TOBA YA ALIYEKUA ASKOFU MKUU MSAIDIZI MCH DR JOHN MAHENE KWA EAGT

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 72

  • @sojipaul5021
    @sojipaul5021 2 года назад +4

    Mungu akubariki sana mch mahene umefanya jambo jema sana sana sana...sasa tu kitu kimoja tena...Mungu kasikia maombi yetu.🙏

  • @bethaelnsumyirambobpraise7794
    @bethaelnsumyirambobpraise7794 2 года назад +2

    Mungu yupo kazini mahene Mungu akutunze Maliza uzee vzur, najua wasukuma huwa tunamalza mambo vzur hakuna haja ya kugombania mambo ya mwili, vyeo siyo ishu tunaweza shangilia ila kuna hekima ya Mungu ya kujifunza but migogoro ya ajabu ktk mambo ya ajabu na kuyaweka public siyo mambo mazur kwa ajili ya Mungu na mambo ya Mungu kuyapeleka kimwili ni tatzo sana kuna mambo mengine hata kama yanatakiwa kuwekwa ndani cyo hi mnavofanya

  • @azariacosmas1338
    @azariacosmas1338 2 года назад +3

    Umefanya maamuzi yaliyo mazuri mungu akusamehe ktkt uzee wako umalize mwendo Salama!!

  • @ndemeeimana6633
    @ndemeeimana6633 2 года назад +2

    Ameen mtumishi wa Mungu , Mungu azidi kukupa mwisho mweemaa Asante , Kwa kitendo Cha kishujaa ulichokifanya, naamini mbingu zimeshangilia🙏🙏🙏

  • @hellenevarist3106
    @hellenevarist3106 2 года назад +3

    YESU AHSANTE SANA, AHSANTE MNO Watumishi wote Yesu YESU awalinde. Adui Hana nafasi mbele Tunaendelea 🔥🔥

  • @JaphethSinkamba
    @JaphethSinkamba Месяц назад

    Hongera sana mch mahene EAGT ndio makimbilio ya wengi na ndo nyumbani kwetu

  • @imanimasasa7042
    @imanimasasa7042 2 года назад +2

    Glory and honor be to God Almighty for His abundant grace and mercy on his servants. Nimefurahi sana kusikia habari hii njema za ushindi katika ufalme wa Mungu.

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 2 года назад +3

    Mzee Mahene ww ni shujaa sana. Ni watu wachache wenye kushuka na kutaka kumaliza mwendo vizuri. Hata ukiondoka leo utakuwa umemaliza mwendo vizuri

  • @mchungajiboscomaliga5702
    @mchungajiboscomaliga5702 2 года назад +3

    Acheni Mungu aitwe Mungu

  • @yusuphmagetta7969
    @yusuphmagetta7969 2 года назад +2

    Ubarikiwe mtumishi hakika Mungu nimwema sana

  • @yusuphchankwa4759
    @yusuphchankwa4759 2 года назад +1

    Mungu akubariki akutende mema wewe uliyeomba msamaha mm sijui kosa lako Ila umefanya la maana sana

  • @peternyambo1439
    @peternyambo1439 2 года назад +4

    Naamini shetani kweli yupo kazini kwa kinachoendelea ndani ya EAGT! Maombi muhimu

  • @alfrednyamnini7352
    @alfrednyamnini7352 2 года назад +2

    Inapendeza sana mbele za Mungu hakika Mungu ni mwema.

  • @aishaabdul6971
    @aishaabdul6971 2 года назад +1

    Mchungaji wangu mchungaji John mahene muujiza wako Bado unaishi baba,

  • @LucasMayunga
    @LucasMayunga 3 месяца назад

    Ningu ya mungu,

  • @danielkwilemba4715
    @danielkwilemba4715 2 года назад +1

    Utukufu kwa Mungu

  • @eliakingu6282
    @eliakingu6282 2 года назад

    Glory to God 🙏🙏

  • @isackmtawa15
    @isackmtawa15 2 года назад +1

    Barikiwa saaaaaana

  • @bishopmtambo6562
    @bishopmtambo6562 2 года назад +1

    Amen

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 2 года назад +1

    Mungu ashukuriwe naomba watumishi wengine waige mfano guy wa kutubu na kurudi lakini pia wa kuwapokea watumishi wanaotubu

  • @eligiuselias4469
    @eligiuselias4469 2 года назад +1

    Jina la Yesu Kristo litukuzwe sana

  • @saadamartin8866
    @saadamartin8866 2 года назад +1

    Haleluya Mungu ni mwema

  • @lugendodaniel5266
    @lugendodaniel5266 2 года назад +2

    Moses Kulola aliwapa mwanga na namna ya kumtumikia MUNGU kwa Roho na kweli , tumikeni kwa mfano wa mtangulizi wenu Moses Kulola.

  • @elikakishai9923
    @elikakishai9923 2 года назад +1

    Mungu bado anawapenda na mwingi warehema Jambo njema Mungu hapend hata moja apotee

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 2 года назад +3

    BABA ASKOFU MWAKIPESILE UBARIKIWE KUMPOKEA. MZEE MAHENE. NA MZEE MAHENE UBARIKIWEEEEE. KWA KUOMBA MSAMAHA NA TOBA
    NAMIMI NAITAKA EAGT. NATAMANI KUHAMIA HUKO

  • @reachglobal9939
    @reachglobal9939 2 года назад +1

    Amina kwa kumsafisha MTU wa MUNGU na kusafisha kanisa

  • @christopherchisuligwe512
    @christopherchisuligwe512 2 года назад +1

    Ameni! YESU ni mwema sana

  • @healingclinic978
    @healingclinic978 2 года назад +1

    Ameungama Je huduma iko chini ya Nani?

  • @lucasbaluhya3787
    @lucasbaluhya3787 2 года назад +1

    Mungu ametenda

  • @reachglobal9939
    @reachglobal9939 2 года назад +1

    Mungu kasikia maombi

  • @festosalimo7863
    @festosalimo7863 2 года назад +1

    Mungu amejibu maombi

  • @prophetmusasimon9281
    @prophetmusasimon9281 2 года назад +2

    Haaaaaaa EAGT Moto unawamaliza ninyi kwa ninyi acheni Vita mtamalizana munapiga Vita manabii usiku na mchana sasa mutamalizana

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 10 месяцев назад

      Swala la manabii wa uongo halipingwi na EAGT peke yao,bali kila aliye na injili ya kwelii atawapinga tu.

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb Месяц назад

    Kama umetenda dhambi nikutubu tu sio kujificha jipeleleza ndani ya moyo wako sio kuhama hama dhambi lazima idhaliliswa Mungu sio wamchezo kila mtu apandacho atavuna

  • @fidelis5777
    @fidelis5777 Год назад

    Nijambo jema lakini ata askofu mkuu uyo mwakipesile aende akatengeze kwenye makanisa Kama Rehema temple EAGT mbeya ilemi B bado tunamuheshimu Kama mtumishi wa mungu

  • @hassanimsile874
    @hassanimsile874 2 года назад +1

    Jambo la kheri

  • @bakundukizetz3880
    @bakundukizetz3880 2 года назад +1

    Mungu ni mwema Sana.

  • @johnwilson5106
    @johnwilson5106 2 года назад +2

    Hakuna KITU hapo.Msimamo WETU UKO palepale

  • @pastorbaharia598
    @pastorbaharia598 2 года назад +3

    Nimejikuta machozi yananitoka.

  • @lugendodaniel5266
    @lugendodaniel5266 2 года назад +1

    Msamehe kabisa siyo kubaki kulipiza kisasi

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 2 года назад +1

    Kanisa litasimama

  • @healingclinic978
    @healingclinic978 2 года назад

    Mnadanganya watu alafu ninyi viongozi wakubwa Kama amekabidhi kanisa emmh tuambieni mchungaji alieshikilia kanisa Hilo anaitwa Nani ninyi msidanganye watu

  • @brunopeter9776
    @brunopeter9776 2 года назад

    Njaaa zitawapeleka kuzimu

  • @reachglobal9939
    @reachglobal9939 2 года назад +1

    Samehe na kusahau

  • @mtakatifubony5525
    @mtakatifubony5525 Год назад

    Shetani Ameyakanyaga

  • @philbertcelestin7057
    @philbertcelestin7057 2 года назад +1

    EAGT hakuna kustaafu,mbona Kama Mzee wa kustaafu na Ana shida ya kutembea

  • @reachglobal9939
    @reachglobal9939 2 года назад +1

    Nimeamini kukaa mbali na dhambi inakulinda

  • @reachglobal9939
    @reachglobal9939 2 года назад +1

    MUNGU kalipigania kanisa,pia aliye omba msamaha katumia akili,pia asamehewe

  • @monalisalebasoto2538
    @monalisalebasoto2538 2 года назад +2

    Hamna kitu apoooo

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 2 года назад

      Unacho ww basi

    • @monalisalebasoto2538
      @monalisalebasoto2538 2 года назад

      @@depaolo3461 eeeeeh mm ninacho endeleeni kumsaliti Moses kulola bwana atawalipaa

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 2 года назад +1

      @@monalisalebasoto2538 nani aliyemsaliti Moses kulola hujui lolote unakulupuka, mahene kurudi yupo sahihi na yy ndo chanzo Cha mpasuko Kwa mambo aliyotenda acha kujipendekeza ww kwanza amefanya jambo la ki Mungu kuomba msamaha Sasa endelea kushupaza shingo na kigenge chenu Cha wahuni wasiofika hata wachungaji hamsin

    • @monalisalebasoto2538
      @monalisalebasoto2538 2 года назад

      @@depaolo3461 yaani nyie na vizazi vyenu Mungu atawalipaaa tuuuh endeleeni na Roho zenu mbaya mumemtelekeza Mama kulola Mwaisabila mumemfanyia baba wa watu mnayoyajua nyie mama Moses kulola mnayomfanyia Endeleeni tuuuh Mungu atawahukumu cku inakuja endeleeni kulipana Milioni 12 kwa mwezi huku mama kulola mnajua mnachompa na roho zenu mbaya hizooo

    • @frankmwansile6756
      @frankmwansile6756 2 года назад +2

      @@monalisalebasoto2538 Nafikiri huna unacho jua lakini kwa faida yako unatakiwa kujua kanisa la EAGT lilianzishwa namna gani sio kama GWAJIMA, MABOYA, KAKOBE, GAMANYWA NA MWINGIRA hawa walianzisha kanisa moja baadaye wamekuwa wakifungua matawi mengine kwa lugha nyepesi hayo ni makanisa yao. Lakini EAGT sio kanisa la mtu ila ni Kuna wahasisi ambao lazima waheshimike na pia wahudumiwe na mama KULOLA ANAPEWA SH 5,000,000 kila mwezi nafikiri kwa mama hiki ni kiasi kinachotosha kabisa.

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 2 года назад

    Afadhali maana watoto wetu wapo huko

  • @prophetmusasimon9281
    @prophetmusasimon9281 2 года назад +2

    Eagt munavyopiga makanisani mengine ila ninyi Moto unawala ninyi kwa ninyi mutamalizana ache Vita ya kuwapiga Vita watumishi wengine mutamalizana na vyeo vyenu hivyo munavyopigania

  • @mtakatifubony5525
    @mtakatifubony5525 Год назад

    Shetani Amepigwa kombola

  • @mtakatifubony5525
    @mtakatifubony5525 Год назад

    Shetani ameyatimba

  • @blandinajoseph1291
    @blandinajoseph1291 Год назад

    Msimamo wako sio wenu

  • @michaelkhalid3226
    @michaelkhalid3226 2 года назад +1

    Tunajifunza mengi sana kupitia jambo hili tunatiwa moyo sana MUNGU ni mwema sana

    • @mussamlowendiotunatakamdah7393
      @mussamlowendiotunatakamdah7393 2 года назад

      Tume tumia ghalama nyingi sanaaaa lakini hatuhesabu ghalama kama yesu alivyo jitoa Bila kuhesabu.ghalama ya mateso nakucha enzi mbinguni kwajili yetu tumekusameheeee

  • @marymremi8085
    @marymremi8085 2 года назад +1

    alifanya nn.

    • @PeterKamera
      @PeterKamera Год назад

      MUNGU ni mwema Sana kwetu Mana hata neno la MUNGU linasema mtu mmoja mwenye dhambi akitubu malaika hushangilia mbinguni

    • @RoseMtetetemela-jv1dh
      @RoseMtetetemela-jv1dh Год назад

      Ubarikiwe sana baba wakati wakutubu hakuna aibu nahuo ndio ujasiri wa toba

  • @MarthaRichard-y3p
    @MarthaRichard-y3p 10 месяцев назад

    Amen

  • @mtakatifubony5525
    @mtakatifubony5525 Год назад

    Shetani amemeza wembe