nimefurah kukuona tena.

  • @omanss268
    @omanss268 2 года назад

    Amen ubarikuwe Sana Bibi yetu

  • @zephaniajohn2538
    @zephaniajohn2538 2 года назад +1

    Barikiwa sana bibi yetu

  • @alfredyfredrick795
    @alfredyfredrick795 2 года назад +1

    Aminaaaaaaaaaaaaaa

  • @gsninetz5019
    @gsninetz5019 2 года назад +1

    Umeongea Maneno mazito Sana mama

  • @kuziririzaisabatosiitegeko7088
    @kuziririzaisabatosiitegeko7088 2 года назад +4

    Nimewapenda sana

  • @isaackmwakalobo2919
    @isaackmwakalobo2919 2 года назад

    Barikiwaa sana sana mtumishi, corona imeshindwa kwa maombi

  • @sarahmsafiri1062
    @sarahmsafiri1062 2 года назад +1

    Barikiwa sn mama yetu umetutia moyo

  • @kiddytime3452
    @kiddytime3452 2 года назад +3

    Keep well

  • @monicaregina7792
    @monicaregina7792 2 года назад

    Ameni, Mungu amfikishe mama Mbinguni baba alipo.

  • @tajirimdogo1075
    @tajirimdogo1075 2 года назад +1

    Amen Amen

  • @petermaziku5554
    @petermaziku5554 2 года назад +1

    Amen amen mama

  • @rahmarahma920
    @rahmarahma920 2 года назад

    Mungu akubariki sana

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 2 года назад +1

    Mama wa Iman.

  • @marymwambinga4280
    @marymwambinga4280 2 года назад +1

    Ameen mama

  • @noelpaul640
    @noelpaul640 2 года назад +9

    Glory to God 🙏💪

  • @radislauskalolo3054
    @radislauskalolo3054 Год назад

    Ubarikiwe bibi

  • @Eagt971
    @Eagt971 2 года назад +3

    Hehehe Mama huyo bhana! Mungu mkubwa

  • @dorotheachami4044
    @dorotheachami4044 Год назад

    Amen

  • @janethpallangyo2633
    @janethpallangyo2633 2 года назад +1

    Ameen

  • @prisensjoely263
    @prisensjoely263 2 года назад

    Aminaaaa mama

  • @sharondivine8994
    @sharondivine8994 2 года назад +1

    Hallelujah

  • @anthonymichael4056
    @anthonymichael4056 2 года назад

    Nimebarikiwaa kwa ujumbe huu

  • @magrethommary9089
    @magrethommary9089 2 года назад

    Amina mama

  • @elizabethmapishi5010
    @elizabethmapishi5010 2 года назад

    Ameen bibi nakupenda bibiyangu

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 2 года назад +1

    Ameeen Bibi

  • @magrethpiusowino4846
    @magrethpiusowino4846 2 года назад

    Amina Bibi yangu waimani

  • @osiahmwakasala1646
    @osiahmwakasala1646 8 месяцев назад

    Waoo mama

  • @gsninetz5019
    @gsninetz5019 2 года назад

    Amina Mama

  • @robertmgore3653
    @robertmgore3653 2 года назад +1

    Amina

  • @betinasikwese9296
    @betinasikwese9296 2 года назад

    Safi sana Bibi

  • @elizabethmiho9574
    @elizabethmiho9574 2 года назад +1

    MUNGU AKUTUNZE . SANA

  • @remijiusisamuson4787
    @remijiusisamuson4787 2 года назад

    Ameen mun

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 2 года назад +3

    UTUKUFU kwa +MUNGU+ MILELE🙌🙌🙌

  • @reginakadilo3435
    @reginakadilo3435 2 года назад

    Aminaaa

  • @yohanajoseph5773
    @yohanajoseph5773 2 года назад +1

    Ameee mama kulola

  • @evansimsagaatkog1953
    @evansimsagaatkog1953 2 года назад

    Amina Bibi Amina

  • @marckkish3304
    @marckkish3304 2 года назад +1

    AmenAmen

  • @evaristbamfu7149
    @evaristbamfu7149 2 года назад

    Amina sana Mama

  • @davivancee9991
    @davivancee9991 2 года назад

    Amina 🙏🙏

  • @marckkish3304
    @marckkish3304 2 года назад

    Ntemi tuko pamoja sana nangi

  • @gidionkadaraja1403
    @gidionkadaraja1403 2 года назад +1

    Groly be God

  • @allenmwakyambiki4802
    @allenmwakyambiki4802 2 года назад

    Mama amina

  • @pastortimothyjoshua3304
    @pastortimothyjoshua3304 2 года назад +1

    Safi sana

  • @barakambotwa8768
    @barakambotwa8768 2 года назад +1

    Amen sana mama etu Mungu azidi kukulea mama yetu

  • @johnmrindoko7875
    @johnmrindoko7875 2 года назад

    Haleluyaaa

  • @priskermnyankore8356
    @priskermnyankore8356 2 года назад

    Ameeen ameeen

  • @goyamagnus4196
    @goyamagnus4196 2 года назад

    amen

  • @davidmwisile1228
    @davidmwisile1228 2 года назад +1

    Amen Mungu unaweza

  • @muhozafaustin7805
    @muhozafaustin7805 2 года назад

    Amen.

  • @joelyjoely7827
    @joelyjoely7827 2 года назад +3

    WEWE NI JABAL TUNAAMIN WAKRISTO WOTE MTETEZ WETU NIWEW NAYESU MIM NIMUANGRIKANA IRA KWASASA SISAL KAMPEN YAKUPIGA CHANJO IMEKUWA KUBWA TUVUSHE JOSHUA WETU HARELUYAAA

  • @tusubilegemtafya5532
    @tusubilegemtafya5532 2 года назад

    Ameniii bibiangu

  • @petermillanzi960
    @petermillanzi960 2 года назад +4

    Mama ana Upendo wa ajabu abarikiwe mno

  • @aprilking8250
    @aprilking8250 2 года назад +1

    Ujumbe umefika naelewa wala sio maneno ya mama bali ni Ujumbe kutoka mbinguni

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 2 года назад +2

    Mama shikamo

  • @michaelnicholaus7764
    @michaelnicholaus7764 2 года назад +1

    Mama yetu umetubarki Sana👏👏👏

  • @michaelswilliam5886
    @michaelswilliam5886 2 года назад

    Daah kwel gwajima huogopi mtu najua hujaenda bungeni kutafuta hela bali kututetea sis wanyonge wenye vipato vidogo sanà

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 2 года назад +1

    Nime kuelewa mzazi wa mama zetu na baba zetu