Rostam Ft Mr. Blue - Watani Wa Jadi (Official Lyrics Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 ноя 2020
  • Special joint for Simba and Yanga Fans peformed by Roma Mkatoliki and Stamina (ROSTAM) featuring Mr. Blue
    - WATANI WA JADI -
    Audio Produced By Bin Laden (Tongwe Records)
    Video Created by Director NiCKLASS.
    ALL RIGHTS RESERVED.
    #ROSTAM #WATANI_WA_JADI #MR_BLUE
    Kaka Tuchati ► • Rostam - Kaka Tuchati ...
    Now You Know ► • KHALIGRAPH JONES x ROS...
    Kibamia ► • Video
    HIvi Ama Vile ► • Rostam (Roma & Stamin...
    Zimbabwe ► • Roma - Zimbabwe [Offic...
    Kaolewa ► • Rostam - Kaolewa (Off...
    ParaPanda ► • ROSTAM - PARAPANDA | ...
    Anaitwa Roma ► • Roma Ft One Six - An...
    Mkombozi ► • Roma - Mkombozi (Offic...
    Asiwaze ► • Stamina Ft Atan - A...
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 1,7 тыс.

  • @amedeuslyimo2315
    @amedeuslyimo2315 3 года назад +46

    Wanangu wa Simba damu piga kelelee nyingi kwa Roma💪💪🏆🏆 mabingwa wa nchi

  • @jaytv6676
    @jaytv6676 3 года назад +93

    MIMI NI YANGA #YANGA 4EVER💚💛

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 3 года назад +94

    Kwa ngoma hizi mtaendelea kuyatesa majukwaa ya hapa bongo 😂😂😂😂
    Like za wana *SIMBA* naziomba APA

  • @Yvandrake
    @Yvandrake 3 года назад +47

    Yanga tuko wote na Saido Ntibazonkiza.. Gonga likes hapaa twende sasa

  • @faustinbigdady377
    @faustinbigdady377 3 года назад +275

    Wewe #SIMBA usipite bila #like💪💪🇧🇮🇧🇮🔥🔥🇧🇮🇧🇮💪💪🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿mpila mzuli turiuona😀😃ulikuwa upande wa #Simba🔥🔥💪💪💪👍🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇧🇮🇹🇿🇧🇮🇹🇿🇧🇮🇹🇿🇧🇮🇧🇮🇹🇿

    • @Directortomwillz
      @Directortomwillz 3 года назад +1

      ruclips.net/video/5AqMRCDLDeA/видео.html

    • @Would436
      @Would436 3 года назад +1

      ruclips.net/video/J3V749blhuo/видео.html

    • @directoremmanuelmalau6576
      @directoremmanuelmalau6576 3 года назад +3

      Tafadhali naomba support yako kwa kuangalia video ya wimbo wangu mpya kwa kugusa maandishi ya bluu hapa chini
      ruclips.net/video/yvdYydfgnQs/видео.html
      Pia nauomba subscribe kwenye channel yangu 🙏🙏🙏

    • @rajabumunga2053
      @rajabumunga2053 3 года назад +2

      💪💪

    • @abelfrancis67
      @abelfrancis67 3 года назад +2

      Nom

  • @gracekisamo2325
    @gracekisamo2325 3 года назад +35

    YANGA GONGA LIKE TWENDE SAWA💚💛💚💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚

  • @Tiwiniankid
    @Tiwiniankid 3 года назад +48

    Oyaaaaaa wanangu wa jangwani gonga lke hpa,.I'm watching from 🇶🇦🇶🇦

  • @rwabusisihonore
    @rwabusisihonore 3 года назад +17

    Upendo kutoka Rwanda 😍😍😍Yanga forever 🥰🥰😋😋😋

  • @edsonpedro1404
    @edsonpedro1404 3 года назад +90

    Simba is my time!!! From Mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @lukeoj7164
    @lukeoj7164 3 года назад +110

    Yanga fan from Kenya. Timu ya wananchi.
    The song is lit 🔥

  • @kaaweemwenyewe2872
    @kaaweemwenyewe2872 3 года назад +22

    Aiseeee Bonge ya ngoma hii kila mara naiskiliza Roma umetupa ki2 roho inapenda ahsante kwa niaba ya wanasimba woote🙏🙏

  • @abdulraufmohammedsalum6806
    @abdulraufmohammedsalum6806 3 года назад +179

    Shabik wa Yanga mwenzang gonga like hp💪💪Daima mbele 🔥🔥

  • @yassirharith4158
    @yassirharith4158 3 года назад +13

    Listening from Kenya simba for life👍👍

  • @kachaladouble4807
    @kachaladouble4807 3 года назад +108

    Wana simba toka Burundi wekeni like tujuane big up rostam ft blue watu wang Wa ndani

  • @yokesande358
    @yokesande358 3 года назад +16

    Yanga Oyeeeeeee.
    Leo Yanga Juu.

  • @wiseman7456
    @wiseman7456 3 года назад +14

    Team simba🦁🦁 kutoka 254🇰🇪🇰🇪

  • @mbandedenis575
    @mbandedenis575 3 года назад +214

    Jamani yanga wenzangu tusilale hebu gonga like hapa.

  • @salimuhabibu5295
    @salimuhabibu5295 3 года назад +19

    Wanangu wa simba humu ndani na mwenetu @roma tumeuwa asee ngoma kali tujuwane hapa wana Simbaaa kwa like

  • @classicbilali4455
    @classicbilali4455 3 года назад +21

    Yangaaa 🗣️eeeeee 🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪

  • @rashidimatumla1344
    @rashidimatumla1344 3 года назад +13

    me ni simba kama wee ni simba mikono juu

  • @alloyyollahshyne7488
    @alloyyollahshyne7488 3 года назад +46

    Rostam my all time stars #fan from kenya

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html

  • @imdativa
    @imdativa 3 года назад +66

    Mi ni Simba💪🏾💪🏾💪🏾🔥na Kama kwel wew ni Simba like hapa👇🏾

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html

    • @alexnomba
      @alexnomba 3 года назад +1

      Karibu yanga

    • @imdativa
      @imdativa 3 года назад

      @@alexnomba hakuuuuu😏

  • @kelvinnyanja
    @kelvinnyanja 3 года назад +34

    Bonge moja la ngoma! Content yake imekuwa balanced kila upande wa timu hizi mbili kubwa hapa Tanzania, beat ni kali Mr.Blue kaitendea haki chorus! Kiufupi ni moja ya ngoma ya kuamsha amsha pindi timu hizi zinapokutana lakini pia kuweka umoja baina ya mashabiki na kuondoa zile tofauti zinazotokea uwanjani! Natumaini hii ngoma itapigwa pale kwa Mkapa kabla ya mechi! Mwisho kabisa wale wenzangu kutoka kwa Msimbazi! Usiache kulike hapa Ndala tunawakalisha vizuri tu

    • @selector728
      @selector728 3 года назад

      unavuta bangi ukiwa upande gan wa tz maana Mr blue Mimi sijamsikia apo

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 года назад

      @@selector728 wewe ndio huna akili tena unavuta mavi soma hapo juu wimbo unawatu wangapi 🤔

    • @emelyneza8956
      @emelyneza8956 2 года назад

      Inamana wew hujamsikia? Mr brue? Ni huyo anayesema simba eeeh yanga eeeh wte watani wajadi

  • @alhajisomanee4043
    @alhajisomanee4043 3 года назад +50

    KAMA CHAMA LA SIMBA GONGA MA LIKE YA KUSHATO KWELI YANGA ANA MIMBA😁😁😁😁😁😁

  • @ruthajovith1637
    @ruthajovith1637 3 года назад +88

    Tumepata wimbo wa Taifa kwenye Mech za SIMBA Vs YANGA...nategemea ndo utakuwa unapigwa kwenye speaker za pale uwanja wa Taifa.

    • @aunarbandali9535
      @aunarbandali9535 3 года назад +2

      Hata kwenye vibanda umiza aisee

    • @NuruJosiah
      @NuruJosiah 3 года назад +2

      Kabisa

    • @bintspeech3868
      @bintspeech3868 3 года назад +2

      Kweli bcx amna uteam bali ushabiki wimbo moja unawaunganisha wote 💃💃💃viva 2 rostam

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 3 года назад +1

      😂😂😂😂😂

    • @mudaslihseleh3591
      @mudaslihseleh3591 3 года назад +1

      Sana tu na akitaka arudi ROMA dar Aombee samahan na kuimba nyimbo za kuiponda serikal

  • @labamba3448
    @labamba3448 3 года назад +34

    Ngoma kali zaidi ya pisi kali. Wa Burundi gongeni Like zenu. I'm the first to woch this song from Burundi.

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html

    • @dinotv1099
      @dinotv1099 3 года назад

      BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🔥

    • @elsenortolga1936
      @elsenortolga1936 3 года назад

      To watch
      Not to woch😂😂
      Likes zangu hapa kutoka nchini Rwanda💜

    • @aliciaalice6575
      @aliciaalice6575 3 года назад

      Tuko pamoja bro

  • @mahmudmustafa8588
    @mahmudmustafa8588 3 года назад +4

    Supporting Yanga From Nairobi Kenya

  • @severinpascal6514
    @severinpascal6514 3 года назад +40

    Wewe Roma wewe 😂
    Umemfunika stamina

  • @dicksontowo8414
    @dicksontowo8414 3 года назад +227

    Team ya wananchi gonga like hapa

  • @desdelnyamiti
    @desdelnyamiti 3 года назад +46

    Simba tujuane hapa 👇💪

  • @wyckliffeodhiambo5251
    @wyckliffeodhiambo5251 3 года назад +10

    From Kenya Yangaaaa eeeeeeh!

  • @lotchangapatrick1190
    @lotchangapatrick1190 3 года назад +19

    ROSTAM, my team🔥🔥✌️✌️✌️!!! Mr blue, wewe ni baba lao

    • @directoremmanuelmalau6576
      @directoremmanuelmalau6576 3 года назад

      Huyu n shiiida

    • @directoremmanuelmalau6576
      @directoremmanuelmalau6576 3 года назад

      Tafadhali naomba support yako kwa kuangalia video ya wimbo wangu mpya kwa kugusa maandishi ya bluu hapa chini
      ruclips.net/video/yvdYydfgnQs/видео.html
      Pia nauomba subscribe kwenye channel yangu 🙏🙏

    • @anordmganda7800
      @anordmganda7800 3 года назад

      simbaaaaaa

  • @brendaulomi6482
    @brendaulomi6482 3 года назад +23

    Wayayayayaa YANGA Oyeeeee🔥🔥🔥

  • @husseinkaoneka5834
    @husseinkaoneka5834 3 года назад +13

    mtakalia LIBOLO hahahhah LIBOLO FC 🤣🤣🤣🤣🤣, Aliyeickia hyo verse like kwngu

  • @castomwatwebe4596
    @castomwatwebe4596 3 года назад +6

    Fan of Young Africans from Ethiopia like 4 me plz

  • @mpotampota4170
    @mpotampota4170 3 года назад +39

    More likes for YANGA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад +1

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html .

  • @brightnesshawa1089
    @brightnesshawa1089 3 года назад +15

    BONGE NGOMA Rostam ft Mr. Brue Hataree Firee🔥🔥🔥

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html

  • @awezaejohn4893
    @awezaejohn4893 3 года назад

    Rostam heshima kwenu kioo cha jamii safi sana kwa ubunifu mkubwa ama kwel Tanzania tunaenjoy kwa kuwa na rostam mnatufundisha mengi

  • @nelsonalex2513
    @nelsonalex2513 3 года назад +7

    Sjawahi ona chemistry Kali ya hip hop Kam Rostam aiseee nawakubalii awa majamaaa

  • @officialdickiez4266
    @officialdickiez4266 3 года назад +85

    Kama ww yanga gonga like

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html

  • @kedyjohn1848
    @kedyjohn1848 3 года назад +9

    YOUNG AFRICANS MIKONO JUU. . .

  • @lockedaway4666
    @lockedaway4666 3 года назад +7

    Nobody talk about how Mr blue kills🙈...I love his vibe💞💞🥰🥰

  • @suleshmwakz8329
    @suleshmwakz8329 3 года назад +5

    Huku Kenya tunamtambua Mnyama.... Simba siku zotee #NguvuMoja

  • @official_kerasheed199
    @official_kerasheed199 3 года назад +4

    listening from Dusseldorf Germany, this is the real music with best content about Tanzanian football and not those Singeli songs from Nassib and Rajab...Keep it up VIVAROMA and Kheri did it well in the chorus...Congratulations buddies

  • @brnmedia4796
    @brnmedia4796 3 года назад +12

    Wa kwanza hapa like za watani wa jadi tafadhali 🔥🔥🔥🔥

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html

  • @CatherineNzeki
    @CatherineNzeki 10 месяцев назад +2

    Vina kama hivi ndio vinafanya hip hop inaitwa chakula cha ubongo🔥🔥🔥

  • @goodluckdaffa3381
    @goodluckdaffa3381 3 года назад +1

    Yani sijui tuwaweke kundi gani🙌🙌🙌salute brothers

  • @ommybiggie4825
    @ommybiggie4825 3 года назад +13

    Rostam hua hamuniangushi...SIMBA FROM 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @hammynassor3028
    @hammynassor3028 3 года назад +43

    Simba like hapa tujuane

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html .

    • @teresiakimariro5539
      @teresiakimariro5539 3 года назад

      Daaaah sio poa ngoma kali Roma kauwa sanaaaa

  • @davidicsportstv5218
    @davidicsportstv5218 3 года назад +1

    Huu wimbo umekuja tyu kipindi cha lockdown ya internet nadhan ungekimbizaaaa sanaa

  • @sadatyhamiss8574
    @sadatyhamiss8574 Год назад +1

    Oyaaaa wanasimba gongeni like Kwanza kama unaipenda Simba💕💕💕💕💕

  • @JayTalent1
    @JayTalent1 3 года назад +25

    Wa yanga tujuwane na like

    • @geniusgangkenya8732
      @geniusgangkenya8732 3 года назад

      Naitwa Castro Mendoza,,new upcoming artist from Kenya,, RUclips channel-Genius gang Kenya,,,I need support

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 года назад +5

    SIMBA baba Lao 👊👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @joasjoseph1592
    @joasjoseph1592 3 года назад +1

    Noma na nusu

  • @chakuboyofficial9720
    @chakuboyofficial9720 3 года назад

    Yanga piga keleeeeee jamani mwaka huuu tuna Jambo letu lazima Roma lazima abaki mdomo wazi 💓💓💓💓💓💓💓

  • @greenboyhaskai
    @greenboyhaskai 3 года назад +3

    Yanga all the way from Kenya

  • @faustinbigdady377
    @faustinbigdady377 3 года назад +15

    Unyamwezi fulani😃😀🔥🔥🎧🎶🎵😀😀🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪💪💪💪💪💪💪🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @selector728
      @selector728 3 года назад +2

      Umeona eeh😅

    • @faustinbigdady377
      @faustinbigdady377 3 года назад +2

      @@selector728 xana xakali saaaana.alaf na izalendo mwing saaaana👍👍👍🔥🔥🔥🔥🔥😃🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪💪🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪💪🎧🎵🎶🎶🇹🇿🇹🇿🇧🇮🇧🇮🇧🇮👍👍👍👍💪👍

    • @salihalash4111
      @salihalash4111 3 года назад +1

      🇸🇸🇸🇩🇺🇬

  • @hyacinthenyandwe8644
    @hyacinthenyandwe8644 3 года назад +1

    From Congo, enjoying this wondeful video. Rostam Oyé 💪

  • @franklinannangerald2796
    @franklinannangerald2796 2 года назад

    Kakamega,Kenya ni mnyama tu #SIMBA SPORTS CLUB is the team ROMA big up

  • @rusiimani246
    @rusiimani246 3 года назад +3

    Yes! Am happy to see rostam rap together again!

  • @faustinbigdady377
    @faustinbigdady377 3 года назад +30

    Kama wewe ulisikia #Roma akisema #LIBOLO.
    gonga #like basi hapa🔥🔥💪💪💪💪💪👍👍👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇧🇮🇹🇿🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад +1

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html

    • @laurasawe712
      @laurasawe712 3 года назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ahmednaaman9784
    @ahmednaaman9784 2 года назад

    Yanga kwa sana. Simba amekua duma, isitoshe mpaka nyasi anakula. Simba gani anakula alichotapika isitosha anafwata mpaka mzoga ulobakishwa. Yanga for life.

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 3 года назад

    Awa wasenge awanaga kubishiwa wanajua balaa yani hii imenifanya nitoe stress apa me ni simba dam💋💋💋

  • @inclyrics4384
    @inclyrics4384 3 года назад +18

    Imeanza tu nikasema "ee beat za Rostam hizi"

  • @solomonichisaye8767
    @solomonichisaye8767 3 года назад +26

    I listened this song infront of my father and now am homeless 😢

  • @barakaemmanuely8321
    @barakaemmanuely8321 3 года назад +1

    Daaah! Wanabahati libolo limewakwepa😂

  • @mweusipains6435
    @mweusipains6435 3 года назад +2

    Never disappointed with u guys Good work love from Arab countries

  • @SIMBATZ255
    @SIMBATZ255 3 года назад +4

    Simba apa like zakutosha🦁 🦁

  • @lucasshayo9705
    @lucasshayo9705 3 года назад +5

    The chemistry you guys have (rostam)
    Is lit 🔥🔥🔥

  • @exaudbrown3055
    @exaudbrown3055 3 года назад +1

    Bonge la ngomaaaaa😂🔥🔥🔥🔥inafaa sana kwa jamii zetu..Nategemea kuiskia kila kona ya mtaa watani wa jadi

  • @geraldrwambo5410
    @geraldrwambo5410 3 года назад

    goooood broo nawaelewaaa kwa video tofaut na wengne na zaid mashair mazur mistr mizur

  • @harounibrahim3288
    @harounibrahim3288 3 года назад +24

    KAMA WE NI SIMBA NA UNAAMINI MECHI HII TUTAWAGONGA MKONO BIRA WEKA LIKE YAKO HAPA CHAPCHAP

  • @dinotv1099
    @dinotv1099 3 года назад +33

    Ww kama Simba gonga like hapa twende sawa👊❤️🙏

  • @laurasawe712
    @laurasawe712 3 года назад +1

    😂😂😂😂😂😂Roma umetishaaaa😃😃😃big up💪💪💪💪💪simba hoyee🦁

  • @chuchuman8292
    @chuchuman8292 3 года назад +2

    Kama ni simba kweli mikon juu like

  • @mahubiritv
    @mahubiritv 3 года назад +4

    Coastal Union & Simba 🔥

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html .

  • @silverngimi
    @silverngimi 3 года назад +3

    Chorus killer MR BLUE🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html .

  • @edoinyasi7499
    @edoinyasi7499 3 года назад

    Nimeirudia zaidi ya mala kumi na bado nataman tu kuisikizaa, bonge la gomaaa🎯✌🥉⚽🎯🥅✌

  • @exupertarimo6646
    @exupertarimo6646 3 года назад +2

    Kama wew simba gonga like tuende pamoja na romaaa

  • @ibrachandima8898
    @ibrachandima8898 3 года назад +8

    Ebwanaee bonge la Aidia mmetisha kinoma😂😂

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html

  • @centralboytz4240
    @centralboytz4240 3 года назад +3

    Hamnaga kaz mbovu wazee blue kwny hook🔥🔥🔥💯✊🏾

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html .

  • @tongoramakongoro2155
    @tongoramakongoro2155 3 года назад

    kuna kina kimoja kwenye huu wimbo sijasikia ukawataja polisi tofauti na nyimbo zako nyingi roma hapa umeniangusha

  • @Somaxmusic2805
    @Somaxmusic2805 3 года назад +1

    Yangaaaaaaa wote mkono juuu🙋🙋🙋

  • @dieumercikaskasereka961
    @dieumercikaskasereka961 3 года назад +4

    Much love from DRCongo

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html

  • @dogob7817
    @dogob7817 3 года назад +24

    Kama umependa basi like hapa 🙏🙏

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html

  • @mikeotieno8572
    @mikeotieno8572 3 года назад +1

    Team yanga..love from kenya

  • @ericyuxuf9639
    @ericyuxuf9639 3 года назад +1

    Wazeeeee wa Mnyama SIMBA gonga like

  • @stephenmwanzake
    @stephenmwanzake 3 года назад +7

    HATALE SANA AISEEEEE🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯💯💯💯💯..MNATESA SANA WANANGU AISEE....NINACHOPENDA NI MAJIBIZANO YENU KWENYE NYIMBO BILA KUVUNJA SHERIA ZA UTUNZI *ROSTAM* ..BARAKA NYINGI👊👊
    .
    .
    LOVE NYINGI SANA TOKA HAPO KWA JIRANI WENU 🇰🇪🇰🇪, TUNAWASIKILIZA SANA *ROMA* NA *STAMINA*

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html

  • @tedypedy5793
    @tedypedy5793 3 года назад +1

    Mistari hatari love from kenya

  • @saumuomariahmad9540
    @saumuomariahmad9540 3 года назад +1

    Team rostam mko wap mbna ngoma hatuipeleki trending 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @abdimohamed3953
    @abdimohamed3953 3 года назад +3

    Timing nzur wimbo mzur na ujumbe piaa Simba yanga sisi watani wa jadi iii💯💯💯

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html

  • @nicholausshololoshololo5972
    @nicholausshololoshololo5972 3 года назад +13

    YANGAAAA🔥🔥🔥

  • @nckcharlez978
    @nckcharlez978 3 года назад

    Niite Roma kagere, coast chama LA nyumban

  • @piusjackson5685
    @piusjackson5685 3 года назад

    Nilisahau kuandika chochote mana nimeganda na ngoma kaliiiiii hii ndio nyimbo ya taifa sasa kwa simba na yanga mana sipati picha tarehe 7 ikipigwa hii ngoma ni mazishi, rostam mpo kibiashara sana big up sana

  • @yusuphhamis7050
    @yusuphhamis7050 3 года назад +3

    Kama unawakubali hawa jamaaa weka like twende sawa❤️💚!!!

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html

  • @RandyMwanaKin
    @RandyMwanaKin 3 года назад +9

    Mi ni mkongo ila najuwa simba na yanga kama wewe unajuwa Tp mazembe na AC vita club basi 👍🏽 🥰
    #randykinamber

    • @denievedastus9841
      @denievedastus9841 3 года назад

      Kabaisa na roma wte nisimba hao ww uko peke yko uwoni kama umeonewa yani utopolo kesho utakubali shooo

    • @richlymo
      @richlymo 3 года назад

      Mm esvt chama lang

  • @Kazimily_Music
    @Kazimily_Music 3 года назад +2

    Noma na nusu 🎶💪

  • @papywabarega253
    @papywabarega253 3 года назад +2

    From USA 🇺🇸 kama unaipenda rostam gonga like

  • @joshuayoile6149
    @joshuayoile6149 3 года назад +3

    Simba chama kubwa, Gonga like twende sawa

  • @omarymwenda1146
    @omarymwenda1146 3 года назад +28

    Oya wanangu wa SIMBA SPORTS CLUB si tumewapoteza hawa maboya!!?😂😂

    • @eddynjogu4507
      @eddynjogu4507 3 года назад

      ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 года назад

      Hata wamsajili nani bado watakalia Libolo 🤣🤣🤣🤣

    • @josephjastini880
      @josephjastini880 3 года назад

      Naitakia Simba ushind